WEBVTT 00:00:01.014 --> 00:00:02.825 Nitaanza leo 00:00:02.825 --> 00:00:04.891 kwa kuigawana shairi 00:00:04.891 --> 00:00:08.026 iliyoandikiwa na rafiki yangu mmalawi, 00:00:08.026 --> 00:00:10.162 Eileen Piri. 00:00:10.162 --> 00:00:13.506 Eileen ana miaka 13 tu, 00:00:13.506 --> 00:00:19.380 lakini tulipoangalia diwani ya ushairi tuliyoandika, 00:00:19.380 --> 00:00:22.248 Niliona shairi yake ilinivuta sana, 00:00:22.248 --> 00:00:24.245 ilitia motisha sana. 00:00:24.245 --> 00:00:26.358 Basi nitakusomeeni. 00:00:26.905 --> 00:00:30.503 Ameiita shairi yake "Nitaolewa ninapotaka" 00:00:30.503 --> 00:00:33.359 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:00:33.359 --> 00:00:35.890 "Nitaolewa ninapotaka. 00:00:35.890 --> 00:00:40.790 Mama yangu hatonilazimisha kuolewa. 00:00:40.790 --> 00:00:43.994 Baba yangu hatonilazimisha kuolewa. 00:00:45.526 --> 00:00:48.336 Mjomba, Shangazi, 00:00:48.336 --> 00:00:50.681 Kaka au dada, 00:00:50.681 --> 00:00:52.863 Hawawezi kunilazimisha. 00:00:53.885 --> 00:00:56.254 Hakuna mtu duniani 00:00:56.254 --> 00:00:59.550 awezaye kunilazimisha kuolewa. 00:00:59.550 --> 00:01:02.499 Nitaolewa ninapotaka. 00:01:02.499 --> 00:01:05.077 Hata ukinipiga, 00:01:05.077 --> 00:01:07.747 hata ukinifukuza 00:01:07.747 --> 00:01:10.928 hata ukinifanya vibaya, 00:01:10.928 --> 00:01:14.364 Nitaolewa ninapotaka. NOTE Paragraph 00:01:14.364 --> 00:01:17.267 Nitaolewa ninapotaka, 00:01:17.267 --> 00:01:21.005 lakini sio kabla sijapata elimu nzuri 00:01:21.005 --> 00:01:25.323 na sio kabla sijakua mtu mzima NOTE Paragraph 00:01:25.323 --> 00:01:27.810 Nitaolewa ninapotaka." NOTE Paragraph 00:01:28.831 --> 00:01:31.827 Shairi inaonekana isiyo ya kawaida 00:01:31.827 --> 00:01:35.356 kuandikwa na msichana wa miaka 13, 00:01:35.356 --> 00:01:40.139 lakini tunapotoka mimi na Eileen, 00:01:40.139 --> 00:01:43.900 shairi hiyo, niliyoikusomeeni, 00:01:43.900 --> 00:01:47.616 ni sauti ya shujaa. NOTE Paragraph 00:01:47.616 --> 00:01:50.541 Ninatoka Malawi. 00:01:51.191 --> 00:01:55.115 Malawi ni nchi ya maskini, 00:01:55.115 --> 00:01:57.994 maskini sana, 00:01:57.994 --> 00:02:02.522 ambapo usawa wa kijinsi sio hakika. NOTE Paragraph 00:02:02.522 --> 00:02:04.844 Kukua katika nchi ile, 00:02:04.844 --> 00:02:08.095 Sikuweza kujichagulia katika maisha. 00:02:08.095 --> 00:02:10.393 Sikuweza hata kuzichungua 00:02:10.393 --> 00:02:13.389 nafasi za kibinafsi katika maisha yangu. NOTE Paragraph 00:02:13.389 --> 00:02:15.919 Nitakuambieni hadithi 00:02:15.919 --> 00:02:18.381 ya wasichana wawili tofauti, 00:02:18.381 --> 00:02:22.026 wasichana wawili warembo. 00:02:22.026 --> 00:02:24.580 Hawa wasichana walikua 00:02:24.580 --> 00:02:26.693 chini ya paa moja. 00:02:26.693 --> 00:02:29.410 Walikula chakula sawa sawa. 00:02:29.410 --> 00:02:32.173 Wakati wengine, wangezigawana nguo, 00:02:32.173 --> 00:02:34.982 na hata viatu. 