0:00:00.785,0:00:03.840 Njiani kufika hapa, 0:00:03.840,0:00:07.542 nilikuwa na mazungumzo mazuri na [br]mtu aliyekuwa anakaa pembeni yangu kwenye 0:00:07.542,0:00:10.562 ndege. Alinambia [br] 0:00:10.562,0:00:13.805 "Hamna kazi tena USA, 0:00:13.805,0:00:16.073 yaani sasa wamebuni kazi mpya: 0:00:16.083,0:00:21.373 mwanasaikolojia wa paka,[br]mzungumzaji wa mbwa,msasi wa kimbunga." 0:00:21.373,0:00:24.453 Punde, aliniuliza, 0:00:24.453,0:00:27.132 "Kwani wewe unafanya kazi gani?" 0:00:27.132,0:00:29.722 Nikamjibu, "Mjenzi wa usalama?" 0:00:29.722,0:00:33.025 (Vicheko) 0:00:34.355,0:00:38.985 Kila siku, nafanya bidii [br]kuwazidishia wanawake sauti 0:00:39.445,0:00:42.925 na kuoneysha maisha yao na michango yao 0:00:42.925,0:00:45.722 katika hatua za kutafuta usalama [br]na kutatua migogoro, 0:00:47.652,0:00:52.989 na kwa sababu ya kazi zangu, [br]natambua kwamba njia ya pekee 0:00:53.259,0:00:55.338 kwa kuhakikisha ushirikiano kamili [br] 0:00:55.338,0:00:58.928 wa wanawake duniani[br]ni kuchukua tena dini mikononi mwetu. 0:00:59.398,0:01:03.104 Sasa, jambo hilo ni muhimu sana kwangu. 0:01:03.164,0:01:06.914 Kama muislamu na mwanamke kijana, [br]ninaijali dini yangu sana. 0:01:07.974,0:01:12.095 Inanipa nguvu na msimamo katika [br]kazi zangu kila siku. 0:01:12.095,0:01:15.435 Ndiyo sababu inayoniwezesha [br]kusimama hapa leo mbele yenu. 0:01:15.965,0:01:20.199 Lakini siwezi kutojali hasara kubwa [br]zilizofanyika kwa kutumia jina la dini, 0:01:21.393,0:01:24.843 si dini yangu tu, lakini [br]dini zote kubwa za dunia. 0:01:25.243,0:01:30.401 Kuyatumia vibaya na[br]kuyageuza maandiko ya kidini 0:01:30.744,0:01:34.034 kumebadilisha desturi zetu [br]za kijamii na kitamaduni, 0:01:34.074,0:01:36.570 sheria zetu, kila siku zetu,[br] 0:01:36.570,0:01:39.910 hadi kumefikia tusipoweza [br]kupagundua. 0:01:39.910,0:01:45.280 Wazazi wangu walihama Libya, [br]Afrika ya Kaskazini kwenda Kanada 0:01:45.280,0:01:47.340 mwanzoni mwa miaka 1980, 0:01:47.340,0:01:50.994 na mimi niko katikati ya watoto 11. 0:01:51.251,0:01:53.211 Ehee, 11. 0:01:53.721,0:01:55.115 Lakini katika kukulia kwangu,[br] 0:01:55.115,0:01:59.635 niliwaona wazazi wangu, wote wacha Mungu [br]na waumini wa Akhera, wakisali na 0:01:59.645,0:02:01.925 kumshukuru kwa baraka zao,[br] 0:02:01.975,0:02:05.915 kama mimi, lakini zinginezo pia. [br](Vicheko) 0:02:07.015,0:02:10.105 Walikuwa na huruma, wenye kuchekesha, [br]na wenye subira, 0:02:10.105,0:02:15.285 subira kubwa, aina inayofunzwa[br]kwa kuwalea watoto 11. 0:02:16.021,0:02:17.651 Pia walifanya haki. [br] 0:02:18.421,0:02:21.971 Sikuwahi kupaswa kuijua dini kwa [br]mtazamo wa kitamaduni tu. 0:02:22.741,0:02:25.071 Nilitendewa sawasawa na kaka zangu,[br]na sisi sote 0:02:25.071,0:02:27.441 tulikuwa tunatarijiwa [br]kufanya sawasawa. 