0:00:01.436,0:00:04.643 Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto, 0:00:04.667,0:00:07.377 nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku 0:00:07.401,0:00:08.559 Mandalay, 0:00:08.583,0:00:11.701 mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma, 0:00:11.725,0:00:13.142 sasa Myanmar. 0:00:13.660,0:00:17.858 Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la[br]wanaume ambao ni wakorofi 0:00:17.882,0:00:21.775 wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao. 0:00:21.799,0:00:23.169 Mmoja kati yao akanifuata 0:00:23.193,0:00:25.375 na kujitolea kunionesha maeneo. 0:00:26.615,0:00:29.279 Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza. 0:00:29.832,0:00:33.820 Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia[br]kununua chokoleti nyumbani. 0:00:33.844,0:00:36.985 Nikapanda kwenye baiskeli yake, 0:00:37.009,0:00:42.880 na akaanza kutuendesha polepole[br]kwenye makasri na mahekalu. 0:00:43.972,0:00:49.271 Wakati anaendesha, akaniambia jinsi[br]alivyokuja mjini kutoka kijijini kwake. 0:00:49.295,0:00:51.674 Alikuwa na digrii ya hisabati. 0:00:51.698,0:00:54.025 Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu. 0:00:54.445,0:00:59.257 Hakika maisha ni magumu kwenye[br]udikteta wa kijeshi, 0:00:59.281,0:01:03.401 kwa sasa, hii ilikuwa ni namna[br]pekee ya kujipatia kipato. 0:01:04.796,0:01:08.737 Mara nyingi usiku, aliniambia,[br]alilala kwenye guta yake 0:01:08.761,0:01:13.147 ili kusudi apate wateja wa kwanza[br]wa treni ya usiku. 0:01:15.543,0:01:19.392 Punde si punde, tukagundua kwamba[br]kwa namna fulani 0:01:19.416,0:01:21.082 tuna mengi ya kufanana -- 0:01:21.106,0:01:22.967 wote tulikuwa kwenye miaka ya 20, 0:01:22.991,0:01:26.203 sote tulikuwa tunavutiwa na[br]tamaduni za kigeni -- 0:01:26.734,0:01:28.658 mpaka akanikaribisha nyumbani. 0:01:30.056,0:01:33.863 Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi, 0:01:33.887,0:01:38.097 na tukaanza kupita kwenye njia zenye[br]mabonde na kona nyingi 0:01:38.121,0:01:40.469 Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka[br]kila sehemu. 0:01:40.493,0:01:43.335 Kwakweli sikujua nilipokuwepo, 0:01:44.136,0:01:47.818 na nikagundua kua chochote[br]kinaweza kunitokea sasa. 0:01:47.842,0:01:50.284 Ninaweza ibiwa au leweshwa 0:01:50.308,0:01:51.624 au kibaya zaidi. 0:01:51.648,0:01:53.032 Hamna ambaye angejua. 0:01:54.309,0:01:58.006 Mwishowe, akasimama na akanipeleka[br]kwenye kibanda, 0:01:58.030,0:02:01.354 ambacho kilikuwa na chumba kimoja[br]tu kidogo. 0:02:02.228,0:02:04.405 Kisha akainama chini, 0:02:04.429,0:02:06.371 kwenye kitanda chake. 0:02:07.608,0:02:09.786 Kitu ndani yangu kikaganda. 0:02:12.046,0:02:14.746 Nikawa nasubiri nione atavuta nini. 0:02:15.361,0:02:18.371 Mwishowe akatoa boksi. 0:02:19.295,0:02:24.226 Ndani yake kulikuwa na barua zote[br]alizowahi kupokea 0:02:24.250,0:02:26.291 kutoka kwa wageni wa nchi za nje, 0:02:27.001,0:02:29.103 na baadhi zao alikuwa amebandika 0:02:29.127,0:02:32.518 picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka 0:02:32.542,0:02:34.746 za marafiki zake wapya wa kigeni. 0:02:36.387,0:02:40.014 Hivyo tulivyoagana usiku ule, 0:02:40.038,0:02:42.625 nikagundua kua amenionyesha pia 0:02:42.649,0:02:44.959 siri ya kwenye kusafiri, 0:02:44.983,0:02:47.039 ambayo ni kufanya kitu bila uwoga, 0:02:47.063,0:02:49.755 kusafiri ndani vile vile na nje, 0:02:49.779,0:02:52.294 kwenda sehemu ambazo usingeenda[br]vinginevyo, 0:02:52.990,0:02:55.498 kufanya usiyoyafahamu, 0:02:55.928,0:02:57.101 usichokielewa, 0:02:57.498,0:02:58.780 hata uwoga. 0:03:00.298,0:03:02.737 Nyumbani, ni hatari kirahisi 0:03:02.761,0:03:04.971 kujiona tupo juu ya mambo. 0:03:05.810,0:03:09.822 Nje kwenye dunia, unakumbushwa[br]kila saa kwamba haupo 0:03:10.309,0:03:12.855 na hauwezi kufikia kwenye[br]mwisho wa mambo pia. 0:03:14.235,0:03:17.137 Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia," 0:03:17.161,0:03:19.440 Ralph Waldo Emerson alitukumbusha, 0:03:19.464,0:03:22.140 "lakini mara nyingi tunapokuwa[br]hatujatulia 0:03:22.164,0:03:23.850 ndipo kuna tumaini kwetu." 0:03:24.891,0:03:27.318 Kwenye hili kongamano,[br]tumebahatika sana 0:03:27.342,0:03:30.795 kusikia mawazo mapya ya[br]kustaajabisha na vumbuzi 0:03:30.819,0:03:32.575 na kweli, kuhusu njia zote 0:03:32.599,0:03:35.922 ambazo maarife yanasukumwa[br]mbele sana. 0:03:36.797,0:03:40.026 Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka. 0:03:40.802,0:03:42.026 Na huo ndio muda 0:03:42.050,0:03:44.685 ambao maisha yako yanaamua kweli: 0:03:45.825,0:03:47.507 unapata upendo; 0:03:48.093,0:03:49.928 unapoteza rafiki; 0:03:50.893,0:03:52.465 taa zinazimika. 0:03:53.000,0:03:58.014 Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea,[br]au huelewi au umepoteza matumaini, 0:03:58.038,0:04:00.200 ndipo unapogundua wewe ni nani. 0:04:02.224,0:04:05.552 Siamini kama ujinga ni starehe. 0:04:06.193,0:04:09.324 Sayansi imefanya maisha yetu 0:04:09.348,0:04:11.816 yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye[br]afya zaidi. 0:04:12.825,0:04:17.652 Na ninawashukuru sana walimu[br]walionifundisha kanuni za fizikia, 0:04:17.676,0:04:21.189 na kunielekeza kwamba[br]tatu mara tatu ni tisa. 0:04:21.678,0:04:24.503 Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu. 0:04:24.527,0:04:26.869 muda wowote wa usiku au mchana. 0:04:28.802,0:04:30.414 Lakini mwanahisabati akiniambia 0:04:30.438,0:04:33.961 hio ukitoa mara tatu[br]ukitoa tatu ni tisa, 0:04:33.985,0:04:38.854 hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana[br]kama uaminifu. 0:04:40.674,0:04:44.435 Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine,[br]sio lazima iwe ujinga. 0:04:44.948,0:04:46.098 Inaweza ikawa mshangao. 0:04:46.482,0:04:47.632 Au maajabu. 0:04:47.964,0:04:49.147 Uwezekano. 0:04:49.894,0:04:53.731 Na kwenye maisha yangu, nimegundua[br]ni vile nisivyovijua 0:04:53.755,0:04:56.434 ndivyo ambavyo vimeninyanyua[br]na kunisukuma mbele zaidi 0:04:56.458,0:04:59.026 kushinda vile ninavyovijua. 0:05:00.222,0:05:02.021 Ni pia vile nisivyovijua 0:05:02.045,0:05:05.439 vilivyonileta karibu na kila mtu[br]anaenizunguka. 0:05:06.549,0:05:08.549 Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni, 0:05:08.573,0:05:13.001 nimesafiri kila mwaka kupitia[br]Japan na Dalai Lama. 0:05:14.001,0:05:17.101 Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku 0:05:17.125,0:05:20.672 ambacho kilionekana kuwapa watu[br]suluhisho na tumaini 0:05:20.696,0:05:22.754 ilikuwa ni "sijui." 0:05:24.325,0:05:26.202 "Nini kitatokea Tibet?" 0:05:27.226,0:05:30.206 "Lini tutapata amani duniani?" 0:05:30.765,0:05:32.826 "Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?" 0:05:34.134,0:05:37.205 "Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye[br]busara, 0:05:37.229,0:05:38.466 "Sijui." 0:05:40.117,0:05:43.818 Mshindi wa tuzo ya Nobeli,[br]mwanauchumi Daniel Kahneman 0:05:43.842,0:05:48.345 ametumia zaidi ya miaka 60 sasa[br]akichunguza tabia za binadamu, 0:05:48.369,0:05:50.401 na muafaka wake ni 0:05:50.425,0:05:55.039 kua huwa tunajiamini sana na kile[br]tunachodhani tunakijua 0:05:55.063,0:05:56.788 kuliko tunavyotakiwa kuwa. 0:05:56.812,0:05:59.471 Tunakuwa, kama anavyosema, 0:05:59.495,0:06:03.699 na "uwezo usio na kikomo wa[br]kupuuzia ujinga wetu." 0:06:04.849,0:06:09.936 Tunajua -- nanukuu -- timu yetu[br]itaenda kushinda wikiendi hii, 0:06:09.960,0:06:12.129 na tunakumbuka tu hayo maarifa 0:06:12.153,0:06:14.502 mara chache tukiwa sahihi. 0:06:15.582,0:06:18.425 Mara nyingi, tunakuwa gizani. 0:06:19.319,0:06:22.794 Na hapo ndipo hisia za kweli zipo. 0:06:24.580,0:06:27.513 Unajua mpenzi wako[br]atakachokua anafanya kesho? 0:06:28.673,0:06:29.946 Je unataka kujua? 0:06:31.621,0:06:34.434 Wazazi wetu sote[br]kama watu wanavyowaita, 0:06:34.458,0:06:35.617 Adam na Hawa, 0:06:35.641,0:06:39.799 wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula[br]kutoka kwenye mti wa uzima. 0:06:40.631,0:06:42.829 Ila punde walivyoanza kula 0:06:42.853,0:06:45.435 kutoka kwenye mti wa maarifa,[br]ya mema na mabaya, 0:06:45.459,0:06:47.263 wakaanguka kutoka kwenye weupe wao. 0:06:47.808,0:06:50.833 Wakajawa na aibu na uwoga, 0:06:50.857,0:06:52.054 wakajitambua. 0:06:52.865,0:06:55.233 Na wakajifunza,[br]kwa kuchelewa, pengine, 0:06:55.257,0:06:57.997 kwamba kwa kweli kuna vitu[br]tunahitaji kuvijua, 0:06:58.021,0:07:01.968 lakini kuna vingi, vingi zaidi[br]ambavyo ni bora visichunguzwe. 0:07:03.999,0:07:05.924 Sasa, nilivyokuwa mtoto, 0:07:05.948,0:07:09.266 nilijua vyote, bila shaka. 0:07:09.290,0:07:13.502 Nilitumia miaka 20 darasani[br]nikikusanya mawazo, 0:07:13.526,0:07:16.245 na nilikuwa kweli[br]kwenye biashara ya habari, 0:07:16.269,0:07:18.419 nikiandika makala ya gazeti la Time. 0:07:19.129,0:07:24.305 Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza[br]kwa muda wa wiki mbili na nusu, 0:07:24.329,0:07:27.609 na nikarudi na insha ya karatasi 40 0:07:27.633,0:07:31.197 ikielezea kila kitu kuhusu[br]nyumba za ibada za Japan, 0:07:31.221,0:07:33.903 mitindo yake, michezo yake ya besiboli, 0:07:34.490,0:07:35.649 nafsi yake. 0:07:37.276,0:07:39.606 Lakini chini ya hayo yote, 0:07:39.630,0:07:42.807 kitu ambacho sikuweza elewa 0:07:42.831,0:07:47.325 kiliniongoza kwa sababu[br]nisizoweza kuwaelezea bado, 0:07:48.087,0:07:51.296 mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan. 0:07:52.450,0:07:55.201 Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28, 0:07:55.225,0:07:57.625 siwezi kuwaelezea mengi kabisa 0:07:57.649,0:07:59.313 kuhusu nyumbani kwangu. 0:08:00.222,0:08:01.569 Ambayo ni nzuri, 0:08:01.593,0:08:04.473 sababu inamaanisha kila siku[br]ninagundua kitu kipya. 0:08:04.497,0:08:05.988 na kwenye hiyo harakati, 0:08:06.012,0:08:09.906 kuangalia pembeni na kuona[br]mamia na maelfu ya vitu 0:08:09.930,0:08:11.231 nisingeweza kujua. 0:08:12.964,0:08:15.430 Maarifa ni zawadi kubwa sana. 0:08:16.452,0:08:21.007 Lakini maarifa ya uwongo[br]yanaweza kua hatari kuliko ujinga. 0:08:21.895,0:08:24.528 Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako 0:08:25.115,0:08:26.272 au adui yako 0:08:26.621,0:08:28.076 inaweza kua ya hila zaidi 0:08:28.100,0:08:30.548 kuliko kukubali kwamba hautowajua. 0:08:31.937,0:08:36.409 Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye[br]nyumba yetu ndogo, 0:08:36.433,0:08:40.791 inanichukua maumivu mengi [br]kutokuangalia utabiri wa hali ya hewa, 0:08:40.815,0:08:42.453 sababu nikiangalia, 0:08:42.477,0:08:45.740 akili yangu itajawa na mawazo,[br]na itasumbuka 0:08:45.764,0:08:48.278 hata kama siku ikiwa angavu. 0:08:50.160,0:08:54.353 Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa. 0:08:54.816,0:08:57.696 Na kitu kimoja ambacho nimejifunza 0:08:57.720,0:09:01.256 ni kua mabadiliko huja pale[br]nisipoyapangilia, 0:09:01.280,0:09:03.457 pale ambapo sijui nini kinafuata, 0:09:03.481,0:09:08.008 pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa[br]kuliko kila kitu kinachonizunguka. 0:09:09.191,0:09:11.097 Na hio ni kweli pia kwenye upendo 0:09:11.643,0:09:13.919 au kwenye wakati wa majanga. 0:09:14.929,0:09:18.371 Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena 0:09:18.395,0:09:22.430 na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa; 0:09:22.454,0:09:26.118 na tunakumbushwa, kweli,[br]kwenye kanuni ya kwanza ya safari 0:09:26.142,0:09:27.868 na hivyo, ya maisha: 0:09:29.090,0:09:33.829 una nguvu tu kama uwezo[br]wako wa kujisalimisha. 0:09:35.512,0:09:37.521 Mwishowe, pengine, 0:09:37.545,0:09:38.739 kuwa binadamu 0:09:39.262,0:09:41.015 ni muhimu zaidi 0:09:41.039,0:09:43.694 kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu. 0:09:44.763,0:09:45.949 Asanteni. 0:09:45.973,0:09:52.596 (Makofi)