WEBVTT 00:00:01.040 --> 00:00:19.251 Karibu katika onyesho la kujumulisha kiwango cha pili. Nadhani tunafaa kuanzia na mifano ya maswali, na natarajia tunapoendeea kuyatatus utapata ufahamu mpana 00:00:19.251 --> 00:00:28.102 Tuseme nina kumi na moja jumulisha na nne 00:00:28.102 --> 00:00:34.965 Fikra la kwana ni, kumi na moja jumuisha nne?Sina unfahamu kujumlisha tarakimu zaidi ya moja 00:00:34.965 --> 00:00:35.465 Kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho 00:00:35.465 --> 00:00:35.965 Niruhusu nihakikishe kalamu yangu iko sawa 00:00:35.965 --> 00:00:36.465 Tuseme nilikuwa na 11+4 00:00:36.465 --> 00:00:36.965 Fikra la kwana ni, 11+4` 00:00:36.965 --> 00:00:37.465 Sina ufahamu kujumulisha nambari yenye tarakimu zaidi ya moja 00:00:37.465 --> 00:00:37.965 Naam, kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho 00:00:37.965 --> 00:00:39.720 Kwanza nitakuonyesha kuwa unachotarajiwa kuelewa ni 00:00:39.720 --> 00:00:41.348 kujumulisha nambari za tarakimu moha 00:00:41.348 --> 00:00:43.248 kutatua swali lote utatumia njia ya uchukuzi