1 00:00:00,485 --> 00:00:02,707 Miaka kumi iliyopita, niliandika kitabu nilichokipa jina 2 00:00:02,707 --> 00:00:05,800 "Karne yetu ya mwisho?" Alama ya kuuliza. 3 00:00:05,800 --> 00:00:09,377 Wachapishaji wa kitabu hiki waliondoa alama ya kuuliza. (Vicheko) 4 00:00:09,377 --> 00:00:11,259 Wachapishaji wa Marekani walibadili jina 5 00:00:11,259 --> 00:00:15,168 na kuwa "Lisaa Letu la Mwisho". 6 00:00:15,168 --> 00:00:18,660 Wamarekani hupenda kuridhishwa haraka na kinyume. 7 00:00:18,660 --> 00:00:20,368 (Vicheko) 8 00:00:20,368 --> 00:00:22,118 Na ujumbe wangu ulikuwa huu: 9 00:00:22,118 --> 00:00:26,284 Dunia yetu imekuwepo kwa karne milioni 45, 10 00:00:26,284 --> 00:00:28,297 lakini hii hapa ni maalumu --- 11 00:00:28,297 --> 00:00:31,313 ni ya kwanza ambayo jamii moja, yetu, 12 00:00:31,313 --> 00:00:34,115 ina mustakabali wa sayari mikononi mwake. 13 00:00:34,115 --> 00:00:36,105 Zaidi karibia ya historia yote ya Dunia, 14 00:00:36,105 --> 00:00:38,041 vitisho vimetoka kwenye mazingira, 15 00:00:38,041 --> 00:00:41,537 magonjwa, mitetemeko ya ardhi na mengine mengi -- 16 00:00:41,537 --> 00:00:47,209 lakini kuanzia sasa, hatari kubwa inatoka kwetu. 17 00:00:47,209 --> 00:00:50,480 Na sasa sio matisho tu ya nuklia; 18 00:00:50,480 --> 00:00:52,231 kwenye dunia yetu iliyoungana, 19 00:00:52,231 --> 00:00:55,394 kuvunjika kwa mitandao kunaweza sambaa duniani; 20 00:00:55,394 --> 00:00:59,350 usafiri wa anga unaweza kusambaza magonjwa dunia nzima ndani ya siku; 21 00:00:59,350 --> 00:01:02,677 na mitandao ya kijamii inaweza kusambaza vitisho na uzushi 22 00:01:02,677 --> 00:01:05,894 kihalisi kama kasi ya mwanga. 23 00:01:05,894 --> 00:01:09,119 Tunagombana sana kuhusu matatizo madogo -- 24 00:01:09,119 --> 00:01:13,150 uwezekano wa ndege kudondoka, kemikali kwenye chakula, 25 00:01:13,150 --> 00:01:15,376 dozi ndogo za mionzi, na kadhalika -- 26 00:01:15,376 --> 00:01:18,201 lakini sisi na wakuu wetu wa siasa 27 00:01:18,201 --> 00:01:22,404 tupo kwenye kukana kuhusu hali za majanga. 28 00:01:22,404 --> 00:01:25,442 Bahati nzuri mabaya hayajatokea bado. 29 00:01:25,442 --> 00:01:27,638 Kweli, pengine hayatatokea. 30 00:01:27,638 --> 00:01:30,823 Lakini kama tukio lina maafa makubwa, 31 00:01:30,823 --> 00:01:33,691 linastahili kupewa faida kubwa 32 00:01:33,691 --> 00:01:37,527 kulinda dhidi yake, hata kama inaweza isitokee, 33 00:01:37,527 --> 00:01:42,040 kama tunavyotoa bima ya moto kwenye nyumba yetu. 34 00:01:42,040 --> 00:01:47,037 Kama sayansi inavyoleta nguvu kubwa na ahadi, 35 00:01:47,037 --> 00:01:50,903 upande wa chini unazidi kuogopesha pia. 36 00:01:50,903 --> 00:01:53,142 Tunazidi kuwa dhaifu na waoga, 37 00:01:53,142 --> 00:01:54,980 Ndani ya miongo michache, 38 00:01:54,980 --> 00:01:57,210 mamilioni watakuwa na uwezo, 39 00:01:57,210 --> 00:02:00,331 wa kutumia vibaya bioteknolojia inayokua, 40 00:02:00,331 --> 00:02:03,884 Kama wanavyotumia teknolojia vibaya leo. 41 00:02:03,884 --> 00:02:07,083 Freeman Dyson, kwenye mazungumzo ya TED, 42 00:02:07,083 --> 00:02:10,679 aliona kuwa huko mbeleni watoto wataweza kutengeneza viumbe hai 43 00:02:10,679 --> 00:02:14,104 kama ambavyo kizazi chake kilivyocheza na seti za kemia. 