[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.98,0:00:03.26,Default,,0000,0000,0000,,Ambieni ma binti wenu kuhusu mwaka huu Dialogue: 0,0:00:03.28,0:00:05.38,Default,,0000,0000,0000,,jinsi tulivyo amka tukihitaji kahawa Dialogue: 0,0:00:05.40,0:00:09.22,Default,,0000,0000,0000,,ila tukapata pindi imemwagwa, \Nkati ya magazeti ya asubuhi Dialogue: 0,0:00:09.24,0:00:14.04,Default,,0000,0000,0000,,faksi za dada, mke/mume, watoto wadogo\Nzilizojaa maji Dialogue: 0,0:00:14.60,0:00:18.22,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie mwana wako kuhusu huu mwaka\Natakapo kuuliza, anavyofaa kukuuliza, Dialogue: 0,0:00:18.24,0:00:19.82,Default,,0000,0000,0000,,mwambie ili kuwa imechelewa kuja Dialogue: 0,0:00:19.84,0:00:24.30,Default,,0000,0000,0000,,Kubali kuwahata ule mwaka tulikodisha \Nuhuru,hatuku umiliki moja kwa moja Dialogue: 0,0:00:24.32,0:00:27.14,Default,,0000,0000,0000,,Bado kulikuwa na sheria jinsi\Ntunavyotumia sehemu zetu za siri. Dialogue: 0,0:00:27.16,0:00:29.66,Default,,0000,0000,0000,,ilhali wakivuruga upole wetu Dialogue: 0,0:00:29.68,0:00:32.42,Default,,0000,0000,0000,,wakatunyakua bila kujali ridhaa Dialogue: 0,0:00:32.44,0:00:35.06,Default,,0000,0000,0000,,Hamna sheria ziliundiwa wanaume \Nwalioitekeleza Dialogue: 0,0:00:35.08,0:00:37.50,Default,,0000,0000,0000,,Tulifunzwa ku hepa, Dialogue: 0,0:00:37.52,0:00:40.14,Default,,0000,0000,0000,,kungoja, kuhofia, na kujifunika Dialogue: 0,0:00:40.16,0:00:43.06,Default,,0000,0000,0000,,kungoja zaidi, na bado kungoja. Dialogue: 0,0:00:43.08,0:00:44.96,Default,,0000,0000,0000,,Tuliambiwa tuwe kimya Dialogue: 0,0:00:45.44,0:00:47.70,Default,,0000,0000,0000,,Ila ambia ma binti wako \Nkuhusu muda huu wa vita Dialogue: 0,0:00:47.72,0:00:50.30,Default,,0000,0000,0000,,mwaka uliotanguliwa na matokeo sawa, Dialogue: 0,0:00:50.32,0:00:52.58,Default,,0000,0000,0000,,kama miongo miwili iliyopita Dialogue: 0,0:00:52.60,0:00:54.14,Default,,0000,0000,0000,,tuliyapangusa macho yetu Dialogue: 0,0:00:54.16,0:00:56.06,Default,,0000,0000,0000,,ma jeneza yakafunikwa na bendera Dialogue: 0,0:00:56.08,0:00:58.26,Default,,0000,0000,0000,,kuondoa eneo la uhalifu wa Klabu, Dialogue: 0,0:00:58.28,0:00:59.58,Default,,0000,0000,0000,,kwaruza kuomboleza mitaani, Dialogue: 0,0:00:59.60,0:01:02.90,Default,,0000,0000,0000,,tukailaza mili yetu kwenye sakafu \Nya saruji tukiegemea walioanguka, Dialogue: 0,0:01:02.92,0:01:04.86,Default,,0000,0000,0000,,tukalia, "Bila shaka tuna umuhimu," Dialogue: 0,0:01:04.88,0:01:06.26,Default,,0000,0000,0000,,tukawaimbia waliopotea. Dialogue: 0,0:01:06.28,0:01:07.88,Default,,0000,0000,0000,,Wanawake walilia huu mwaka. Dialogue: 0,0:01:08.44,0:01:09.66,Default,,0000,0000,0000,,Walilia. Dialogue: 0,0:01:09.68,0:01:12.14,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka huo huo, tulikuwa tayari. Dialogue: 0,0:01:12.16,0:01:15.26,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka tuliopoteza uoga\Nna kusonga kwa ujasiri Dialogue: 0,0:01:15.28,0:01:17.78,Default,,0000,0000,0000,,huu pia ndio mwaka \Ntulioyangalia chini mapipa Dialogue: 0,0:01:17.80,0:01:20.14,Default,,0000,0000,0000,,tukaimba