WEBVTT 00:00:00.785 --> 00:00:03.840 Njiani kufika hapa, 00:00:03.840 --> 00:00:07.542 nilikuwa na mazungumzo mazuri na mtu aliyekuwa anakaa pembeni yangu kwenye 00:00:07.542 --> 00:00:10.562 ndege. Alinambia 00:00:10.562 --> 00:00:13.805 "Hamna kazi tena USA, 00:00:13.805 --> 00:00:16.073 yaani sasa wamebuni kazi mpya: 00:00:16.083 --> 00:00:21.373 mwanasaikolojia wa paka, mzungumzaji wa mbwa,msasi wa kimbunga." 00:00:21.373 --> 00:00:24.453 Punde, aliniuliza, 00:00:24.453 --> 00:00:27.132 "Kwani wewe unafanya kazi gani?" NOTE Paragraph 00:00:27.132 --> 00:00:29.722 Nikamjibu, "Mjenzi wa usalama?" 00:00:29.722 --> 00:00:33.025 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:34.355 --> 00:00:38.985 Kila siku, nafanya bidii kuwazidishia wanawake sauti 00:00:39.445 --> 00:00:42.925 na kuoneysha maisha yao na michango yao NOTE Paragraph 00:00:42.925 --> 00:00:45.722 katika hatua za kutafuta usalama na kutatua migogoro, 00:00:47.652 --> 00:00:52.989 na kwa sababu ya kazi zangu, natambua kwamba njia ya pekee 00:00:53.259 --> 00:00:55.338 kwa kuhakikisha ushirikiano kamili 00:00:55.338 --> 00:00:58.928 wa wanawake duniani ni kuchukua tena dini mikononi mwetu. 00:00:59.398 --> 00:01:03.104 Sasa, jambo hilo ni muhimu sana kwangu. 00:01:03.164 --> 00:01:06.914 Kama muislamu na mwanamke kijana, ninaijali dini yangu sana. 00:01:07.974 --> 00:01:12.095 Inanipa nguvu na msimamo katika kazi zangu kila siku. NOTE Paragraph 00:01:12.095 --> 00:01:15.435 Ndiyo sababu inayoniwezesha kusimama hapa leo mbele yenu. 00:01:15.965 --> 00:01:20.199 Lakini siwezi kutojali hasara kubwa zilizofanyika kwa kutumia jina la dini, 00:01:21.393 --> 00:01:24.843 si dini yangu tu, lakini dini zote kubwa za dunia. 00:01:25.243 --> 00:01:30.401 Kuyatumia vibaya na kuyageuza maandiko ya kidini 00:01:30.744 --> 00:01:34.034 kumebadilisha desturi zetu za kijamii na kitamaduni, 00:01:34.074 --> 00:01:36.570 sheria zetu, kila siku zetu, 00:01:36.570 --> 00:01:39.910 hadi kumefikia tusipoweza kupagundua. 00:01:39.910 --> 00:01:45.280 Wazazi wangu walihama Libya, Afrika ya Kaskazini kwenda Kanada 00:01:45.280 --> 00:01:47.340 mwanzoni mwa miaka 1980, 00:01:47.340 --> 00:01:50.994 na mimi niko katikati ya watoto 11. NOTE Paragraph 00:01:51.251 --> 00:01:53.211 Ehee, 11. 00:01:53.721 --> 00:01:55.115 Lakini katika kukulia kwangu, 00:01:55.115 --> 00:01:59.635 niliwaona wazazi wangu, wote wacha Mungu na waumini wa Akhera, wakisali na 00:01:59.645 --> 00:02:01.925 kumshukuru kwa baraka zao, 00:02:01.975 --> 00:02:05.915 kama mimi, lakini zinginezo pia. (Vicheko) 00:02:07.015 --> 00:02:10.105 Walikuwa na huruma, wenye kuchekesha, na wenye subira, 00:02:10.105 --> 00:02:15.285 subira kubwa, aina inayofunzwa kwa kuwalea watoto 11. 00:02:16.021 --> 00:02:17.651 Pia walifanya haki. 00:02:18.421 --> 00:02:21.971 Sikuwahi kupaswa kuijua dini kwa mtazamo wa kitamaduni tu. 00:02:22.741 --> 00:02:25.071 Nilitendewa sawasawa na kaka zangu, na sisi sote 00:02:25.071 --> 00:02:27.441 tulikuwa tunatarijiwa kufanya sawasawa. 