[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.78,0:00:03.84,Default,,0000,0000,0000,,Njiani kufika hapa, Dialogue: 0,0:00:03.84,0:00:07.54,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa na mazungumzo mazuri na \Nmtu aliyekuwa anakaa pembeni yangu kwenye Dialogue: 0,0:00:07.54,0:00:10.56,Default,,0000,0000,0000,,ndege. Alinambia \N Dialogue: 0,0:00:10.56,0:00:13.80,Default,,0000,0000,0000,,"Hamna kazi tena USA, Dialogue: 0,0:00:13.80,0:00:16.07,Default,,0000,0000,0000,,yaani sasa wamebuni kazi mpya: Dialogue: 0,0:00:16.08,0:00:21.37,Default,,0000,0000,0000,,mwanasaikolojia wa paka,\Nmzungumzaji wa mbwa,msasi wa kimbunga." Dialogue: 0,0:00:21.37,0:00:24.45,Default,,0000,0000,0000,,Punde, aliniuliza, Dialogue: 0,0:00:24.45,0:00:27.13,Default,,0000,0000,0000,,"Kwani wewe unafanya kazi gani?" Dialogue: 0,0:00:27.13,0:00:29.72,Default,,0000,0000,0000,,Nikamjibu, "Mjenzi wa usalama?" Dialogue: 0,0:00:29.72,0:00:33.02,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:34.36,0:00:38.98,Default,,0000,0000,0000,,Kila siku, nafanya bidii \Nkuwazidishia wanawake sauti Dialogue: 0,0:00:39.44,0:00:42.92,Default,,0000,0000,0000,,na kuoneysha maisha yao na michango yao Dialogue: 0,0:00:42.92,0:00:45.72,Default,,0000,0000,0000,,katika hatua za kutafuta usalama \Nna kutatua migogoro, Dialogue: 0,0:00:47.65,0:00:52.99,Default,,0000,0000,0000,,na kwa sababu ya kazi zangu, \Nnatambua kwamba njia ya pekee Dialogue: 0,0:00:53.26,0:00:55.34,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuhakikisha ushirikiano kamili \N Dialogue: 0,0:00:55.34,0:00:58.93,Default,,0000,0000,0000,,wa wanawake duniani\Nni kuchukua tena dini mikononi mwetu. Dialogue: 0,0:00:59.40,0:01:03.10,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, jambo hilo ni muhimu sana kwangu. Dialogue: 0,0:01:03.16,0:01:06.91,Default,,0000,0000,0000,,Kama muislamu na mwanamke kijana, \Nninaijali dini yangu sana. Dialogue: 0,0:01:07.97,0:01:12.10,Default,,0000,0000,0000,,Inanipa nguvu na msimamo katika \Nkazi zangu kila siku. Dialogue: 0,0:01:12.10,0:01:15.44,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo sababu inayoniwezesha \Nkusimama hapa leo mbele yenu. Dialogue: 0,0:01:15.96,0:01:20.20,Default,,0000,0000,0000,,Lakini siwezi kutojali hasara kubwa \Nzilizofanyika kwa kutumia jina la dini, Dialogue: 0,0:01:21.39,0:01:24.84,Default,,0000,0000,0000,,si dini yangu tu, lakini \Ndini zote kubwa za dunia. Dialogue: 0,0:01:25.24,0:01:30.40,Default,,0000,0000,0000,,Kuyatumia vibaya na\Nkuyageuza maandiko ya kidini Dialogue: 0,0:01:30.74,0:01:34.03,Default,,0000,0000,0000,,kumebadilisha desturi zetu \Nza kijamii na kitamaduni, Dialogue: 0,0:01:34.07,0:01:36.57,Default,,0000,0000,0000,,sheria zetu, kila siku zetu,\N Dialogue: 0,0:01:36.57,0:01:39.91,Default,,0000,0000,0000,,hadi kumefikia tusipoweza \Nkupagundua. Dialogue: 0,0:01:39.91,0:01:45.28,Default,,0000,0000,0000,,Wazazi wangu walihama Libya, \NAfrika ya Kaskazini kwenda Kanada Dialogue: 0,0:01:45.28,0:01:47.34,Default,,0000,0000,0000,,mwanzoni