0:00:00.485,0:00:02.707 Miaka kumi iliyopita, niliandika kitabu[br]nilichokipa jina 0:00:02.707,0:00:05.800 "Karne yetu ya mwisho?" Alama ya kuuliza. 0:00:05.800,0:00:09.377 Wachapishaji wa kitabu hiki waliondoa[br]alama ya kuuliza. (Vicheko) 0:00:09.377,0:00:11.259 Wachapishaji wa Marekani[br]walibadili jina 0:00:11.259,0:00:15.168 na kuwa "Lisaa Letu la Mwisho". 0:00:15.168,0:00:18.660 Wamarekani hupenda kuridhishwa haraka na[br]kinyume. 0:00:18.660,0:00:20.368 (Vicheko) 0:00:20.368,0:00:22.118 Na ujumbe wangu ulikuwa huu: 0:00:22.118,0:00:26.284 Dunia yetu imekuwepo kwa karne milioni 45, 0:00:26.284,0:00:28.297 lakini hii hapa ni maalumu --- 0:00:28.297,0:00:31.313 ni ya kwanza ambayo jamii moja, yetu, 0:00:31.313,0:00:34.115 ina mustakabali wa sayari mikononi mwake. 0:00:34.115,0:00:36.105 Zaidi karibia ya historia yote ya Dunia, 0:00:36.105,0:00:38.041 vitisho vimetoka kwenye mazingira, 0:00:38.041,0:00:41.537 magonjwa, mitetemeko ya ardhi na[br]mengine mengi -- 0:00:41.537,0:00:47.209 lakini kuanzia sasa, hatari kubwa[br]inatoka kwetu. 0:00:47.209,0:00:50.480 Na sasa sio matisho tu ya nuklia; 0:00:50.480,0:00:52.231 kwenye dunia yetu iliyoungana, 0:00:52.231,0:00:55.394 kuvunjika kwa mitandao kunaweza[br]sambaa duniani; 0:00:55.394,0:00:59.350 usafiri wa anga unaweza kusambaza magonjwa[br]dunia nzima ndani ya siku; 0:00:59.350,0:01:02.677 na mitandao ya kijamii inaweza kusambaza[br]vitisho na uzushi 0:01:02.677,0:01:05.894 kihalisi kama kasi ya mwanga. 0:01:05.894,0:01:09.119 Tunagombana sana kuhusu matatizo madogo -- 0:01:09.119,0:01:13.150 uwezekano wa ndege kudondoka, [br]kemikali kwenye chakula, 0:01:13.150,0:01:15.376 dozi ndogo za mionzi, na kadhalika -- 0:01:15.376,0:01:18.201 lakini sisi na wakuu wetu wa siasa 0:01:18.201,0:01:22.404 tupo kwenye kukana kuhusu hali za majanga. 0:01:22.404,0:01:25.442 Bahati nzuri mabaya hayajatokea bado. 0:01:25.442,0:01:27.638 Kweli, pengine hayatatokea. 0:01:27.638,0:01:30.823 Lakini kama tukio lina maafa makubwa, 0:01:30.823,0:01:33.691 linastahili kupewa faida kubwa 0:01:33.691,0:01:37.527 kulinda dhidi yake, hata kama[br]inaweza isitokee, 0:01:37.527,0:01:42.040 kama tunavyotoa bima ya moto kwenye[br]nyumba yetu. 0:01:42.040,0:01:47.037 Kama sayansi inavyoleta nguvu kubwa[br]na ahadi, 0:01:47.037,0:01:50.903 upande wa chini unazidi kuogopesha pia. 0:01:50.903,0:01:53.142 Tunazidi kuwa dhaifu na waoga, 0:01:53.142,0:01:54.980 Ndani ya miongo michache, 0:01:54.980,0:01:57.210 mamilioni watakuwa na uwezo, 0:01:57.210,0:02:00.331 wa kutumia vibaya bioteknolojia inayokua, 0:02:00.331,0:02:03.884 Kama wanavyotumia teknolojia vibaya leo. 0:02:03.884,0:02:07.083 Freeman Dyson, kwenye mazungumzo ya TED, 0:02:07.083,0:02:10.679 aliona kuwa huko mbeleni watoto[br]wataweza kutengeneza viumbe hai 0:02:10.679,0:02:14.104 kama ambavyo kizazi chake[br]kilivyocheza na seti za kemia. 