Karibu katika onyesho la kujumulisha kiwango cha pili. Nadhani tunafaa kuanzia na mifano ya maswali, na natarajia tunapoendeea kuyatatus utapata ufahamu mpana
Tuseme nina kumi na moja jumulisha na nne
Fikra la kwana ni, kumi na moja jumuisha nne?Sina unfahamu kujumlisha tarakimu zaidi ya moja
Kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho
Niruhusu nihakikishe kalamu yangu iko sawa
Tuseme nilikuwa na 11+4
Fikra la kwana ni, 11+4`
Sina ufahamu kujumulisha nambari yenye tarakimu zaidi ya moja
Naam, kuna njia tofauti ya kutafuta suluhisho
Kwanza nitakuonyesha kuwa unachotarajiwa kuelewa ni
kujumulisha nambari za tarakimu moha
kutatua swali lote utatumia njia ya uchukuzi