00:02:27.461 --> 00:02:31.987 Sikuwahi kuambiwa kwamba Mungu huhukumu tofauti kwa jinsia. 00:02:32.917 --> 00:02:39.759 Wazazi wangu walimwona Mungu kuwa Mwingi wa Rehema, Fadhila na rizki 00:02:39.779 --> 00:02:42.469 na mimi nilichukulia msimamo wao. 00:02:43.090 --> 00:02:46.380 Kwa uhakika, malezi yangu yalikuwa na faida zake. 00:02:46.870 --> 00:02:51.120 kuwa katikati ya watoto 11 ni kama Diplomasia 101. (Vicheko) 00:02:52.312 --> 00:02:55.272 Mpaka leo, watu huniuliza wapi nilipokwenda skule, NOTE Paragraph 00:02:55.272 --> 00:02:57.648 kama, “Ulienda Skule ya Kennedy ya Serikali?" 00:02:57.648 --> 00:02:59.398 na mimi huwatazama na kuwambia, “Hapana, 00:02:59.417 --> 00:03:02.527 Nimeenda Skule ya Murabit ya Mambo ya Kimataifa.” 00:03:02.577 --> 00:03:07.691 Ni maalum sana. Ungeongea na Mamangu kwa kujipatia nafasi 00:03:08.081 --> 00:03:10.631 Lakini kwa bahati yenu, yupo leo. 00:03:11.971 --> 00:03:16.141 Lakini kuwa miongoni wa watoto 11, na kuwa na ndugu 10, 00:03:16.248 --> 00:03:19.678 kunafundisha mengi kama mifumo ya mamlaka na muungano. 00:03:20.148 --> 00:03:22.557 Kama kuzingatia lengo; useme haraka au 00:03:22.557 --> 00:03:25.877 usiseme sana, kwa sababu utadakiwa mazungumzo kila mara. 00:03:25.877 --> 00:03:28.317 Kunafundisha umuhimu wa kuwa mjumbe mzuri. 00:03:28.827 --> 00:03:32.767 Uyaulize maswali kwa mpango kwa kupata jibu unalolitaka, na 00:03:32.887 --> 00:03:36.047 ujue kusema 'la' kwa mpango pia kwa kufuliza usalama. 00:03:37.213 --> 00:03:40.694 Lakini funzo muhimu sana nililolipata kutoka utoto wangu 00:03:40.694 --> 00:03:44.494 lilikuwa umuhimu wa kuwa na nafasi kwenye meza. 00:03:44.744 --> 00:03:48.135 Taa yake ndogo mamangu ilipovunjika, alivyoipenda sana, ilinilazimu niwepo NOTE Paragraph 00:03:48.135 --> 00:03:52.655 wakati alipochunguza ilikuwaje, ili nijitetee, 00:03:53.965 --> 00:03:57.175 kwa sababu kama hupo, lawama inakuangukia kwako, 00:03:57.175 --> 00:03:59.761 na kabla hujagundua, utakuwa umeadhibiwa. 00:03:59.791 --> 00:04:02.731 Kwa uhahika, sijapewa adhabu mimi mwenyewe. 00:04:04.278 --> 00:04:09.040 Nilipokuwa na miaka 15 mwakani 2005, nikatimiza skule ya sekondari nikahamia 00:04:09.060 --> 00:04:11.490 Kanada-- Saskatoon -- 00:04:11.550 --> 00:04:15.900 Ila Zawiya, Libya, mji wa nyumbani wa wazazi wangu, NOTE Paragraph 00:04:16.010 --> 00:04:18.099 mji wa kidesturi sana. 00:04:18.099 --> 00:04:23.049 Fikiri, muda huo niliwahi kufika Libya kwa ajili ya matembezi tu, 00:04:23.309 --> 00:04:27.719 na kama msichana wa miaka 7, ilipendeza sana. 00:04:27.779 --> 00:04:32.331 Ilikuwa aiskrimu na pwani na jamaa wenye furaha. 00:04:33.740 --> 00:04:37.790 niligundua haiko vilevile kama msichana wa miaka 15. 00:04:38.248 --> 00:04:44.238 Nikakutana upesi na mambo ya dini ya kiutamaduni. 00:04:44.676 --> 00:04:48.946 Maneno ya "haramu" -- lenye maana ya kukatazwa kidini -- NOTE Paragraph 00:04:48.972 --> 00:04:52.432 na "aibu" -- lenye maana ya kutofaa kimaadili -- 00:04:52.468 --> 00:04:54.518 yalibadilishanwa bila mpango. 