WEBVTT 00:00:01.436 --> 00:00:04.643 Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto, 00:00:04.667 --> 00:00:07.377 nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku 00:00:07.401 --> 00:00:08.559 Mandalay, 00:00:08.583 --> 00:00:11.701 mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma, 00:00:11.725 --> 00:00:13.142 sasa Myanmar. 00:00:13.660 --> 00:00:17.858 Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la wanaume ambao ni wakorofi 00:00:17.882 --> 00:00:21.775 wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao. 00:00:21.799 --> 00:00:23.169 Mmoja kati yao akanifuata 00:00:23.193 --> 00:00:25.375 na kujitolea kunionesha maeneo. 00:00:26.615 --> 00:00:29.279 Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza. 00:00:29.832 --> 00:00:33.820 Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia kununua chokoleti nyumbani. NOTE Paragraph 00:00:33.844 --> 00:00:36.985 Nikapanda kwenye baiskeli yake, 00:00:37.009 --> 00:00:42.880 na akaanza kutuendesha polepole kwenye makasri na mahekalu. 00:00:43.972 --> 00:00:49.271 Wakati anaendesha, akaniambia jinsi alivyokuja mjini kutoka kijijini kwake. 00:00:49.295 --> 00:00:51.674 Alikuwa na digrii ya hisabati. 00:00:51.698 --> 00:00:54.025 Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu. 00:00:54.445 --> 00:00:59.257 Hakika maisha ni magumu kwenye udikteta wa kijeshi, 00:00:59.281 --> 00:01:03.401 kwa sasa, hii ilikuwa ni namna pekee ya kujipatia kipato. 00:01:04.796 --> 00:01:08.737 Mara nyingi usiku, aliniambia, alilala kwenye guta yake 00:01:08.761 --> 00:01:13.147 ili kusudi apate wateja wa kwanza wa treni ya usiku. NOTE Paragraph 00:01:15.543 --> 00:01:19.392 Punde si punde, tukagundua kwamba kwa namna fulani 00:01:19.416 --> 00:01:21.082 tuna mengi ya kufanana -- 00:01:21.106 --> 00:01:22.967 wote tulikuwa kwenye miaka ya 20, 00:01:22.991 --> 00:01:26.203 sote tulikuwa tunavutiwa na tamaduni za kigeni -- 00:01:26.734 --> 00:01:28.658 mpaka akanikaribisha nyumbani. NOTE Paragraph 00:01:30.056 --> 00:01:33.863 Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi, 00:01:33.887 --> 00:01:38.097 na tukaanza kupita kwenye njia zenye mabonde na kona nyingi 00:01:38.121 --> 00:01:40.469 Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka kila sehemu. 00:01:40.493 --> 00:01:43.335 Kwakweli sikujua nilipokuwepo, NOTE Paragraph 00:01:44.136 --> 00:01:47.818 na nikagundua kua chochote kinaweza kunitokea sasa. 00:01:47.842 --> 00:01:50.284 Ninaweza ibiwa au leweshwa 00:01:50.308 --> 00:01:51.624 au kibaya zaidi. 00:01:51.648 --> 00:01:53.032 Hamna ambaye angejua. NOTE Paragraph 00:01:54.309 --> 00:01:58.006 Mwishowe, akasimama na akanipeleka kwenye kibanda, 00:01:58.030 --> 00:02:01.354 ambacho kilikuwa na chumba kimoja tu kidogo. 00:02:02.228 --> 00:02:04.405 Kisha akainama chini, 00:02:04.429 --> 00:02:06.371 kwenye kitanda chake. 00:02:07.608 --> 00:02:09.786 Kitu ndani yangu kikaganda. 00:02:12.046 --> 00:02:14.746 Nikawa nasubiri nione atavuta nini. 00:02:15.361 --> 00:02:18.371 Mwishowe akatoa boksi. 00:02:19.295 --> 00:02:24.226 Ndani yake kulikuwa na barua zote alizowahi kupokea 00:02:24.250 --> 00:02:26.291 kutoka kwa wageni wa nchi za nje, 00:02:27.001 --> 00:02:29.103 na baadhi zao alikuwa amebandika 00:02:29.127 --> 00:02:32.518 picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka 00:02:32.542 --> 00:02:34.746 za marafiki zake wapya wa kigeni. NOTE Paragraph 00:02:36.387 --> 00:02:40.014 Hivyo tulivyoagana usiku ule, 00:02:40.038 --> 00:02:42.625 nikagundua kua amenionyesha pia 00:02:42.649 --> 00:02:44.959 siri ya kwenye kusafiri, 00:02:44.983 --> 00:02:47.039 ambayo ni kufanya kitu bila uwoga, 00:02:47.063 --> 00:02:49.755 kusafiri ndani vile vile na nje, 00:02:49.779 --> 00:02:52.294 kwenda sehemu ambazo usingeenda vinginevyo, 00:02:52.990 --> 00:02:55.498 kufanya usiyoyafahamu, 00:02:55.928 --> 00:02:57.101 usichokielewa, 00:02:57.498 --> 00:02:58.780 hata uwoga. NOTE Paragraph 00:03:00.298 --> 00:03:02.737 Nyumbani, ni hatari kirahisi 00:03:02.761 --> 00:03:04.971 kujiona tupo juu ya mambo. 00:03:05.810 --> 00:03:09.822 Nje kwenye dunia, unakumbushwa kila saa kwamba haupo 00:03:10.309 --> 00:03:12.855 na hauwezi kufikia kwenye mwisho wa mambo pia. NOTE Paragraph 00:03:14.235 --> 00:03:17.137 Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia," 00:03:17.161 --> 00:03:19.440 Ralph Waldo Emerson alitukumbusha, 00:03:19.464 --> 00:03:22.140 "lakini mara nyingi tunapokuwa hatujatulia 00:03:22.164 --> 00:03:23.850 ndipo kuna tumaini kwetu." NOTE Paragraph 00:03:24.891 --> 00:03:27.318 Kwenye hili kongamano, tumebahatika sana 00:03:27.342 --> 00:03:30.795 kusikia mawazo mapya ya kustaajabisha na vumbuzi 00:03:30.819 --> 00:03:32.575 na kweli, kuhusu njia zote 00:03:32.599 --> 00:03:35.922 ambazo maarife yanasukumwa mbele sana. 00:03:36.797 --> 00:03:40.026 Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka. 00:03:40.802 --> 00:03:42.026 Na huo ndio muda 00:03:42.050 --> 00:03:44.685 ambao maisha yako yanaamua kweli: 00:03:45.825 --> 00:03:47.507 unapata upendo; 00:03:48.093 --> 00:03:49.928 unapoteza rafiki; 00:03:50.893 --> 00:03:52.465 taa zinazimika. 00:03:53.000 --> 00:03:58.014 Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea, au huelewi au umepoteza matumaini, 00:03:58.038 --> 00:04:00.200 ndipo unapogundua wewe ni nani. NOTE Paragraph 00:04:02.224 --> 00:04:05.552 Siamini kama ujinga ni starehe. 00:04:06.193 --> 00:04:09.324 Sayansi imefanya maisha yetu 00:04:09.348 --> 00:04:11.816 yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye afya zaidi. 00:04:12.825 --> 00:04:17.652 Na ninawashukuru sana walimu walionifundisha kanuni za fizikia, 00:04:17.676 --> 00:04:21.189 na kunielekeza kwamba tatu mara tatu ni tisa. 00:04:21.678 --> 00:04:24.503 Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu. 00:04:24.527 --> 00:04:26.869 muda wowote wa usiku au mchana. 00:04:28.802 --> 00:04:30.414 Lakini mwanahisabati akiniambia 00:04:30.438 --> 00:04:33.961 hio ukitoa mara tatu ukitoa tatu ni tisa, 00:04:33.985 --> 00:04:38.854 hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana kama uaminifu. NOTE Paragraph 00:04:40.674 --> 00:04:44.435 Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine, sio lazima iwe ujinga. 00:04:44.948 --> 00:04:46.098 Inaweza ikawa mshangao. 00:04:46.482 --> 00:04:47.632 Au maajabu. 00:04:47.964 --> 00:04:49.147 Uwezekano. 