mwa miaka 1980, Dialogue: 0,0:01:47.34,0:01:50.99,Default,,0000,0000,0000,,na mimi niko katikati ya watoto 11. Dialogue: 0,0:01:51.25,0:01:53.21,Default,,0000,0000,0000,,Ehee, 11. Dialogue: 0,0:01:53.72,0:01:55.12,Default,,0000,0000,0000,,Lakini katika kukulia kwangu,\N Dialogue: 0,0:01:55.12,0:01:59.64,Default,,0000,0000,0000,,niliwaona wazazi wangu, wote wacha Mungu \Nna waumini wa Akhera, wakisali na Dialogue: 0,0:01:59.64,0:02:01.92,Default,,0000,0000,0000,,kumshukuru kwa baraka zao,\N Dialogue: 0,0:02:01.98,0:02:05.92,Default,,0000,0000,0000,,kama mimi, lakini zinginezo pia. \N(Vicheko) Dialogue: 0,0:02:07.02,0:02:10.10,Default,,0000,0000,0000,,Walikuwa na huruma, wenye kuchekesha, \Nna wenye subira, Dialogue: 0,0:02:10.10,0:02:15.28,Default,,0000,0000,0000,,subira kubwa, aina inayofunzwa\Nkwa kuwalea watoto 11. Dialogue: 0,0:02:16.02,0:02:17.65,Default,,0000,0000,0000,,Pia walifanya haki. \N Dialogue: 0,0:02:18.42,0:02:21.97,Default,,0000,0000,0000,,Sikuwahi kupaswa kuijua dini kwa \Nmtazamo wa kitamaduni tu. Dialogue: 0,0:02:22.74,0:02:25.07,Default,,0000,0000,0000,,Nilitendewa sawasawa na kaka zangu,\Nna sisi sote Dialogue: 0,0:02:25.07,0:02:27.44,Default,,0000,0000,0000,,tulikuwa tunatarijiwa \Nkufanya sawasawa. Dialogue: 0,0:02:27.46,0:02:31.99,Default,,0000,0000,0000,,Sikuwahi kuambiwa kwamba Mungu \Nhuhukumu tofauti kwa jinsia. Dialogue: 0,0:02:32.92,0:02:39.76,Default,,0000,0000,0000,,Wazazi wangu walimwona Mungu kuwa \NMwingi wa Rehema, Fadhila na rizki Dialogue: 0,0:02:39.78,0:02:42.47,Default,,0000,0000,0000,,na mimi nilichukulia \Nmsimamo wao. Dialogue: 0,0:02:43.09,0:02:46.38,Default,,0000,0000,0000,,Kwa uhakika, malezi yangu yalikuwa \Nna faida zake. Dialogue: 0,0:02:46.87,0:02:51.12,Default,,0000,0000,0000,,kuwa katikati ya watoto 11 \Nni kama Diplomasia 101. (Vicheko) Dialogue: 0,0:02:52.31,0:02:55.27,Default,,0000,0000,0000,,Mpaka leo, watu huniuliza wapi\Nnilipokwenda skule, Dialogue: 0,0:02:55.27,0:02:57.65,Default,,0000,0000,0000,,kama, “Ulienda Skule ya \NKennedy ya Serikali?" Dialogue: 0,0:02:57.65,0:02:59.40,Default,,0000,0000,0000,,na mimi huwatazama na \Nkuwambia, “Hapana, Dialogue: 0,0:02:59.42,0:03:02.53,Default,,0000,0000,0000,,Nimeenda Skule ya Murabit ya \NMambo ya Kimataifa.” Dialogue: 0,0:03:02.58,0:03:07.69,Default,,0000,0000,0000,,Ni maalum sana. Ungeongea na \NMamangu kwa kujipatia nafasi Dialogue: 0,0:03:08.08,0:03:10.63,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa bahati yenu, yupo leo. Dialogue: 0,0:03:11.97,0:03:16.14,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kuwa miongoni wa watoto 11, \Nna kuwa na ndugu 10, Dialogue: 0,0:03:16.25,0:03:19.68,Default,,0000,0000,0000,,kunafundisha mengi kama \Nmifumo ya mamlaka na muungano. Dialogue: 0,0:03:20.15,0:03:22.56,Default,,0000,0000,0000,,Kama kuzingatia lengo; \Nuseme haraka au Dialogue: 0,0:03:22.56,0:03:25.88,Default,,0000,0000,0000,,usiseme sana, kwa sababu \Nutadakiwa mazungumzo kila mara. Dialogue: 