WEBVTT 00:00:15.500 --> 00:00:19.160 Watu wengi walikuja na kumwambia Yehoshafati 00:00:19.160 --> 00:00:23.060 ya kwamba jeshi kubwa lilijongea kufanya vita na yeye. 00:00:23.060 --> 00:00:27.030 Baada ya kushtushwa na habari hizi, Yehoshafati alitangaza 00:00:27.030 --> 00:00:29.120 mafungo kwa Yuda nzima. 00:00:29.120 --> 00:00:31.960 Watu walikuja kutoka miji yote ya Yuda 00:00:31.960 --> 00:00:34.350 kufunga na kuomba kwa pamoja. 00:00:34.350 --> 00:00:37.580 Tulikuwa sehemu ya kundi kubwa, na Yehoshafati 00:00:37.580 --> 00:00:40.970 alimuomba msaada kwa unyenyekevu Mungu. 00:00:40.970 --> 00:00:44.420 Kisha Mtu aitwaye Yahazieli alisimama na kusema 00:00:44.420 --> 00:00:47.160 kwamba Yehoshafati atakiwihi kujihusisha— 00:00:47.160 --> 00:00:50.290 ya kwamba ilikuwa sii vita yake, bali ya vita ya Mungu. 00:00:59.710 --> 00:01:03.570 Ilikuwa mapema asubuhi tulipoanza safari kwenye jangwa la Tekoa. 00:01:03.570 --> 00:01:07.200 Tulikuwa na wasiwasi kukutana na jeshi hili kubwa, 00:01:07.200 --> 00:01:09.490 lakini tuliambiwa tuwe na imani. 00:01:09.490 --> 00:01:11.760 Tulikuwa tumesali. 00:01:13.920 --> 00:01:16.400 Pindi kundi la upepelezi lilipokuja juu ya mlima, 00:01:16.400 --> 00:01:19.030 tuliona tu maiti kote kote. 00:01:21.030 --> 00:01:23.030 Adui zetu waligeukana. 00:01:23.030 --> 00:01:28.030 Sala za Yehoshafati zilishinda vita bila haja ya kupigana.