0:02:27.461,0:02:31.987 Sikuwahi kuambiwa kwamba Mungu [br]huhukumu tofauti kwa jinsia. 0:02:32.917,0:02:39.759 Wazazi wangu walimwona Mungu kuwa [br]Mwingi wa Rehema, Fadhila na rizki 0:02:39.779,0:02:42.469 na mimi nilichukulia [br]msimamo wao. 0:02:43.090,0:02:46.380 Kwa uhakika, malezi yangu yalikuwa [br]na faida zake. 0:02:46.870,0:02:51.120 kuwa katikati ya watoto 11 [br]ni kama Diplomasia 101. (Vicheko) 0:02:52.312,0:02:55.272 Mpaka leo, watu huniuliza wapi[br]nilipokwenda skule, 0:02:55.272,0:02:57.648 kama, “Ulienda Skule ya [br]Kennedy ya Serikali?" 0:02:57.648,0:02:59.398 na mimi huwatazama na [br]kuwambia, “Hapana, 0:02:59.417,0:03:02.527 Nimeenda Skule ya Murabit ya [br]Mambo ya Kimataifa.” 0:03:02.577,0:03:07.691 Ni maalum sana. Ungeongea na [br]Mamangu kwa kujipatia nafasi 0:03:08.081,0:03:10.631 Lakini kwa bahati yenu, yupo leo. 0:03:11.971,0:03:16.141 Lakini kuwa miongoni wa watoto 11, [br]na kuwa na ndugu 10, 0:03:16.248,0:03:19.678 kunafundisha mengi kama [br]mifumo ya mamlaka na muungano. 0:03:20.148,0:03:22.557 Kama kuzingatia lengo; [br]useme haraka au 0:03:22.557,0:03:25.877 usiseme sana, kwa sababu [br]utadakiwa mazungumzo kila mara. 0:03:25.877,0:03:28.317 Kunafundisha umuhimu wa kuwa [br]mjumbe mzuri. 0:03:28.827,0:03:32.767 Uyaulize maswali kwa mpango kwa[br]kupata jibu unalolitaka, na 0:03:32.887,0:03:36.047 ujue kusema 'la' kwa mpango pia[br]kwa kufuliza usalama. 0:03:37.213,0:03:40.694 Lakini funzo muhimu sana[br]nililolipata kutoka utoto wangu 0:03:40.694,0:03:44.494 lilikuwa umuhimu wa kuwa na nafasi kwenye[br]meza. 0:03:44.744,0:03:48.135 Taa yake ndogo mamangu ilipovunjika,[br]alivyoipenda sana, ilinilazimu niwepo 0:03:48.135,0:03:52.655 wakati alipochunguza ilikuwaje, [br]ili nijitetee, 0:03:53.965,0:03:57.175 kwa sababu kama hupo, [br]lawama inakuangukia kwako, 0:03:57.175,0:03:59.761 na kabla hujagundua, utakuwa umeadhibiwa. 0:03:59.791,0:04:02.731 Kwa uhahika, sijapewa [br]adhabu mimi mwenyewe. 0:04:04.278,0:04:09.040 Nilipokuwa na miaka 15 mwakani 2005,[br]nikatimiza skule ya sekondari nikahamia 0:04:09.060,0:04:11.490 Kanada-- Saskatoon -- 0:04:11.550,0:04:15.900 Ila Zawiya, Libya, [br]mji wa nyumbani wa wazazi wangu, 0:04:16.010,0:04:18.099 mji wa kidesturi sana. [br] 0:04:18.099,0:04:23.049 Fikiri, muda huo niliwahi kufika[br]Libya kwa ajili ya matembezi tu, 0:04:23.309,0:04:27.719 na kama msichana wa miaka 7,[br]ilipendeza sana. 0:04:27.779,0:04:32.331 Ilikuwa aiskrimu na pwani na jamaa[br]wenye furaha. 0:04:33.740,0:04:37.790 niligundua haiko vilevile kama [br]msichana wa miaka 15. 0:04:38.248,0:04:44.238 Nikakutana upesi na mambo ya dini ya[br]kiutamaduni. 0:04:44.676,0:04:48.946 Maneno ya "haramu" --[br]lenye maana ya kukatazwa kidini -- 0:04:48.972,0:04:52.432 na "aibu" -- lenye maana ya kutofaa[br]kimaadili -- 0:04:52.468,0:04:54.518 yalibadilishanwa bila mpango. 