0,0:03:25.88,0:03:28.32,Default,,0000,0000,0000,,Kunafundisha umuhimu wa kuwa \Nmjumbe mzuri. Dialogue: 0,0:03:28.83,0:03:32.77,Default,,0000,0000,0000,,Uyaulize maswali kwa mpango kwa\Nkupata jibu unalolitaka, na Dialogue: 0,0:03:32.89,0:03:36.05,Default,,0000,0000,0000,,ujue kusema 'la' kwa mpango pia\Nkwa kufuliza usalama. Dialogue: 0,0:03:37.21,0:03:40.69,Default,,0000,0000,0000,,Lakini funzo muhimu sana\Nnililolipata kutoka utoto wangu Dialogue: 0,0:03:40.69,0:03:44.49,Default,,0000,0000,0000,,lilikuwa umuhimu wa kuwa na nafasi kwenye\Nmeza. Dialogue: 0,0:03:44.74,0:03:48.14,Default,,0000,0000,0000,,Taa yake ndogo mamangu ilipovunjika,\Nalivyoipenda sana, ilinilazimu niwepo Dialogue: 0,0:03:48.14,0:03:52.66,Default,,0000,0000,0000,,wakati alipochunguza ilikuwaje, \Nili nijitetee, Dialogue: 0,0:03:53.96,0:03:57.18,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu kama hupo, \Nlawama inakuangukia kwako, Dialogue: 0,0:03:57.18,0:03:59.76,Default,,0000,0000,0000,,na kabla hujagundua, utakuwa umeadhibiwa. Dialogue: 0,0:03:59.79,0:04:02.73,Default,,0000,0000,0000,,Kwa uhahika, sijapewa \Nadhabu mimi mwenyewe. Dialogue: 0,0:04:04.28,0:04:09.04,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokuwa na miaka 15 mwakani 2005,\Nnikatimiza skule ya sekondari nikahamia Dialogue: 0,0:04:09.06,0:04:11.49,Default,,0000,0000,0000,,Kanada-- Saskatoon -- Dialogue: 0,0:04:11.55,0:04:15.90,Default,,0000,0000,0000,,Ila Zawiya, Libya, \Nmji wa nyumbani wa wazazi wangu, Dialogue: 0,0:04:16.01,0:04:18.10,Default,,0000,0000,0000,,mji wa kidesturi sana. \N Dialogue: 0,0:04:18.10,0:04:23.05,Default,,0000,0000,0000,,Fikiri, muda huo niliwahi kufika\NLibya kwa ajili ya matembezi tu, Dialogue: 0,0:04:23.31,0:04:27.72,Default,,0000,0000,0000,,na kama msichana wa miaka 7,\Nilipendeza sana. Dialogue: 0,0:04:27.78,0:04:32.33,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa aiskrimu na pwani na jamaa\Nwenye furaha. Dialogue: 0,0:04:33.74,0:04:37.79,Default,,0000,0000,0000,,niligundua haiko vilevile kama \Nmsichana wa miaka 15. Dialogue: 0,0:04:38.25,0:04:44.24,Default,,0000,0000,0000,,Nikakutana upesi na mambo ya dini ya\Nkiutamaduni. Dialogue: 0,0:04:44.68,0:04:48.95,Default,,0000,0000,0000,,Maneno ya "haramu" --\Nlenye maana ya kukatazwa kidini -- Dialogue: 0,0:04:48.97,0:04:52.43,Default,,0000,0000,0000,,na "aibu" -- lenye maana ya kutofaa\Nkimaadili -- Dialogue: 0,0:04:52.47,0:04:54.52,Default,,0000,0000,0000,,yalibadilishanwa bila mpango. Dialogue: 0,0:04:55.23,0:04:58.84,Default,,0000,0000,0000,,kama yalikuwa na maana moja na\Nadhabu moja vilevile. Dialogue: 0,0:04:59.62,0:05:04.24,Default,,0000,0000,0000,,Nikajikuta sana katika mazungumzo na\Nwenzangu wa skule Dialogue: 0,0:05:04.24,0:05:07.58,Default,,0000,0000,0000,,na wa kazi, profesa, rafiki zangu na hata \Njamaa zangu, Dialogue: 0,0:05:07.59,0:05:11.64,Default,,0000,0000,0000,,nikaanza kujiuliza kuhusu desturi zangu \Nna malengo yangu. Dialogue: 0,0:05:12.30,0:05:16.16,Default,,0000,0000,0000,,Na hata na msingi mzuri