00:04:49.894 --> 00:04:53.731 Na kwenye maisha yangu, nimegundua ni vile nisivyovijua 00:04:53.755 --> 00:04:56.434 ndivyo ambavyo vimeninyanyua na kunisukuma mbele zaidi 00:04:56.458 --> 00:04:59.026 kushinda vile ninavyovijua. 00:05:00.222 --> 00:05:02.021 Ni pia vile nisivyovijua 00:05:02.045 --> 00:05:05.439 vilivyonileta karibu na kila mtu anaenizunguka. NOTE Paragraph 00:05:06.549 --> 00:05:08.549 Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni, 00:05:08.573 --> 00:05:13.001 nimesafiri kila mwaka kupitia Japan na Dalai Lama. 00:05:14.001 --> 00:05:17.101 Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku 00:05:17.125 --> 00:05:20.672 ambacho kilionekana kuwapa watu suluhisho na tumaini 00:05:20.696 --> 00:05:22.754 ilikuwa ni "sijui." NOTE Paragraph 00:05:24.325 --> 00:05:26.202 "Nini kitatokea Tibet?" 00:05:27.226 --> 00:05:30.206 "Lini tutapata amani duniani?" 00:05:30.765 --> 00:05:32.826 "Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?" NOTE Paragraph 00:05:34.134 --> 00:05:37.205 "Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye busara, 00:05:37.229 --> 00:05:38.466 "Sijui." NOTE Paragraph 00:05:40.117 --> 00:05:43.818 Mshindi wa tuzo ya Nobeli, mwanauchumi Daniel Kahneman 00:05:43.842 --> 00:05:48.345 ametumia zaidi ya miaka 60 sasa akichunguza tabia za binadamu, 00:05:48.369 --> 00:05:50.401 na muafaka wake ni 00:05:50.425 --> 00:05:55.039 kua huwa tunajiamini sana na kile tunachodhani tunakijua 00:05:55.063 --> 00:05:56.788 kuliko tunavyotakiwa kuwa. 00:05:56.812 --> 00:05:59.471 Tunakuwa, kama anavyosema, 00:05:59.495 --> 00:06:03.699 na "uwezo usio na kikomo wa kupuuzia ujinga wetu." 00:06:04.849 --> 00:06:09.936 Tunajua -- nanukuu -- timu yetu itaenda kushinda wikiendi hii, 00:06:09.960 --> 00:06:12.129 na tunakumbuka tu hayo maarifa 00:06:12.153 --> 00:06:14.502 mara chache tukiwa sahihi. 00:06:15.582 --> 00:06:18.425 Mara nyingi, tunakuwa gizani. 00:06:19.319 --> 00:06:22.794 Na hapo ndipo hisia za kweli zipo. NOTE Paragraph 00:06:24.580 --> 00:06:27.513 Unajua mpenzi wako atakachokua anafanya kesho? 00:06:28.673 --> 00:06:29.946 Je unataka kujua? NOTE Paragraph 00:06:31.621 --> 00:06:34.434 Wazazi wetu sote kama watu wanavyowaita, 00:06:34.458 --> 00:06:35.617 Adam na Hawa, 00:06:35.641 --> 00:06:39.799 wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula kutoka kwenye mti wa uzima. 00:06:40.631 --> 00:06:42.829 Ila punde walivyoanza kula 00:06:42.853 --> 00:06:45.435 kutoka kwenye mti wa maarifa, ya mema na mabaya, 00:06:45.459 --> 00:06:47.263 wakaanguka kutoka kwenye weupe wao. 00:06:47.808 --> 00:06:50.833 Wakajawa na aibu na uwoga, 00:06:50.857 --> 00:06:52.054 wakajitambua. 00:06:52.865 --> 00:06:55.233 Na wakajifunza, kwa kuchelewa, pengine, 00:06:55.257 --> 00:06:57.997 kwamba kwa kweli kuna vitu tunahitaji kuvijua, 00:06:58.021 --> 00:07:01.968 lakini kuna vingi, vingi zaidi ambavyo ni bora visichunguzwe. NOTE Paragraph 00:07:03.999 --> 00:07:05.924 Sasa, nilivyokuwa mtoto, 00:07:05.948 --> 00:07:09.266 nilijua vyote, bila shaka. 