WEBVTT 00:00:00.930 --> 00:00:02.385 Hivi ni vitu rahisi au vya kawaida 00:00:02.385 --> 00:00:06.180 saa,funguo,vitana,miwani. 00:00:06.180 --> 00:00:08.520 Ni vitu ambavyo wahanga wa mauaji ya kimbari huko Bosnia 00:00:08.520 --> 00:00:11.517 walivibeba katika safari yao ya mwisho. 00:00:11.517 --> 00:00:14.240 Wote tunayafahamu haya mambo, 00:00:14.240 --> 00:00:15.974 vitu vya kila siku. 00:00:15.974 --> 00:00:17.559 Ukweli wa kwamba baadhi ya wahanga walibeba 00:00:17.559 --> 00:00:20.973 vitu binafsi kama miswaki na dawa za meno 00:00:20.973 --> 00:00:23.492 ni dalili ya wazi ioneshayo kwamba hawakuwa na wazo 00:00:23.492 --> 00:00:25.320 ni kipi hasa kingeenda kuwatokea. 00:00:25.320 --> 00:00:27.711 Katika hali ya kawaida, waliambiwa wataenda kubadilishwa 00:00:27.711 --> 00:00:30.199 na wafungwa wa vita. NOTE Paragraph 00:00:30.199 --> 00:00:32.212 Hivi vitu vilikuja patikana 00:00:32.212 --> 00:00:35.050 katika baadhi ya makaburi nchini mwangu, 00:00:35.050 --> 00:00:37.580 mpaka sasa tunapoongea,wataalamu wa vinasaba wanafukua miili 00:00:37.580 --> 00:00:39.714 katika makaburi yaliyogunduliwa, 00:00:39.714 --> 00:00:41.250 miaka 20 baada ya vita. 00:00:41.250 --> 00:00:45.333 Na inawezekana ni kiasi kikubwa sana kilichowahi kugunduliwa. 00:00:45.333 --> 00:00:47.611 Katika miaka minne ya mtafaruku 00:00:47.611 --> 00:00:50.457 uliowachanganya akili watu wa taifa la Bosnia mwanzoni mwa miaka ya 90, 00:00:50.457 --> 00:00:53.888 takribani wananchi 30,000,wengi wao wakiwa raia wa kawaida, 00:00:53.888 --> 00:00:55.823 walipotea,kudhaniwa kuuawa, 00:00:55.823 --> 00:00:57.803 na wengine 100,000 waliuawa 00:00:57.803 --> 00:00:59.530 wakati wa operesheni ya kivita 00:00:59.530 --> 00:01:01.159 Wengi wao waliuawa 00:01:01.159 --> 00:01:02.932 aitha siku za mwanzo za vita 00:01:02.932 --> 00:01:04.298 au nyakati za mwishoni za wasiwasi, 00:01:04.298 --> 00:01:07.477 upande wa umoja wa mataifa ulio salama mfano Srebrenica 00:01:07.477 --> 00:01:10.522 uliposhikiliwa na jeshi la Serbia. NOTE Paragraph 00:01:10.522 --> 00:01:12.640 Taasisi ya uhalifu wa kimataifa 00:01:12.640 --> 00:01:14.330 ilitoa namba ya hukumu 00:01:14.330 --> 00:01:17.109 kwa uhalifu wa kukiuka haki za binadamu na mauaji ya kimbari. 00:01:17.109 --> 00:01:20.618 Mauaji ya kimbari ni hali ya 00:01:20.618 --> 00:01:24.288 kuleta ubaguzi wa rangi,kuvuruga siasa, hali ya kidini 00:01:24.288 --> 00:01:25.960 au makabila 00:01:25.960 --> 00:01:28.540 Kwa vile mauaji ya kimbari lengo lake ni kupoteza maisha ya watu. 00:01:28.540 --> 00:01:31.561 Pia inaharibu mali zao, 00:01:31.561 --> 00:01:33.451 urithi wao wa kitamaduni, 00:01:33.451 --> 00:01:36.713 viashirio muhimu sana vitavyoonesha waliwahi kuwepo. 00:01:36.713 --> 00:01:39.210 Mauaji ya kimbari sio kwa ajili ya kukatisha maisha ya watu tu; 00:01:39.210 --> 00:01:42.383 ni hali ya kukana utambulisho. 00:01:42.383 --> 00:01:43.813 Kuna ufahamu kwamba- 00:01:43.813 --> 00:01:45.532 hakuna kitu kama uhalifu maridadi 00:01:45.532 --> 00:01:48.267 Siku zote kutakuwa na mabaki ya wale waliofariki 00:01:48.267 --> 00:01:50.785 ambayo ni imara kuliko miili yao iliyo rahisi kuharibika 00:01:50.785 --> 00:01:54.523 na kumbukumbu zao ambazo zinafifia. NOTE Paragraph 00:01:54.523 --> 00:01:57.180 Vitu hivi vinawezwa kupatikana 00:01:57.180 --> 00:01:58.352 katika baadhi ya makaburi, 00:01:58.352 --> 00:02:01.766 hatua ya ukusanyaji wa vitu hivi ipo 00:02:01.766 --> 00:02:03.234 katika hali ya kipekee 00:02:03.234 --> 00:02:06.512 katika kutambua wale waliopotea katika mauaji, 00:02:06.512 --> 00:02:09.482 mauaji ya kwanza katika udongo wa Ulaya 00:02:09.482 --> 00:02:10.905 tangu wakati wa Holocaust. 00:02:10.905 --> 00:02:13.419 Mwili hata mmoja hautakiwi ubaki haujapatikana 00:02:13.419 --> 00:02:15.285 au kutotambuliwa. 00:02:15.285 --> 00:02:16.650 Unapopatikana, 00:02:16.650 --> 00:02:19.573 vile vitu vilivyokuwa na mwili huo 00:02:19.573 --> 00:02:21.052 wakati wa mauaji 00:02:21.052 --> 00:02:23.409 vinasafishwa kwam makini,kufanyiwa uchunguzi, 00:02:23.409 --> 00:02:25.647 kuwekwa kati makundi na kisha kutunzwa. 00:02:25.647 --> 00:02:28.797 Maelfu ya vitu hivi yamewekwa katika mifuko myeupe ya plastiki 00:02:28.797 --> 00:02:31.200 kama ile unayoona katika tume ya uchunguzi wa uhalifu unaohusisha mauaji. 00:02:31.200 --> 00:02:33.938 Vitu hivi vinatumika kawa ajili ya utambuzi wa vinasaba 00:02:33.938 --> 00:02:36.393 ili kutambua wahanga, 00:02:36.393 --> 00:02:39.640 lakini pia vinatumika kama uthibitisho muhimu sana katika vinasaba 00:02:39.640 --> 00:02:42.477 kwenye majaribu ya mauaji yanayoendelea. 00:02:42.477 --> 00:02:44.568 Wale waliookoka huwa wanaitwa mara kwa mara 00:02:44.568 --> 00:02:47.119 kujaribu kutambua vitu hivi, 00:02:47.119 --> 00:02:50.449 lakini kuangalia kwa macho ya kawaida ni ngumu kidogo, 00:02:50.449 --> 00:02:53.551 ni hatua ambayo haina uhakika sana na inaumiza. 00:02:53.551 --> 00:02:57.344 Mara baada ya wataalamu wa vinasaba, madaktari na wanasheria 00:02:57.344 --> 00:02:58.486 wanapomalizana na hivi vitu 00:02:58.486 --> 00:03:01.417 vinabaki yatima kwa kuachwa tu. 00:03:01.417 --> 00:03:04.319 Vingi huaribiwa,amini usiamini, 00:03:04.319 --> 00:03:05.956 au vinawekwa, 00:03:05.956 --> 00:03:08.198 mbali ambapo haviwezi kufikiriwa tena. NOTE Paragraph 00:03:08.198 --> 00:03:10.714 Miaka michache iliyopita niliamua 00:03:10.714 --> 00:03:13.380 kupiga picha kila kitu kilichofukuliwa 00:03:13.380 --> 00:03:15.281 ili niweze kutengeneza maktaba ya picha 00:03:15.281 --> 00:03:18.631 ili wale waliokoka waweze kuona kwa urahisi. 00:03:18.631 --> 00:03:22.688 Kama msimulia hadithi, ningependa kurudisha kitu kwa jamii. 00:03:22.688 --> 00:03:25.431 Ninapenda kwenda mbali zaidi katika kufikiri na kutenda ili kuongeza ufahamu. 00:03:25.431 --> 00:03:27.615 Katika hili, mtu anaweza 00:03:27.615 --> 00:03:29.216 kutambua vitu hivi 00:03:29.216 --> 00:03:31.912 au picha zinaweza kubaki 00:03:31.912 --> 00:03:35.714 muda mrefu sana, bila kusumbuliwa na kumbukumbu sahihi 00:03:35.714 --> 00:03:37.626 ya yale yaliyotokea. 00:03:37.626 --> 00:03:39.764 Kupiga picha kunahusisha kuelewa hisia za wengine, 00:03:39.764 --> 00:03:42.982 na vitu hivi vinahusisha sana hisia za wengine. 00:03:42.982 --> 00:03:45.436 Mimi ni kama kifaa katika swala hili, 00:03:45.436 --> 00:03:47.090 mtaalamu wa vinasaba, kama ukipenda, 00:03:47.090 --> 00:03:49.755 na matokeo yake ni picha ambayo ipo karibu sana 00:03:49.755 --> 00:03:52.376 na kuwa nyaraka. NOTE Paragraph 00:03:52.376 --> 00:03:55.515 Pale watu wote waliopotea waligundulika, 00:03:55.515 --> 00:03:57.288 miili yao inayooza katika makaburi yao 00:03:57.288 --> 00:03:59.630 na hivi vitu vya kila siku vyote vitabaki. 00:03:59.630 --> 00:04:01.555 Katika urahisi, 00:04:01.555 --> 00:04:03.762 vitu hivi ni agano la mwisho 00:04:03.762 --> 00:04:05.319 katika utambulisho wa wahanga, 00:04:05.319 --> 00:04:07.347 ukumbusho wa mwisho ambao utadumu 00:04:07.347 --> 00:04:09.319 na kuonyesha kwamba watu hawa waliwahi kuwepo. NOTE Paragraph 00:04:09.319 --> 00:04:11.657 Asante sana NOTE Paragraph 00:04:11.657 --> 00:04:15.470 (Makofi)