niliopokea\Nkutoka wazazi wangu, Dialogue: 0,0:05:16.20,0:05:19.85,Default,,0000,0000,0000,,Nilijikuta nikajiuliza kuhusu nafasi \Nya mwanamke katika dini yangu. Dialogue: 0,0:05:21.71,0:05:24.41,Default,,0000,0000,0000,,Kule kwenye Skule ya Murabit ya Mambo\Nya Kimataifa, Dialogue: 0,0:05:24.44,0:05:27.31,Default,,0000,0000,0000,,tunapenda sana kufanya mjadala, Dialogue: 0,0:05:27.31,0:05:32.64,Default,,0000,0000,0000,,na sheria ya kwanza ni fanya utafiti wako,\Nna hivyo ndivyo nilivyofanya mimi, Dialogue: 0,0:05:32.65,0:05:36.25,Default,,0000,0000,0000,,Ikanishangaza sana vipi ilikuwa rahisi Dialogue: 0,0:05:36.25,0:05:40.28,Default,,0000,0000,0000,,kuwagundua wanawake katika Uislamu\Nwaliokuwa viongozi, Dialogue: 0,0:05:40.28,0:05:43.76,Default,,0000,0000,0000,,wavumbuzi, wenye nguvu -- Dialogue: 0,0:05:43.76,0:05:46.77,Default,,0000,0000,0000,,za kisiasa, za kiuchumi hata za kijeshi. Dialogue: 0,0:05:47.01,0:05:50.78,Default,,0000,0000,0000,,Khadija aliziendesha fedha za \Nharakati za Kiislamu Dialogue: 0,0:05:50.79,0:05:52.66,Default,,0000,0000,0000,,katika siku zake za mwanzo. Dialogue: 0,0:05:52.66,0:05:54.100,Default,,0000,0000,0000,,Tusingekuwepo hapa leo bila michango yake. Dialogue: 0,0:05:55.92,0:05:58.12,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini tusifundishwe kisa chake?\N Dialogue: 0,0:05:58.14,0:06:01.23,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini tusifundishwe \Nvisa vya hao wanawake? Dialogue: 0,0:06:01.25,0:06:03.62,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini wanawake wapewe vyeo\Nvilivyotoka Dialogue: 0,0:06:03.63,0:06:06.64,Default,,0000,0000,0000,,zama zilizotangulia mafunzo ya dini yetu? Dialogue: 0,0:06:06.64,0:06:09.29,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa nini, kama sisi sote tuko sawasawa \Nmachoni mwa Mungu, Dialogue: 0,0:06:09.30,0:06:11.97,Default,,0000,0000,0000,,hatuko sawasawa machoni mwa binadamu? Dialogue: 0,0:06:12.69,0:06:17.04,Default,,0000,0000,0000,,Hayo yalinipeleka kufikiria mafunzo \Nyangu ya utotoni. Dialogue: 0,0:06:18.23,0:06:22.05,Default,,0000,0000,0000,,Anayeamua, na kuwa na mamlaka \Njuu ya ujumbe, Dialogue: 0,0:06:22.08,0:06:24.70,Default,,0000,0000,0000,,anayo nafasi kwenye meza, Dialogue: 0,0:06:24.72,0:06:29.48,Default,,0000,0000,0000,,na kwa bahati mbaya, katika dini zote\Nza kidunia, Dialogue: 0,0:06:29.49,0:06:31.09,Default,,0000,0000,0000,,hao si wanawake. Dialogue: 0,0:06:32.46,0:06:35.21,Default,,0000,0000,0000,,Taasisi za kidini \Nzinatawaliwa na wanaume Dialogue: 0,0:06:35.24,0:06:37.22,Default,,0000,0000,0000,,na kuendeshwa na viongozi vya kiume, Dialogue: 0,0:06:37.24,0:06:40.54,Default,,0000,0000,0000,,na wanabuni sera zinazowafaa wanaume tu, Dialogue: 0,0:06:40.62,0:06:45.34,Default,,0000,0000,0000,,na ila tunaweza kubadilisha mfumo huo\Nkabisa, kwa kweli hatuwezi Dialogue: 0,0:06:45.34,0:06:47.76,Default,,0000,0000,0000,,kutarajia wanawake kushiriki\Nkwa ukamilifu Dialogue: 0,0:06:47.76,0:06:50.09,Default,,0000,0000,0000,,katika