1 00:00:00,930 --> 00:00:02,385 Hivi ni vitu rahisi au vya kawaida 2 00:00:02,385 --> 00:00:06,180 saa,funguo,vitana,miwani. 3 00:00:06,180 --> 00:00:08,520 Ni vitu ambavyo wahanga wa mauaji ya kimbari huko Bosnia 4 00:00:08,520 --> 00:00:11,517 walivibeba katika safari yao ya mwisho. 5 00:00:11,517 --> 00:00:14,240 Wote tunayafahamu haya mambo, 6 00:00:14,240 --> 00:00:15,974 vitu vya kila siku. 7 00:00:15,974 --> 00:00:17,559 Ukweli wa kwamba baadhi ya wahanga walibeba 8 00:00:17,559 --> 00:00:20,973 vitu binafsi kama miswaki na dawa za meno 9 00:00:20,973 --> 00:00:23,492 ni dalili ya wazi ioneshayo kwamba hawakuwa na wazo 10 00:00:23,492 --> 00:00:25,320 ni kipi hasa kingeenda kuwatokea. 11 00:00:25,320 --> 00:00:27,711 Katika hali ya kawaida, waliambiwa wataenda kubadilishwa 12 00:00:27,711 --> 00:00:30,199 na wafungwa wa vita. 13 00:00:30,199 --> 00:00:32,212 Hivi vitu vilikuja patikana 14 00:00:32,212 --> 00:00:35,050 katika baadhi ya makaburi nchini mwangu, 15 00:00:35,050 --> 00:00:37,580 mpaka sasa tunapoongea,wataalamu wa vinasaba wanafukua miili 16 00:00:37,580 --> 00:00:39,714 katika makaburi yaliyogunduliwa, 17 00:00:39,714 --> 00:00:41,250 miaka 20 baada ya vita. 18 00:00:41,250 --> 00:00:45,333 Na inawezekana ni kiasi kikubwa sana kilichowahi kugunduliwa. 19 00:00:45,333 --> 00:00:47,611 Katika miaka minne ya mtafaruku 20 00:00:47,611 --> 00:00:50,457 uliowachanganya akili watu wa taifa la Bosnia mwanzoni mwa miaka ya 90, 21 00:00:50,457 --> 00:00:53,888 takribani wananchi 30,000,wengi wao wakiwa raia wa kawaida, 22 00:00:53,888 --> 00:00:55,823 walipotea,kudhaniwa kuuawa, 23 00:00:55,823 --> 00:00:57,803 na wengine 100,000 waliuawa 24 00:00:57,803 --> 00:00:59,530 wakati wa operesheni ya kivita 25 00:00:59,530 --> 00:01:01,159 Wengi wao waliuawa 26 00:01:01,159 --> 00:01:02,932 aitha siku za mwanzo za vita 27 00:01:02,932 --> 00:01:04,298 au nyakati za mwishoni za wasiwasi, 28 00:01:04,298 --> 00:01:07,477 upande wa umoja wa mataifa ulio salama mfano Srebrenica 29 00:01:07,477 --> 00:01:10,522 uliposhikiliwa na jeshi la Serbia. 30 00:01:10,522 --> 00:01:12,640 Taasisi ya uhalifu wa kimataifa 31 00:01:12,640 --> 00:01:14,330 ilitoa namba ya hukumu 32 00:01:14,330 --> 00:01:17,109 kwa uhalifu wa kukiuka haki za binadamu na mauaji ya kimbari. 33 00:01:17,109 --> 00:01:20,618 Mauaji ya kimbari ni hali ya 34 00:01:20,618 --> 00:01:24,288 kuleta ubaguzi wa rangi,kuvuruga siasa, hali ya kidini 35 00:01:24,288 --> 00:01:25,960 au makabila 36 00:01:25,960 --> 00:01:28,540 Kwa vile mauaji ya kimbari lengo lake ni kupoteza maisha ya watu. 37 00:01:28,540 --> 00:01:31,561 Pia inaharibu mali zao, 38 00:01:31,561 --> 00:01:33,451 urithi wao wa kitamaduni, 39 00:01:33,451 --> 00:01:36,713 viashirio muhimu sana vitavyoonesha waliwahi kuwepo. 40 00:01:36,713 --> 00:01:39,210 Mauaji ya kimbari sio kwa ajili ya kukatisha maisha ya watu tu; 41 00:01:39,210 --> 00:01:42,383 ni hali ya kukana utambulisho. 42 00:01:42,383 --> 00:01:43,813 Kuna ufahamu kwamba- 43 00:01:43,813 --> 00:01:45,532 hakuna kitu kama uhalifu maridadi 44 00:01:45,532 --> 00:01:48,267 Siku zote kutakuwa na mabaki ya wale waliofariki 45 00:01:48,267 --> 00:01:50,785 ambayo ni imara kuliko miili yao iliyo rahisi kuharibika 46 00:01:50,785 --> 00:01:54,523 na kumbukumbu zao ambazo zinafifia. 47 00:01:54,523 --> 00:01:57,180 Vitu hivi vinawezwa kupatikana 48 00:01:57,180 --> 00:01:58,352 katika baadhi ya makaburi, 49 00:01:58,352 --> 00:02:01,766 hatua ya ukusanyaji wa vitu hivi ipo 50 00:02:01,766 --> 00:02:03,234 katika hali ya kipekee 51 00:02:03,234 --> 00:02:06,512 katika kutambua wale waliopotea katika mauaji, 52 00:02:06,512 --> 00:02:09,482 mauaji ya kwanza katika udongo wa Ulaya 53 00:02:09,482 --> 00:02:10,905 tangu wakati wa Holocaust. 