[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.38,0:00:02.27,Default,,0000,0000,0000,,Nina swali: Dialogue: 0,0:00:02.27,0:00:05.65,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakina nani hapa walishawahi tambua lini Dialogue: 0,0:00:05.65,0:00:09.07,Default,,0000,0000,0000,,watakufa? Dialogue: 0,0:00:09.07,0:00:11.57,Default,,0000,0000,0000,,Natambua.Nilikuwa mvulana mdogo, Dialogue: 0,0:00:11.57,0:00:14.63,Default,,0000,0000,0000,,na babu yangu alikuwa amefariki, Dialogue: 0,0:00:14.63,0:00:18.55,Default,,0000,0000,0000,,na nakumbuka siku chache baadaye nikiwa nimelala kitandani wakati wa usiku Dialogue: 0,0:00:18.55,0:00:22.18,Default,,0000,0000,0000,,nikijaribu kujiuliza kipi kilichotokea. Dialogue: 0,0:00:22.18,0:00:24.82,Default,,0000,0000,0000,,Ilimaanisha nini kwamba amekufa? Dialogue: 0,0:00:24.82,0:00:26.60,Default,,0000,0000,0000,,Atakuwa ameenda wapi? Dialogue: 0,0:00:26.60,0:00:30.02,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni kama shimo limefunguka Dialogue: 0,0:00:30.02,0:00:32.16,Default,,0000,0000,0000,,na likammeza. Dialogue: 0,0:00:32.16,0:00:34.96,Default,,0000,0000,0000,,Na swali la kushtua likanijia: Dialogue: 0,0:00:34.96,0:00:38.45,Default,,0000,0000,0000,,Kama amekufa,inaweza ikanitokea na mimi? Dialogue: 0,0:00:38.45,0:00:41.75,Default,,0000,0000,0000,,Hilo shimo litafunguka na kunimeza? Dialogue: 0,0:00:41.75,0:00:43.54,Default,,0000,0000,0000,,Litafunguka chini ya kitanda changu Dialogue: 0,0:00:43.54,0:00:46.77,Default,,0000,0000,0000,,na kunimeza wakati nimelala? Dialogue: 0,0:00:46.77,0:00:50.96,Default,,0000,0000,0000,,Katika namna fulani,watoto wote wanakuja gundua kuhusu kifo. Dialogue: 0,0:00:50.96,0:00:52.86,Default,,0000,0000,0000,,Kinaweza kutokea katika njia nyingi tofauti, Dialogue: 0,0:00:52.86,0:00:54.70,Default,,0000,0000,0000,,na kawaida huja kwa hatua. Dialogue: 0,0:00:54.70,0:00:58.21,Default,,0000,0000,0000,,Mawazo yetu kuhusu kifo yanakua kadiri tunavyozidi kuzeeka. Dialogue: 0,0:00:58.21,0:01:00.94,Default,,0000,0000,0000,,Na kama ukifika katika kona za giza Dialogue: 0,0:01:00.94,0:01:02.64,Default,,0000,0000,0000,,za kumbukumbu yako, Dialogue: 0,0:01:02.64,0:01:05.64,Default,,0000,0000,0000,,utakumbuka kitu fulani kama nilichohisi mimi Dialogue: 0,0:01:05.64,0:01:08.89,Default,,0000,0000,0000,,wakati babu yangu alipofariki na nilipogundua Dialogue: 0,0:01:08.89,0:01:10.84,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kunitokea na mimi pia, Dialogue: 0,0:01:10.84,0:01:13.42,Default,,0000,0000,0000,,hiyo maana iliyopo nyuma ya haya yote Dialogue: 0,0:01:13.42,0:01:16.76,Default,,0000,0000,0000,,ubatili unangojea. Dialogue: 0,0:01:16.76,0:01:19.04,Default,,0000,0000,0000,,Na haya maendeleo katika utoto Dialogue: 0,0:01:19.04,0:01:21.86,Default,,0000,0000,0000,,yanaakisi maendeleo ya aina yetu. Dialogue: 0,0:01:21.86,0:01:25.17,Default,,0000,0000,0000,,Kama