uchumi au siasa. Dialogue: 0,0:06:51.58,0:06:53.88,Default,,0000,0000,0000,,Msingi wetu umevunjika. Dialogue: 0,0:06:55.64,0:06:59.82,Default,,0000,0000,0000,,Mamangu husema, "huwezi kujenga nyumba\Nnzima juu ya msingi mbovu". Dialogue: 0,0:07:02.98,0:07:08.99,Default,,0000,0000,0000,,Mwakani 2011, Mapinduzi ya Libya yaliripuka\Nna aila yangu walikuwepo mistari ya mbele. Dialogue: 0,0:07:09.55,0:07:12.85,Default,,0000,0000,0000,,Kuna jambo moja la kushangaza\Nlinalojitokeza katika vita, Dialogue: 0,0:07:12.90,0:07:15.47,Default,,0000,0000,0000,,kama mageuzo ya kiutamaduni,\Nkwa muda mfupi tu. Dialogue: 0,0:07:16.13,0:07:18.74,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mara ya kwanza nilijisikia \Nilikubaliwa, au hata Dialogue: 0,0:07:18.74,0:07:21.65,Default,,0000,0000,0000,,ilisisitizwa kwa mimi kujihusisha \Nna mambo. Dialogue: 0,0:07:21.65,0:07:23.59,Default,,0000,0000,0000,,Ilihitajika. Dialogue: 0,0:07:24.51,0:07:27.34,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na wanawake wengine walipewa nafasi\Nkwenye meza. Dialogue: 0,0:07:27.35,0:07:30.57,Default,,0000,0000,0000,,Hatukuwa wasaidizi wa wanaume tu. Dialogue: 0,0:07:30.58,0:07:32.43,Default,,0000,0000,0000,,Tulichangia katika uamuzi. Dialogue: 0,0:07:32.43,0:07:35.55,Default,,0000,0000,0000,,Tulichangia katika kutoa taarifa.\NTulikuwa muhimu sana. Dialogue: 0,0:07:35.88,0:07:39.64,Default,,0000,0000,0000,,Na mimi nilitaka, nilihitaji mageuzo hayo\Nkutoondoka. Dialogue: 0,0:07:42.55,0:07:45.37,Default,,0000,0000,0000,,Lakini niligundua si rahisi \Nkuwa nilivyotaka. Dialogue: 0,0:07:45.37,0:07:49.17,Default,,0000,0000,0000,,Ilichukua wiki chache tu kabla hao \Nwanawake niliowafanya nao kazi Dialogue: 0,0:07:49.17,0:07:51.72,Default,,0000,0000,0000,,walikuwa wanarejea katika kazi zao za\Nzamani, Dialogue: 0,0:07:52.13,0:07:56.44,Default,,0000,0000,0000,,na wengi walipewa maneno ya\Nkusisitizwa Dialogue: 0,0:07:56.44,0:07:58.89,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwa viongozi wa kidini na \Nvya kisiasa, wengi wao Dialogue: 0,0:07:58.89,0:08:02.15,Default,,0000,0000,0000,,walijaribu kuthibitisha hoja \Nzao kwa maandishi ya kidini. Dialogue: 0,0:08:02.15,0:08:05.63,Default,,0000,0000,0000,,Ndivyo walivyojipatia mikono ya\Nwatu katika hoja zao. Dialogue: 0,0:08:06.95,0:08:12.14,Default,,0000,0000,0000,,Mwanzoni, nilizingatia kuwapa \Nwanawake nguvu katika siasa na uchumi. Dialogue: 0,0:08:12.14,0:08:15.44,Default,,0000,0000,0000,,Nikafikiri ingeliongoza \Nmabadiliko ya kiutamaduni na kijamii. Dialogue: 0,0:08:15.76,0:08:19.56,Default,,0000,0000,0000,,Niligundua, ilifanikiwa kidogo tu, lakini\Nsio sana. Dialogue: 0,0:08:20.32,0:08:24.20,Default,,0000,0000,0000,,Nikaamua kuitumia njia yao wale\Nviongozi wa kidini Dialogue: 0,0:08:24.48,0:08:28.26,Default,,0000,0000,0000,,nikaanza kuthibitisha hoja zangu kwa \Nmaandishi ya kiislamu pia. Dialogue: 0,0:08:29.32,0:08:33.22,Default,,0000,0000,0000,,Katika miaka 2012 na 2013, shirika langu \Nliliongoza kampeni ya