00:07:09.290 --> 00:07:13.502 Nilitumia miaka 20 darasani nikikusanya mawazo, 00:07:13.526 --> 00:07:16.245 na nilikuwa kweli kwenye biashara ya habari, 00:07:16.269 --> 00:07:18.419 nikiandika makala ya gazeti la Time. 00:07:19.129 --> 00:07:24.305 Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza kwa muda wa wiki mbili na nusu, 00:07:24.329 --> 00:07:27.609 na nikarudi na insha ya karatasi 40 00:07:27.633 --> 00:07:31.197 ikielezea kila kitu kuhusu nyumba za ibada za Japan, 00:07:31.221 --> 00:07:33.903 mitindo yake, michezo yake ya besiboli, 00:07:34.490 --> 00:07:35.649 nafsi yake. NOTE Paragraph 00:07:37.276 --> 00:07:39.606 Lakini chini ya hayo yote, 00:07:39.630 --> 00:07:42.807 kitu ambacho sikuweza elewa 00:07:42.831 --> 00:07:47.325 kiliniongoza kwa sababu nisizoweza kuwaelezea bado, 00:07:48.087 --> 00:07:51.296 mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan. 00:07:52.450 --> 00:07:55.201 Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28, 00:07:55.225 --> 00:07:57.625 siwezi kuwaelezea mengi kabisa 00:07:57.649 --> 00:07:59.313 kuhusu nyumbani kwangu. 00:08:00.222 --> 00:08:01.569 Ambayo ni nzuri, 00:08:01.593 --> 00:08:04.473 sababu inamaanisha kila siku ninagundua kitu kipya. 00:08:04.497 --> 00:08:05.988 na kwenye hiyo harakati, 00:08:06.012 --> 00:08:09.906 kuangalia pembeni na kuona mamia na maelfu ya vitu 00:08:09.930 --> 00:08:11.231 nisingeweza kujua. NOTE Paragraph 00:08:12.964 --> 00:08:15.430 Maarifa ni zawadi kubwa sana. 00:08:16.452 --> 00:08:21.007 Lakini maarifa ya uwongo yanaweza kua hatari kuliko ujinga. NOTE Paragraph 00:08:21.895 --> 00:08:24.528 Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako 00:08:25.115 --> 00:08:26.272 au adui yako 00:08:26.621 --> 00:08:28.076 inaweza kua ya hila zaidi 00:08:28.100 --> 00:08:30.548 kuliko kukubali kwamba hautowajua. 00:08:31.937 --> 00:08:36.409 Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye nyumba yetu ndogo, 00:08:36.433 --> 00:08:40.791 inanichukua maumivu mengi kutokuangalia utabiri wa hali ya hewa, 00:08:40.815 --> 00:08:42.453 sababu nikiangalia, 00:08:42.477 --> 00:08:45.740 akili yangu itajawa na mawazo, na itasumbuka 00:08:45.764 --> 00:08:48.278 hata kama siku ikiwa angavu. NOTE Paragraph 00:08:50.160 --> 00:08:54.353 Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa. 00:08:54.816 --> 00:08:57.696 Na kitu kimoja ambacho nimejifunza 00:08:57.720 --> 00:09:01.256 ni kua mabadiliko huja pale nisipoyapangilia, 00:09:01.280 --> 00:09:03.457 pale ambapo sijui nini kinafuata, 00:09:03.481 --> 00:09:08.008 pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa kuliko kila kitu kinachonizunguka. 00:09:09.191 --> 00:09:11.097 Na hio ni kweli pia kwenye upendo 00:09:11.643 --> 00:09:13.919 au kwenye wakati wa majanga. 00:09:14.929 --> 00:09:18.371 Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena 00:09:18.395 --> 00:09:22.430 na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa; 00:09:22.454 --> 00:09:26.118 na tunakumbushwa, kweli, kwenye kanuni ya kwanza ya safari 00:09:26.142 --> 00:09:27.868 na hivyo, ya maisha: 00:09:29.090 --> 00:09:33.829 una nguvu tu kama uwezo wako wa kujisalimisha. NOTE Paragraph 00:09:35.512 --> 00:09:37.521 Mwishowe, pengine, 00:09:37.545 --> 00:09:38.739 kuwa binadamu 00:09:39.262 --> 00:09:41.015 ni muhimu zaidi 00:09:41.039 --> 00:09:43.694 kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu. NOTE Paragraph 00:09:44.763 --> 00:09:45.949 Asanteni. NOTE Paragraph 00:09:45.973 --> 00:09:52.596 (Makofi)