0:04:55.228,0:04:58.838 kama yalikuwa na maana moja na[br]adhabu moja vilevile. 0:04:59.618,0:05:04.238 Nikajikuta sana katika mazungumzo na[br]wenzangu wa skule 0:05:04.238,0:05:07.584 na wa kazi, profesa, rafiki zangu na hata [br]jamaa zangu, 0:05:07.594,0:05:11.644 nikaanza kujiuliza kuhusu desturi zangu [br]na malengo yangu. 0:05:12.304,0:05:16.164 Na hata na msingi mzuri niliopokea[br]kutoka wazazi wangu, 0:05:16.200,0:05:19.850 Nilijikuta nikajiuliza kuhusu nafasi [br]ya mwanamke katika dini yangu. 0:05:21.710,0:05:24.413 Kule kwenye Skule ya Murabit ya Mambo[br]ya Kimataifa, 0:05:24.437,0:05:27.307 tunapenda sana kufanya mjadala, 0:05:27.307,0:05:32.637 na sheria ya kwanza ni fanya utafiti wako,[br]na hivyo ndivyo nilivyofanya mimi, 0:05:32.647,0:05:36.247 Ikanishangaza sana vipi ilikuwa rahisi 0:05:36.247,0:05:40.275 kuwagundua wanawake katika Uislamu[br]waliokuwa viongozi, 0:05:40.275,0:05:43.765 wavumbuzi, wenye nguvu -- 0:05:43.765,0:05:46.774 za kisiasa, za kiuchumi hata za kijeshi. 0:05:47.014,0:05:50.777 Khadija aliziendesha fedha za [br]harakati za Kiislamu 0:05:50.787,0:05:52.657 katika siku zake za mwanzo. 0:05:52.657,0:05:54.997 Tusingekuwepo hapa leo bila michango yake. 0:05:55.924,0:05:58.124 Kwa nini tusifundishwe kisa chake?[br] 0:05:58.144,0:06:01.234 Kwa nini tusifundishwe [br]visa vya hao wanawake? 0:06:01.254,0:06:03.624 Kwa nini wanawake wapewe vyeo[br]vilivyotoka 0:06:03.626,0:06:06.636 zama zilizotangulia mafunzo ya dini yetu? 0:06:06.636,0:06:09.286 Na kwa nini, kama sisi sote tuko sawasawa [br]machoni mwa Mungu, 0:06:09.296,0:06:11.966 hatuko sawasawa machoni mwa binadamu? 0:06:12.693,0:06:17.043 Hayo yalinipeleka kufikiria mafunzo [br]yangu ya utotoni. 0:06:18.232,0:06:22.052 Anayeamua, na kuwa na mamlaka [br]juu ya ujumbe, 0:06:22.082,0:06:24.702 anayo nafasi kwenye meza, 0:06:24.722,0:06:29.484 na kwa bahati mbaya, katika dini zote[br]za kidunia, 0:06:29.494,0:06:31.092 hao si wanawake. 0:06:32.462,0:06:35.212 Taasisi za kidini [br]zinatawaliwa na wanaume 0:06:35.242,0:06:37.222 na kuendeshwa na viongozi vya kiume, 0:06:37.242,0:06:40.542 na wanabuni sera zinazowafaa wanaume tu, 0:06:40.623,0:06:45.339 na ila tunaweza kubadilisha mfumo huo[br]kabisa, kwa kweli hatuwezi 0:06:45.339,0:06:47.759 kutarajia wanawake kushiriki[br]kwa ukamilifu 0:06:47.759,0:06:50.089 katika uchumi au siasa. 0:06:51.576,0:06:53.876 Msingi wetu umevunjika. 0:06:55.636,0:06:59.816 Mamangu husema, "huwezi kujenga nyumba[br]nzima juu ya msingi mbovu". 0:07:02.976,0:07:08.988 Mwakani 2011, Mapinduzi ya Libya yaliripuka[br]na aila yangu walikuwepo mistari ya mbele. 