korongo angani,\Ntuka hepa na kupangua, Dialogue: 0,0:01:20.16,0:01:22.62,Default,,0000,0000,0000,,kashika dhahabu kwa hijab,\Ntukapokea vitisho vya kifo, Dialogue: 0,0:01:22.64,0:01:23.98,Default,,0000,0000,0000,,tulijifahamu kama wazalendo, Dialogue: 0,0:01:24.00,0:01:27.22,Default,,0000,0000,0000,,kasema, "tuko 35 sasa, mda wa kutulia na\Nkumtafuta mgombea mwenza," Dialogue: 0,0:01:27.24,0:01:30.38,Default,,0000,0000,0000,,tukakuza ramani ya furaha mpya ya kitoto, \Nkutokua na aibu ila ya hofu, Dialogue: 0,0:01:30.40,0:01:32.66,Default,,0000,0000,0000,,tukajiita wanene na kumaanisha,\Nbila shaka, Dialogue: 0,0:01:32.68,0:01:33.90,Default,,0000,0000,0000,,safi kabisa Dialogue: 0,0:01:33.92,0:01:35.86,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka huu, tulikuwa wanawake, Dialogue: 0,0:01:35.88,0:01:37.66,Default,,0000,0000,0000,,sio bibi harusi au kishaufu, Dialogue: 0,0:01:37.68,0:01:39.18,Default,,0000,0000,0000,,sio jinsia duni, Dialogue: 0,0:01:39.20,0:01:41.34,Default,,0000,0000,0000,,sio mawaidha, ila wanawake. Dialogue: 0,0:01:41.36,0:01:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Wafunze watoto wako. Dialogue: 0,0:01:42.68,0:01:46.06,Default,,0000,0000,0000,,Wakumbushe kua mwaka wa kuwa\Nwatulivu au wadogo umepita. Dialogue: 0,0:01:46.08,0:01:48.70,Default,,0000,0000,0000,,Wale kati yetu waliosema ni \Nwanawake kwa mara ya kwanza, Dialogue: 0,0:01:48.72,0:01:51.10,Default,,0000,0000,0000,,kachukua kiapo hiki cha umoja kwa umahiri Dialogue: 0,0:01:51.12,0:01:53.38,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wale walizaa watoto na\Nwale hawakuzaa, Dialogue: 0,0:01:53.40,0:01:55.82,Default,,0000,0000,0000,,na hamna miongoni mwetu \Naliuliza ilitufanyawakweli Dialogue: 0,0:01:55.84,0:01:57.62,Default,,0000,0000,0000,,au sahihi au kweli. Dialogue: 0,0:01:57.64,0:01:59.78,Default,,0000,0000,0000,,Anapokuuliza juu ya mwaka huu, Dialogue: 0,0:01:59.80,0:02:02.70,Default,,0000,0000,0000,,binti wako, iwapo mwanawe au\Nmrithi wa ushindi wako, Dialogue: 0,0:02:02.73,0:02:05.74,Default,,0000,0000,0000,,toka pande ya faraja yake historia, \Nkiyumba kuelekea wanawake, Dialogue: 0,0:02:05.76,0:02:08.06,Default,,0000,0000,0000,,atashangaa na kuuliza kwa lafua, Dialogue: 0,0:02:08.08,0:02:10.02,Default,,0000,0000,0000,,licha yake kutoweza kuelewa kafara yako, Dialogue: 0,0:02:10.04,0:02:12.82,Default,,0000,0000,0000,,ataiweka ukadiri wako takatifu, Dialogue: 0,0:02:12.84,0:02:15.34,Default,,0000,0000,0000,,jambo la ajabu atadadisi,"Ulikuwa wapi? Dialogue: 0,0:02:15.36,0:02:18.38,Default,,0000,0000,0000,,Ulipigana?\NUlikuwa na hofu au ulihofisha? Dialogue: 0,0:02:18.40,0:02:20.26,Default,,0000,0000,0000,,Nini ilikupa majuto? Dialogue: 0,0:02:20.28,0:02:22.94,Default,,0000,0000,0000,,Ulifanyia nini wanawake\Nkatika mwaka uliowasili Dialogue: 0,0:02:22.96,0:02:25.86,Default,,0000,0000,0000,,Njia hii ulio nitengezea,\Nmifupa ipi ilibidii ivunjwe? Dialogue: 0,0:02:25.88,0:02:28.14,Default,,0000,0000,0000,,Ulifanya ya kutosha, na je uko sawa, mama? Dialogue: 0,0:02:28.16,0:02:29.38,Default,,0000,0000,0000,,Na je wewe ni shujaa? Dialogue: 