0:00:01.040,0:00:19.251 Karibu katika onyesho la kujumulisha kiwango cha pili. Nadhani tunafaa kuanzia na mifano ya maswali, na natarajia tunapoendeea kuyatatus utapata ufahamu mpana 0:00:19.251,0:00:28.102 Tuseme nina kumi na moja jumulisha na nne 0:00:28.102,0:00:34.965 Fikra la kwana ni, kumi na moja jumuisha nne?Sina unfahamu kujumlisha tarakimu zaidi ya moja 0:00:34.965,0:00:35.465 Kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho 0:00:35.465,0:00:35.965 Niruhusu nihakikishe kalamu yangu iko sawa 0:00:35.965,0:00:36.465 Tuseme nilikuwa na 11+4 0:00:36.465,0:00:36.965 Fikra la kwana ni, 11+4` 0:00:36.965,0:00:37.465 Sina ufahamu kujumulisha nambari yenye tarakimu zaidi ya moja 0:00:37.465,0:00:37.965 Naam, kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho 0:00:37.965,0:00:39.720 Kwanza nitakuonyesha kuwa unachotarajiwa kuelewa ni 0:00:39.720,0:00:41.348 kujumulisha nambari za tarakimu moha 0:00:41.348,0:00:43.248 kutatua swali lote utatumia njia ya uchukuzi