kulivyokuwa na alama katika maendeleo yako Dialogue: 0,0:01:25.17,0:01:28.70,Default,,0000,0000,0000,,kama mtoto wakati utambuzi wako wa nafsi na muda Dialogue: 0,0:01:28.70,0:01:30.80,Default,,0000,0000,0000,,ulivyokuja kuchanganyika vya kutosha Dialogue: 0,0:01:30.80,0:01:34.72,Default,,0000,0000,0000,,kiasi cha wewe kutambua haitaishi milele, Dialogue: 0,0:01:34.72,0:01:38.43,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo katika hali fulani ya mabadiliko yetu, Dialogue: 0,0:01:38.43,0:01:41.44,Default,,0000,0000,0000,,baadhi ya utambuzi wa binadamu wa nafsi na muda Dialogue: 0,0:01:41.44,0:01:43.68,Default,,0000,0000,0000,,ukaja jichanganya vya kutosha. Dialogue: 0,0:01:43.68,0:01:46.80,Default,,0000,0000,0000,,kwa wao kuja kuwa binadamu wa kwanza kutambua, Dialogue: 0,0:01:46.80,0:01:50.23,Default,,0000,0000,0000,,"naelekea kufa" Dialogue: 0,0:01:50.23,0:01:52.45,Default,,0000,0000,0000,,Kama unapenda,laana yetu. Dialogue: 0,0:01:52.45,0:01:56.49,Default,,0000,0000,0000,,Ni gharama tunayolipa kwa kuwa werevu wajinga. Dialogue: 0,0:01:56.49,0:01:58.59,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuishi katika maarifa Dialogue: 0,0:01:58.59,0:02:01.25,Default,,0000,0000,0000,,hicho ni kitu kibaya kinachoweza kutokea Dialogue: 0,0:02:01.25,0:02:02.88,Default,,0000,0000,0000,,siku moja kwa uhakika, Dialogue: 0,0:02:02.88,0:02:04.38,Default,,0000,0000,0000,,mwisho wa miradi yetu, Dialogue: 0,0:02:04.38,0:02:07.85,Default,,0000,0000,0000,,matumaini yetu,ndoto zetu,katika dunia ya kila mmoja. Dialogue: 0,0:02:07.85,0:02:11.03,Default,,0000,0000,0000,,Tunaishi katika kivuli cha Dialogue: 0,0:02:11.03,0:02:13.02,Default,,0000,0000,0000,,kuwaza mwisho wa dunia. Dialogue: 0,0:02:13.02,0:02:15.52,Default,,0000,0000,0000,,Na inaogopesha.Na kutisha. Dialogue: 0,0:02:15.52,0:02:17.98,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunatafuta njia ya kujinasua. Dialogue: 0,0:02:17.98,0:02:21.26,Default,,0000,0000,0000,,Kwa upande wangu,nilipokuwa na miaka mitano, Dialogue: 0,0:02:21.26,0:02:24.26,Default,,0000,0000,0000,,hii ilimaanisha kumuuliza mama yangu. Dialogue: 0,0:02:24.26,0:02:26.72,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nilipoanza kuuliza Dialogue: 0,0:02:26.72,0:02:28.50,Default,,0000,0000,0000,,kipi kinatokea tukifarikia, Dialogue: 0,0:02:28.50,0:02:30.59,Default,,0000,0000,0000,,watu wazima waliokuwa wananizunguka wakati huo Dialogue: 0,0:02:30.59,0:02:33.80,Default,,0000,0000,0000,,walijibu katika mchanganyiko wa kiingereza na ulio mgumu kuelewa. Dialogue: 0,0:02:33.80,0:02:36.78,Default,,0000,0000,0000,,na mkristo mwenye nusu moyo, Dialogue: 0,0:02:36.78,0:02:38.73,Default,,0000,0000,0000,,na kipande cha sentensi ninachosikia mara nyingi Dialogue: 0,0:02:38.73,0:02:40.29,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa kwamba babu kwa sasa Dialogue: 