00:04:55.228 --> 00:04:58.838 kama yalikuwa na maana moja na adhabu moja vilevile. 00:04:59.618 --> 00:05:04.238 Nikajikuta sana katika mazungumzo na wenzangu wa skule 00:05:04.238 --> 00:05:07.584 na wa kazi, profesa, rafiki zangu na hata jamaa zangu, 00:05:07.594 --> 00:05:11.644 nikaanza kujiuliza kuhusu desturi zangu na malengo yangu. 00:05:12.304 --> 00:05:16.164 Na hata na msingi mzuri niliopokea kutoka wazazi wangu, 00:05:16.200 --> 00:05:19.850 Nilijikuta nikajiuliza kuhusu nafasi ya mwanamke katika dini yangu. 00:05:21.710 --> 00:05:24.413 Kule kwenye Skule ya Murabit ya Mambo ya Kimataifa, 00:05:24.437 --> 00:05:27.307 tunapenda sana kufanya mjadala, 00:05:27.307 --> 00:05:32.637 na sheria ya kwanza ni fanya utafiti wako, na hivyo ndivyo nilivyofanya mimi, NOTE Paragraph 00:05:32.647 --> 00:05:36.247 Ikanishangaza sana vipi ilikuwa rahisi 00:05:36.247 --> 00:05:40.275 kuwagundua wanawake katika Uislamu waliokuwa viongozi, 00:05:40.275 --> 00:05:43.765 wavumbuzi, wenye nguvu -- 00:05:43.765 --> 00:05:46.774 za kisiasa, za kiuchumi hata za kijeshi. 00:05:47.014 --> 00:05:50.777 Khadija aliziendesha fedha za harakati za Kiislamu 00:05:50.787 --> 00:05:52.657 katika siku zake za mwanzo. 00:05:52.657 --> 00:05:54.997 Tusingekuwepo hapa leo bila michango yake. 00:05:55.924 --> 00:05:58.124 Kwa nini tusifundishwe kisa chake? 00:05:58.144 --> 00:06:01.234 Kwa nini tusifundishwe visa vya hao wanawake? 00:06:01.254 --> 00:06:03.624 Kwa nini wanawake wapewe vyeo vilivyotoka 00:06:03.626 --> 00:06:06.636 zama zilizotangulia mafunzo ya dini yetu? 00:06:06.636 --> 00:06:09.286 Na kwa nini, kama sisi sote tuko sawasawa machoni mwa Mungu, 00:06:09.296 --> 00:06:11.966 hatuko sawasawa machoni mwa binadamu? 00:06:12.693 --> 00:06:17.043 Hayo yalinipeleka kufikiria mafunzo yangu ya utotoni. 00:06:18.232 --> 00:06:22.052 Anayeamua, na kuwa na mamlaka juu ya ujumbe, 00:06:22.082 --> 00:06:24.702 anayo nafasi kwenye meza, NOTE Paragraph 00:06:24.722 --> 00:06:29.484 na kwa bahati mbaya, katika dini zote za kidunia, 00:06:29.494 --> 00:06:31.092 hao si wanawake. 00:06:32.462 --> 00:06:35.212 Taasisi za kidini zinatawaliwa na wanaume 00:06:35.242 --> 00:06:37.222 na kuendeshwa na viongozi vya kiume, 00:06:37.242 --> 00:06:40.542 na wanabuni sera zinazowafaa wanaume tu, 00:06:40.623 --> 00:06:45.339 na ila tunaweza kubadilisha mfumo huo kabisa, kwa kweli hatuwezi 00:06:45.339 --> 00:06:47.759 kutarajia wanawake kushiriki kwa ukamilifu 00:06:47.759 --> 00:06:50.089 katika uchumi au siasa. 00:06:51.576 --> 00:06:53.876 Msingi wetu umevunjika. 00:06:55.636 --> 00:06:59.816 Mamangu husema, "huwezi kujenga nyumba nzima juu ya msingi mbovu". 00:07:02.976 --> 00:07:08.988 Mwakani 2011, Mapinduzi ya Libya yaliripuka na aila yangu walikuwepo mistari ya mbele. 