pekee iliyokuwa Dialogue: 0,0:08:33.22,0:08:36.23,Default,,0000,0000,0000,,kubwa na pana kuliko zote Libya. Dialogue: 0,0:08:36.88,0:08:40.37,Default,,0000,0000,0000,,Tulipenyeza nyumbani, skuleni na \Nvyuoni, hata misikitni. Dialogue: 0,0:08:41.10,0:08:44.30,Default,,0000,0000,0000,,Tulizungumza na watu 50,000\Nuso kwa uso, na mamia ya maelfu zaidi Dialogue: 0,0:08:44.73,0:08:46.61,Default,,0000,0000,0000,,kwa njia za \Nmatangazo ya kubandika, Dialogue: 0,0:08:46.61,0:08:49.16,Default,,0000,0000,0000,,matangazo kwenye tv na kwenye radio. Dialogue: 0,0:08:50.80,0:08:53.17,Default,,0000,0000,0000,,Labda mnajiuliza, shirika la\Nhaki za wanawake Dialogue: 0,0:08:53.21,0:08:56.65,Default,,0000,0000,0000,,waliweza kufanya hivyo vipi katika jamii\Nilyopingana na sisi Dialogue: 0,0:08:56.65,0:08:58.20,Default,,0000,0000,0000,,kabisa mwanzoni. Dialogue: 0,0:08:59.44,0:09:01.56,Default,,0000,0000,0000,,Niliyatumia maandishi ya kiislamu. Dialogue: 0,0:09:02.07,0:09:05.87,Default,,0000,0000,0000,,Nilitumia aya za Korani na misemo ya \NMtume Mohammed, Dialogue: 0,0:09:06.81,0:09:11.34,Default,,0000,0000,0000,,Hadithi zake, misemo yake ambayo ni,\Nkwa mfano, Dialogue: 0,0:09:11.78,0:09:14.86,Default,,0000,0000,0000,,"Mtu bora ndiye anayefanya\Nwema kwa familia yake." Dialogue: 0,0:09:14.88,0:09:18.01,Default,,0000,0000,0000,,"Usimruhusu mtu kumdhulumu mwingine." Dialogue: 0,0:09:19.15,0:09:24.07,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mara ya kwanza, hotuba za Ijumaa \Nkutoka kwa imamu wa kienyeji Dialogue: 0,0:09:24.13,0:09:26.34,Default,,0000,0000,0000,,zilitangaza haki za wanawake. Dialogue: 0,0:09:26.34,0:09:29.51,Default,,0000,0000,0000,,zilizungumzia masuala yasiyo kawaida, kama\Nvurugu ya nyumbani. Dialogue: 0,0:09:31.02,0:09:33.34,Default,,0000,0000,0000,,Sera zilibadilishwa. Dialogue: 0,0:09:34.30,0:09:39.30,Default,,0000,0000,0000,,Katika jamii fulani, ilitubidi \Nkusema lile Azimio Dialogue: 0,0:09:39.30,0:09:42.44,Default,,0000,0000,0000,,la Kimataifa la Haki ya Wanadamu\Nmlilopingana nayo Dialogue: 0,0:09:42.44,0:09:45.08,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu haikuandikwi na watalaamu\Nwa kidini, Dialogue: 0,0:09:45.08,0:09:49.21,Default,,0000,0000,0000,,eti, misingi yote ile imo kitabu chetu. Dialogue: 0,0:09:49.98,0:09:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Yaani, Shirika la Umoja wa Mataifa \Nlilituiga tu. Dialogue: 0,0:09:56.36,0:09:58.94,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuubadilisha ujumbe wenyewe, \Ntuliweza kuitoa Dialogue: 0,0:09:59.03,0:10:02.57,Default,,0000,0000,0000,,sura mpya iliyotangaza haki za wanawake \NLibya. Dialogue: 0,0:10:03.41,0:10:06.45,Default,,0000,0000,0000,,Ni jambo ambalo sasa limeigwa duniani, Dialogue: 0,0:10:08.55,0:10:12.44,Default,,0000,0000,0000,,na sisemi ni rahisi--- niamini, \Nsi rahisi kabisa. Dialogue: 0,0:10:12.76,0:10:16.56,Default,,0000,0000,0000,,'Liberals' watasema unaitumia dini \Nna kukuita 'conservative' mbaya. Dialogue: 0,0:10:16.56,0:10:19.50,Default,,0000,0000,0000,,na 'conservatives' watakupa\Nmatusi mengi. Dialogue: 0,0:10:19.99,0:10:23.99,Default,,0000,0000,0000,,Mimi mwenyewe nimeyapata mengi, kama \N"Wazazi wako hawaaibiki na wewe?" -- Dialogue: 0,0:10:23.99,0:10:26.15,Default,,0000,0000,0000,,sio kweli;\Nwao wananipenda kuliko wote -- Dialogue: 0,0:10:26.15,0:10:28.80,Default,,0000,0000,0000,,au "Hutoishi kuona siku \Nyako ya kuzaliwa tena" -- Dialogue: 0,0:10:28.80,0:10:31.03,Default,,0000,0000,0000,,tena sio kweli, nimeshaiona. Dialogue: 0,0:10:32.93,0:10:36.57,Default,,0000,0000,0000,,Na bado, ninaamini kabisa Dialogue: 0,0:10:36.57,0:10:40.38,Default,,0000,0000,0000,,kwamba haki za wanawake\Nna dini zinaweza kuendana. Dialogue: 0,0:10:42.46,0:10:45.56,Default,,0000,0000,0000,,Lakini lazima tupewe nafasi kwenye meza. Dialogue: 0,0:10:45.92,0:10:48.61,Default,,0000,0000,0000,,Tusiache kupigania \Nnafasi yetu, kwa sababu Dialogue: 0,0:10:48.61,0:10:55.32,Default,,0000,0000,0000,,kwa kukaa kimya, tunaruhusu mateso na \Ndhuluma za wanawake duniani kuendelea. Dialogue: 0,0:10:56.47,0:10:59.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kudai tutapigania haki za wanawake Dialogue: 0,0:10:59.02,0:11:02.17,Default,,0000,0000,0000,,na kupigania ugaidi kwa kutumia\Nmabomu na vita, Dialogue: 0,0:11:02.91,0:11:06.95,Default,,0000,0000,0000,,tunaharibu jamii za kienyeji zinazohitaji\Nkuyashughulikia masuala hayo Dialogue: 0,0:11:07.56,0:11:10.87,Default,,0000,0000,0000,,ili yawezekane kuendelea. Dialogue: 0,0:11:11.81,0:11:15.82,Default,,0000,0000,0000,,Sio rahisi, kushindana na taarifa za dini \Nza kupotosha. Dialogue: 0,0:11:17.03,0:11:21.63,Default,,0000,0000,0000,,Utapata vyako vya matusi na dhihaka na \Nvitisho. Dialogue: 0,0:11:21.73,0:11:24.13,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ni lazima ifanyike. Dialogue: 0,0:11:24.14,0:11:29.43,Default,,0000,0000,0000,,Hatuna budi ila kuuchukua tena \Nujumbe wa haki za binadamu, Dialogue: 0,0:11:29.43,0:11:32.90,Default,,0000,0000,0000,,maadili ya dini yetu, si kwa ajili yetu, Dialogue: 0,0:11:32.90,0:11:34.59,Default,,0000,0000,0000,,na si kwa ajili ya \Nwanawake wenu tu, Dialogue: 0,0:11:34.59,0:11:36.06,Default,,0000,0000,0000,,si kwa ajili ya \Nwanawake humu leo, Dialogue: 0,0:11:36.12,0:11:38.74,Default,,0000,0000,0000,,hata si kwa ajili ya \Nwanawake kule nje, Dialogue: 0,0:11:40.10,0:11:43.43,Default,,0000,0000,0000,,bali kwa ajili ya jamii ambazo\Nzingebadilika kuwa nzuri Dialogue: 0,0:11:43.43,0:11:45.85,Default,,0000,0000,0000,,kwa mashirikiano ya wanawake. Dialogue: 0,0:11:46.49,0:11:48.65,Default,,0000,0000,0000,,Na jinsi ya pekee sisi tunavyoweza \Nkufanya hivyo, Dialogue: 0,0:11:48.65,0:11:50.39,Default,,0000,0000,0000,,njia yetu moja tu, Dialogue: 0,0:11:50.47,0:11:53.50,Default,,0000,0000,0000,,ni kupata nafasi na kukaa daima, \Nkwenye meza. Dialogue: 0,0:11:53.65,0:11:54.80,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:11:54.80,0:11:58.26,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)