0:00:01.791,0:00:04.350 (Gitaa) 0:00:18.058,0:00:19.061 (wimbo) 0:00:19.061,0:00:23.151 Gari-bembea, 0:00:23.151,0:00:25.211 farasi-bembea. 0:00:28.652,0:00:31.512 Ambapo miinuko ni mbingu, 0:00:31.512,0:00:32.621 lakini maporomoko, 0:00:32.621,0:00:35.210 oh, yaweza kuwa jehanamu. 0:00:35.210,0:00:38.986 Unaweza kushika pete 0:00:38.986,0:00:42.421 unaweza kupiga hiyo kengele 0:00:42.421,0:00:46.770 safari ifikapo mwisho, 0:00:46.770,0:00:48.734 huwezi kutambua. 0:00:52.015,0:00:55.858 Watu watakwambia kitu hiki kimoja 0:00:55.858,0:00:58.541 kitafanya maisha yako yawe kamili. 0:00:58.541,0:00:59.971 Kwahiyo u- 0:00:59.971,0:01:02.508 utatoa kila kitu ulichonacho 0:01:02.508,0:01:06.038 na utaishia mtaani. 0:01:07.725,0:01:11.709 Halafu siku moja utaamka, 0:01:11.709,0:01:15.658 na watakwambia "Wewe ni Malkia", 0:01:15.658,0:01:19.465 Lakini utakuja kukuta mtu mwingine 0:01:19.465,0:01:21.642 ndiye anayevuta nyuzi. 0:01:21.642,0:01:25.902 Gari-bembea 0:01:25.902,0:01:28.462 Farasi-bembea 0:01:31.188,0:01:34.005 Ambapo miinuko ni mbingu, 0:01:34.005,0:01:35.081 lakini maporomoko, 0:01:35.081,0:01:37.720 oh, yanaweza kuwa jehanamu. 0:01:37.720,0:01:41.306 Unaweza kushika pete, 0:01:41.306,0:01:44.777 unaweza kupiga hiyo kengele, 0:01:44.777,0:01:49.041 safari ifikapo mwisho, 0:01:49.041,0:01:51.475 huwezi kutambua. 0:01:54.143,0:01:55.512 Yule umpendaye, 0:01:55.512,0:01:56.561 anakupenda -- 0:01:56.561,0:01:58.192 oh ndiyo -- 0:01:58.192,0:02:01.224 mpaka mwisho wa wakati. 0:02:02.081,0:02:04.701 Lakini poteza uwezo wako au poteza utulivu wako, 0:02:04.701,0:02:08.533 atakutupa kama sarafu. 0:02:09.718,0:02:13.680 Kila mmoja atakusonga 0:02:13.680,0:02:17.540 pale mali ni rafiki yako. 0:02:17.540,0:02:21.395 Bahati yako inapokwisha, 0:02:21.395,0:02:23.620 utakuwa peke yako tena. 0:02:23.620,0:02:27.795 Gari-bembea, 0:02:27.795,0:02:31.174 Farasi-bembea. 0:02:32.942,0:02:35.903 Ambapo miinuko ni mbingu 0:02:35.903,0:02:37.083 lakini maporomoko, 0:02:37.083,0:02:39.419 oh, yanaweza kuwa jehanamu. 0:02:39.419,0:02:43.133 Unaweza kushika pete, 0:02:43.133,0:02:46.529 unaweza kupiga hiyo kengele, 0:02:46.529,0:02:50.763 safari ifikapo mwisho 0:02:50.763,0:02:53.542 huwezi kujua. 0:02:56.164,0:03:00.048 Haya, labda naweza kuwa nabeza, 0:03:00.048,0:03:04.038 na maneno yote haya ni uongo, 0:03:04.038,0:03:06.829 lakini uzoefu bado unaniambia 0:03:06.829,0:03:09.851 kuwa mwenye kujihadhari ni mwenye hekima. 0:03:11.848,0:03:15.704 Lakini kujihadhari kunakufanya usite, 0:03:15.704,0:03:19.602 na ukisita umepotea, 0:03:19.602,0:03:23.509 kwa hiyo chukua fursa zako 0:03:23.509,0:03:25.689 na kamwe usihesabu hasara. 0:03:25.689,0:03:29.739 Gari-bembea, 0:03:29.739,0:03:33.197 Farasi-bembea. 0:03:35.167,0:03:37.851 Ambapo miinuko ni mbingu, 0:03:37.851,0:03:39.221 Lakini maporomoko, 0:03:39.221,0:03:41.489 oh, yanaweza kuwa jehanamu. 0:03:41.489,0:03:44.951 Unaweza kushika pete, 0:03:44.951,0:03:48.437 unaweza kupiga hiyo kengele, 0:03:48.437,0:03:50.971 safari ifikapo mwisho -- 0:03:50.971,0:03:52.744 mwisho, mwisho, 0:03:52.744,0:03:56.561 huwezi kamwe, daima kutambua. 0:03:56.561,0:04:00.404 Gari-bembea, 0:04:00.404,0:04:04.279 Farasi-bembea, 0:04:04.279,0:04:06.094 Gari-bembea, 0:04:06.094,0:04:08.197 ndiyo, ndiyo, ndiyo 0:04:08.197,0:04:11.708 Farasi-bembea. 0:04:12.127,0:04:15.911 Farasi-bembea, 0:04:15.911,0:04:19.961 farasi-bembea, 0:04:19.961,0:04:23.797 farasi-bembea, 0:04:23.797,0:04:32.632 farasi-bembea, 0:04:33.477,0:04:36.075 (makofi na vifijo) 0:04:36.693,0:04:38.811 Michael Pemberton. 0:04:38.811,0:04:41.262 (makofi na vifijo) 0:04:41.965,0:04:43.685 Asanteni sana. 0:04:43.685,0:04:44.760 Asanteni.