54 00:02:10,905 --> 00:02:13,419 Mwili hata mmoja hautakiwi ubaki haujapatikana 55 00:02:13,419 --> 00:02:15,285 au kutotambuliwa. 56 00:02:15,285 --> 00:02:16,650 Unapopatikana, 57 00:02:16,650 --> 00:02:19,573 vile vitu vilivyokuwa na mwili huo 58 00:02:19,573 --> 00:02:21,052 wakati wa mauaji 59 00:02:21,052 --> 00:02:23,409 vinasafishwa kwam makini,kufanyiwa uchunguzi, 60 00:02:23,409 --> 00:02:25,647 kuwekwa kati makundi na kisha kutunzwa. 61 00:02:25,647 --> 00:02:28,797 Maelfu ya vitu hivi yamewekwa katika mifuko myeupe ya plastiki 62 00:02:28,797 --> 00:02:31,200 kama ile unayoona katika tume ya uchunguzi wa uhalifu unaohusisha mauaji. 63 00:02:31,200 --> 00:02:33,938 Vitu hivi vinatumika kawa ajili ya utambuzi wa vinasaba 64 00:02:33,938 --> 00:02:36,393 ili kutambua wahanga, 65 00:02:36,393 --> 00:02:39,640 lakini pia vinatumika kama uthibitisho muhimu sana katika vinasaba 66 00:02:39,640 --> 00:02:42,477 kwenye majaribu ya mauaji yanayoendelea. 67 00:02:42,477 --> 00:02:44,568 Wale waliookoka huwa wanaitwa mara kwa mara 68 00:02:44,568 --> 00:02:47,119 kujaribu kutambua vitu hivi, 69 00:02:47,119 --> 00:02:50,449 lakini kuangalia kwa macho ya kawaida ni ngumu kidogo, 70 00:02:50,449 --> 00:02:53,551 ni hatua ambayo haina uhakika sana na inaumiza. 71 00:02:53,551 --> 00:02:57,344 Mara baada ya wataalamu wa vinasaba, madaktari na wanasheria 72 00:02:57,344 --> 00:02:58,486 wanapomalizana na hivi vitu 73 00:02:58,486 --> 00:03:01,417 vinabaki yatima kwa kuachwa tu. 74 00:03:01,417 --> 00:03:04,319 Vingi huaribiwa,amini usiamini, 75 00:03:04,319 --> 00:03:05,956 au vinawekwa, 76 00:03:05,956 --> 00:03:08,198 mbali ambapo haviwezi kufikiriwa tena. 77 00:03:08,198 --> 00:03:10,714 Miaka michache iliyopita niliamua 78 00:03:10,714 --> 00:03:13,380 kupiga picha kila kitu kilichofukuliwa 79 00:03:13,380 --> 00:03:15,281 ili niweze kutengeneza maktaba ya picha 80 00:03:15,281 --> 00:03:18,631 ili wale waliokoka waweze kuona kwa urahisi. 81 00:03:18,631 --> 00:03:22,688 Kama msimulia hadithi, ningependa kurudisha kitu kwa jamii. 82 00:03:22,688 --> 00:03:25,431 Ninapenda kwenda mbali zaidi katika kufikiri na kutenda ili kuongeza ufahamu. 83 00:03:25,431 --> 00:03:27,615 Katika hili, mtu anaweza 84 00:03:27,615 --> 00:03:29,216 kutambua vitu hivi 85 00:03:29,216 --> 00:03:31,912 au picha zinaweza kubaki 86 00:03:31,912 --> 00:03:35,714 muda mrefu sana, bila kusumbuliwa na kumbukumbu sahihi 87 00:03:35,714 --> 00:03:37,626 ya yale yaliyotokea. 88 00:03:37,626 --> 00:03:39,764 Kupiga picha kunahusisha kuelewa hisia za wengine, 89 00:03:39,764 --> 00:03:42,982 na vitu hivi vinahusisha sana hisia za wengine. 90 00:03:42,982 --> 00:03:45,436 Mimi ni kama kifaa katika swala hili, 91 00:03:45,436 --> 00:03:47,090 mtaalamu wa vinasaba, kama ukipenda, 92 00:03:47,090 --> 00:03:49,755 na matokeo yake ni picha ambayo ipo karibu sana 93 00:03:49,755 --> 00:03:52,376 na kuwa nyaraka. 94 00:03:52,376 --> 00:03:55,515 Pale watu wote waliopotea waligundulika, 95 00:03:55,515 --> 00:03:57,288 miili yao inayooza katika makaburi yao 96 00:03:57,288 --> 00:03:59,630 na hivi vitu vya kila siku vyote vitabaki. 97 00:03:59,630 --> 00:04:01,555 Katika urahisi, 98 00:04:01,555 --> 00:04:03,762 vitu hivi ni agano la mwisho 99 00:04:03,762 --> 00:04:05,319 katika utambulisho wa wahanga, 100 00:04:05,319 --> 00:04:07,347 ukumbusho wa mwisho ambao utadumu 101 00:04:07,347 --> 00:04:09,319 na kuonyesha kwamba watu hawa waliwahi kuwepo. 102 00:04:09,319 --> 00:04:11,657 Asante sana 103 00:04:11,657 --> 00:04:15,470 (Makofi)