0:00:00.930,0:00:02.385 Hivi ni vitu rahisi au vya kawaida 0:00:02.385,0:00:06.180 saa,funguo,vitana,miwani. 0:00:06.180,0:00:08.520 Ni vitu ambavyo wahanga wa mauaji ya kimbari huko Bosnia 0:00:08.520,0:00:11.517 walivibeba katika safari yao ya mwisho. 0:00:11.517,0:00:14.240 Wote tunayafahamu haya mambo, 0:00:14.240,0:00:15.974 vitu vya kila siku. 0:00:15.974,0:00:17.559 Ukweli wa kwamba baadhi ya wahanga walibeba 0:00:17.559,0:00:20.973 vitu binafsi kama miswaki na dawa za meno 0:00:20.973,0:00:23.492 ni dalili ya wazi ioneshayo kwamba hawakuwa na wazo 0:00:23.492,0:00:25.320 ni kipi hasa kingeenda kuwatokea. 0:00:25.320,0:00:27.711 Katika hali ya kawaida, waliambiwa wataenda kubadilishwa 0:00:27.711,0:00:30.199 na wafungwa wa vita. 0:00:30.199,0:00:32.212 Hivi vitu vilikuja patikana 0:00:32.212,0:00:35.050 katika baadhi ya makaburi nchini mwangu, 0:00:35.050,0:00:37.580 mpaka sasa tunapoongea,wataalamu wa vinasaba wanafukua miili 0:00:37.580,0:00:39.714 katika makaburi yaliyogunduliwa, 0:00:39.714,0:00:41.250 miaka 20 baada ya vita. 0:00:41.250,0:00:45.333 Na inawezekana ni kiasi kikubwa sana kilichowahi kugunduliwa. 0:00:45.333,0:00:47.611 Katika miaka minne ya mtafaruku 0:00:47.611,0:00:50.457 uliowachanganya akili watu wa taifa la Bosnia mwanzoni mwa miaka ya 90, 0:00:50.457,0:00:53.888 takribani wananchi 30,000,wengi wao wakiwa raia wa kawaida, 0:00:53.888,0:00:55.823 walipotea,kudhaniwa kuuawa, 0:00:55.823,0:00:57.803 na wengine 100,000 waliuawa 0:00:57.803,0:00:59.530 wakati wa operesheni ya kivita 0:00:59.530,0:01:01.159 Wengi wao waliuawa 0:01:01.159,0:01:02.932 aitha siku za mwanzo za vita 0:01:02.932,0:01:04.298 au nyakati za mwishoni za wasiwasi, 0:01:04.298,0:01:07.477 upande wa umoja wa mataifa ulio salama mfano Srebrenica 0:01:07.477,0:01:10.522 uliposhikiliwa na jeshi la Serbia. 0:01:10.522,0:01:12.640 Taasisi ya uhalifu wa kimataifa 0:01:12.640,0:01:14.330 ilitoa namba ya hukumu 0:01:14.330,0:01:17.109 kwa uhalifu wa kukiuka haki za binadamu na mauaji ya kimbari. 0:01:17.109,0:01:20.618 Mauaji ya kimbari ni hali ya 0:01:20.618,0:01:24.288 kuleta ubaguzi wa rangi,kuvuruga siasa, hali ya kidini 0:01:24.288,0:01:25.960 au makabila 0:01:25.960,0:01:28.540 Kwa vile mauaji ya kimbari lengo lake ni kupoteza maisha ya watu. 0:01:28.540,0:01:31.561 Pia inaharibu mali zao, 0:01:31.561,0:01:33.451 urithi wao wa kitamaduni, 0:01:33.451,0:01:36.713 viashirio muhimu sana vitavyoonesha waliwahi kuwepo. 0:01:36.713,0:01:39.210 Mauaji ya kimbari sio kwa ajili ya kukatisha maisha ya watu tu; 0:01:39.210,0:01:42.383 ni hali ya kukana utambulisho. 0:01:42.383,0:01:43.813 Kuna ufahamu kwamba- 0:01:43.813,0:01:45.532 hakuna kitu kama uhalifu maridadi 0:01:45.532,0:01:48.267 Siku zote kutakuwa na mabaki ya wale waliofariki 0:01:48.267,0:01:50.785 ambayo ni imara kuliko miili yao iliyo rahisi kuharibika 0:01:50.785,0:01:54.523 na kumbukumbu zao ambazo zinafifia. 0:01:54.523,0:01:57.180 Vitu hivi vinawezwa kupatikana 0:01:57.180,0:01:58.352 katika baadhi ya makaburi, 0:01:58.352,0:02:01.766 hatua ya ukusanyaji wa vitu hivi ipo 0:02:01.766,0:02:03.234 katika hali ya kipekee 0:02:03.234,0:02:06.512 katika kutambua wale waliopotea katika mauaji, 0:02:06.512,0:02:09.482 mauaji ya kwanza katika udongo wa Ulaya 0:02:09.482,0:02:10.905 tangu wakati wa Holocaust. 