Maisha yako ya mtandaoni,ni ya kudumu kama mchoro
-
0:02 - 0:03Sawa basi, tuchukue
-
0:03 - 0:05mambo manne ambayo ni wazi yanaenda
pamoja: -
0:05 - 0:10data kubwa, michoro, ukosefu wa maadili na
Wagiriki. -
0:10 - 0:11Sio?
-
0:11 - 0:14Sasa, suala kuhusu michoro ni kua,
-
0:14 - 0:18bila maneno, michoro kweli ina kelele.
-
0:18 - 0:22[Nzuri]
-
0:22 - 0:24[Inatatiza]
-
0:24 - 0:28Hivyo huhitaji kusema chochote.
-
0:28 - 0:31[Utii]
-
0:31 - 0:36[Karibu sana]
-
0:36 - 0:38[Makosa makubwa]
-
0:38 - 0:41(Kicheko)
-
0:42 - 0:46Na michoro inakuambia hadithi nyingi.
-
0:46 - 0:48Kama nikiuliza swali la kidadisi,
-
0:48 - 0:51wangapi wenu wana michoro?
-
0:51 - 0:53Wachache, lakini sio wengi.
-
0:53 - 0:56Nini kitatokea kama Facebook, Google,
Twita, LinkedIn, -
0:56 - 0:59simu za mikononi, vihisio, Foursquare,
Yelp, Travel Advisor, -
0:59 - 1:01vyote hivi unavyoshughulika navyo
kila siku -
1:01 - 1:04zinageuka kua michoro ya elektroniki?
-
1:04 - 1:05Na kama je vinatoa taarifa nyingi
-
1:05 - 1:10kuhusu wewe ni nani kama michoro
inavyofanya? -
1:10 - 1:13Kilichotokea miongo michache iliopita
-
1:13 - 1:16ni aina ya kinga anayopata kama mkuu
wa nchi -
1:16 - 1:18au mtu mkubwa mashuhuri
-
1:18 - 1:21sasa inatumika kila siku na watu wote hawa
-
1:21 - 1:24ambao wana twiti, blogu, wanaokufuata,
-
1:24 - 1:28wanaoangalia alama zako za mikopo na
unachojifanyia mwenyewe. -
1:28 - 1:33Na michoro ya elektroniki pia ina kelele.
-
1:33 - 1:35Na unapofikiria matokeo ya hayo,
-
1:35 - 1:38inakua ngumu kujificha kutoka kwa hivi
vitu pamoja na vingine, -
1:38 - 1:41kwa sababu sio tu michoro ya elektroniki,
-
1:41 - 1:45ni utambuaji uso unaokua mzuri kweli.
-
1:45 - 1:49Hivyo unaweza chukua picha na iPhone
na kupata majina yote, -
1:49 - 1:53japo, tena, mara nyingine inakosea.
(Kicheko) -
1:53 - 1:56Lakini inamaanisha unaweza chukua picha ya
baa kama hii, -
1:56 - 2:00chukua picha, sema, kama huyu mtu hapa,
-
2:00 - 2:03pata jina, na pakua kumbukumbu zote
-
2:03 - 2:07kabla hujasema neno au ongea na mtu
-
2:07 - 2:08maana kila mtu anaishia kua
-
2:08 - 2:12ameandikwa kabisa na michoro ya
elektroniki. -
2:12 - 2:15Hivyo kuna makampuni kama face.com
ambayo sasa yana -
2:15 - 2:18takribani nyuso bilioni 18 mtandaoni.
-
2:18 - 2:20Hichi kilitokea kwenye hii kampuni.
-
2:20 - 2:23[Kampuni imeuzwa kwa Facebook, Juni 18, 2012...]
-
2:23 - 2:25Kuna makampuni mengine yangeweka kamera
-
2:25 - 2:28kama hivi - hii haihusiani na Facebook -
-
2:28 - 2:30wanachukua picha yako, na kuilinganisha
mitandaoni -
2:30 - 2:32wanagundua unapenda kuvaa magauni meusi,
-
2:32 - 2:35hivyo mtu kwenye duka anakuja na kusema,
-
2:35 - 2:37"Vipi, tuna magauni meusi matano
-
2:37 - 2:40ambayo yangekupendeza sana wewe."
-
2:40 - 2:42Basi kama je Andy alikosea?
-
2:42 - 2:43Hii hapa kanuni ya Andy.
-
2:43 - 2:45[Mbeleni, kila mtu atakua maarufu dakika 15.]
-
2:45 - 2:47Je kama tukigeuza hili?
-
2:47 - 2:51Je kama utakua haujulikani kwa
dakika 15 tu? (Kicheko) -
2:51 - 2:54Basi, tena, kwa sababu ya michoro ya
elektroniki, -
2:54 - 2:59labda nyie wote na sisi wote tuko karibu
sana na ukosefu wa maadili, -
2:59 - 3:00kwa sababu hii michoro itaishi
-
3:00 - 3:03mda mrefu zaidi ya miili yetu.
-
3:03 - 3:05Na kama ni kweli, tunachotaka kufanya
-
3:05 - 3:08ni tunataka kupitia mambo manne kutoka kwa
Wagiriki -
3:08 - 3:12na jambo moja kutoka kwa Mmarekani
wa Kusini. -
3:12 - 3:14Kwanini Wagiriki?
-
3:14 - 3:15Wagiriki walifikiria kitakachotokea
-
3:15 - 3:20pale miungu na binadamu na ukosefu wa
maadili ukijichanganya kwa mda mrefu. -
3:20 - 3:23Hivyo somo la kwanza: Sisyphus.
-
3:23 - 3:26Unakumbuka? Alifanya kitu kibaya,
kuhukumiwa kwa siku zote -
3:26 - 3:28kupandisha hili jiwe juu, litarudi
tena chini, -
3:28 - 3:30viringisha juu, viringika chini.
-
3:30 - 3:33Ni kidogo kama kua na sifa.
-
3:33 - 3:34Unapopata mchoro wa elektroniki,
-
3:34 - 3:37utakua unaviringika juu na chini kwa
mda mrefu, -
3:37 - 3:39hivyo unapopitia haya mambo,
-
3:39 - 3:43kua tu mwangalifu unachoweka.
-
3:43 - 3:46Dhana namba mbili: Orpheus, mtu mzuri,
-
3:46 - 3:50anavutia kua nae, mzuri kwenye sherehe,
mwimbaji mzuri, -
3:50 - 3:53kapoteza mpendwa wake, anajibahatishia
njia ya kuzimu -
3:53 - 3:55mtu pekee kujibahatisha njia ya kuzimu,
-
3:55 - 3:58akavutia miungu ya kuzimu,
-
3:58 - 4:01wamuachie mrembo wake na sharti
-
4:01 - 4:04asimtazame kamwe mpaka watoke.
-
4:04 - 4:06Hivyo anatoka na kutoka na kutoka
-
4:06 - 4:10na anashindwa kujizuia. Anamuangalia,
anampoteza milele. -
4:10 - 4:13Na taarifa yote hii huko nje, inaweza kua
wazo zuri -
4:13 - 4:19kutokuangalia mbali sana kwenye ya
kale ya uwapendao. -
4:19 - 4:21Somo namba tatu: Atalanta.
-
4:21 - 4:26Mkimbiaji bora. Anashindana na yeyote.
-
4:26 - 4:28Kama ukishinda, angekuoa.
-
4:28 - 4:31Kama ukishindwa, unakufa.
-
4:31 - 4:33Hippomenes alimshinda vipi?
-
4:33 - 4:35Alikua na matofaa madogo ya dhahabu,
-
4:35 - 4:38na angekimbia mbele, na kuangusha
tofaa dogo la dhahabu. -
4:38 - 4:40Angempita, na kuangusha tofaa la dhahabu.
-
4:40 - 4:44Akaendelea kukengeushwa. Hatimae
akashinda mbio. -
4:44 - 4:48Kumbuka tu kusudi haya matofaa
madogo ya dhahabu -
4:48 - 4:50yanakuja na kukufikia na unataka kuzituma
-
4:50 - 4:54au kuzitwiti au kutuma ujumbe
usiku wa manane. -
4:54 - 4:57Na kisha, bila shaka, kuna Narcissus.
-
4:57 - 5:01Hakuna mtu hapa anaweza kutuhumiwa
au kumjua Narcissus. -
5:01 - 5:03(Kicheko)
-
5:03 - 5:06Lakini unapofikira kuhusu Narcissus,
-
5:06 - 5:10usipende tumuonekano wako mwenyewe.
-
5:10 - 5:11Mwisho, kutoka kwa Muamerika wa Kusini:
-
5:11 - 5:14Huyu ni mshairi maarufu Jorge Luis Borges.
-
5:14 - 5:15Alipotishiwa na majambazi
-
5:15 - 5:18wa jeshi la serikali ya Argentina,
-
5:18 - 5:20alirudi na kusema, "Ah, wacha nawe,
-
5:20 - 5:24utatisha vipi, kama sio kwa kifo?"
-
5:24 - 5:27Kitu cha kuvutia, kitu cha asili,
-
5:27 - 5:30ilikua kutishia mtu na ukosefu wa maadili.
-
5:30 - 5:32Na, bila shaka, ndo tulivyo
-
5:32 - 5:36sasa tunatishika leo kwa sababu ya
michoro ya elekroniki. -
5:36 - 5:37Asanteni.
-
5:37 - 5:40(Makofi)
- Title:
- Maisha yako ya mtandaoni,ni ya kudumu kama mchoro
- Speaker:
- Juan Enriquez
- Description:
-
Kama je Andy Warhol alikosea na badala ya kua maarufu kwa dakika 15, hatujulikani tu kwa mda huo? Kwenye haya maongezi mafupi, Juan Enriquez anaangalia kwenye athari za kudumu za kushangaza za kushirikisha kidijitali siri zetu binafsi. Anashirikisha fahamu kutoka kwa Wanagiriki wa kongwe kutusaidia kushughulika na "michoro dijitali" yetu mipya.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 05:57
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Your online life, permanent as a tattoo |