0:02:15.190,0:02:17.718 Hii inaweza kuwa sayansi ya kubuniwa[br]zaidi, 0:02:17.718,0:02:20.901 lakini tuna amini itatokea hata kwa kiasi, 0:02:20.901,0:02:23.638 mazingira yetu na hata viumbe vyetu 0:02:23.638,0:02:27.627 hawataweza kuishi muda mrefu[br]bila kubadilika, 0:02:27.627,0:02:31.490 Mfano, kuna wanamazingira wengi[br]wa msimamo mkali, 0:02:31.490,0:02:33.999 wanaomini kua itafaa kwa sayari yetu, 0:02:33.999,0:02:37.402 kwa Gaia, kama kutakuwa na binadamu[br]wachache. 0:02:37.402,0:02:40.119 Nini kitatokea kama watu hawa wakifuzu 0:02:40.119,0:02:42.256 ufundi wa kibiolojia za sanisia 0:02:42.256,0:02:45.108 ambao utasambaa ifikapo mwaka 2050? 0:02:45.108,0:02:48.150 Kipindi hicho, matisho mengine ya sayansi[br]ya kubuniwa 0:02:48.150,0:02:49.860 yanaweza kugeuka kweli: 0:02:49.860,0:02:51.930 roboti za kijinga kujiongoza zenyewe, 0:02:51.930,0:02:54.347 au mtandao unaotumia akili yake yenyewe 0:02:54.347,0:02:56.936 unatutisha sote. 0:02:56.936,0:03:00.206 Je, tutaweza kujikinga na hizi[br]hatari kwa sheria? 0:03:00.206,0:03:02.613 Itabidi tujaribu, lakini hizi biashara 0:03:02.613,0:03:06.142 zina ushindani mkubwa, zipo dunia nzima, 0:03:06.142,0:03:08.122 na zinasukumwa na mbinu za biashara, 0:03:08.122,0:03:11.407 kwa kila kinachoweza kufanyika,[br]kitafanyika mahali, 0:03:11.407,0:03:13.443 bila kujali sheria zinasema nini. 0:03:13.443,0:03:16.930 Ni kama sheria za madawa -- tunajaribu[br]kuzipunguza, lakini hatuwezi. 0:03:16.930,0:03:19.974 Na kijiji cha dunia kitakua na[br]wajinga wa kijiji, 0:03:19.974,0:03:23.470 nao watakua na masafa ya dunia. 0:03:23.470,0:03:25.761 Kama nilivyosema kwenye kitabu changu, 0:03:25.761,0:03:28.650 tutakuwa na mwendo mtata kwenye hii karne. 0:03:28.650,0:03:32.140 Kunaweza kuwa na vikwazo kwenye[br]jamii yetu -- 0:03:32.140,0:03:36.255 kweli, asilimia 50 ya vikwazo zikali. 0:03:36.255,0:03:39.169 Lakini kuna matukio ya maana 0:03:39.169,0:03:41.330 yanayoweza kuwa mabaya zaidi, 0:03:41.330,0:03:44.760 matukio yanayoweza kutoa maisha yote? 0:03:44.760,0:03:47.686 Pale punje mpya chochezi iikija mtandaoni, 0:03:47.686,0:03:49.475 badhi ya watu walijiuliza kwa bidii, 0:03:49.475,0:03:51.725 vinaweza kuharibu dunia, au mbaya zaidi, 0:03:51.725,0:03:54.384 kuharibu kabisa mfumo wa anga? 0:03:54.384,0:03:57.927 Bahati nzuri, tuliweza kujihakikishia. 0:03:57.927,0:03:59.971 Mimi na wenzangu tulisema kua asili 0:03:59.971,0:04:01.904 imefanya majaribio kama hayo 0:04:01.904,0:04:04.090 mara zilioni tayari, 0:04:04.090,0:04:05.855 kutumia kugongana kwa miali ya anga. 0:04:05.855,0:04:08.909 Lakini wanasayansi wanatakiwa wawe makini 0:04:08.909,0:04:11.489 kuhusu majaribio yanayotengeneza hali 0:04:11.489,0:04:13.972 bila uhakiki kwenye dunia ya halisi. 0:04:13.972,0:04:17.395 Wanabiolojia wanatakiwa kuepuka kuachia[br]uharibifu muhimu wa 0:04:17.395,0:04:20.110 vimelea vilivyoundwa kijenetiki. 