WEBVTT 99:59:59.999 --> 99:59:59.999 Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya 00:00:03.836 --> 00:00:07.140 kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu 00:00:07.678 --> 00:00:10.449 Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu) 00:00:10.548 --> 00:00:13.231 Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi 00:00:13.231 --> 00:00:17.920 Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa. 00:00:17.920 --> 00:00:22.303 Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani. 00:00:22.303 --> 00:00:25.182 kuieleza hiyo habari katika pahali halisi. 00:00:25.182 --> 00:00:28.526 kututumia usaidizi wa mahodari. 00:00:29.311 --> 00:00:33.375 Basi twende, kwanza laini ya afya 00:00:33.375 --> 00:00:38.640 Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano. 00:00:38.640 --> 00:00:41.177 Na kwa chini, laini ya utajiri. 00:00:41.177 --> 00:00:46.550 Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika 00:00:46.550 --> 00:00:50.334 Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa 00:00:53.473 --> 00:00:58.520 Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota. 00:00:58.520 --> 00:01:00.291 Mwaka 1810 00:01:00.291 --> 00:01:01.962 Namna nchi zote zilivyokuwa. 00:01:01.962 --> 00:01:08.099 Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu 00:01:08.099 --> 00:01:09.622 Na Amerika ni yelo 00:01:09.622 --> 00:01:13.300 Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi. 00:01:13.300 --> 00:01:17.375 Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana. 00:01:17.375 --> 00:01:19.409 Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini. 00:01:19.409 --> 00:01:23.155 Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote 00:01:23.155 --> 00:01:26.957 Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo. 00:01:26.957 --> 00:01:28.553 Lakini si wa wingi. 00:01:28.553 --> 00:01:30.201 Na sasa, naanza na dunia nzima 00:01:31.970 --> 00:01:36.603 Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine. 00:01:36.603 --> 00:01:38.578 ziendelee mbele kiliko nchi zingine. 00:01:38.578 --> 00:01:41.433 Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika 00:01:41.433 --> 00:01:43.610 zimebaki huko chini. 00:01:43.610 --> 00:01:47.421 Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu 00:01:47.467 --> 00:01:51.313 na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara 00:01:51.313 --> 00:01:52.936 ya Vita vya kwanza vya Dunia 00:01:52.936 --> 00:01:57.672 na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu! 00:01:57.672 --> 00:02:02.403 Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930 00:02:02.403 --> 00:02:04.042 na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani 00:02:04.119 --> 00:02:05.880 nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea 00:02:05.880 --> 00:02:07.426 katika takahadi za kiutajiri na afya. 00:02:07.426 --> 00:02:09.540 Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata 00:02:09.540 --> 00:02:11.440 lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini 00:02:11.440 --> 00:02:15.117 Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia 00:02:15.117 --> 00:02:18.512 ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948 00:02:18.512 --> 00:02:22.926 Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha 00:02:22.926 --> 00:02:26.098 Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi 00:02:26.098 --> 00:02:27.675 Na hapo ndipo nilipozaliwa 00:02:27.675 --> 00:02:30.763 Lakini tofauti kati ya nchi za dunia 00:02:30.763 --> 00:02:32.463 ilizidi kupanuka na kupanuka 00:02:32.463 --> 00:02:36.525 Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya 00:02:36.555 --> 00:02:38.691 Brazili ilikuwa i nyuma bado 00:02:38.691 --> 00:02:42.742 Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado 00:02:42.742 --> 00:02:45.559 Na Majitu ya Kieshia 00:02:45.559 --> 00:02:47.943 Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia 00:02:47.943 --> 00:02:50.343 walikuwa bado maskini na wagonjwa 00:02:50.343 --> 00:02:52.371 Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea 00:02:52.371 --> 00:02:53.962 Hapa twaenda tena 00:02:53.962 --> 00:02:57.384 Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru 00:02:57.384 --> 00:03:00.188 hatimaye zilianza kuwa na afya 00:03:00.188 --> 00:03:00.950 na hata afya zaidi 00:03:00.950 --> 00:03:02.403 na afya zaidi 00:03:02.403 --> 00:03:06.131 Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini 00:03:06.131 --> 00:03:08.562 Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo 00:03:08.562 --> 00:03:10.715 zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi 00:03:10.715 --> 00:03:12.415 na zingine za Afrika zilifuata 00:03:12.415 --> 00:03:14.454 za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe 00:03:14.454 --> 00:03:15.954 na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi 00:03:15.954 --> 00:03:18.454 Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo 00:03:18.454 --> 00:03:21.598 kutokana na habari na vipimo vya kisasa 00:03:22.859 --> 00:03:25.440 watu wengi hivi leo wanaishi katikati 00:03:25.440 --> 00:03:28.068 lakini kuna tofauti kubwa sana 00:03:28.068 --> 00:03:30.237 kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma 00:03:30.237 --> 00:03:34.098 na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa 00:03:34.098 --> 00:03:36.560 Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi 00:03:36.560 --> 00:03:38.120 lakini pia naweza kuyatenganisha 00:03:38.120 --> 00:03:41.160 Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya 00:03:41.160 --> 00:03:44.052 Waiona Shanghai 00:03:44.052 --> 00:03:47.680 Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo 00:03:47.680 --> 00:03:51.077 Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu 00:03:51.077 --> 00:03:52.403 Ni mithili ya Upakistani 00:03:52.403 --> 00:03:54.912 N nikiigawanya zaidi 00:03:54.912 --> 00:03:57.800 pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika 00:04:01.100 --> 00:04:03.462 Na dhidi ya hizi tofauti za leo 00:04:05.133 --> 00:04:06.805 tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu 00:04:06.805 --> 00:04:08.741 Na nafasi kubwa ya kihistoria 00:04:08.741 --> 00:04:10.449 kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika 00:04:10.449 --> 00:04:15.216 ulimwengu wa sasa unarudiana 00:04:15.216 --> 00:04:17.609 na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo 00:04:17.609 --> 00:04:20.496 na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi 00:04:20.496 --> 00:04:23.242 sinashaka kuwa kila mtu ataendelea 00:04:24.381 --> 00:04:25.520 na kuwa na utajiri na afya 00:04:27.689 --> 00:04:30.683 Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho 00:04:30.714 --> 00:04:33.602 ni hadithi ya nchi mia mbili 00:04:33.602 --> 00:04:36.160 ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi 00:04:36.160 --> 00:04:40.200 na inawezeshwa kutumia nambari 120 000 00:04:40.250 --> 00:04:43.000 Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?