[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.93,0:00:02.38,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ni vitu rahisi au vya kawaida Dialogue: 0,0:00:02.38,0:00:06.18,Default,,0000,0000,0000,,saa,funguo,vitana,miwani. Dialogue: 0,0:00:06.18,0:00:08.52,Default,,0000,0000,0000,,Ni vitu ambavyo wahanga wa mauaji ya kimbari huko Bosnia Dialogue: 0,0:00:08.52,0:00:11.52,Default,,0000,0000,0000,,walivibeba katika safari yao ya mwisho. Dialogue: 0,0:00:11.52,0:00:14.24,Default,,0000,0000,0000,,Wote tunayafahamu haya mambo, Dialogue: 0,0:00:14.24,0:00:15.97,Default,,0000,0000,0000,,vitu vya kila siku. Dialogue: 0,0:00:15.97,0:00:17.56,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli wa kwamba baadhi ya wahanga walibeba Dialogue: 0,0:00:17.56,0:00:20.97,Default,,0000,0000,0000,,vitu binafsi kama miswaki na dawa za meno Dialogue: 0,0:00:20.97,0:00:23.49,Default,,0000,0000,0000,,ni dalili ya wazi ioneshayo kwamba hawakuwa na wazo Dialogue: 0,0:00:23.49,0:00:25.32,Default,,0000,0000,0000,,ni kipi hasa kingeenda kuwatokea. Dialogue: 0,0:00:25.32,0:00:27.71,Default,,0000,0000,0000,,Katika hali ya kawaida, waliambiwa wataenda kubadilishwa Dialogue: 0,0:00:27.71,0:00:30.20,Default,,0000,0000,0000,,na wafungwa wa vita. Dialogue: 0,0:00:30.20,0:00:32.21,Default,,0000,0000,0000,,Hivi vitu vilikuja patikana Dialogue: 0,0:00:32.21,0:00:35.05,Default,,0000,0000,0000,,katika baadhi ya makaburi nchini mwangu, Dialogue: 0,0:00:35.05,0:00:37.58,Default,,0000,0000,0000,,mpaka sasa tunapoongea,wataalamu wa vinasaba wanafukua miili Dialogue: 0,0:00:37.58,0:00:39.71,Default,,0000,0000,0000,,katika makaburi yaliyogunduliwa, Dialogue: 0,0:00:39.71,0:00:41.25,Default,,0000,0000,0000,,miaka 20 baada ya vita. Dialogue: 0,0:00:41.25,0:00:45.33,Default,,0000,0000,0000,,Na inawezekana ni kiasi kikubwa sana kilichowahi kugunduliwa. Dialogue: 0,0:00:45.33,0:00:47.61,Default,,0000,0000,0000,,Katika miaka minne ya mtafaruku Dialogue: 0,0:00:47.61,0:00:50.46,Default,,0000,0000,0000,,uliowachanganya akili watu wa taifa la Bosnia mwanzoni mwa miaka ya 90, Dialogue: 0,0:00:50.46,0:00:53.89,Default,,0000,0000,0000,,takribani wananchi 30,000,wengi wao wakiwa raia wa kawaida, Dialogue: 0,0:00:53.89,0:00:55.82,Default,,0000,0000,0000,,walipotea,kudhaniwa kuuawa, Dialogue: 0,0:00:55.82,0:00:57.80,Default,,0000,0000,0000,,na wengine 100,000 waliuawa Dialogue: 0,0:00:57.80,0:00:59.53,Default,,0000,0000,0000,,wakati wa operesheni ya kivita Dialogue: 0,0:00:59.53,0:01:01.16,Default,,0000,0000,0000,,Wengi wao waliuawa Dialogue: 0,0:01:01.16,0:01:02.93,Default,,0000,0000,0000,,aitha siku za mwanzo za vita Dialogue: 0,0:01:02.93,0:01:04.30,Default,,0000,0000,0000,,au nyakati za mwishoni za wasiwasi, Dialogue: 0,0:01:04.30,0:01:07.48,Default,,0000,0000,0000,,upande wa umoja wa mataifa ulio salama mfano Srebrenica Dialogue: 0,0:01:07.48,0:01:10.52,Default,,0000,0000,0000,,uliposhikiliwa na jeshi la Serbia. Dialogue: 0,0:01:10.52,0:01:12.64,Default,,0000,0000,0000,,Taasisi ya uhalifu wa kimataifa Dialogue: 0,0:01:12.64,0:01:14.33,Default,,0000,0000,0000,,ilitoa namba ya hukumu Dialogue: 0,0:01:14.33,0:01:17.11,Default,,0000,0000,0000,,kwa uhalifu wa kukiuka haki za binadamu na mauaji ya kimbari. Dialogue: 0,0:01:17.11,0:01:20.62,Default,,0000,0000,0000,,Mauaji ya kimbari ni hali ya Dialogue: 0,0:01:20.62,0:01:24.29,Default,,0000,0000,0000,,kuleta ubaguzi wa rangi,kuvuruga siasa, hali ya kidini Dialogue: 0,0:01:24.29,0:01:25.96,Default,,0000,0000,0000,,au makabila Dialogue: 0,0:01:25.96,0:01:28.54,Default,,0000,0000,0000,,Kwa vile mauaji ya kimbari lengo lake ni kupoteza maisha ya watu. Dialogue: 0,0:01:28.54,0:01:31.56,Default,,0000,0000,0000,,Pia inaharibu mali zao, Dialogue: 0,0:01:31.56,0:01:33.45,Default,,0000,0000,0000,,urithi wao wa kitamaduni, Dialogue: 0,0:01:33.45,0:01:36.71,Default,,0000,0000,0000,,viashirio muhimu sana vitavyoonesha waliwahi kuwepo. Dialogue: 0,0:01:36.71,0:01:39.21,Default,,0000,0000,0000,,Mauaji ya kimbari sio kwa ajili ya kukatisha maisha ya watu tu; Dialogue: 0,0:01:39.21,0:01:42.38,Default,,0000,0000,0000,,ni hali ya kukana utambulisho. Dialogue: 0,0:01:42.38,0:01:43.81,Default,,0000,0000,0000,,Kuna ufahamu kwamba- Dialogue: 0,0:01:43.81,0:01:45.53,Default,,0000,0000,0000,,hakuna kitu kama uhalifu maridadi Dialogue: 0,0:01:45.53,0:01:48.27,Default,,0000,0000,0000,,Siku zote kutakuwa na mabaki ya wale waliofariki Dialogue: 0,0:01:48.27,0:01:50.78,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni imara kuliko miili yao iliyo rahisi kuharibika Dialogue: 0,0:01:50.78,0:01:54.52,Default,,0000,0000,0000,,na kumbukumbu zao ambazo zinafifia. Dialogue: 0,0:01:54.52,0:01:57.18,Default,,0000,0000,0000,,Vitu hivi vinawezwa kupatikana Dialogue: 0,0:01:57.18,0:01:58.35,Default,,0000,0000,0000,,katika baadhi ya makaburi, Dialogue: 0,0:01:58.35,0:02:01.77,Default,,0000,0000,0000,,hatua ya ukusanyaji wa vitu hivi ipo Dialogue: 0,0:02:01.77,0:02:03.23,Default,,0000,0000,0000,,katika hali ya kipekee Dialogue: 0,0:02:03.23,0:02:06.51,Default,,0000,0000,0000,,katika kutambua wale waliopotea katika mauaji, Dialogue: 0,0:02:06.51,0:02:09.48,Default,,0000,0000,0000,,mauaji ya kwanza katika udongo wa Ulaya Dialogue: 0,0:02:09.48,0:02:10.90,Default,,0000,0000,0000,,tangu wakati wa Holocaust. Dialogue: 0,0:02:10.90,0:02:13.42,Default,,0000,0000,0000,,Mwili hata mmoja hautakiwi ubaki haujapatikana Dialogue: 0,0:02:13.42,0:02:15.28,Default,,0000,0000,0000,,au kutotambuliwa. Dialogue: 0,0:02:15.28,0:02:16.65,Default,,0000,0000,0000,,Unapopatikana, Dialogue: 0,0:02:16.65,0:02:19.57,Default,,0000,0000,0000,,vile vitu vilivyokuwa na mwili huo Dialogue: 0,0:02:19.57,0:02:21.05,Default,,0000,0000,0000,,wakati wa mauaji Dialogue: 0,0:02:21.05,0:02:23.41,Default,,0000,0000,0000,,vinasafishwa kwam makini,kufanyiwa uchunguzi, Dialogue: 0,0:02:23.41,0:02:25.65,Default,,0000,0000,0000,,kuwekwa kati makundi na kisha kutunzwa. Dialogue: 0,0:02:25.65,0:02:28.80,Default,,0000,0000,0000,,Maelfu ya vitu hivi yamewekwa katika mifuko myeupe ya plastiki Dialogue: 0,0:02:28.80,0:02:31.20,Default,,0000,0000,0000,,kama ile unayoona katika tume ya uchunguzi wa uhalifu unaohusisha mauaji. Dialogue: 0,0:02:31.20,0:02:33.94,Default,,0000,0000,0000,,Vitu hivi vinatumika kawa ajili ya utambuzi wa vinasaba Dialogue: 0,0:02:33.94,0:02:36.39,Default,,0000,0000,0000,,ili kutambua wahanga, Dialogue: 0,0:02:36.39,0:02:39.64,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia vinatumika kama uthibitisho muhimu sana katika vinasaba Dialogue: 0,0:02:39.64,0:02:42.48,Default,,0000,0000,0000,,kwenye majaribu ya mauaji yanayoendelea. Dialogue: 0,0:02:42.48,0:02:44.57,Default,,0000,0000,0000,,Wale waliookoka huwa wanaitwa mara kwa mara Dialogue: 0,0:02:44.57,0:02:47.12,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu kutambua vitu hivi, Dialogue: 0,0:02:47.12,0:02:50.45,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuangalia kwa macho ya kawaida ni ngumu kidogo, Dialogue: 0,0:02:50.45,0:02:53.55,Default,,0000,0000,0000,,ni hatua ambayo haina uhakika sana na inaumiza. Dialogue: 0,0:02:53.55,0:02:57.34,Default,,0000,0000,0000,,Mara baada ya wataalamu wa vinasaba, madaktari na wanasheria Dialogue: 0,0:02:57.34,0:02:58.49,Default,,0000,0000,0000,,wanapomalizana na hivi vitu Dialogue: 0,0:02:58.49,0:03:01.42,Default,,0000,0000,0000,,vinabaki yatima kwa kuachwa tu. Dialogue: 0,0:03:01.42,0:03:04.32,Default,,0000,0000,0000,,Vingi huaribiwa,amini usiamini, Dialogue: 0,0:03:04.32,0:03:05.96,Default,,0000,0000,0000,,au vinawekwa, Dialogue: 0,0:03:05.96,0:03:08.20,Default,,0000,0000,0000,,mbali ambapo haviwezi kufikiriwa tena. Dialogue: 0,0:03:08.20,0:03:10.71,Default,,0000,0000,0000,,Miaka michache iliyopita niliamua Dialogue: 0,0:03:10.71,0:03:13.38,Default,,0000,0000,0000,,kupiga picha kila kitu kilichofukuliwa Dialogue: 0,0:03:13.38,0:03:15.28,Default,,0000,0000,0000,,ili niweze kutengeneza maktaba ya picha Dialogue: 0,0:03:15.28,0:03:18.63,Default,,0000,0000,0000,,ili wale waliokoka waweze kuona kwa urahisi. Dialogue: 0,0:03:18.63,0:03:22.69,Default,,0000,0000,0000,,Kama msimulia hadithi, ningependa kurudisha kitu kwa jamii. Dialogue: 0,0:03:22.69,0:03:25.43,Default,,0000,0000,0000,,Ninapenda kwenda mbali zaidi katika kufikiri na kutenda ili kuongeza ufahamu. Dialogue: 0,0:03:25.43,0:03:27.62,Default,,0000,0000,0000,,Katika hili, mtu anaweza Dialogue: 0,0:03:27.62,0:03:29.22,Default,,0000,0000,0000,,kutambua vitu hivi Dialogue: 0,0:03:29.22,0:03:31.91,Default,,0000,0000,0000,,au picha zinaweza kubaki Dialogue: 0,0:03:31.91,0:03:35.71,Default,,0000,0000,0000,,muda mrefu sana, bila kusumbuliwa na kumbukumbu sahihi Dialogue: 0,0:03:35.71,0:03:37.63,Default,,0000,0000,0000,,ya yale yaliyotokea. Dialogue: 0,0:03:37.63,0:03:39.76,Default,,0000,0000,0000,,Kupiga picha kunahusisha kuelewa hisia za wengine, Dialogue: 0,0:03:39.76,0:03:42.98,Default,,0000,0000,0000,,na vitu hivi vinahusisha sana hisia za wengine. Dialogue: 0,0:03:42.98,0:03:45.44,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni kama kifaa katika swala hili, Dialogue: 0,0:03:45.44,0:03:47.09,Default,,0000,0000,0000,,mtaalamu wa vinasaba, kama ukipenda, Dialogue: 0,0:03:47.09,0:03:49.76,Default,,0000,0000,0000,,na matokeo yake ni picha ambayo ipo karibu sana Dialogue: 0,0:03:49.76,0:03:52.38,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa nyaraka. Dialogue: 0,0:03:52.38,0:03:55.52,Default,,0000,0000,0000,,Pale watu wote waliopotea waligundulika, Dialogue: 0,0:03:55.52,0:03:57.29,Default,,0000,0000,0000,,miili yao inayooza katika makaburi yao Dialogue: 0,0:03:57.29,0:03:59.63,Default,,0000,0000,0000,,na hivi vitu vya kila siku vyote vitabaki. Dialogue: 0,0:03:59.63,0:04:01.56,Default,,0000,0000,0000,,Katika urahisi, Dialogue: 0,0:04:01.56,0:04:03.76,Default,,0000,0000,0000,,vitu hivi ni agano la mwisho Dialogue: 0,0:04:03.76,0:04:05.32,Default,,0000,0000,0000,,katika utambulisho wa wahanga, Dialogue: 0,0:04:05.32,0:04:07.35,Default,,0000,0000,0000,,ukumbusho wa mwisho ambao utadumu Dialogue: 0,0:04:07.35,0:04:09.32,Default,,0000,0000,0000,,na kuonyesha kwamba watu hawa waliwahi kuwepo. Dialogue: 0,0:04:09.32,0:04:11.66,Default,,0000,0000,0000,,Asante sana Dialogue: 0,0:04:11.66,0:04:15.47,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)