[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.79,0:00:04.35,Default,,0000,0000,0000,,(Gitaa) Dialogue: 0,0:00:18.06,0:00:19.06,Default,,0000,0000,0000,,(wimbo) Dialogue: 0,0:00:19.06,0:00:23.15,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea, Dialogue: 0,0:00:23.15,0:00:25.21,Default,,0000,0000,0000,,farasi-bembea. Dialogue: 0,0:00:28.65,0:00:31.51,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo miinuko ni mbingu, Dialogue: 0,0:00:31.51,0:00:32.62,Default,,0000,0000,0000,,lakini maporomoko, Dialogue: 0,0:00:32.62,0:00:35.21,Default,,0000,0000,0000,,oh, yaweza kuwa jehanamu. Dialogue: 0,0:00:35.21,0:00:38.99,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kushika pete Dialogue: 0,0:00:38.99,0:00:42.42,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kupiga hiyo kengele Dialogue: 0,0:00:42.42,0:00:46.77,Default,,0000,0000,0000,,safari ifikapo mwisho, Dialogue: 0,0:00:46.77,0:00:48.73,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kutambua. Dialogue: 0,0:00:52.02,0:00:55.86,Default,,0000,0000,0000,,Watu watakwambia kitu hiki kimoja Dialogue: 0,0:00:55.86,0:00:58.54,Default,,0000,0000,0000,,kitafanya maisha yako yawe kamili. Dialogue: 0,0:00:58.54,0:00:59.97,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo u- Dialogue: 0,0:00:59.97,0:01:02.51,Default,,0000,0000,0000,,utatoa kila kitu ulichonacho Dialogue: 0,0:01:02.51,0:01:06.04,Default,,0000,0000,0000,,na utaishia mtaani. Dialogue: 0,0:01:07.72,0:01:11.71,Default,,0000,0000,0000,,Halafu siku moja utaamka, Dialogue: 0,0:01:11.71,0:01:15.66,Default,,0000,0000,0000,,na watakwambia "Wewe ni Malkia", Dialogue: 0,0:01:15.66,0:01:19.46,Default,,0000,0000,0000,,Lakini utakuja kukuta mtu mwingine Dialogue: 0,0:01:19.46,0:01:21.64,Default,,0000,0000,0000,,ndiye anayevuta nyuzi. Dialogue: 0,0:01:21.64,0:01:25.90,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea Dialogue: 0,0:01:25.90,0:01:28.46,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea Dialogue: 0,0:01:31.19,0:01:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo miinuko ni mbingu, Dialogue: 0,0:01:34.00,0:01:35.08,Default,,0000,0000,0000,,lakini maporomoko, Dialogue: 0,0:01:35.08,0:01:37.72,Default,,0000,0000,0000,,oh, yanaweza kuwa jehanamu. Dialogue: 0,0:01:37.72,0:01:41.31,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kushika pete, Dialogue: 0,0:01:41.31,0:01:44.78,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kupiga hiyo kengele, Dialogue: 0,0:01:44.78,0:01:49.04,Default,,0000,0000,0000,,safari ifikapo mwisho, Dialogue: 0,0:01:49.04,0:01:51.48,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kutambua. Dialogue: 0,0:01:54.14,0:01:55.51,Default,,0000,0000,0000,,Yule umpendaye, Dialogue: 0,0:01:55.51,0:01:56.56,Default,,0000,0000,0000,,anakupenda -- Dialogue: 0,0:01:56.56,0:01:58.19,Default,,0000,0000,0000,,oh ndiyo -- Dialogue: 0,0:01:58.19,0:02:01.22,Default,,0000,0000,0000,,mpaka mwisho wa wakati. Dialogue: 0,0:02:02.08,0:02:04.70,Default,,0000,0000,0000,,Lakini poteza uwezo wako au poteza utulivu wako, Dialogue: 0,0:02:04.70,0:02:08.53,Default,,0000,0000,0000,,atakutupa kama sarafu. Dialogue: 0,0:02:09.72,0:02:13.68,Default,,0000,0000,0000,,Kila mmoja atakusonga Dialogue: 0,0:02:13.68,0:02:17.54,Default,,0000,0000,0000,,pale mali ni rafiki yako. Dialogue: 0,0:02:17.54,0:02:21.40,Default,,0000,0000,0000,,Bahati yako inapokwisha, Dialogue: 0,0:02:21.40,0:02:23.62,Default,,0000,0000,0000,,utakuwa peke yako tena. Dialogue: 0,0:02:23.62,0:02:27.80,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea, Dialogue: 0,0:02:27.80,0:02:31.17,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea. Dialogue: 0,0:02:32.94,0:02:35.90,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo miinuko ni mbingu Dialogue: 0,0:02:35.90,0:02:37.08,Default,,0000,0000,0000,,lakini maporomoko, Dialogue: 0,0:02:37.08,0:02:39.42,Default,,0000,0000,0000,,oh, yanaweza kuwa jehanamu. Dialogue: 0,0:02:39.42,0:02:43.13,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kushika pete, Dialogue: 0,0:02:43.13,0:02:46.53,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kupiga hiyo kengele, Dialogue: 0,0:02:46.53,0:02:50.76,Default,,0000,0000,0000,,safari ifikapo mwisho Dialogue: 0,0:02:50.76,0:02:53.54,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kujua. Dialogue: 0,0:02:56.16,0:03:00.05,Default,,0000,0000,0000,,Haya, labda naweza kuwa nabeza, Dialogue: 0,0:03:00.05,0:03:04.04,Default,,0000,0000,0000,,na maneno yote haya ni uongo, Dialogue: 0,0:03:04.04,0:03:06.83,Default,,0000,0000,0000,,lakini uzoefu bado unaniambia Dialogue: 0,0:03:06.83,0:03:09.85,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mwenye kujihadhari ni mwenye hekima. Dialogue: 0,0:03:11.85,0:03:15.70,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kujihadhari kunakufanya usite, Dialogue: 0,0:03:15.70,0:03:19.60,Default,,0000,0000,0000,,na ukisita umepotea, Dialogue: 0,0:03:19.60,0:03:23.51,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo chukua fursa zako Dialogue: 0,0:03:23.51,0:03:25.69,Default,,0000,0000,0000,,na kamwe usihesabu hasara. Dialogue: 0,0:03:25.69,0:03:29.74,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea, Dialogue: 0,0:03:29.74,0:03:33.20,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea. Dialogue: 0,0:03:35.17,0:03:37.85,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo miinuko ni mbingu, Dialogue: 0,0:03:37.85,0:03:39.22,Default,,0000,0000,0000,,Lakini maporomoko, Dialogue: 0,0:03:39.22,0:03:41.49,Default,,0000,0000,0000,,oh, yanaweza kuwa jehanamu. Dialogue: 0,0:03:41.49,0:03:44.95,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kushika pete, Dialogue: 0,0:03:44.95,0:03:48.44,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kupiga hiyo kengele, Dialogue: 0,0:03:48.44,0:03:50.97,Default,,0000,0000,0000,,safari ifikapo mwisho -- Dialogue: 0,0:03:50.97,0:03:52.74,Default,,0000,0000,0000,,mwisho, mwisho, Dialogue: 0,0:03:52.74,0:03:56.56,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kamwe, daima kutambua. Dialogue: 0,0:03:56.56,0:04:00.40,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea, Dialogue: 0,0:04:00.40,0:04:04.28,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea, Dialogue: 0,0:04:04.28,0:04:06.09,Default,,0000,0000,0000,,Gari-bembea, Dialogue: 0,0:04:06.09,0:04:08.20,Default,,0000,0000,0000,,ndiyo, ndiyo, ndiyo Dialogue: 0,0:04:08.20,0:04:11.71,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea. Dialogue: 0,0:04:12.13,0:04:15.91,Default,,0000,0000,0000,,Farasi-bembea, Dialogue: 0,0:04:15.91,0:04:19.96,Default,,0000,0000,0000,,farasi-bembea, Dialogue: 0,0:04:19.96,0:04:23.80,Default,,0000,0000,0000,,farasi-bembea, Dialogue: 0,0:04:23.80,0:04:32.63,Default,,0000,0000,0000,,farasi-bembea, Dialogue: 0,0:04:33.48,0:04:36.08,Default,,0000,0000,0000,,(makofi na vifijo) Dialogue: 0,0:04:36.69,0:04:38.81,Default,,0000,0000,0000,,Michael Pemberton. Dialogue: 0,0:04:38.81,0:04:41.26,Default,,0000,0000,0000,,(makofi na vifijo) Dialogue: 0,0:04:41.96,0:04:43.68,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni sana. Dialogue: 0,0:04:43.68,0:04:44.76,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni.