1 00:00:01,436 --> 00:00:04,643 Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto, 2 00:00:04,667 --> 00:00:07,377 nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku 3 00:00:07,401 --> 00:00:08,559 Mandalay, 4 00:00:08,583 --> 00:00:11,701 mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma, 5 00:00:11,725 --> 00:00:13,142 sasa Myanmar. 6 00:00:13,660 --> 00:00:17,858 Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la wanaume ambao ni wakorofi 7 00:00:17,882 --> 00:00:21,775 wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao. 8 00:00:21,799 --> 00:00:23,169 Mmoja kati yao akanifuata 9 00:00:23,193 --> 00:00:25,375 na kujitolea kunionesha maeneo. 10 00:00:26,615 --> 00:00:29,279 Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza. 11 00:00:29,832 --> 00:00:33,820 Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia kununua chokoleti nyumbani. 12 00:00:33,844 --> 00:00:36,985 Nikapanda kwenye baiskeli yake, 13 00:00:37,009 --> 00:00:42,880 na akaanza kutuendesha polepole kwenye makasri na mahekalu. 14 00:00:43,972 --> 00:00:49,271 Wakati anaendesha, akaniambia jinsi alivyokuja mjini kutoka kijijini kwake. 15 00:00:49,295 --> 00:00:51,674 Alikuwa na digrii ya hisabati. 16 00:00:51,698 --> 00:00:54,025 Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu. 17 00:00:54,445 --> 00:00:59,257 Hakika maisha ni magumu kwenye udikteta wa kijeshi, 18 00:00:59,281 --> 00:01:03,401 kwa sasa, hii ilikuwa ni namna pekee ya kujipatia kipato. 19 00:01:04,796 --> 00:01:08,737 Mara nyingi usiku, aliniambia, alilala kwenye guta yake 20 00:01:08,761 --> 00:01:13,147 ili kusudi apate wateja wa kwanza wa treni ya usiku. 21 00:01:15,543 --> 00:01:19,392 Punde si punde, tukagundua kwamba kwa namna fulani 22 00:01:19,416 --> 00:01:21,082 tuna mengi ya kufanana -- 23 00:01:21,106 --> 00:01:22,967 wote tulikuwa kwenye miaka ya 20, 24 00:01:22,991 --> 00:01:26,203 sote tulikuwa tunavutiwa na tamaduni za kigeni -- 25 00:01:26,734 --> 00:01:28,658 mpaka akanikaribisha nyumbani. 26 00:01:30,056 --> 00:01:33,863 Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi, 27 00:01:33,887 --> 00:01:38,097 na tukaanza kupita kwenye njia zenye mabonde na kona nyingi 28 00:01:38,121 --> 00:01:40,469 Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka kila sehemu. 29 00:01:40,493 --> 00:01:43,335 Kwakweli sikujua nilipokuwepo, 30 00:01:44,136 --> 00:01:47,818 na nikagundua kua chochote kinaweza kunitokea sasa. 31 00:01:47,842 --> 00:01:50,284 Ninaweza ibiwa au leweshwa 32 00:01:50,308 --> 00:01:51,624 au kibaya zaidi. 33 00:01:51,648 --> 00:01:53,032 Hamna ambaye angejua. 34 00:01:54,309 --> 00:01:58,006 Mwishowe, akasimama na akanipeleka kwenye kibanda, 35 00:01:58,030 --> 00:02:01,354 ambacho kilikuwa na chumba kimoja tu kidogo. 36 00:02:02,228 --> 00:02:04,405 Kisha akainama chini, 37 00:02:04,429 --> 00:02:06,371 kwenye kitanda chake. 38 00:02:07,608 --> 00:02:09,786 Kitu ndani yangu kikaganda. 39 00:02:12,046 --> 00:02:14,746 Nikawa nasubiri nione atavuta nini. 40 00:02:15,361 --> 00:02:18,371 Mwishowe akatoa boksi. 41 00:02:19,295 --> 00:02:24,226 Ndani yake kulikuwa na barua zote alizowahi kupokea 42 00:02:24,250 --> 00:02:26,291 kutoka kwa wageni wa nchi za nje, 43 00:02:27,001 --> 00:02:29,103 na baadhi zao alikuwa amebandika 44 00:02:29,127 --> 00:02:32,518 picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka 45 00:02:32,542 --> 00:02:34,746 za marafiki zake wapya wa kigeni. 46 00:02:36,387 --> 00:02:40,014 Hivyo tulivyoagana usiku ule, 47 00:02:40,038 --> 00:02:42,625 nikagundua kua amenionyesha pia 48 00:02:42,649 --> 00:02:44,959 siri ya kwenye kusafiri, 49 00:02:44,983 --> 00:02:47,039 ambayo ni kufanya kitu bila uwoga, 50 00:02:47,063 --> 00:02:49,755 kusafiri ndani vile vile na nje, 51 00:02:49,779 --> 00:02:52,294 kwenda sehemu ambazo usingeenda vinginevyo, 52 00:02:52,990 --> 00:02:55,498 kufanya usiyoyafahamu, 53 00:02:55,928 --> 00:02:57,101 usichokielewa, 54 00:02:57,498 --> 00:02:58,780 hata uwoga. 55 00:03:00,298 --> 00:03:02,737 Nyumbani, ni hatari kirahisi 56 00:03:02,761 --> 00:03:04,971 kujiona tupo juu ya mambo. 57 00:03:05,810 --> 00:03:09,822 Nje kwenye dunia, unakumbushwa kila saa kwamba haupo 58 00:03:10,309 --> 00:03:12,855 na hauwezi kufikia kwenye mwisho wa mambo pia. 59 00:03:14,235 --> 00:03:17,137 Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia," 60 00:03:17,161 --> 00:03:19,440 Ralph Waldo Emerson alitukumbusha, 61 00:03:19,464 --> 00:03:22,140 "lakini mara nyingi tunapokuwa hatujatulia 62 00:03:22,164 --> 00:03:23,850 ndipo kuna tumaini kwetu." 63 00:03:24,891 --> 00:03:27,318 Kwenye hili kongamano, tumebahatika sana 64 00:03:27,342 --> 00:03:30,795 kusikia mawazo mapya ya kustaajabisha na vumbuzi 65 00:03:30,819 --> 00:03:32,575 na kweli, kuhusu njia zote 66 00:03:32,599 --> 00:03:35,922 ambazo maarife yanasukumwa mbele sana. 67 00:03:36,797 --> 00:03:40,026 Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka. 68 00:03:40,802 --> 00:03:42,026 Na huo ndio muda 69 00:03:42,050 --> 00:03:44,685 ambao maisha yako yanaamua kweli: 70 00:03:45,825 --> 00:03:47,507 unapata upendo; 71 00:03:48,093 --> 00:03:49,928 unapoteza rafiki; 72 00:03:50,893 --> 00:03:52,465 taa zinazimika. 73 00:03:53,000 --> 00:03:58,014 Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea, au huelewi au umepoteza matumaini, 74 00:03:58,038 --> 00:04:00,200 ndipo unapogundua wewe ni nani. 75 00:04:02,224 --> 00:04:05,552 Siamini kama ujinga ni starehe. 76 00:04:06,193 --> 00:04:09,324 Sayansi imefanya maisha yetu 77 00:04:09,348 --> 00:04:11,816 yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye afya zaidi. 78 00:04:12,825 --> 00:04:17,652 Na ninawashukuru sana walimu walionifundisha kanuni za fizikia, 79 00:04:17,676 --> 00:04:21,189 na kunielekeza kwamba tatu mara tatu ni tisa. 80 00:04:21,678 --> 00:04:24,503 Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu. 81 00:04:24,527 --> 00:04:26,869 muda wowote wa usiku au mchana. 82 00:04:28,802 --> 00:04:30,414 Lakini mwanahisabati akiniambia 83 00:04:30,438 --> 00:04:33,961 hio ukitoa mara tatu ukitoa tatu ni tisa, 84 00:04:33,985 --> 00:04:38,854 hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana kama uaminifu. 85 00:04:40,674 --> 00:04:44,435 Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine, sio lazima iwe ujinga. 86 00:04:44,948 --> 00:04:46,098 Inaweza ikawa mshangao. 87 00:04:46,482 --> 00:04:47,632 Au maajabu. 88 00:04:47,964 --> 00:04:49,147 Uwezekano. 89 00:04:49,894 --> 00:04:53,731 Na kwenye maisha yangu, nimegundua ni vile nisivyovijua 90 00:04:53,755 --> 00:04:56,434 ndivyo ambavyo vimeninyanyua na kunisukuma mbele zaidi 91 00:04:56,458 --> 00:04:59,026 kushinda vile ninavyovijua. 92 00:05:00,222 --> 00:05:02,021 Ni pia vile nisivyovijua 93 00:05:02,045 --> 00:05:05,439 vilivyonileta karibu na kila mtu anaenizunguka. 94 00:05:06,549 --> 00:05:08,549 Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni, 95 00:05:08,573 --> 00:05:13,001 nimesafiri kila mwaka kupitia Japan na Dalai Lama. 96 00:05:14,001 --> 00:05:17,101 Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku 97 00:05:17,125 --> 00:05:20,672 ambacho kilionekana kuwapa watu suluhisho na tumaini 98 00:05:20,696 --> 00:05:22,754 ilikuwa ni "sijui." 99 00:05:24,325 --> 00:05:26,202 "Nini kitatokea Tibet?" 100 00:05:27,226 --> 00:05:30,206 "Lini tutapata amani duniani?" 101 00:05:30,765 --> 00:05:32,826 "Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?" 102 00:05:34,134 --> 00:05:37,205 "Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye busara, 103 00:05:37,229 --> 00:05:38,466 "Sijui." 104 00:05:40,117 --> 00:05:43,818 Mshindi wa tuzo ya Nobeli, mwanauchumi Daniel Kahneman 105 00:05:43,842 --> 00:05:48,345 ametumia zaidi ya miaka 60 sasa akichunguza tabia za binadamu, 106 00:05:48,369 --> 00:05:50,401 na muafaka wake ni 107 00:05:50,425 --> 00:05:55,039 kua huwa tunajiamini sana na kile tunachodhani tunakijua 108 00:05:55,063 --> 00:05:56,788 kuliko tunavyotakiwa kuwa. 109 00:05:56,812 --> 00:05:59,471 Tunakuwa, kama anavyosema, 110 00:05:59,495 --> 00:06:03,699 na "uwezo usio na kikomo wa kupuuzia ujinga wetu." 111 00:06:04,849 --> 00:06:09,936 Tunajua -- nanukuu -- timu yetu itaenda kushinda wikiendi hii, 112 00:06:09,960 --> 00:06:12,129 na tunakumbuka tu hayo maarifa 113 00:06:12,153 --> 00:06:14,502 mara chache tukiwa sahihi. 114 00:06:15,582 --> 00:06:18,425 Mara nyingi, tunakuwa gizani. 115 00:06:19,319 --> 00:06:22,794 Na hapo ndipo hisia za kweli zipo. 116 00:06:24,580 --> 00:06:27,513 Unajua mpenzi wako atakachokua anafanya kesho? 117 00:06:28,673 --> 00:06:29,946 Je unataka kujua? 118 00:06:31,621 --> 00:06:34,434 Wazazi wetu sote kama watu wanavyowaita, 119 00:06:34,458 --> 00:06:35,617 Adam na Hawa, 120 00:06:35,641 --> 00:06:39,799 wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula kutoka kwenye mti wa uzima. 121 00:06:40,631 --> 00:06:42,829 Ila punde walivyoanza kula 122 00:06:42,853 --> 00:06:45,435 kutoka kwenye mti wa maarifa, ya mema na mabaya, 123 00:06:45,459 --> 00:06:47,263 wakaanguka kutoka kwenye weupe wao. 124 00:06:47,808 --> 00:06:50,833 Wakajawa na aibu na uwoga, 125 00:06:50,857 --> 00:06:52,054 wakajitambua. 126 00:06:52,865 --> 00:06:55,233 Na wakajifunza, kwa kuchelewa, pengine, 127 00:06:55,257 --> 00:06:57,997 kwamba kwa kweli kuna vitu tunahitaji kuvijua, 128 00:06:58,021 --> 00:07:01,968 lakini kuna vingi, vingi zaidi ambavyo ni bora visichunguzwe. 129 00:07:03,999 --> 00:07:05,924 Sasa, nilivyokuwa mtoto, 130 00:07:05,948 --> 00:07:09,266 nilijua vyote, bila shaka. 131 00:07:09,290 --> 00:07:13,502 Nilitumia miaka 20 darasani nikikusanya mawazo, 132 00:07:13,526 --> 00:07:16,245 na nilikuwa kweli kwenye biashara ya habari, 133 00:07:16,269 --> 00:07:18,419 nikiandika makala ya gazeti la Time. 134 00:07:19,129 --> 00:07:24,305 Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza kwa muda wa wiki mbili na nusu, 135 00:07:24,329 --> 00:07:27,609 na nikarudi na insha ya karatasi 40 136 00:07:27,633 --> 00:07:31,197 ikielezea kila kitu kuhusu nyumba za ibada za Japan, 137 00:07:31,221 --> 00:07:33,903 mitindo yake, michezo yake ya besiboli, 138 00:07:34,490 --> 00:07:35,649 nafsi yake. 139 00:07:37,276 --> 00:07:39,606 Lakini chini ya hayo yote, 140 00:07:39,630 --> 00:07:42,807 kitu ambacho sikuweza elewa 141 00:07:42,831 --> 00:07:47,325 kiliniongoza kwa sababu nisizoweza kuwaelezea bado, 142 00:07:48,087 --> 00:07:51,296 mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan. 143 00:07:52,450 --> 00:07:55,201 Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28, 144 00:07:55,225 --> 00:07:57,625 siwezi kuwaelezea mengi kabisa 145 00:07:57,649 --> 00:07:59,313 kuhusu nyumbani kwangu. 146 00:08:00,222 --> 00:08:01,569 Ambayo ni nzuri, 147 00:08:01,593 --> 00:08:04,473 sababu inamaanisha kila siku ninagundua kitu kipya. 148 00:08:04,497 --> 00:08:05,988 na kwenye hiyo harakati, 149 00:08:06,012 --> 00:08:09,906 kuangalia pembeni na kuona mamia na maelfu ya vitu 150 00:08:09,930 --> 00:08:11,231 nisingeweza kujua. 151 00:08:12,964 --> 00:08:15,430 Maarifa ni zawadi kubwa sana. 152 00:08:16,452 --> 00:08:21,007 Lakini maarifa ya uwongo yanaweza kua hatari kuliko ujinga. 153 00:08:21,895 --> 00:08:24,528 Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako 154 00:08:25,115 --> 00:08:26,272 au adui yako 155 00:08:26,621 --> 00:08:28,076 inaweza kua ya hila zaidi 156 00:08:28,100 --> 00:08:30,548 kuliko kukubali kwamba hautowajua. 157 00:08:31,937 --> 00:08:36,409 Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye nyumba yetu ndogo, 158 00:08:36,433 --> 00:08:40,791 inanichukua maumivu mengi kutokuangalia utabiri wa hali ya hewa, 159 00:08:40,815 --> 00:08:42,453 sababu nikiangalia, 160 00:08:42,477 --> 00:08:45,740 akili yangu itajawa na mawazo, na itasumbuka 161 00:08:45,764 --> 00:08:48,278 hata kama siku ikiwa angavu. 162 00:08:50,160 --> 00:08:54,353 Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa. 163 00:08:54,816 --> 00:08:57,696 Na kitu kimoja ambacho nimejifunza 164 00:08:57,720 --> 00:09:01,256 ni kua mabadiliko huja pale nisipoyapangilia, 165 00:09:01,280 --> 00:09:03,457 pale ambapo sijui nini kinafuata, 166 00:09:03,481 --> 00:09:08,008 pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa kuliko kila kitu kinachonizunguka. 167 00:09:09,191 --> 00:09:11,097 Na hio ni kweli pia kwenye upendo 168 00:09:11,643 --> 00:09:13,919 au kwenye wakati wa majanga. 169 00:09:14,929 --> 00:09:18,371 Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena 170 00:09:18,395 --> 00:09:22,430 na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa; 171 00:09:22,454 --> 00:09:26,118 na tunakumbushwa, kweli, kwenye kanuni ya kwanza ya safari 172 00:09:26,142 --> 00:09:27,868 na hivyo, ya maisha: 173 00:09:29,090 --> 00:09:33,829 una nguvu tu kama uwezo wako wa kujisalimisha. 174 00:09:35,512 --> 00:09:37,521 Mwishowe, pengine, 175 00:09:37,545 --> 00:09:38,739 kuwa binadamu 176 00:09:39,262 --> 00:09:41,015 ni muhimu zaidi 177 00:09:41,039 --> 00:09:43,694 kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu. 178 00:09:44,763 --> 00:09:45,949 Asanteni. 179 00:09:45,973 --> 00:09:52,596 (Makofi)