0,0:02:29.40,0:02:31.82,Default,,0000,0000,0000,,Atauliza yale maswali magumu. Dialogue: 0,0:02:31.84,0:02:34.02,Default,,0000,0000,0000,,Hatajali\Njuu ya mikunjo ya uso wako, Dialogue: 0,0:02:34.04,0:02:35.30,Default,,0000,0000,0000,,uzito wa ufumbata wako. Dialogue: 0,0:02:35.32,0:02:36.98,Default,,0000,0000,0000,,Hatakuuliza kuhusu kutajwa kwako. Dialogue: 0,0:02:37.00,0:02:40.38,Default,,0000,0000,0000,,Binti wako, uliyembebea mengi, \Nanataka kujua Dialogue: 0,0:02:40.40,0:02:43.90,Default,,0000,0000,0000,,ulimletea nini, zawadi ipi, \Nulizuia nuru ipi kutokomea Dialogue: 0,0:02:43.92,0:02:45.86,Default,,0000,0000,0000,,Walipowakujia waathirika usiku, Dialogue: 0,0:02:45.88,0:02:47.98,Default,,0000,0000,0000,,ulilala au uliamshwa? Dialogue: 0,0:02:48.00,0:02:49.66,Default,,0000,0000,0000,,Bei ya kuwa macho ilikuwa nini? Dialogue: 0,0:02:49.68,0:02:53.15,Default,,0000,0000,0000,,Nini, kwa mwaka tuisema saa imefika, \Nulifanyia nini upendeleo wako? Dialogue: 0,0:02:53.17,0:02:54.70,Default,,0000,0000,0000,,Uliyanywa umaskini wa wengine? Dialogue: 0,0:02:54.72,0:02:56.86,Default,,0000,0000,0000,,Uliangalia kando au uliuangalia moto? Dialogue: 0,0:02:56.88,0:02:59.42,Default,,0000,0000,0000,,Uliujua ujuzi wako au \Nuliutunza kama dhima? Dialogue: 0,0:02:59.44,0:03:02.78,Default,,0000,0000,0000,,Je ulidanganywa na matusi ya\N"gonjwa" au "ndogo kuliko"? Dialogue: 0,0:03:02.80,0:03:05.30,Default,,0000,0000,0000,,Je ulifunza na moyo mkunjufu \Nau ngumu iliyokazwa? Dialogue: 0,0:03:05.32,0:03:06.54,Default,,0000,0000,0000,,Ulikuwa wapi? Dialogue: 0,0:03:06.56,0:03:08.42,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie ukweli. Ifanye iwe maisha yako. Dialogue: 0,0:03:08.44,0:03:10.42,Default,,0000,0000,0000,,Ithibitishe. Sema,"Binti, nilisimama pale Dialogue: 0,0:03:10.44,0:03:12.66,Default,,0000,0000,0000,,kwa muda,\Nuliochorwa kwa uso wangu kama sime Dialogue: 0,0:03:12.68,0:03:14.02,Default,,0000,0000,0000,,na kuirusha ilipotoka Dialogue: 0,0:03:14.04,0:03:15.46,Default,,0000,0000,0000,,kukata nafasi kwa'jili yako." Dialogue: 0,0:03:15.48,0:03:18.30,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie ukweli, vile ulivyoishi\Nlicha ya tabia mbaya Dialogue: 0,0:03:18.32,0:03:19.58,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie ulikuwa jasiri Dialogue: 0,0:03:19.60,0:03:21.94,Default,,0000,0000,0000,,na daima, daima ukaungana na ujasiri, Dialogue: 0,0:03:21.96,0:03:24.26,Default,,0000,0000,0000,,sana sana zile siku,\Nulikuwa wewe mwenyewe, Dialogue: 0,0:03:24.28,0:03:26.26,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie alizaliwa jinsi wewe ulivyo, Dialogue: 0,0:03:26.28,0:03:28.90,Default,,0000,0000,0000,,kama kina mama wako mbeleni,\Nna kina dada kando yao, Dialogue: 0,0:03:28.92,0:03:31.02,Default,,0000,0000,0000,,Katika muda wa wazalendo, kama kawaida. Dialogue: 0,0:03:31.04,0:03:33.74,Default,,0000,0000,0000,,Mwambie alizaliwa kwa muda uliyofaa, Dialogue: 0,0:03:33.76,0:03:35.04,Default,,0000,0000,0000,,kwa muda uliyofaa Dialogue: 0,0:03:35.52,0:03:36.74,Default,,0000,0000,0000,,kuongoza. Dialogue: 0,0:03:36.76,0:03:44.10,Default,,0000,0000,0000,,(Vigelegele)