0:02:10.905,0:02:13.419 Mwili hata mmoja hautakiwi ubaki haujapatikana 0:02:13.419,0:02:15.285 au kutotambuliwa. 0:02:15.285,0:02:16.650 Unapopatikana, 0:02:16.650,0:02:19.573 vile vitu vilivyokuwa na mwili huo 0:02:19.573,0:02:21.052 wakati wa mauaji 0:02:21.052,0:02:23.409 vinasafishwa kwam makini,kufanyiwa uchunguzi, 0:02:23.409,0:02:25.647 kuwekwa kati makundi na kisha kutunzwa. 0:02:25.647,0:02:28.797 Maelfu ya vitu hivi yamewekwa katika mifuko myeupe ya plastiki 0:02:28.797,0:02:31.200 kama ile unayoona katika tume ya uchunguzi wa uhalifu unaohusisha mauaji. 0:02:31.200,0:02:33.938 Vitu hivi vinatumika kawa ajili ya utambuzi wa vinasaba 0:02:33.938,0:02:36.393 ili kutambua wahanga, 0:02:36.393,0:02:39.640 lakini pia vinatumika kama uthibitisho muhimu sana katika vinasaba 0:02:39.640,0:02:42.477 kwenye majaribu ya mauaji yanayoendelea. 0:02:42.477,0:02:44.568 Wale waliookoka huwa wanaitwa mara kwa mara 0:02:44.568,0:02:47.119 kujaribu kutambua vitu hivi, 0:02:47.119,0:02:50.449 lakini kuangalia kwa macho ya kawaida ni ngumu kidogo, 0:02:50.449,0:02:53.551 ni hatua ambayo haina uhakika sana na inaumiza. 0:02:53.551,0:02:57.344 Mara baada ya wataalamu wa vinasaba, madaktari na wanasheria 0:02:57.344,0:02:58.486 wanapomalizana na hivi vitu 0:02:58.486,0:03:01.417 vinabaki yatima kwa kuachwa tu. 0:03:01.417,0:03:04.319 Vingi huaribiwa,amini usiamini, 0:03:04.319,0:03:05.956 au vinawekwa, 0:03:05.956,0:03:08.198 mbali ambapo haviwezi kufikiriwa tena. 0:03:08.198,0:03:10.714 Miaka michache iliyopita niliamua 0:03:10.714,0:03:13.380 kupiga picha kila kitu kilichofukuliwa 0:03:13.380,0:03:15.281 ili niweze kutengeneza maktaba ya picha 0:03:15.281,0:03:18.631 ili wale waliokoka waweze kuona kwa urahisi. 0:03:18.631,0:03:22.688 Kama msimulia hadithi, ningependa kurudisha kitu kwa jamii. 0:03:22.688,0:03:25.431 Ninapenda kwenda mbali zaidi katika kufikiri na kutenda ili kuongeza ufahamu. 0:03:25.431,0:03:27.615 Katika hili, mtu anaweza 0:03:27.615,0:03:29.216 kutambua vitu hivi 0:03:29.216,0:03:31.912 au picha zinaweza kubaki 0:03:31.912,0:03:35.714 muda mrefu sana, bila kusumbuliwa na kumbukumbu sahihi 0:03:35.714,0:03:37.626 ya yale yaliyotokea. 0:03:37.626,0:03:39.764 Kupiga picha kunahusisha kuelewa hisia za wengine, 0:03:39.764,0:03:42.982 na vitu hivi vinahusisha sana hisia za wengine. 0:03:42.982,0:03:45.436 Mimi ni kama kifaa katika swala hili, 0:03:45.436,0:03:47.090 mtaalamu wa vinasaba, kama ukipenda, 0:03:47.090,0:03:49.755 na matokeo yake ni picha ambayo ipo karibu sana 0:03:49.755,0:03:52.376 na kuwa nyaraka. 0:03:52.376,0:03:55.515 Pale watu wote waliopotea waligundulika, 0:03:55.515,0:03:57.288 miili yao inayooza katika makaburi yao 0:03:57.288,0:03:59.630 na hivi vitu vya kila siku vyote vitabaki. 0:03:59.630,0:04:01.555 Katika urahisi, 0:04:01.555,0:04:03.762 vitu hivi ni agano la mwisho 0:04:03.762,0:04:05.319 katika utambulisho wa wahanga, 0:04:05.319,0:04:07.347 ukumbusho wa mwisho ambao utadumu 0:04:07.347,0:04:09.319 na kuonyesha kwamba watu hawa waliwahi kuwepo. 0:04:09.319,0:04:11.657 Asante sana 0:04:11.657,0:04:15.470 (Makofi)