Mpango wa Kustua wa kufanya maandamano na upinzani wa amani kuwa kosa la jinai.
-
0:01 - 0:03Ilikuwa ni chini ya mwaka mmoja baada ya Septemba 11,
-
0:03 - 0:05Na nilikuwa katika ofisi ya gazeti la Chicago Tribune
-
0:05 - 0:07Nikiandika kuhusu mauaji,
-
0:07 - 0:08ilinisababisha nijihisi
-
0:08 - 0:10Katika hali ya giza na kuelemewa
-
0:10 - 0:11Nilikuwa mwanaharakati nilipokuwa chuoni,
-
0:11 - 0:13Nikaamua kulisaidia kundi la maeneo ya kwetu
-
0:13 - 0:16Kuweka mabango kinyume na kuwafanyia wanyama majaribio ya kisayansi.
-
0:16 - 0:17Nilifikiri itakuwa ni njia salama
-
0:17 - 0:19kufanya kitu kizuri
-
0:19 - 0:22Lakini nina bahati mbaya hasa
-
0:22 - 0:24tulikamatwa wote.
-
0:24 - 0:26Polisi wakanipiga picha hii isiyoonekana vizuri
-
0:26 - 0:30Nikiwa nimeshika vipeperushi kama ushahidi.
-
0:30 - 0:31Mashtaka kinyume nami yalifutwa,
-
0:31 - 0:33lakini wiki chache baadae,
-
0:33 - 0:35wanausalama wawili kutoka FBI wakaja nyumbani,
-
0:35 - 0:36wakaniambia kama sitawasaidia
-
0:36 - 0:38kwa kufanya upelelezi katika makundi ya waandamanaji
-
0:38 - 0:42Wataniweka katika orodha ya magaidi wa nyumbani
-
0:42 - 0:44Napenda nikwambie kuwa sikuogopa,
-
0:44 - 0:46lakini nilishtuka,
-
0:46 - 0:48Mshtuko wangu ulipoisha,
-
0:48 - 0:50Nilipata hamu ya kutaka kujua
-
0:50 - 0:51,hali hii imefikaje hapa
-
0:51 - 0:53Jinsi wanaharakati wa haki za jamii na mazingira
-
0:53 - 0:56ambao hawajawahi kumjeruhi mtu yeyote
-
0:56 - 0:58wanaweza kuwa watu wa kwanza kwa shirika la FBI
-
0:58 - 1:01kuwafanya kuwa ni tishio kubwa la kiadui la nyumbani
-
1:01 - 1:03miaka michache baadae, niliitwa kutoa ushahidi
-
1:03 - 1:05mbele ya bunge kuhusu ripoti yangu,
-
1:05 - 1:07na nikawaambia wabunge , kuwa wakati kila mtu
-
1:07 - 1:08anaongelea mapinduzi ya kijani,
-
1:08 - 1:10watu wengine wanatoa maisha yao
-
1:10 - 1:13kuilinda misitu na kuzuia mabomba ya mafuta.
-
1:13 - 1:15Wanaweka miili yao kati ya
-
1:15 - 1:19mitego ya nyangumi na nyangumi.
-
1:19 - 1:20Hawa ni watu wa kawaida,
-
1:20 - 1:23Kama waandamanaji hawa wa Italia
-
1:23 - 1:25ambao walipanda
-
1:25 - 1:27uzio wa waya kuwaokoa wanyama
-
1:27 - 1:29wasitumika katika majaribio ya kisayansi.
-
1:29 - 1:32na wimbi hili limekuwa la mafanikio sana
-
1:32 - 1:34na maarufu,
-
1:34 - 1:38Kwa hiyo mwaka 1985, wapinzani wao wakatengeneza neno jipya
-
1:38 - 1:39Gaidi wa mazingira,
-
1:39 - 1:41Ili kubadilisha jinsi tunavyowaona.
-
1:41 - 1:43walitengeneza tuu.
-
1:43 - 1:46sasa kampuni hizi zimesaidia sheria mpya
-
1:46 - 1:48Kama Animal Enterprise Terrorism Act,
-
1:48 - 1:51ambayo inabadilisha uanaharakati kuwa ugaidi
-
1:51 - 1:53Kama itasababisha ukosefu wa faida.
-
1:53 - 1:56watu wengi hawajawahi hata kuisikia sheria hii,
-
1:56 - 1:58wakiwemo wabunge,
-
1:58 - 2:00Chini ya asilimia moja walikuwa bungeni
-
2:00 - 2:03ilipopitishwa
-
2:03 - 2:06Wengine walikuwa katika kumbukumbu
-
2:06 - 2:07wakimsifu Dr . King
-
2:07 - 2:11ambaye aina yake ya uanaharakati ingeitwa ugaidi
-
2:11 - 2:14kama ingefanywa kwa wanyama au mazingira.