00:07:09.554 --> 00:07:12.854 Kuna jambo moja la kushangaza linalojitokeza katika vita, 00:07:12.903 --> 00:07:15.473 kama mageuzo ya kiutamaduni, kwa muda mfupi tu. NOTE Paragraph 00:07:16.133 --> 00:07:18.743 Kwa mara ya kwanza nilijisikia ilikubaliwa, au hata 00:07:18.743 --> 00:07:21.651 ilisisitizwa kwa mimi kujihusisha na mambo. 00:07:21.651 --> 00:07:23.591 Ilihitajika. 00:07:24.510 --> 00:07:27.340 Mimi na wanawake wengine walipewa nafasi kwenye meza. 00:07:27.350 --> 00:07:30.570 Hatukuwa wasaidizi wa wanaume tu. 00:07:30.580 --> 00:07:32.427 Tulichangia katika uamuzi. 00:07:32.427 --> 00:07:35.547 Tulichangia katika kutoa taarifa. Tulikuwa muhimu sana. 00:07:35.880 --> 00:07:39.640 Na mimi nilitaka, nilihitaji mageuzo hayo kutoondoka. 00:07:42.550 --> 00:07:45.368 Lakini niligundua si rahisi kuwa nilivyotaka. 00:07:45.368 --> 00:07:49.170 Ilichukua wiki chache tu kabla hao wanawake niliowafanya nao kazi 00:07:49.170 --> 00:07:51.720 walikuwa wanarejea katika kazi zao za zamani, NOTE Paragraph 00:07:52.130 --> 00:07:56.437 na wengi walipewa maneno ya kusisitizwa 00:07:56.437 --> 00:07:58.891 kutoka kwa viongozi wa kidini na vya kisiasa, wengi wao 00:07:58.891 --> 00:08:02.151 walijaribu kuthibitisha hoja zao kwa maandishi ya kidini. 00:08:02.151 --> 00:08:05.631 Ndivyo walivyojipatia mikono ya watu katika hoja zao. 00:08:06.951 --> 00:08:12.141 Mwanzoni, nilizingatia kuwapa wanawake nguvu katika siasa na uchumi. 00:08:12.141 --> 00:08:15.437 Nikafikiri ingeliongoza mabadiliko ya kiutamaduni na kijamii. 00:08:15.765 --> 00:08:19.565 Niligundua, ilifanikiwa kidogo tu, lakini sio sana. NOTE Paragraph 00:08:20.325 --> 00:08:24.205 Nikaamua kuitumia njia yao wale viongozi wa kidini 00:08:24.480 --> 00:08:28.260 nikaanza kuthibitisha hoja zangu kwa maandishi ya kiislamu pia. 00:08:29.320 --> 00:08:33.221 Katika miaka 2012 na 2013, shirika langu liliongoza kampeni ya pekee iliyokuwa 00:08:33.221 --> 00:08:36.231 kubwa na pana kuliko zote Libya. 00:08:36.881 --> 00:08:40.371 Tulipenyeza nyumbani, skuleni na vyuoni, hata misikitni. NOTE Paragraph 00:08:41.101 --> 00:08:44.301 Tulizungumza na watu 50,000 uso kwa uso, na mamia ya maelfu zaidi 00:08:44.731 --> 00:08:46.613 kwa njia za matangazo ya kubandika, 00:08:46.613 --> 00:08:49.163 matangazo kwenye tv na kwenye radio. 00:08:50.803 --> 00:08:53.173 Labda mnajiuliza, shirika la haki za wanawake 00:08:53.210 --> 00:08:56.646 waliweza kufanya hivyo vipi katika jamii ilyopingana na sisi 00:08:56.646 --> 00:08:58.196 kabisa mwanzoni. NOTE Paragraph 00:08:59.436 --> 00:09:01.556 Niliyatumia maandishi ya kiislamu. 00:09:02.070 --> 00:09:05.870 Nilitumia aya za Korani na misemo ya Mtume Mohammed, 00:09:06.810 --> 00:09:11.340 Hadithi zake, misemo yake ambayo ni, kwa mfano, 00:09:11.780 --> 00:09:14.865 "Mtu bora ndiye anayefanya wema kwa familia yake." 00:09:14.875 --> 00:09:18.008 "Usimruhusu mtu kumdhulumu mwingine." 00:09:19.148 --> 00:09:24.068 Kwa mara ya kwanza, hotuba za Ijumaa kutoka kwa imamu wa kienyeji 00:09:24.128 --> 00:09:26.338 zilitangaza haki za wanawake. 00:09:26.338 --> 00:09:29.506 zilizungumzia masuala yasiyo kawaida, kama vurugu ya nyumbani. 