0:07:09.554,0:07:12.854 Kuna jambo moja la kushangaza[br]linalojitokeza katika vita, 0:07:12.903,0:07:15.473 kama mageuzo ya kiutamaduni,[br]kwa muda mfupi tu. 0:07:16.133,0:07:18.743 Kwa mara ya kwanza nilijisikia [br]ilikubaliwa, au hata 0:07:18.743,0:07:21.651 ilisisitizwa kwa mimi kujihusisha [br]na mambo. 0:07:21.651,0:07:23.591 Ilihitajika. 0:07:24.510,0:07:27.340 Mimi na wanawake wengine walipewa nafasi[br]kwenye meza. 0:07:27.350,0:07:30.570 Hatukuwa wasaidizi wa wanaume tu. 0:07:30.580,0:07:32.427 Tulichangia katika uamuzi. 0:07:32.427,0:07:35.547 Tulichangia katika kutoa taarifa.[br]Tulikuwa muhimu sana. 0:07:35.880,0:07:39.640 Na mimi nilitaka, nilihitaji mageuzo hayo[br]kutoondoka. 0:07:42.550,0:07:45.368 Lakini niligundua si rahisi [br]kuwa nilivyotaka. 0:07:45.368,0:07:49.170 Ilichukua wiki chache tu kabla hao [br]wanawake niliowafanya nao kazi 0:07:49.170,0:07:51.720 walikuwa wanarejea katika kazi zao za[br]zamani, 0:07:52.130,0:07:56.437 na wengi walipewa maneno ya[br]kusisitizwa 0:07:56.437,0:07:58.891 kutoka kwa viongozi wa kidini na [br]vya kisiasa, wengi wao 0:07:58.891,0:08:02.151 walijaribu kuthibitisha hoja [br]zao kwa maandishi ya kidini. 0:08:02.151,0:08:05.631 Ndivyo walivyojipatia mikono ya[br]watu katika hoja zao. 0:08:06.951,0:08:12.141 Mwanzoni, nilizingatia kuwapa [br]wanawake nguvu katika siasa na uchumi. 0:08:12.141,0:08:15.437 Nikafikiri ingeliongoza [br]mabadiliko ya kiutamaduni na kijamii. 0:08:15.765,0:08:19.565 Niligundua, ilifanikiwa kidogo tu, lakini[br]sio sana. 0:08:20.325,0:08:24.205 Nikaamua kuitumia njia yao wale[br]viongozi wa kidini 0:08:24.480,0:08:28.260 nikaanza kuthibitisha hoja zangu kwa [br]maandishi ya kiislamu pia. 0:08:29.320,0:08:33.221 Katika miaka 2012 na 2013, shirika langu [br]liliongoza kampeni ya pekee iliyokuwa 0:08:33.221,0:08:36.231 kubwa na pana kuliko zote Libya. 0:08:36.881,0:08:40.371 Tulipenyeza nyumbani, skuleni na [br]vyuoni, hata misikitni. 0:08:41.101,0:08:44.301 Tulizungumza na watu 50,000[br]uso kwa uso, na mamia ya maelfu zaidi 0:08:44.731,0:08:46.613 kwa njia za [br]matangazo ya kubandika, 0:08:46.613,0:08:49.163 matangazo kwenye tv na kwenye radio. 0:08:50.803,0:08:53.173 Labda mnajiuliza, shirika la[br]haki za wanawake 0:08:53.210,0:08:56.646 waliweza kufanya hivyo vipi katika jamii[br]ilyopingana na sisi 0:08:56.646,0:08:58.196 kabisa mwanzoni. 0:08:59.436,0:09:01.556 Niliyatumia maandishi ya kiislamu. 0:09:02.070,0:09:05.870 Nilitumia aya za Korani na misemo ya [br]Mtume Mohammed, 0:09:06.810,0:09:11.340 Hadithi zake, misemo yake ambayo ni,[br]kwa mfano, 0:09:11.780,0:09:14.865 "Mtu bora ndiye anayefanya[br]wema kwa familia yake." 0:09:14.875,0:09:18.008 "Usimruhusu mtu kumdhulumu mwingine." 0:09:19.148,0:09:24.068 Kwa mara ya kwanza, hotuba za Ijumaa [br]kutoka kwa imamu wa kienyeji 0:09:24.128,0:09:26.338 zilitangaza haki za wanawake. 0:09:26.338,0:09:29.506 zilizungumzia masuala yasiyo kawaida, kama[br]vurugu ya nyumbani. 