Return to Video

10 Jehoshaphat

  • 0:16 - 0:19
    Watu wengi walikuja na
    kumwambia Yehoshafati
  • 0:19 - 0:23
    ya kwamba jeshi kubwa lilijongea
    kufanya vita na yeye.
  • 0:23 - 0:27
    Baada ya kushtushwa na habari hizi,
    Yehoshafati alitangaza
  • 0:27 - 0:29
    mafungo kwa Yuda nzima.
  • 0:29 - 0:32
    Watu walikuja kutoka miji yote ya Yuda
  • 0:32 - 0:34
    kufunga na kuomba kwa pamoja.
  • 0:34 - 0:38
    Tulikuwa sehemu ya kundi
    kubwa, na Yehoshafati
  • 0:38 - 0:41
    alimuomba msaada kwa unyenyekevu Mungu.
  • 0:41 - 0:44
    Kisha Mtu aitwaye Yahazieli
    alisimama na kusema
  • 0:44 - 0:47
    kwamba Yehoshafati
    atakiwihi kujihusisha—
  • 0:47 - 0:50
    ya kwamba ilikuwa sii vita yake,
    bali ya vita ya Mungu.
  • 1:00 - 1:04
    Ilikuwa mapema asubuhi tulipoanza
    safari kwenye jangwa la Tekoa.
  • 1:04 - 1:07
    Tulikuwa na wasiwasi
    kukutana na jeshi hili kubwa,
  • 1:07 - 1:09
    lakini tuliambiwa tuwe na imani.
  • 1:09 - 1:12
    Tulikuwa tumesali.
  • 1:14 - 1:16
    Pindi kundi la upepelezi
    lilipokuja juu ya mlima,
  • 1:16 - 1:19
    tuliona tu maiti kote kote.
  • 1:21 - 1:23
    Adui zetu waligeukana.
  • 1:23 - 1:28
    Sala za Yehoshafati zilishinda vita
    bila haja ya kupigana.
Title:
10 Jehoshaphat
Description:

Many people came and told Jehoshaphat that a vast army was approaching to wage war against him. www.unitedprayerworks.com

more » « less
Video Language:
English
Team:
Team Adventist
Project:
Artv
Duration:
01:31
Cindy Hurlow approved Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat
Cindy Hurlow accepted Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat
Cindy Hurlow edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions