[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.44,0:00:04.64,Default,,0000,0000,0000,,Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto, Dialogue: 0,0:00:04.67,0:00:07.38,Default,,0000,0000,0000,,nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku Dialogue: 0,0:00:07.40,0:00:08.56,Default,,0000,0000,0000,,Mandalay, Dialogue: 0,0:00:08.58,0:00:11.70,Default,,0000,0000,0000,,mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma, Dialogue: 0,0:00:11.72,0:00:13.14,Default,,0000,0000,0000,,sasa Myanmar. Dialogue: 0,0:00:13.66,0:00:17.86,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la\Nwanaume ambao ni wakorofi Dialogue: 0,0:00:17.88,0:00:21.78,Default,,0000,0000,0000,,wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao. Dialogue: 0,0:00:21.80,0:00:23.17,Default,,0000,0000,0000,,Mmoja kati yao akanifuata Dialogue: 0,0:00:23.19,0:00:25.38,Default,,0000,0000,0000,,na kujitolea kunionesha maeneo. Dialogue: 0,0:00:26.62,0:00:29.28,Default,,0000,0000,0000,,Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza. Dialogue: 0,0:00:29.83,0:00:33.82,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia\Nkununua chokoleti nyumbani. Dialogue: 0,0:00:33.84,0:00:36.98,Default,,0000,0000,0000,,Nikapanda kwenye baiskeli yake, Dialogue: 0,0:00:37.01,0:00:42.88,Default,,0000,0000,0000,,na akaanza kutuendesha polepole\Nkwenye makasri na mahekalu. Dialogue: 0,0:00:43.97,0:00:49.27,Default,,0000,0000,0000,,Wakati anaendesha, akaniambia jinsi\Nalivyokuja mjini kutoka kijijini kwake. Dialogue: 0,0:00:49.30,0:00:51.67,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa na digrii ya hisabati. Dialogue: 0,0:00:51.70,0:00:54.02,Default,,0000,0000,0000,,Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu. Dialogue: 0,0:00:54.44,0:00:59.26,Default,,0000,0000,0000,,Hakika maisha ni magumu kwenye\Nudikteta wa kijeshi, Dialogue: 0,0:00:59.28,0:01:03.40,Default,,0000,0000,0000,,kwa sasa, hii ilikuwa ni namna\Npekee ya kujipatia kipato. Dialogue: 0,0:01:04.80,0:01:08.74,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi usiku, aliniambia,\Nalilala kwenye guta yake Dialogue: 0,0:01:08.76,0:01:13.15,Default,,0000,0000,0000,,ili kusudi apate wateja wa kwanza\Nwa treni ya usiku. Dialogue: 0,0:01:15.54,0:01:19.39,Default,,0000,0000,0000,,Punde si punde, tukagundua kwamba\Nkwa namna fulani Dialogue: 0,0:01:19.42,0:01:21.08,Default,,0000,0000,0000,,tuna mengi ya kufanana -- Dialogue: 0,0:01:21.11,0:01:22.97,Default,,0000,0000,0000,,wote tulikuwa kwenye miaka ya 20, Dialogue: 0,0:01:22.99,0:01:26.20,Default,,0000,0000,0000,,sote tulikuwa tunavutiwa na\Ntamaduni za kigeni -- Dialogue: 0,0:01:26.73,0:01:28.66,Default,,0000,0000,0000,,mpaka akanikaribisha nyumbani. Dialogue: 0,0:01:30.06,0:01:33.86,Default,,0000,0000,0000,,Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi, Dialogue: 0,0:01:33.89,0:01:38.10,Default,,0000,0000,0000,,na tukaanza kupita kwenye njia zenye\Nmabonde na kona nyingi Dialogue: 0,0:01:38.12,0:01:40.47,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka\Nkila sehemu. Dialogue: 0,0:01:40.49,0:01:43.34,Default,,0000,0000,0000,,Kwakweli sikujua nilipokuwepo, Dialogue: 0,0:01:44.14,0:01:47.82,Default,,0000,0000,0000,,na nikagundua kua chochote\Nkinaweza kunitokea sasa. Dialogue: 0,0:01:47.84,0:01:50.28,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza ibiwa au leweshwa Dialogue: 0,0:01:50.31,0:01:51.62,Default,,0000,0000,0000,,au kibaya zaidi. Dialogue: 0,0:01:51.65,0:01:53.03,Default,,0000,0000,0000,,Hamna ambaye angejua. Dialogue: 0,0:01:54.31,0:01:58.01,Default,,0000,0000,0000,,Mwishowe, akasimama na akanipeleka\Nkwenye kibanda, Dialogue: 0,0:01:58.03,0:02:01.35,Default,,0000,0000,0000,,ambacho kilikuwa na chumba kimoja\Ntu kidogo. Dialogue: 0,0:02:02.23,0:02:04.40,Default,,0000,0000,0000,,Kisha akainama chini, Dialogue: 0,0:02:04.43,0:02:06.37,Default,,0000,0000,0000,,kwenye kitanda chake. Dialogue: 0,0:02:07.61,0:02:09.79,Default,,0000,0000,0000,,Kitu ndani yangu kikaganda. Dialogue: 0,0:02:12.05,0:02:14.75,Default,,0000,0000,0000,,Nikawa nasubiri nione atavuta nini. Dialogue: 0,0:02:15.36,0:02:18.37,Default,,0000,0000,0000,,Mwishowe akatoa boksi. Dialogue: 0,0:02:19.30,0:02:24.23,Default,,0000,0000,0000,,Ndani yake kulikuwa na barua zote\Nalizowahi kupokea Dialogue: 0,0:02:24.25,0:02:26.29,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwa wageni wa nchi za nje, Dialogue: 0,0:02:27.00,0:02:29.10,Default,,0000,0000,0000,,na baadhi zao alikuwa amebandika Dialogue: 0,0:02:29.13,0:02:32.52,Default,,0000,0000,0000,,picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka Dialogue: 0,0:02:32.54,0:02:34.75,Default,,0000,0000,0000,,za marafiki zake wapya wa kigeni. Dialogue: 0,0:02:36.39,0:02:40.01,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tulivyoagana usiku ule, Dialogue: 0,0:02:40.04,0:02:42.62,Default,,0000,0000,0000,,nikagundua kua amenionyesha pia Dialogue: 0,0:02:42.65,0:02:44.96,Default,,0000,0000,0000,,siri ya kwenye kusafiri, Dialogue: 0,0:02:44.98,0:02:47.04,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni kufanya kitu bila uwoga, Dialogue: 0,0:02:47.06,0:02:49.76,Default,,0000,0000,0000,,kusafiri ndani vile vile na nje, Dialogue: 0,0:02:49.78,0:02:52.29,Default,,0000,0000,0000,,kwenda sehemu ambazo usingeenda\Nvinginevyo, Dialogue: 0,0:02:52.99,0:02:55.50,Default,,0000,0000,0000,,kufanya usiyoyafahamu, Dialogue: 0,0:02:55.93,0:02:57.10,Default,,0000,0000,0000,,usichokielewa, Dialogue: 0,0:02:57.50,0:02:58.78,Default,,0000,0000,0000,,hata uwoga. Dialogue: 0,0:03:00.30,0:03:02.74,Default,,0000,0000,0000,,Nyumbani, ni hatari kirahisi Dialogue: 0,0:03:02.76,0:03:04.97,Default,,0000,0000,0000,,kujiona tupo juu ya mambo. Dialogue: 0,0:03:05.81,0:03:09.82,Default,,0000,0000,0000,,Nje kwenye dunia, unakumbushwa\Nkila saa kwamba haupo Dialogue: 0,0:03:10.31,0:03:12.86,Default,,0000,0000,0000,,na hauwezi kufikia kwenye\Nmwisho wa mambo pia. Dialogue: 0,0:03:14.24,0:03:17.14,Default,,0000,0000,0000,,Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia," Dialogue: 0,0:03:17.16,0:03:19.44,Default,,0000,0000,0000,,Ralph Waldo Emerson alitukumbusha, Dialogue: 0,0:03:19.46,0:03:22.14,Default,,0000,0000,0000,,"lakini mara nyingi tunapokuwa\Nhatujatulia Dialogue: 0,0:03:22.16,0:03:23.85,Default,,0000,0000,0000,,ndipo kuna tumaini kwetu." Dialogue: 0,0:03:24.89,0:03:27.32,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye hili kongamano,\Ntumebahatika sana Dialogue: 0,0:03:27.34,0:03:30.80,Default,,0000,0000,0000,,kusikia mawazo mapya ya\Nkustaajabisha na vumbuzi Dialogue: 0,0:03:30.82,0:03:32.58,Default,,0000,0000,0000,,na kweli, kuhusu njia zote Dialogue: 0,0:03:32.60,0:03:35.92,Default,,0000,0000,0000,,ambazo maarife yanasukumwa\Nmbele sana. Dialogue: 0,0:03:36.80,0:03:40.03,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka. Dialogue: 0,0:03:40.80,0:03:42.03,Default,,0000,0000,0000,,Na huo ndio muda Dialogue: 0,0:03:42.05,0:03:44.68,Default,,0000,0000,0000,,ambao maisha yako yanaamua kweli: Dialogue: 0,0:03:45.82,0:03:47.51,Default,,0000,0000,0000,,unapata upendo; Dialogue: 0,0:03:48.09,0:03:49.93,Default,,0000,0000,0000,,unapoteza rafiki; Dialogue: 0,0:03:50.89,0:03:52.46,Default,,0000,0000,0000,,taa zinazimika. Dialogue: 0,0:03:53.00,0:03:58.01,Default,,0000,0000,0000,,Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea,\Nau huelewi au umepoteza matumaini, Dialogue: 0,0:03:58.04,0:04:00.20,Default,,0000,0000,0000,,ndipo unapogundua wewe ni nani. Dialogue: 0,0:04:02.22,0:04:05.55,Default,,0000,0000,0000,,Siamini kama ujinga ni starehe. Dialogue: 0,0:04:06.19,0:04:09.32,Default,,0000,0000,0000,,Sayansi imefanya maisha yetu Dialogue: 0,0:04:09.35,0:04:11.82,Default,,0000,0000,0000,,yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye\Nafya zaidi. Dialogue: 0,0:04:12.82,0:04:17.65,Default,,0000,0000,0000,,Na ninawashukuru sana walimu\Nwalionifundisha kanuni za fizikia, Dialogue: 0,0:04:17.68,0:04:21.19,Default,,0000,0000,0000,,na kunielekeza kwamba\Ntatu mara tatu ni tisa. Dialogue: 0,0:04:21.68,0:04:24.50,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu. Dialogue: 0,0:04:24.53,0:04:26.87,Default,,0000,0000,0000,,muda wowote wa usiku au mchana. Dialogue: 0,0:04:28.80,0:04:30.41,Default,,0000,0000,0000,,Lakini mwanahisabati akiniambia Dialogue: 0,0:04:30.44,0:04:33.96,Default,,0000,0000,0000,,hio ukitoa mara tatu\Nukitoa tatu ni tisa, Dialogue: 0,0:04:33.98,0:04:38.85,Default,,0000,0000,0000,,hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana\Nkama uaminifu. Dialogue: 0,0:04:40.67,0:04:44.44,Default,,0000,0000,0000,,Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine,\Nsio lazima iwe ujinga. Dialogue: 0,0:04:44.95,0:04:46.10,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza ikawa mshangao. Dialogue: 0,0:04:46.48,0:04:47.63,Default,,0000,0000,0000,,Au maajabu. Dialogue: 0,0:04:47.96,0:04:49.15,Default,,0000,0000,0000,,Uwezekano. Dialogue: 0,0:04:49.89,0:04:53.73,Default,,0000,0000,0000,,Na kwenye maisha yangu, nimegundua\Nni vile nisivyovijua Dialogue: 0,0:04:53.76,0:04:56.43,Default,,0000,0000,0000,,ndivyo ambavyo vimeninyanyua\Nna kunisukuma mbele zaidi Dialogue: 0,0:04:56.46,0:04:59.03,Default,,0000,0000,0000,,kushinda vile ninavyovijua. Dialogue: 0,0:05:00.22,0:05:02.02,Default,,0000,0000,0000,,Ni pia vile nisivyovijua Dialogue: 0,0:05:02.04,0:05:05.44,Default,,0000,0000,0000,,vilivyonileta karibu na kila mtu\Nanaenizunguka. Dialogue: 0,0:05:06.55,0:05:08.55,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni, Dialogue: 0,0:05:08.57,0:05:13.00,Default,,0000,0000,0000,,nimesafiri kila mwaka kupitia\NJapan na Dalai Lama. Dialogue: 0,0:05:14.00,0:05:17.10,Default,,0000,0000,0000,,Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku Dialogue: 0,0:05:17.12,0:05:20.67,Default,,0000,0000,0000,,ambacho kilionekana kuwapa watu\Nsuluhisho na tumaini Dialogue: 0,0:05:20.70,0:05:22.75,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa ni "sijui." Dialogue: 0,0:05:24.32,0:05:26.20,Default,,0000,0000,0000,,"Nini kitatokea Tibet?" Dialogue: 0,0:05:27.23,0:05:30.21,Default,,0000,0000,0000,,"Lini tutapata amani duniani?" Dialogue: 0,0:05:30.76,0:05:32.83,Default,,0000,0000,0000,,"Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?" Dialogue: 0,0:05:34.13,0:05:37.20,Default,,0000,0000,0000,,"Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye\Nbusara, Dialogue: 0,0:05:37.23,0:05:38.47,Default,,0000,0000,0000,,"Sijui." Dialogue: 0,0:05:40.12,0:05:43.82,Default,,0000,0000,0000,,Mshindi wa tuzo ya Nobeli,\Nmwanauchumi Daniel Kahneman Dialogue: 0,0:05:43.84,0:05:48.34,Default,,0000,0000,0000,,ametumia zaidi ya miaka 60 sasa\Nakichunguza tabia za binadamu, Dialogue: 0,0:05:48.37,0:05:50.40,Default,,0000,0000,0000,,na muafaka wake ni Dialogue: 0,0:05:50.42,0:05:55.04,Default,,0000,0000,0000,,kua huwa tunajiamini sana na kile\Ntunachodhani tunakijua Dialogue: 0,0:05:55.06,0:05:56.79,Default,,0000,0000,0000,,kuliko tunavyotakiwa kuwa. Dialogue: 0,0:05:56.81,0:05:59.47,Default,,0000,0000,0000,,Tunakuwa, kama anavyosema, Dialogue: 0,0:05:59.50,0:06:03.70,Default,,0000,0000,0000,,na "uwezo usio na kikomo wa\Nkupuuzia ujinga wetu." Dialogue: 0,0:06:04.85,0:06:09.94,Default,,0000,0000,0000,,Tunajua -- nanukuu -- timu yetu\Nitaenda kushinda wikiendi hii, Dialogue: 0,0:06:09.96,0:06:12.13,Default,,0000,0000,0000,,na tunakumbuka tu hayo maarifa Dialogue: 0,0:06:12.15,0:06:14.50,Default,,0000,0000,0000,,mara chache tukiwa sahihi. Dialogue: 0,0:06:15.58,0:06:18.42,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi, tunakuwa gizani. Dialogue: 0,0:06:19.32,0:06:22.79,Default,,0000,0000,0000,,Na hapo ndipo hisia za kweli zipo. Dialogue: 0,0:06:24.58,0:06:27.51,Default,,0000,0000,0000,,Unajua mpenzi wako\Natakachokua anafanya kesho? Dialogue: 0,0:06:28.67,0:06:29.95,Default,,0000,0000,0000,,Je unataka kujua? Dialogue: 0,0:06:31.62,0:06:34.43,Default,,0000,0000,0000,,Wazazi wetu sote\Nkama watu wanavyowaita, Dialogue: 0,0:06:34.46,0:06:35.62,Default,,0000,0000,0000,,Adam na Hawa, Dialogue: 0,0:06:35.64,0:06:39.80,Default,,0000,0000,0000,,wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula\Nkutoka kwenye mti wa uzima. Dialogue: 0,0:06:40.63,0:06:42.83,Default,,0000,0000,0000,,Ila punde walivyoanza kula Dialogue: 0,0:06:42.85,0:06:45.44,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwenye mti wa maarifa,\Nya mema na mabaya, Dialogue: 0,0:06:45.46,0:06:47.26,Default,,0000,0000,0000,,wakaanguka kutoka kwenye weupe wao. Dialogue: 0,0:06:47.81,0:06:50.83,Default,,0000,0000,0000,,Wakajawa na aibu na uwoga, Dialogue: 0,0:06:50.86,0:06:52.05,Default,,0000,0000,0000,,wakajitambua. Dialogue: 0,0:06:52.86,0:06:55.23,Default,,0000,0000,0000,,Na wakajifunza,\Nkwa kuchelewa, pengine, Dialogue: 0,0:06:55.26,0:06:57.100,Default,,0000,0000,0000,,kwamba kwa kweli kuna vitu\Ntunahitaji kuvijua, Dialogue: 0,0:06:58.02,0:07:01.97,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuna vingi, vingi zaidi\Nambavyo ni bora visichunguzwe. Dialogue: 0,0:07:03.100,0:07:05.92,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, nilivyokuwa mtoto, Dialogue: 0,0:07:05.95,0:07:09.27,Default,,0000,0000,0000,,nilijua vyote, bila shaka. Dialogue: 0,0:07:09.29,0:07:13.50,Default,,0000,0000,0000,,Nilitumia miaka 20 darasani\Nnikikusanya mawazo, Dialogue: 0,0:07:13.53,0:07:16.24,Default,,0000,0000,0000,,na nilikuwa kweli\Nkwenye biashara ya habari, Dialogue: 0,0:07:16.27,0:07:18.42,Default,,0000,0000,0000,,nikiandika makala ya gazeti la Time. Dialogue: 0,0:07:19.13,0:07:24.30,Default,,0000,0000,0000,,Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza\Nkwa muda wa wiki mbili na nusu, Dialogue: 0,0:07:24.33,0:07:27.61,Default,,0000,0000,0000,,na nikarudi na insha ya karatasi 40 Dialogue: 0,0:07:27.63,0:07:31.20,Default,,0000,0000,0000,,ikielezea kila kitu kuhusu\Nnyumba za ibada za Japan, Dialogue: 0,0:07:31.22,0:07:33.90,Default,,0000,0000,0000,,mitindo yake, michezo yake ya besiboli, Dialogue: 0,0:07:34.49,0:07:35.65,Default,,0000,0000,0000,,nafsi yake. Dialogue: 0,0:07:37.28,0:07:39.61,Default,,0000,0000,0000,,Lakini chini ya hayo yote, Dialogue: 0,0:07:39.63,0:07:42.81,Default,,0000,0000,0000,,kitu ambacho sikuweza elewa Dialogue: 0,0:07:42.83,0:07:47.32,Default,,0000,0000,0000,,kiliniongoza kwa sababu\Nnisizoweza kuwaelezea bado, Dialogue: 0,0:07:48.09,0:07:51.30,Default,,0000,0000,0000,,mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan. Dialogue: 0,0:07:52.45,0:07:55.20,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28, Dialogue: 0,0:07:55.22,0:07:57.62,Default,,0000,0000,0000,,siwezi kuwaelezea mengi kabisa Dialogue: 0,0:07:57.65,0:07:59.31,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu nyumbani kwangu. Dialogue: 0,0:08:00.22,0:08:01.57,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo ni nzuri, Dialogue: 0,0:08:01.59,0:08:04.47,Default,,0000,0000,0000,,sababu inamaanisha kila siku\Nninagundua kitu kipya. Dialogue: 0,0:08:04.50,0:08:05.99,Default,,0000,0000,0000,,na kwenye hiyo harakati, Dialogue: 0,0:08:06.01,0:08:09.91,Default,,0000,0000,0000,,kuangalia pembeni na kuona\Nmamia na maelfu ya vitu Dialogue: 0,0:08:09.93,0:08:11.23,Default,,0000,0000,0000,,nisingeweza kujua. Dialogue: 0,0:08:12.96,0:08:15.43,Default,,0000,0000,0000,,Maarifa ni zawadi kubwa sana. Dialogue: 0,0:08:16.45,0:08:21.01,Default,,0000,0000,0000,,Lakini maarifa ya uwongo\Nyanaweza kua hatari kuliko ujinga. Dialogue: 0,0:08:21.90,0:08:24.53,Default,,0000,0000,0000,,Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako Dialogue: 0,0:08:25.12,0:08:26.27,Default,,0000,0000,0000,,au adui yako Dialogue: 0,0:08:26.62,0:08:28.08,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kua ya hila zaidi Dialogue: 0,0:08:28.10,0:08:30.55,Default,,0000,0000,0000,,kuliko kukubali kwamba hautowajua. Dialogue: 0,0:08:31.94,0:08:36.41,Default,,0000,0000,0000,,Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye\Nnyumba yetu ndogo, Dialogue: 0,0:08:36.43,0:08:40.79,Default,,0000,0000,0000,,inanichukua maumivu mengi \Nkutokuangalia utabiri wa hali ya hewa, Dialogue: 0,0:08:40.82,0:08:42.45,Default,,0000,0000,0000,,sababu nikiangalia, Dialogue: 0,0:08:42.48,0:08:45.74,Default,,0000,0000,0000,,akili yangu itajawa na mawazo,\Nna itasumbuka Dialogue: 0,0:08:45.76,0:08:48.28,Default,,0000,0000,0000,,hata kama siku ikiwa angavu. Dialogue: 0,0:08:50.16,0:08:54.35,Default,,0000,0000,0000,,Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa. Dialogue: 0,0:08:54.82,0:08:57.70,Default,,0000,0000,0000,,Na kitu kimoja ambacho nimejifunza Dialogue: 0,0:08:57.72,0:09:01.26,Default,,0000,0000,0000,,ni kua mabadiliko huja pale\Nnisipoyapangilia, Dialogue: 0,0:09:01.28,0:09:03.46,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo sijui nini kinafuata, Dialogue: 0,0:09:03.48,0:09:08.01,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa\Nkuliko kila kitu kinachonizunguka. Dialogue: 0,0:09:09.19,0:09:11.10,Default,,0000,0000,0000,,Na hio ni kweli pia kwenye upendo Dialogue: 0,0:09:11.64,0:09:13.92,Default,,0000,0000,0000,,au kwenye wakati wa majanga. Dialogue: 0,0:09:14.93,0:09:18.37,Default,,0000,0000,0000,,Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena Dialogue: 0,0:09:18.40,0:09:22.43,Default,,0000,0000,0000,,na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa; Dialogue: 0,0:09:22.45,0:09:26.12,Default,,0000,0000,0000,,na tunakumbushwa, kweli,\Nkwenye kanuni ya kwanza ya safari Dialogue: 0,0:09:26.14,0:09:27.87,Default,,0000,0000,0000,,na hivyo, ya maisha: Dialogue: 0,0:09:29.09,0:09:33.83,Default,,0000,0000,0000,,una nguvu tu kama uwezo\Nwako wa kujisalimisha. Dialogue: 0,0:09:35.51,0:09:37.52,Default,,0000,0000,0000,,Mwishowe, pengine, Dialogue: 0,0:09:37.54,0:09:38.74,Default,,0000,0000,0000,,kuwa binadamu Dialogue: 0,0:09:39.26,0:09:41.02,Default,,0000,0000,0000,,ni muhimu zaidi Dialogue: 0,0:09:41.04,0:09:43.69,Default,,0000,0000,0000,,kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu. Dialogue: 0,0:09:44.76,0:09:45.95,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:09:45.97,0:09:52.60,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)