0:09:31.016,0:09:33.336 Sera zilibadilishwa. 0:09:34.305,0:09:39.295 Katika jamii fulani, ilitubidi [br]kusema lile Azimio 0:09:39.295,0:09:42.445 la Kimataifa la Haki ya Wanadamu[br]mlilopingana nayo 0:09:42.445,0:09:45.082 kwa sababu haikuandikwi na watalaamu[br]wa kidini, 0:09:45.082,0:09:49.212 eti, misingi yote ile imo kitabu chetu. 0:09:49.975,0:09:53.005 Yaani, Shirika la Umoja wa Mataifa [br]lilituiga tu. 0:09:56.365,0:09:58.936 Kwa kuubadilisha ujumbe wenyewe, [br]tuliweza kuitoa 0:09:59.026,0:10:02.566 sura mpya iliyotangaza haki za wanawake [br]Libya. 0:10:03.414,0:10:06.454 Ni jambo ambalo sasa limeigwa duniani, 0:10:08.554,0:10:12.439 na sisemi ni rahisi--- niamini, [br]si rahisi kabisa. 0:10:12.759,0:10:16.560 'Liberals' watasema unaitumia dini [br]na kukuita 'conservative' mbaya. 0:10:16.560,0:10:19.500 na 'conservatives' watakupa[br]matusi mengi. 0:10:19.994,0:10:23.990 Mimi mwenyewe nimeyapata mengi, kama [br]"Wazazi wako hawaaibiki na wewe?" -- 0:10:23.990,0:10:26.151 sio kweli;[br]wao wananipenda kuliko wote -- 0:10:26.151,0:10:28.801 au "Hutoishi kuona siku [br]yako ya kuzaliwa tena" -- 0:10:28.801,0:10:31.031 tena sio kweli, nimeshaiona. 0:10:32.931,0:10:36.570 Na bado, ninaamini kabisa 0:10:36.570,0:10:40.380 kwamba haki za wanawake[br]na dini zinaweza kuendana. 0:10:42.461,0:10:45.561 Lakini lazima tupewe nafasi kwenye meza. 0:10:45.916,0:10:48.606 Tusiache kupigania [br]nafasi yetu, kwa sababu 0:10:48.606,0:10:55.316 kwa kukaa kimya, tunaruhusu mateso na [br]dhuluma za wanawake duniani kuendelea. 0:10:56.467,0:10:59.007 Kwa kudai tutapigania haki za wanawake 0:10:59.017,0:11:02.167 na kupigania ugaidi kwa kutumia[br]mabomu na vita, 0:11:02.907,0:11:06.947 tunaharibu jamii za kienyeji zinazohitaji[br]kuyashughulikia masuala hayo 0:11:07.556,0:11:10.866 ili yawezekane kuendelea. 0:11:11.806,0:11:15.820 Sio rahisi, kushindana na taarifa za dini [br]za kupotosha. 0:11:17.030,0:11:21.630 Utapata vyako vya matusi na dhihaka na [br]vitisho. 0:11:21.730,0:11:24.126 Lakini ni lazima ifanyike. 0:11:24.136,0:11:29.434 Hatuna budi ila kuuchukua tena [br]ujumbe wa haki za binadamu, 0:11:29.434,0:11:32.904 maadili ya dini yetu, si kwa ajili yetu, 0:11:32.904,0:11:34.591 na si kwa ajili ya [br]wanawake wenu tu, 0:11:34.591,0:11:36.061 si kwa ajili ya [br]wanawake humu leo, 0:11:36.121,0:11:38.741 hata si kwa ajili ya [br]wanawake kule nje, 0:11:40.101,0:11:43.434 bali kwa ajili ya jamii ambazo[br]zingebadilika kuwa nzuri 0:11:43.434,0:11:45.849 kwa mashirikiano ya wanawake. 0:11:46.489,0:11:48.649 Na jinsi ya pekee sisi tunavyoweza [br]kufanya hivyo, 0:11:48.649,0:11:50.389 njia yetu moja tu, 0:11:50.469,0:11:53.499 ni kupata nafasi na kukaa daima, [br]kwenye meza. 0:11:53.649,0:11:54.799 Asante. 0:11:54.799,0:11:58.259 (Makofi)