00:09:31.016 --> 00:09:33.336 Sera zilibadilishwa. 00:09:34.305 --> 00:09:39.295 Katika jamii fulani, ilitubidi kusema lile Azimio 00:09:39.295 --> 00:09:42.445 la Kimataifa la Haki ya Wanadamu mlilopingana nayo 00:09:42.445 --> 00:09:45.082 kwa sababu haikuandikwi na watalaamu wa kidini, 00:09:45.082 --> 00:09:49.212 eti, misingi yote ile imo kitabu chetu. 00:09:49.975 --> 00:09:53.005 Yaani, Shirika la Umoja wa Mataifa lilituiga tu. 00:09:56.365 --> 00:09:58.936 Kwa kuubadilisha ujumbe wenyewe, tuliweza kuitoa 00:09:59.026 --> 00:10:02.566 sura mpya iliyotangaza haki za wanawake Libya. 00:10:03.414 --> 00:10:06.454 Ni jambo ambalo sasa limeigwa duniani, NOTE Paragraph 00:10:08.554 --> 00:10:12.439 na sisemi ni rahisi--- niamini, si rahisi kabisa. 00:10:12.759 --> 00:10:16.560 'Liberals' watasema unaitumia dini na kukuita 'conservative' mbaya. 00:10:16.560 --> 00:10:19.500 na 'conservatives' watakupa matusi mengi. 00:10:19.994 --> 00:10:23.990 Mimi mwenyewe nimeyapata mengi, kama "Wazazi wako hawaaibiki na wewe?" -- 00:10:23.990 --> 00:10:26.151 sio kweli; wao wananipenda kuliko wote -- 00:10:26.151 --> 00:10:28.801 au "Hutoishi kuona siku yako ya kuzaliwa tena" -- 00:10:28.801 --> 00:10:31.031 tena sio kweli, nimeshaiona. 00:10:32.931 --> 00:10:36.570 Na bado, ninaamini kabisa 00:10:36.570 --> 00:10:40.380 kwamba haki za wanawake na dini zinaweza kuendana. 00:10:42.461 --> 00:10:45.561 Lakini lazima tupewe nafasi kwenye meza. 00:10:45.916 --> 00:10:48.606 Tusiache kupigania nafasi yetu, kwa sababu 00:10:48.606 --> 00:10:55.316 kwa kukaa kimya, tunaruhusu mateso na dhuluma za wanawake duniani kuendelea. 00:10:56.467 --> 00:10:59.007 Kwa kudai tutapigania haki za wanawake 00:10:59.017 --> 00:11:02.167 na kupigania ugaidi kwa kutumia mabomu na vita, 00:11:02.907 --> 00:11:06.947 tunaharibu jamii za kienyeji zinazohitaji kuyashughulikia masuala hayo 00:11:07.556 --> 00:11:10.866 ili yawezekane kuendelea. 00:11:11.806 --> 00:11:15.820 Sio rahisi, kushindana na taarifa za dini za kupotosha. 00:11:17.030 --> 00:11:21.630 Utapata vyako vya matusi na dhihaka na vitisho. 00:11:21.730 --> 00:11:24.126 Lakini ni lazima ifanyike. NOTE Paragraph 00:11:24.136 --> 00:11:29.434 Hatuna budi ila kuuchukua tena ujumbe wa haki za binadamu, 00:11:29.434 --> 00:11:32.904 maadili ya dini yetu, si kwa ajili yetu, 00:11:32.904 --> 00:11:34.591 na si kwa ajili ya wanawake wenu tu, 00:11:34.591 --> 00:11:36.061 si kwa ajili ya wanawake humu leo, 00:11:36.121 --> 00:11:38.741 hata si kwa ajili ya wanawake kule nje, 00:11:40.101 --> 00:11:43.434 bali kwa ajili ya jamii ambazo zingebadilika kuwa nzuri 00:11:43.434 --> 00:11:45.849 kwa mashirikiano ya wanawake. 00:11:46.489 --> 00:11:48.649 Na jinsi ya pekee sisi tunavyoweza kufanya hivyo, 00:11:48.649 --> 00:11:50.389 njia yetu moja tu, 00:11:50.469 --> 00:11:53.499 ni kupata nafasi na kukaa daima, kwenye meza. 00:11:53.649 --> 00:11:54.799 Asante. 00:11:54.799 --> 00:11:58.259 (Makofi)