00:02:34.982 --> 00:02:39.649 Lakini maisha zao ziliishia tofauti, 00:02:39.649 --> 00:02:41.646 kwa njia mbili tofauti. 00:02:43.039 --> 00:02:46.754 Yule msichana mwengine ni dada yangu mdogo. 00:02:46.754 --> 00:02:51.677 Dada yangu alikuwa na miaka 11 00:02:51.677 --> 00:02:54.329 alipopata mimba. 00:02:56.029 --> 00:02:59.742 Ni jambo la kuumiza. 00:03:01.352 --> 00:03:04.633 Si kama ilimwumiza pekee, lakini mimi pia. 00:03:04.633 --> 00:03:08.232 Nilikuwa na wakati wa tafrani pia. NOTE Paragraph 00:03:08.232 --> 00:03:11.947 Kwa sasa katika utamaduni wangu, 00:03:11.947 --> 00:03:14.942 ukifika ubalehe, 00:03:14.942 --> 00:03:18.820 inabidi uende makambi ya kuanzisha. 00:03:18.820 --> 00:03:21.118 Katika makambi haya, 00:03:21.118 --> 00:03:24.973 unafundishwa vipi umfurahishe mwanamume kwa kijinsia. 00:03:24.973 --> 00:03:26.761 Kuna siku maalum, 00:03:26.761 --> 00:03:29.965 wanayoiita "Siku maalum sana" 00:03:29.965 --> 00:03:32.519 ambapo mwanamume anaajiriwa na jamii 00:03:32.519 --> 00:03:35.143 anakuja kambini 00:03:35.143 --> 00:03:37.572 na anafanya mapenzi na watoto wadogo. 00:03:39.252 --> 00:03:41.766 Wazeni kiwewe wasichana hawa 00:03:41.766 --> 00:03:44.516 wanachokisikia kila siku. 00:03:46.766 --> 00:03:49.925 Wasichana wengi wanapata mimba. 00:03:49.925 --> 00:03:52.542 Na hata wanashikwa na ukimwi 00:03:52.542 --> 00:03:54.882 na magonjwa mengine ya zinaa. NOTE Paragraph 00:03:55.692 --> 00:04:00.603 Kwa dadangu mdogo, alipata mimba. 00:04:00.603 --> 00:04:04.666 Leo, ana miaka 16 00:04:04.666 --> 00:04:07.662 na ana watoto watatu. 00:04:07.662 --> 00:04:11.307 Ndoa yake ya kwanza haijaishi, 00:04:11.307 --> 00:04:14.604 wala ndoa yake ya pili. NOTE Paragraph 00:04:14.604 --> 00:04:18.781 Kwa upande wengine, kuna msichana huyo. 00:04:19.341 --> 00:04:21.314 Anashangaza. 00:04:21.314 --> 00:04:23.218 (Kicheko) 00:04:23.218 --> 00:04:26.163 (Makofi) 00:04:27.723 --> 00:04:30.138 Nasema anashangaza kwa sababu ni kweli. 00:04:30.138 --> 00:04:33.203 Ni zaidi ya mzuri. 00:04:33.203 --> 00:04:36.964 Msichana yule ni mimi. (Kicheko) 00:04:36.964 --> 00:04:39.982 Nilipokuwa na miaka 13, 00:04:39.982 --> 00:04:43.396 Niliambiwa, umekua mzima, 00:04:43.396 --> 00:04:46.228 sasa umebalehe, 00:04:46.228 --> 00:04:49.595 inadhaniwa uende kambi la kuanzisha. 00:04:49.595 --> 00:04:52.567 Nilisema, "Nini? 00:04:52.567 --> 00:04:56.549 Siendi kwa yale makambi ya kuanzisha." 00:04:58.349 --> 00:05:01.112 Unajua nini mwanamke yule aliniambia? 00:05:01.112 --> 00:05:04.734 "Wewe ni mpumbavu. Mkaidi. 00:05:04.734 --> 00:05:12.001 Huziheshimu desturi za jamii yetu, za jumuia yetu." NOTE Paragraph 00:05:12.001 --> 00:05:15.809 Nilikataa kwa sababu nilijua wapi nilipokwenda. 00:05:15.809 --> 00:05:18.433 Nilijua nilivyotaka katika maisha yangu. 00:05:19.773 --> 00:05:22.738 Nilikuwa na matumaini mengi nilipokuwa mtoto. 00:05:24.238 --> 00:05:27.883 Nilitaka kupata elimu nzuri 00:05:27.883 --> 00:05:30.363 Kutafuta kazi nzuri wakati wa badae. 00:05:30.363 --> 00:05:32.122 Nilikuwa najifikiria kama mwanasheria, 00:05:32.122 --> 00:05:34.832 kukaa katika kiti kile kikubwa. 00:05:34.832 --> 00:05:37.138 Yale yalikuwa mawazo 00:05:37.138 --> 00:05:40.468 yaliokuwa katika akili yangu kila siku. 00:05:40.468 --> 00:05:42.302 Na nilijua kwamba siku moja 00:05:42.302 --> 00:05:46.876 Ningesaidia kupa kitu, kitu kidogo kwa jumuia yangu. 00:05:46.876 --> 00:05:49.407 Lakini kila siku baada ya kukataa, 00:05:49.407 --> 00:05:51.427 wanawake wangeniambia, 00:05:51.427 --> 00:05:54.817 "Jitazama, umekua mtu mzima. Dadako mdogo amepata mtoto. 00:05:54.817 --> 00:05:56.303 Vipi wewe?" 00:05:56.303 --> 00:06:01.017 Ile ilikuwa muziki niliyoisikia kila siku, 00:06:01.017 --> 00:06:04.894 na ile ni muziki wasichana wanayoisikia kila siku 00:06:04.894 --> 00:06:09.043 wasipolifanya jambo ambalo jumuia inawatakia wafanye. NOTE Paragraph 00:06:11.524 --> 00:06:15.448 Nilipozilinganisha hadithi hizo mbili kati ya mimi na dadangu, 00:06:15.448 --> 00:06:20.185 Nilisema, "Mbona nisiweze kufanya kitu?" 00:06:20.185 --> 00:06:25.246 Kwa nini nisiweze kubadilisha jambo lililotokea kwa muda mrefu 00:06:25.246 --> 00:06:27.661 katika jamii yetu?" NOTE Paragraph 00:06:27.661 --> 00:06:30.169 Wakati ule niliwaita wasichana wengine 00:06:30.169 --> 00:06:32.723 kama dadangu, ambao wamepata watoto, 00:06:32.723 --> 00:06:36.187 waliokwenda darasani lakini wamesahau kusoma na kuandika. 00:06:36.187 --> 00:06:38.297 Nilisema "Njoo, tukumbushane 00:06:38.297 --> 00:06:40.432 je kusoma na kuandika tena, 00:06:40.432 --> 00:06:44.240 kuikamata kalamu vipi, kusomaje, kuzuia kitabu." 00:06:44.240 --> 00:06:47.885 Ilikuwa wakati nzuri sana nao. 00:06:47.885 --> 00:06:52.157 Sio kwamba nilifundishwa kidogo kuhusu wale, 00:06:52.157 --> 00:06:55.594 lakini pia waliweza kuniambia hadithi zao za kibinafsi, 00:06:55.594 --> 00:06:57.405 waliyokabiliana kila siku 00:06:57.405 --> 00:07:00.075 kama mama wadogo. 00:07:00.075 --> 00:07:02.072 Wakati ule nilidhani, 00:07:02.072 --> 00:07:05.996 "Kwa nini tusiweze kuangalia mambo hayo yanayotuathiri 00:07:05.996 --> 00:07:09.873 na kuyaonesha na kuwaambia mama zao, viongozi wetu wa jadi, 00:07:09.873 --> 00:07:11.870 kwamba mambo hayo ni maovu?" 00:07:11.870 --> 00:07:13.937 Ilikuwa jambo la hofu, 00:07:13.937 --> 00:07:15.910 kwa sababu viongozi hawa wa jadi, 00:07:15.910 --> 00:07:18.114 wameshayazoea mambo 00:07:18.114 --> 00:07:20.554 yaliyokuwepo kwa muda mrefu. 00:07:20.554 --> 00:07:22.481 Ni jambo ambalo ni ngumu kubadilisha, 00:07:22.481 --> 00:07:25.105 lakini nzuri kujitahidi. NOTE Paragraph 00:07:25.105 --> 00:07:27.357 Kwa hiyo tulijitahidi. 00:07:27.357 --> 00:07:29.865 Ilikuwa ngumu sana, lakini tulivumulia. 00:07:30.245 --> 00:07:33.109 Na mimi nipo kwa kusema kwamba katika jumuia yangu, 00:07:33.109 --> 00:07:35.669 ilikuwa jumuia ya kwanza baada ya wasichana 00:07:35.669 --> 00:07:39.036 walijitahidi sana kumthibitishia kiongozi wa jadi wetu, 00:07:39.036 --> 00:07:43.425 na kiongozi wetu alitutetea na akasema hakuna msichana alazimishwaye kuolewa 00:07:43.425 --> 00:07:45.654 kabla hajafika miaka 18. 00:07:45.654 --> 00:07:49.507 (Makofi) NOTE Paragraph 00:07:53.502 --> 00:07:55.243 Katika jumuia yangu 00:07:55.243 --> 00:07:57.890 Ilikuwa mara ya kwanza kwa jumuia, 00:07:57.890 --> 00:08:00.351 ilibidi watazame sheria ndogo, 00:08:00.351 --> 00:08:03.858 ya kwanza iliyowalinda wasichana 00:08:03.858 --> 00:08:06.052 katika jumuia yetu. NOTE Paragraph 00:08:06.052 --> 00:08:07.840 Hatukumaliza na hivyo. 00:08:07.840 --> 00:08:10.789 Tuliendelea. 00:08:10.789 --> 00:08:14.643 Tulikusudia kuwapigania wasichana sio katika jamii yangu tu 00:08:14.643 --> 00:08:17.429 lakini kwenye jamii nyingine. 00:08:17.429 --> 00:08:21.562 Wakati muswada wa ndoa za watoto iliwasilishwa mwezi wa pili 00:08:21.562 --> 00:08:25.208 tulikuwepo kwenye mahakama ya bunge. 00:08:25.208 --> 00:08:29.294 Kila siku, wakati wabunge walipoingia, 00:08:29.294 --> 00:08:32.383 tulikuwa tukiwaambia, "Tafadhali uitegemee muswada hii?" 00:08:32.383 --> 00:08:37.142 Na hatuna teknolojia nyingi kama huku, 00:08:37.142 --> 00:08:39.139 lakini tunazo simu zetu ndogo. 00:08:39.139 --> 00:08:44.169 Kwa hiyo tulisema, "Mbona tusiweze kupata namba zao na kuwatumia text?" 00:08:44.178 --> 00:08:47.428 Kwa hiyo tulifanya hivyo. Na ilikuwa jambo zuri 00:08:47.428 --> 00:08:49.448 (Makofi) 00:08:49.448 --> 00:08:52.421 Kwa hiyo muswada ilipokubalika, tuliwajibia na text, 00:08:52.421 --> 00:08:54.849 "Asante kwa kutegemea muswada." 00:08:54.849 --> 00:08:55.919 (Kicheko) 00:08:55.919 --> 00:08:59.264 Na muswada iliposajilika na Rais, 00:08:59.264 --> 00:09:02.630 kwa kuifanya kuwa sheria, ilikuwa ziada. 00:09:02.630 --> 00:09:08.482 Sasa, katika Malawi, miaka 18 ni umri wa kisheria kuolewa, kutoka 15 hadi 18. 00:09:08.482 --> 00:09:12.127 (Makofi) NOTE Paragraph 00:09:14.495 --> 00:09:18.071 Ni jambo zuri kulijua kwamba muswada imakubalika, 00:09:18.071 --> 00:09:21.113 lakini nikuambieni: 00:09:21.113 --> 00:09:25.501 Kuna nchi ambako miaka 18 ni umri wa kisheria kuolewa, 00:09:25.501 --> 00:09:29.773 lakini sio tunasikia kilio za wanawake na wasichana kila siku? 00:09:29.773 --> 00:09:35.416 Kila siku, maisha ya wasichana yanashuka thamani. 