0:04:20.110,0:04:23.627 Na pia, karaha yetu ya kipekee 0:04:23.627,0:04:27.088 kwenye hatari ya mafaa makubwa 0:04:27.088,0:04:30.363 inatokana na swali hili kubwa la msingi, 0:04:30.363,0:04:32.033 nalo ni; 0:04:32.033,0:04:34.341 Zingatia hali mbili. 0:04:34.341,0:04:39.577 Hali A inaua asilimia 90 ya binadamu. 0:04:39.577,0:04:43.473 Hali B inaua asilimia 100. 0:04:43.473,0:04:46.391 Je B ni mbaya kiasi gani kuliko A? 0:04:46.391,0:04:49.414 Baadhi watasema ni asilimia 10 mbaya[br]zaidi. 0:04:49.414,0:04:52.564 Idadi ni asilimia 10 zaidi. 0:04:52.564,0:04:55.470 Lakini nasema kua B ni mbaya zaidi. 0:04:55.470,0:04:58.099 Kama mwanafalaki, siamini 0:04:58.099,0:05:00.566 binadamu ni mwisho wa hadithi. 0:05:00.566,0:05:03.889 Ni miaka bilioni tano mpaka jua liripuke, 0:05:03.889,0:05:06.600 na ulimwengu ungeendelea kuwepo, 0:05:06.600,0:05:08.892 kwahiyo mageuzi ya binadamu wa baadae, 0:05:08.892,0:05:11.082 hapa duniani na kwingineko mbali, 0:05:11.082,0:05:13.796 inaweza kuwa ndefu kama harakati[br]ya Darwinian 0:05:13.796,0:05:17.077 iliyokuja kwetu, na nzuri zaidi. 0:05:17.077,0:05:19.741 Na kweli, mageuzi ya mbeleni[br]yatatokea kwa haraka zaidi, 0:05:19.741,0:05:21.940 kwenye kipimo cha mda cha teknolojia, 0:05:21.940,0:05:24.239 sio wa uchaguzi wa asili. 0:05:24.239,0:05:28.434 Kwahiyo tupo katika mwanga wa[br]hicho kipimo, 0:05:28.434,0:05:31.820 kutokupokea hata hatari moja kati[br]ya billioni 0:05:31.820,0:05:34.049 ambayo kupotea kwa binadamu kutasababisha 0:05:34.049,0:05:36.359 huu uwezekano mkubwa. 0:05:36.359,0:05:38.131 Baadhi ya hali ambazo zilionyesha 0:05:38.131,0:05:39.950 kua kweli zingekua sayansi ya[br]kubuniwa, 0:05:39.950,0:05:43.336 lakini nyingine zinaweza kuwa ni za kweli. 0:05:43.336,0:05:46.210 Ni msemo muhimu kua vile visivyozoeleka 0:05:46.210,0:05:48.907 sio sawa na vinavyoshindikana, 0:05:48.907,0:05:51.305 na ndio maana, sisi katika Chuo cha[br]Cambridge, 0:05:51.305,0:05:54.680 tunaanda kitivo cha kujifunza jinsi ya[br]kuepuka 0:05:54.680,0:05:56.712 hizi hatari kubwa. 0:05:56.712,0:05:59.775 Inaonekana ni ya maana kwa watu wachache 0:05:59.775,0:06:02.091 kuwaza kuhusu haya mafaa yanayoweza[br]kutokea. 0:06:02.091,0:06:05.104 Na tunahitaji msaada wote tutakaopata[br]kwa wengine, 0:06:05.104,0:06:07.583 sababu sote ni wahudumu wa, 0:06:07.583,0:06:11.066 kidoti cha bluu kwenye ulimwengu huu[br]mkubwa, 0:06:11.066,0:06:14.444 sayari yenye karne milioni 50 mbele yake. 0:06:14.444,0:06:17.000 Kwa hiyo tusiharibu mustakabali wetu. 0:06:17.000,0:06:18.795 Na ningependa kumalizia na nukuu 0:06:18.795,0:06:22.296 kutoka kwa mwanasayansi mashuhuri aitwae[br]Peter Medawar. 0:06:22.296,0:06:25.569 nanukuu "Kengengele zinazolia kwa binadamu 0:06:25.569,0:06:28.213 ni kama zile za mifugo ya Alpine. 0:06:28.213,0:06:30.499 Zimefungwa shingoni mwetu wenyewe, 0:06:30.499,0:06:33.174 na ni juu yetu kama hazitatengeneza 0:06:33.174,0:06:35.305 mfuatano mzuri wa sauti." 0:06:35.305,0:06:37.572 Asanteni sana. 0:06:37.572,0:06:39.685 (Makofi)