44 00:02:15,190 --> 00:02:17,718 Hii inaweza kuwa sayansi ya kubuniwa zaidi, 45 00:02:17,718 --> 00:02:20,901 lakini tuna amini itatokea hata kwa kiasi, 46 00:02:20,901 --> 00:02:23,638 mazingira yetu na hata viumbe vyetu 47 00:02:23,638 --> 00:02:27,627 hawataweza kuishi muda mrefu bila kubadilika, 48 00:02:27,627 --> 00:02:31,490 Mfano, kuna wanamazingira wengi wa msimamo mkali, 49 00:02:31,490 --> 00:02:33,999 wanaomini kua itafaa kwa sayari yetu, 50 00:02:33,999 --> 00:02:37,402 kwa Gaia, kama kutakuwa na binadamu wachache. 51 00:02:37,402 --> 00:02:40,119 Nini kitatokea kama watu hawa wakifuzu 52 00:02:40,119 --> 00:02:42,256 ufundi wa kibiolojia za sanisia 53 00:02:42,256 --> 00:02:45,108 ambao utasambaa ifikapo mwaka 2050? 54 00:02:45,108 --> 00:02:48,150 Kipindi hicho, matisho mengine ya sayansi ya kubuniwa 55 00:02:48,150 --> 00:02:49,860 yanaweza kugeuka kweli: 56 00:02:49,860 --> 00:02:51,930 roboti za kijinga kujiongoza zenyewe, 57 00:02:51,930 --> 00:02:54,347 au mtandao unaotumia akili yake yenyewe 58 00:02:54,347 --> 00:02:56,936 unatutisha sote. 59 00:02:56,936 --> 00:03:00,206 Je, tutaweza kujikinga na hizi hatari kwa sheria? 60 00:03:00,206 --> 00:03:02,613 Itabidi tujaribu, lakini hizi biashara 61 00:03:02,613 --> 00:03:06,142 zina ushindani mkubwa, zipo dunia nzima, 62 00:03:06,142 --> 00:03:08,122 na zinasukumwa na mbinu za biashara, 63 00:03:08,122 --> 00:03:11,407 kwa kila kinachoweza kufanyika, kitafanyika mahali, 64 00:03:11,407 --> 00:03:13,443 bila kujali sheria zinasema nini. 65 00:03:13,443 --> 00:03:16,930 Ni kama sheria za madawa -- tunajaribu kuzipunguza, lakini hatuwezi. 66 00:03:16,930 --> 00:03:19,974 Na kijiji cha dunia kitakua na wajinga wa kijiji, 67 00:03:19,974 --> 00:03:23,470 nao watakua na masafa ya dunia. 68 00:03:23,470 --> 00:03:25,761 Kama nilivyosema kwenye kitabu changu, 69 00:03:25,761 --> 00:03:28,650 tutakuwa na mwendo mtata kwenye hii karne. 70 00:03:28,650 --> 00:03:32,140 Kunaweza kuwa na vikwazo kwenye jamii yetu -- 71 00:03:32,140 --> 00:03:36,255 kweli, asilimia 50 ya vikwazo zikali. 72 00:03:36,255 --> 00:03:39,169 Lakini kuna matukio ya maana 73 00:03:39,169 --> 00:03:41,330 yanayoweza kuwa mabaya zaidi, 74 00:03:41,330 --> 00:03:44,760 matukio yanayoweza kutoa maisha yote? 75 00:03:44,760 --> 00:03:47,686 Pale punje mpya chochezi iikija mtandaoni, 76 00:03:47,686 --> 00:03:49,475 badhi ya watu walijiuliza kwa bidii, 77 00:03:49,475 --> 00:03:51,725 vinaweza kuharibu dunia, au mbaya zaidi, 78 00:03:51,725 --> 00:03:54,384 kuharibu kabisa mfumo wa anga? 79 00:03:54,384 --> 00:03:57,927 Bahati nzuri, tuliweza kujihakikishia. 80 00:03:57,927 --> 00:03:59,971 Mimi na wenzangu tulisema kua asili 81 00:03:59,971 --> 00:04:01,904 imefanya majaribio kama hayo 82 00:04:01,904 --> 00:04:04,090 mara zilioni tayari, 83 00:04:04,090 --> 00:04:05,855 kutumia kugongana kwa miali ya anga. 84 00:04:05,855 --> 00:04:08,909 Lakini wanasayansi wanatakiwa wawe makini 85 00:04:08,909 --> 00:04:11,489 kuhusu majaribio yanayotengeneza hali 86 00:04:11,489 --> 00:04:13,972 bila uhakiki kwenye dunia ya halisi. 87 00:04:13,972 --> 00:04:17,395 Wanabiolojia wanatakiwa kuepuka kuachia uharibifu muhimu wa 88 00:04:17,395 --> 00:04:20,110 vimelea vilivyoundwa kijenetiki. 89 00:04:20,110 --> 00:04:23,627 Na pia, karaha yetu ya kipekee 90 00:04:23,627 --> 00:04:27,088 kwenye hatari ya mafaa makubwa 91 00:04:27,088 --> 00:04:30,363 inatokana na swali hili kubwa la msingi, 92 00:04:30,363 --> 00:04:32,033 nalo ni; 93 00:04:32,033 --> 00:04:34,341 Zingatia hali mbili. 94 00:04:34,341 --> 00:04:39,577 Hali A inaua asilimia 90 ya binadamu. 95 00:04:39,577 --> 00:04:43,473 Hali B inaua asilimia 100. 96 00:04:43,473 --> 00:04:46,391 Je B ni mbaya kiasi gani kuliko A? 97 00:04:46,391 --> 00:04:49,414 Baadhi watasema ni asilimia 10 mbaya zaidi. 98 00:04:49,414 --> 00:04:52,564 Idadi ni asilimia 10 zaidi. 99 00:04:52,564 --> 00:04:55,470 Lakini nasema kua B ni mbaya zaidi. 100 00:04:55,470 --> 00:04:58,099 Kama mwanafalaki, siamini 101 00:04:58,099 --> 00:05:00,566 binadamu ni mwisho wa hadithi. 102 00:05:00,566 --> 00:05:03,889 Ni miaka bilioni tano mpaka jua liripuke, 103 00:05:03,889 --> 00:05:06,600 na ulimwengu ungeendelea kuwepo, 104 00:05:06,600 --> 00:05:08,892 kwahiyo mageuzi ya binadamu wa baadae, 105 00:05:08,892 --> 00:05:11,082 hapa duniani na kwingineko mbali, 106 00:05:11,082 --> 00:05:13,796 inaweza kuwa ndefu kama harakati ya Darwinian 107 00:05:13,796 --> 00:05:17,077 iliyokuja kwetu, na nzuri zaidi. 108 00:05:17,077 --> 00:05:19,741 Na kweli, mageuzi ya mbeleni yatatokea kwa haraka zaidi, 109 00:05:19,741 --> 00:05:21,940 kwenye kipimo cha mda cha teknolojia, 110 00:05:21,940 --> 00:05:24,239 sio wa uchaguzi wa asili. 111 00:05:24,239 --> 00:05:28,434 Kwahiyo tupo katika mwanga wa hicho kipimo, 112 00:05:28,434 --> 00:05:31,820 kutokupokea hata hatari moja kati ya billioni 113 00:05:31,820 --> 00:05:34,049 ambayo kupotea kwa binadamu kutasababisha 114 00:05:34,049 --> 00:05:36,359 huu uwezekano mkubwa. 115 00:05:36,359 --> 00:05:38,131 Baadhi ya hali ambazo zilionyesha 116 00:05:38,131 --> 00:05:39,950 kua kweli zingekua sayansi ya kubuniwa, 117 00:05:39,950 --> 00:05:43,336 lakini nyingine zinaweza kuwa ni za kweli. 118 00:05:43,336 --> 00:05:46,210 Ni msemo muhimu kua vile visivyozoeleka 119 00:05:46,210 --> 00:05:48,907 sio sawa na vinavyoshindikana, 120 00:05:48,907 --> 00:05:51,305 na ndio maana, sisi katika Chuo cha Cambridge, 121 00:05:51,305 --> 00:05:54,680 tunaanda kitivo cha kujifunza jinsi ya kuepuka 122 00:05:54,680 --> 00:05:56,712 hizi hatari kubwa. 123 00:05:56,712 --> 00:05:59,775 Inaonekana ni ya maana kwa watu wachache 124 00:05:59,775 --> 00:06:02,091 kuwaza kuhusu haya mafaa yanayoweza kutokea. 125 00:06:02,091 --> 00:06:05,104 Na tunahitaji msaada wote tutakaopata kwa wengine, 126 00:06:05,104 --> 00:06:07,583 sababu sote ni wahudumu wa, 127 00:06:07,583 --> 00:06:11,066 kidoti cha bluu kwenye ulimwengu huu mkubwa, 128 00:06:11,066 --> 00:06:14,444 sayari yenye karne milioni 50 mbele yake. 129 00:06:14,444 --> 00:06:17,000 Kwa hiyo tusiharibu mustakabali wetu. 130 00:06:17,000 --> 00:06:18,795 Na ningependa kumalizia na nukuu 131 00:06:18,795 --> 00:06:22,296 kutoka kwa mwanasayansi mashuhuri aitwae Peter Medawar. 132 00:06:22,296 --> 00:06:25,569 nanukuu "Kengengele zinazolia kwa binadamu 133 00:06:25,569 --> 00:06:28,213 ni kama zile za mifugo ya Alpine. 134 00:06:28,213 --> 00:06:30,499 Zimefungwa shingoni mwetu wenyewe, 135 00:06:30,499 --> 00:06:33,174 na ni juu yetu kama hazitatengeneza 136 00:06:33,174 --> 00:06:35,305 mfuatano mzuri wa sauti." 137 00:06:35,305 --> 00:06:37,572 Asanteni sana. 138 00:06:37,572 --> 00:06:39,685 (Makofi)