00:09:35.416 --> 00:09:41.870 Ni wakati muhimu kwa viongozi waiheshimu ahadi yao. 00:09:41.870 --> 00:09:44.239 Kwa kuiheshimu ahadi hiyo, 00:09:44.239 --> 00:09:49.951 inamaanisha kuyaweka maswala ya wasichana moyoni kila mara. 00:09:49.951 --> 00:09:53.712 Tusitiishiwe kama duni, 00:09:53.712 --> 00:09:57.950 lakini wajue kwamba wanawake, kama sisi chumbani humu, 00:09:57.950 --> 00:10:01.000 sisi sio wanawake tu, sisi sio wasichana tu, 00:10:01.000 --> 00:10:02.980 sisi ni wa ajabu. 00:10:02.980 --> 00:10:04.893 Tunaweza kufanya zaidi. NOTE Paragraph 00:10:04.893 --> 00:10:07.888 Na kitu chengine kwa Malawi, 00:10:07.888 --> 00:10:10.790 na si kwa Malawi pekee lakini nchi nyingine pia: 00:10:10.790 --> 00:10:14.575 Sheria zinazowepo, 00:10:14.575 --> 00:10:20.426 mnajua sheria sio sheria mpaka inatekeleza? 00:10:20.426 --> 00:10:23.839 Sheria iliyokubalika juzi 00:10:23.839 --> 00:10:26.463 na sheria ambazo katika nchi nyingine zimekuwepo, 00:10:26.463 --> 00:10:30.387 zinahitajika kutangazwa kwa njia za kienyeji, 00:10:30.387 --> 00:10:32.570 katika jamii, 00:10:32.570 --> 00:10:37.956 ambako maswala ya wasichana yako wazi. 00:10:37.956 --> 00:10:42.716 Wasichana wanakabiliana na maswala, maswala magumu, katika jamii zao kila siku. 00:10:43.274 --> 00:10:48.359 Kwa hiyo ikiwa wajue kwamba kuna sheria ziwalindazo, 00:10:48.359 --> 00:10:51.145 wataweza kusimama na kujilinda 00:10:51.145 --> 00:10:54.816 kwa sababu watajua kwamba kuna sheria ziwalindazo. NOTE Paragraph 00:10:57.254 --> 00:11:01.363 Na kitu chengine nisemacho ni kwamba 00:11:01.363 --> 00:11:05.961 sauti za wasichana na wanawake 00:11:05.961 --> 00:11:08.724 ni nzuri sana, na zipo, 00:11:08.724 --> 00:11:11.905 lakini hatuwezi kufanya peke yetu. 00:11:11.905 --> 00:11:14.575 watetezi wa kiume, washirikiana, 00:11:14.575 --> 00:11:16.525 wajihusishe na tufanye kazi pamoja. 00:11:16.525 --> 00:11:19.103 ni kazi ya umoja. 00:11:19.103 --> 00:11:21.843 Tunavyohitaji ni vile vihitajikavyo na wasichana wa sehemu zote: 00:11:21.843 --> 00:11:27.601 elimu nzuri, na juu ya yote, ni kutoolewa wakiwa na miaka 11. NOTE Paragraph 00:11:30.085 --> 00:11:32.953 Na zaidi ya hayo, 00:11:32.953 --> 00:11:36.018 Najua kwamba pamoja, 00:11:36.018 --> 00:11:39.966 tunaweza kubadilisha mifumo ya kisheria, 00:11:39.966 --> 00:11:43.135 kiutamaduni na kisiasa 00:11:43.135 --> 00:11:47.906 inayozikanusha haki za wasichana. 00:11:47.906 --> 00:11:52.964 Nasimama hapa leo 00:11:52.964 --> 00:12:00.004 na kutangaza kwamba tunaweza kuisha ndoa za watoto katika kizazi kimoja. 00:12:00.677 --> 00:12:02.860 Sasa ni wakati 00:12:02.860 --> 00:12:07.294 ambapo msichana na msichana, na millioni za wasichana duniani, 00:12:07.294 --> 00:12:09.895 wataweza kusema, 00:12:09.895 --> 00:12:13.099 "Nitolewa ninapotaka." NOTE Paragraph 00:12:13.099 --> 00:12:16.144 (Makofi) NOTE Paragraph 00:12:23.284 --> 00:12:25.219 Asante. (Makofi)