WEBVTT 00:00:00.485 --> 00:00:02.707 Miaka kumi iliyopita, niliandika kitabu nilichokipa jina 00:00:02.707 --> 00:00:05.800 "Karne yetu ya mwisho?" Alama ya kuuliza. 00:00:05.800 --> 00:00:09.377 Wachapishaji wa kitabu hiki waliondoa alama ya kuuliza. (Vicheko) 00:00:09.377 --> 00:00:11.259 Wachapishaji wa Marekani walibadili jina 00:00:11.259 --> 00:00:15.168 na kuwa "Lisaa Letu la Mwisho". 00:00:15.168 --> 00:00:18.660 Wamarekani hupenda kuridhishwa haraka na kinyume. 00:00:18.660 --> 00:00:20.368 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:20.368 --> 00:00:22.118 Na ujumbe wangu ulikuwa huu: 00:00:22.118 --> 00:00:26.284 Dunia yetu imekuwepo kwa karne milioni 45, 00:00:26.284 --> 00:00:28.297 lakini hii hapa ni maalumu --- 00:00:28.297 --> 00:00:31.313 ni ya kwanza ambayo jamii moja, yetu, 00:00:31.313 --> 00:00:34.115 ina mustakabali wa sayari mikononi mwake. 00:00:34.115 --> 00:00:36.105 Zaidi karibia ya historia yote ya Dunia, 00:00:36.105 --> 00:00:38.041 vitisho vimetoka kwenye mazingira, 00:00:38.041 --> 00:00:41.537 magonjwa, mitetemeko ya ardhi na mengine mengi -- 00:00:41.537 --> 00:00:47.209 lakini kuanzia sasa, hatari kubwa inatoka kwetu. 00:00:47.209 --> 00:00:50.480 Na sasa sio matisho tu ya nuklia; 00:00:50.480 --> 00:00:52.231 kwenye dunia yetu iliyoungana, 00:00:52.231 --> 00:00:55.394 kuvunjika kwa mitandao kunaweza sambaa duniani; 00:00:55.394 --> 00:00:59.350 usafiri wa anga unaweza kusambaza magonjwa dunia nzima ndani ya siku; 00:00:59.350 --> 00:01:02.677 na mitandao ya kijamii inaweza kusambaza vitisho na uzushi 00:01:02.677 --> 00:01:05.894 kihalisi kama kasi ya mwanga. 00:01:05.894 --> 00:01:09.119 Tunagombana sana kuhusu matatizo madogo -- 00:01:09.119 --> 00:01:13.150 uwezekano wa ndege kudondoka, kemikali kwenye chakula, 00:01:13.150 --> 00:01:15.376 dozi ndogo za mionzi, na kadhalika -- 00:01:15.376 --> 00:01:18.201 lakini sisi na wakuu wetu wa siasa 00:01:18.201 --> 00:01:22.404 tupo kwenye kukana kuhusu hali za majanga. 00:01:22.404 --> 00:01:25.442 Bahati nzuri mabaya hayajatokea bado. 00:01:25.442 --> 00:01:27.638 Kweli, pengine hayatatokea. 00:01:27.638 --> 00:01:30.823 Lakini kama tukio lina maafa makubwa, 00:01:30.823 --> 00:01:33.691 linastahili kupewa faida kubwa 00:01:33.691 --> 00:01:37.527 kulinda dhidi yake, hata kama inaweza isitokee, 00:01:37.527 --> 00:01:42.040 kama tunavyotoa bima ya moto kwenye nyumba yetu. NOTE Paragraph 00:01:42.040 --> 00:01:47.037 Kama sayansi inavyoleta nguvu kubwa na ahadi, 00:01:47.037 --> 00:01:50.903 upande wa chini unazidi kuogopesha pia. 00:01:50.903 --> 00:01:53.142 Tunazidi kuwa dhaifu na waoga, 00:01:53.142 --> 00:01:54.980 Ndani ya miongo michache, 00:01:54.980 --> 00:01:57.210 mamilioni watakuwa na uwezo, 00:01:57.210 --> 00:02:00.331 wa kutumia vibaya bioteknolojia inayokua, 00:02:00.331 --> 00:02:03.884 Kama wanavyotumia teknolojia vibaya leo. 00:02:03.884 --> 00:02:07.083 Freeman Dyson, kwenye mazungumzo ya TED, 00:02:07.083 --> 00:02:10.679 aliona kuwa huko mbeleni watoto wataweza kutengeneza viumbe hai 00:02:10.679 --> 00:02:14.104 kama ambavyo kizazi chake kilivyocheza na seti za kemia. 