-
2:14 - 2:16Waungaji mkono wanasema sheria hizi zinahitajika
-
2:16 - 2:18Kwa ajili ya wale wenye msimamo mkali
-
2:18 - 2:21wahuni na wanaoharibu mali.
-
2:21 - 2:23Lakini kwa sasa, kampuni kama TransCanada
-
2:23 - 2:27wanawaelekeza polisi
-
2:27 - 2:29jinsi ya kuwashtaki waandamanaji wa amani
-
2:29 - 2:32kama magaidi.
-
2:32 - 2:35Mafunzo ya FBI kuhusu ugaidi wa mazingira
-
2:35 - 2:37sio kwa ajili ya kuzuia vurugu
-
2:37 - 2:39ni kwa ajili ya mahusiano ya umma
-
2:39 - 2:41leo, katika nchi nyingi ,
-
2:41 - 2:43mashirika makubwa yanalazimisha sheria mpya
-
2:43 - 2:45ambazo zinafanya kuwa kinyume na sheria upigaji picha
-
2:45 - 2:48wa ukatili wa wanyama katika mashamba yao.
-
2:48 - 2:50Habari ya karibuni kabisa ni huko idaho ,wiki mbili zilizopita,
-
2:50 - 2:52na leo tumefungua kesi
-
2:52 - 2:54tukisema ni kinyume na katiba
-
2:54 - 2:57na pia kama kitisho kwa uandishi wa habari
-
2:57 - 2:59Mwanzo wa sheria hizi
-
2:59 - 3:00kufanya kazi
-
3:00 - 3:02ilikuwa ni pale binti aitwaye Amy Meyer,
-
3:02 - 3:04alipoona ng'ombe mgonjwa akiwa anahamishwa
-
3:04 - 3:06na tingatinga nje ya nyumba ya kuchinjia
-
3:06 - 3:09alipokuwa mtaani
-
3:09 - 3:11amy alifanya kile ambacho wengi wetu wangefanya:
-
3:11 - 3:13alipiga video.
-
3:13 - 3:16Nilipogundua habari,niliiandika
-
3:16 - 3:18Ndani ya masaa 24, ikaleta rabsha
-
3:18 - 3:22iliyosababisha mashtaka yote kufutwa.
-
3:22 - 3:24Lakini, hata kufichua mambo kama hayo
-
3:24 - 3:26ni tishio.
-
3:26 - 3:27Kupitia sheria ya uhuru wa mawasiliano
-
3:27 - 3:29Niligundua kuwa kitengo cha kudhibiti ugaidi
-
3:29 - 3:31kimekuwa kikifuatilia makala zangu
-
3:31 - 3:33Na hotuba kama hii.
-
3:33 - 3:36Hata wametoa maelezo haya kuhusu kitabu changu
-
3:36 - 3:39Wanaeleza kuwa "inavutia na imeandikwa vizuri"
-
3:39 - 3:44(Makofi)
-
3:44 - 3:47Muhtsari kuhusu kitabu kifuatacho, si ndio?
-
3:47 - 3:50Haya yote ni kutufanya tuogope,
-
3:50 - 3:52Lakini kama mwandishi wa habari,nina imani thabiti
-
3:52 - 3:54kuhusu nguvu ya elimu.
-
3:54 - 3:58Silaha yetu nzuri ni mwanga wa jua
-
3:58 - 4:00Dostoevsky aliandika kuwa kazi yote ya mtu
-
4:00 - 4:03ni kuthibitisha kuwa ni mtu na sio sehemu ya kinanda
-
4:03 - 4:04Mara nyingi katika historia
-
4:04 - 4:06Watawala wametumia uoga
-
4:06 - 4:10Kunyamazisha ukweli na upinzani
-
4:10 - 4:12Ni wakati wa kuanzisha kitu kipya
-
4:12 - 4:14Asante Sana
-
4:14 - 4:16(Makofi)
- Title:
- Mpango wa Kustua wa kufanya maandamano na upinzani wa amani kuwa kosa la jinai.
- Speaker:
- Will Potter
- Description:
-
Mwaka 2002, Mwandishi wa habari za uchunguzi na TED Fellow Will Potter aliamua kupumzika kazi yake ya mara kwa mara ya kuandika kuhusu mauaji kwa ajili ya gazeti la Chicago Tribune. Alienda kulisaidia kundi linalofanya kampeni kinyume na matumizi ya wanyama katika majaribio ya kisayansi. "Nilifikiri itakuwa ni njia salama ya kufanya jambo jema," anasema . Lakini kinyume chake ,alikamatwa, na hapo ikaanza safari yake kwenye dunia ambayo maandamano ya amani yanaitwa ugaidi.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 04:33
Joachim Mangilima approved Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for The shocking move to criminalize nonviolent protest |