00:02:15.190 --> 00:02:17.718 Hii inaweza kuwa sayansi ya kubuniwa zaidi, 00:02:17.718 --> 00:02:20.901 lakini tuna amini itatokea hata kwa kiasi, 00:02:20.901 --> 00:02:23.638 mazingira yetu na hata viumbe vyetu 00:02:23.638 --> 00:02:27.627 hawataweza kuishi muda mrefu bila kubadilika, 00:02:27.627 --> 00:02:31.490 Mfano, kuna wanamazingira wengi wa msimamo mkali, 00:02:31.490 --> 00:02:33.999 wanaomini kua itafaa kwa sayari yetu, 00:02:33.999 --> 00:02:37.402 kwa Gaia, kama kutakuwa na binadamu wachache. 00:02:37.402 --> 00:02:40.119 Nini kitatokea kama watu hawa wakifuzu 00:02:40.119 --> 00:02:42.256 ufundi wa kibiolojia za sanisia 00:02:42.256 --> 00:02:45.108 ambao utasambaa ifikapo mwaka 2050? 00:02:45.108 --> 00:02:48.150 Kipindi hicho, matisho mengine ya sayansi ya kubuniwa 00:02:48.150 --> 00:02:49.860 yanaweza kugeuka kweli: 00:02:49.860 --> 00:02:51.930 roboti za kijinga kujiongoza zenyewe, 00:02:51.930 --> 00:02:54.347 au mtandao unaotumia akili yake yenyewe 00:02:54.347 --> 00:02:56.936 unatutisha sote. NOTE Paragraph 00:02:56.936 --> 00:03:00.206 Je, tutaweza kujikinga na hizi hatari kwa sheria? 00:03:00.206 --> 00:03:02.613 Itabidi tujaribu, lakini hizi biashara 00:03:02.613 --> 00:03:06.142 zina ushindani mkubwa, zipo dunia nzima, 00:03:06.142 --> 00:03:08.122 na zinasukumwa na mbinu za biashara, 00:03:08.122 --> 00:03:11.407 kwa kila kinachoweza kufanyika, kitafanyika mahali, 00:03:11.407 --> 00:03:13.443 bila kujali sheria zinasema nini. 00:03:13.443 --> 00:03:16.930 Ni kama sheria za madawa -- tunajaribu kuzipunguza, lakini hatuwezi. 00:03:16.930 --> 00:03:19.974 Na kijiji cha dunia kitakua na wajinga wa kijiji, 00:03:19.974 --> 00:03:23.470 nao watakua na masafa ya dunia. NOTE Paragraph 00:03:23.470 --> 00:03:25.761 Kama nilivyosema kwenye kitabu changu, 00:03:25.761 --> 00:03:28.650 tutakuwa na mwendo mtata kwenye hii karne. 00:03:28.650 --> 00:03:32.140 Kunaweza kuwa na vikwazo kwenye jamii yetu -- 00:03:32.140 --> 00:03:36.255 kweli, asilimia 50 ya vikwazo zikali. 00:03:36.255 --> 00:03:39.169 Lakini kuna matukio ya maana 00:03:39.169 --> 00:03:41.330 yanayoweza kuwa mabaya zaidi, 00:03:41.330 --> 00:03:44.760 matukio yanayoweza kutoa maisha yote? 00:03:44.760 --> 00:03:47.686 Pale punje mpya chochezi iikija mtandaoni, 00:03:47.686 --> 00:03:49.475 badhi ya watu walijiuliza kwa bidii, 00:03:49.475 --> 00:03:51.725 vinaweza kuharibu dunia, au mbaya zaidi, 00:03:51.725 --> 00:03:54.384 kuharibu kabisa mfumo wa anga? 00:03:54.384 --> 00:03:57.927 Bahati nzuri, tuliweza kujihakikishia. 00:03:57.927 --> 00:03:59.971 Mimi na wenzangu tulisema kua asili 00:03:59.971 --> 00:04:01.904 imefanya majaribio kama hayo 00:04:01.904 --> 00:04:04.090 mara zilioni tayari, 00:04:04.090 --> 00:04:05.855 kutumia kugongana kwa miali ya anga. 00:04:05.855 --> 00:04:08.909 Lakini wanasayansi wanatakiwa wawe makini 00:04:08.909 --> 00:04:11.489 kuhusu majaribio yanayotengeneza hali 00:04:11.489 --> 00:04:13.972 bila uhakiki kwenye dunia ya halisi. 00:04:13.972 --> 00:04:17.395 Wanabiolojia wanatakiwa kuepuka kuachia uharibifu muhimu wa 00:04:17.395 --> 00:04:20.110 vimelea vilivyoundwa kijenetiki. NOTE Paragraph 00:04:20.110 --> 00:04:23.627 Na pia, karaha yetu ya kipekee 00:04:23.627 --> 00:04:27.088 kwenye hatari ya mafaa makubwa 00:04:27.088 --> 00:04:30.363 inatokana na swali hili kubwa la msingi, 00:04:30.363 --> 00:04:32.033 nalo ni; 00:04:32.033 --> 00:04:34.341 Zingatia hali mbili. 00:04:34.341 --> 00:04:39.577 Hali A inaua asilimia 90 ya binadamu. 00:04:39.577 --> 00:04:43.473 Hali B inaua asilimia 100. 00:04:43.473 --> 00:04:46.391 Je B ni mbaya kiasi gani kuliko A? 00:04:46.391 --> 00:04:49.414 Baadhi watasema ni asilimia 10 mbaya zaidi. 00:04:49.414 --> 00:04:52.564 Idadi ni asilimia 10 zaidi. 00:04:52.564 --> 00:04:55.470 Lakini nasema kua B ni mbaya zaidi. 00:04:55.470 --> 00:04:58.099 Kama mwanafalaki, siamini 00:04:58.099 --> 00:05:00.566 binadamu ni mwisho wa hadithi. 00:05:00.566 --> 00:05:03.889 Ni miaka bilioni tano mpaka jua liripuke, 00:05:03.889 --> 00:05:06.600 na ulimwengu ungeendelea kuwepo, 00:05:06.600 --> 00:05:08.892 kwahiyo mageuzi ya binadamu wa baadae, 00:05:08.892 --> 00:05:11.082 hapa duniani na kwingineko mbali, 00:05:11.082 --> 00:05:13.796 inaweza kuwa ndefu kama harakati ya Darwinian 00:05:13.796 --> 00:05:17.077 iliyokuja kwetu, na nzuri zaidi. 00:05:17.077 --> 00:05:19.741 Na kweli, mageuzi ya mbeleni yatatokea kwa haraka zaidi, 00:05:19.741 --> 00:05:21.940 kwenye kipimo cha mda cha teknolojia, 00:05:21.940 --> 00:05:24.239 sio wa uchaguzi wa asili. NOTE Paragraph 00:05:24.239 --> 00:05:28.434 Kwahiyo tupo katika mwanga wa hicho kipimo, 00:05:28.434 --> 00:05:31.820 kutokupokea hata hatari moja kati ya billioni 00:05:31.820 --> 00:05:34.049 ambayo kupotea kwa binadamu kutasababisha 00:05:34.049 --> 00:05:36.359 huu uwezekano mkubwa. 00:05:36.359 --> 00:05:38.131 Baadhi ya hali ambazo zilionyesha 00:05:38.131 --> 00:05:39.950 kua kweli zingekua sayansi ya kubuniwa, 00:05:39.950 --> 00:05:43.336 lakini nyingine zinaweza kuwa ni za kweli. 00:05:43.336 --> 00:05:46.210 Ni msemo muhimu kua vile visivyozoeleka 00:05:46.210 --> 00:05:48.907 sio sawa na vinavyoshindikana, 00:05:48.907 --> 00:05:51.305 na ndio maana, sisi katika Chuo cha Cambridge, 00:05:51.305 --> 00:05:54.680 tunaanda kitivo cha kujifunza jinsi ya kuepuka 00:05:54.680 --> 00:05:56.712 hizi hatari kubwa. 00:05:56.712 --> 00:05:59.775 Inaonekana ni ya maana kwa watu wachache 00:05:59.775 --> 00:06:02.091 kuwaza kuhusu haya mafaa yanayoweza kutokea. 00:06:02.091 --> 00:06:05.104 Na tunahitaji msaada wote tutakaopata kwa wengine, 00:06:05.104 --> 00:06:07.583 sababu sote ni wahudumu wa, 00:06:07.583 --> 00:06:11.066 kidoti cha bluu kwenye ulimwengu huu mkubwa, 00:06:11.066 --> 00:06:14.444 sayari yenye karne milioni 50 mbele yake. 00:06:14.444 --> 00:06:17.000 Kwa hiyo tusiharibu mustakabali wetu. NOTE Paragraph 00:06:17.000 --> 00:06:18.795 Na ningependa kumalizia na nukuu 00:06:18.795 --> 00:06:22.296 kutoka kwa mwanasayansi mashuhuri aitwae Peter Medawar. 00:06:22.296 --> 00:06:25.569 nanukuu "Kengengele zinazolia kwa binadamu 00:06:25.569 --> 00:06:28.213 ni kama zile za mifugo ya Alpine. 00:06:28.213 --> 00:06:30.499 Zimefungwa shingoni mwetu wenyewe, 00:06:30.499 --> 00:06:33.174 na ni juu yetu kama hazitatengeneza 00:06:33.174 --> 00:06:35.305 mfuatano mzuri wa sauti." NOTE Paragraph 00:06:35.305 --> 00:06:37.572 Asanteni sana. NOTE Paragraph 00:06:37.572 --> 00:06:39.685 (Makofi)