0,0:02:40.29,0:02:42.75,Default,,0000,0000,0000,,"yuko juu akituangalia sisi" Dialogue: 0,0:02:42.75,0:02:45.72,Default,,0000,0000,0000,,na kama nikifa pia, Dialogue: 0,0:02:45.72,0:02:48.51,Default,,0000,0000,0000,,na mimi pia nitaenda juu, Dialogue: 0,0:02:48.51,0:02:50.56,Default,,0000,0000,0000,,hiki kinafanya kifo kionekane kama Dialogue: 0,0:02:50.56,0:02:53.22,Default,,0000,0000,0000,,lifti isiyoonekana kwa macho lakini inafanya kazi. Dialogue: 0,0:02:53.22,0:02:56.33,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hii haikuonekana kama ina ukweli sana. Dialogue: 0,0:02:56.33,0:02:59.24,Default,,0000,0000,0000,,Nilizoea kuangalia habari za watoto wakati huo, Dialogue: 0,0:02:59.24,0:03:01.68,Default,,0000,0000,0000,,na huu ulikuwa wakati wa kujifunza kuhusu unajimu. Dialogue: 0,0:03:01.68,0:03:03.85,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na roketi zinakwenda juu angani, Dialogue: 0,0:03:03.85,0:03:06.55,Default,,0000,0000,0000,,zinakwenda huko. Dialogue: 0,0:03:06.55,0:03:08.88,Default,,0000,0000,0000,,Hamna mnajimu ambaye alirudi Dialogue: 0,0:03:08.88,0:03:12.11,Default,,0000,0000,0000,,na akasema kwamba amekutana na babu yangu Dialogue: 0,0:03:12.11,0:03:14.57,Default,,0000,0000,0000,,au mtu yoyote aliyekufa. Dialogue: 0,0:03:14.57,0:03:15.87,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nilikuwa naogopa, Dialogue: 0,0:03:15.87,0:03:18.31,Default,,0000,0000,0000,,wazo la kupanda lifti ya kifo Dialogue: 0,0:03:18.31,0:03:19.92,Default,,0000,0000,0000,,kumuona babu yangu Dialogue: 0,0:03:19.92,0:03:21.33,Default,,0000,0000,0000,,naona ni bora zaidi kuliko kwenda kumezwa Dialogue: 0,0:03:21.33,0:03:24.40,Default,,0000,0000,0000,,wakati nimelala. Dialogue: 0,0:03:24.40,0:03:26.67,Default,,0000,0000,0000,,na nikaamini, Dialogue: 0,0:03:26.67,0:03:29.34,Default,,0000,0000,0000,,pamoja haikuleta maana sana. Dialogue: 0,0:03:29.34,0:03:31.58,Default,,0000,0000,0000,,Na hili wazo nililokuwa nalo Dialogue: 0,0:03:31.58,0:03:34.11,Default,,0000,0000,0000,,wakati nikiwa mtoto,nimekuwa nalo kwa muda sana Dialogue: 0,0:03:34.11,0:03:36.02,Default,,0000,0000,0000,,hadi nikiwa mtu mzima, Dialogue: 0,0:03:36.02,0:03:38.47,Default,,0000,0000,0000,,ni zao ambalo wanasaikolojia wanaita Dialogue: 0,0:03:38.47,0:03:39.94,Default,,0000,0000,0000,,upendeleo. Dialogue: 0,0:03:39.94,0:03:43.21,Default,,0000,0000,0000,,Sasa upendeleo ni njia ambayo Dialogue: 0,0:03:43.21,0:03:44.93,Default,,0000,0000,0000,,hufanya vitu kimakosa, Dialogue: 0,0:03:44.93,0:03:47.61,Default,,0000,0000,0000,,njia ambazo tunakosea kukokotoa,kutoa maamuzi, Dialogue: 0,0:03:47.61,0:03:51.20,Default,,0000,0000,0000,,kuharibu uhalisia,au kuona tunachotaka kuona, Dialogue: 0,0:03:51.20,0:03:53.43,Default,,0000,0000,0000,,na upendeleo ninaoongelea Dialogue: 0,0:03:53.43,0:03:54.87,Default,,0000,0000,0000,,unafanya kazi kama hivi: Dialogue: 0,0:03:54.87,0:03:57.10,Default,,0000,0000,0000,,Kumfata mtu na ukweli Dialogue: 0,0:03:57.10,0:03:58.65,Default,,0000,0000,0000,,kwamba atakufa Dialogue: 0,0:03:58.65,0:04:01.68,Default,,0000,0000,0000,,na wataamini kuhusu hadithi yoyote Dialogue: 0,0:04:01.68,0:04:03.54,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inawaambia sio kweli Dialogue: 0,0:04:03.54,0:04:05.96,Default,,0000,0000,0000,,na badala yake,wanaweza kuishi milele, Dialogue: 0,0:04:05.96,0:04:10.04,Default,,0000,0000,0000,,hata kama inamaanisha watapanda lifti. Dialogue: 0,0:04:10.04,0:04:14.47,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tunaweza kuona huu ni upendeleo kupita wote. Dialogue: 0,0:04:14.47,0:04:17.34,Default,,0000,0000,0000,,Imeelezew katika zaidi ya masomo 400 Dialogue: 0,0:04:17.34,0:04:19.03,Default,,0000,0000,0000,,ya undani. Dialogue: 0,0:04:19.03,0:04:21.54,Default,,0000,0000,0000,,masomo haya ni ya werevu,lakini ni rahisi. Dialogue: 0,0:04:21.54,0:04:23.47,Default,,0000,0000,0000,,Yanafanya kazi kama hivi. Dialogue: 0,0:04:23.47,0:04:24.96,Default,,0000,0000,0000,,Unachukua makundi mawili ya watu Dialogue: 0,0:04:24.96,0:04:27.74,Default,,0000,0000,0000,,ambao wako sawasawa katika kila kitu, Dialogue: 0,0:04:27.74,0:04:30.43,Default,,0000,0000,0000,,na unawaambia kundi moja kwamba watafariki Dialogue: 0,0:04:30.43,0:04:33.06,Default,,0000,0000,0000,,wengine huwaambii,unalinganisha tabia zao. Dialogue: 0,0:04:33.06,0:04:36.93,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo unaangalia jinsi gani unafanya tabia zao kuwa Dialogue: 0,0:04:36.93,0:04:40.69,Default,,0000,0000,0000,,watu wanapoanza kugundua kuhusu vifo vyao. Dialogue: 0,0:04:40.69,0:04:43.60,Default,,0000,0000,0000,,Na kila wakati,unapata matokeo yaleyale: Dialogue: 0,0:04:43.60,0:04:46.69,Default,,0000,0000,0000,,Watu ambao tayari washatambua kuhusu vifo vyao Dialogue: 0,0:04:46.69,0:04:48.70,Default,,0000,0000,0000,,wako tayari kuamini hadithi Dialogue: 0,0:04:48.70,0:04:50.56,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinawaambia wanaweza kukwepa kifo Dialogue: 0,0:04:50.56,0:04:52.33,Default,,0000,0000,0000,,na kuishi milele. Dialogue: 0,0:04:52.33,0:04:54.62,Default,,0000,0000,0000,,Huu ni mfano:Tafiti moja ya hivi karibuni Dialogue: 0,0:04:54.62,0:04:57.39,Default,,0000,0000,0000,,ilichukua makundi mawili ya wapagani, Dialogue: 0,0:04:57.39,0:04:58.99,Default,,0000,0000,0000,,hao ni watu ambao hawana maamuzi Dialogue: 0,0:04:58.99,0:05:01.50,Default,,0000,0000,0000,,katika kuamini dini. Dialogue: 0,0:05:01.50,0:05:05.09,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,kundi moja liliambiwa kufikiria kuhusu kufa. Dialogue: 0,0:05:05.09,0:05:06.73,Default,,0000,0000,0000,,Kundi lingine likaambiwa kufikiria kuhusu Dialogue: 0,0:05:06.73,0:05:08.56,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mpweke. Dialogue: 0,0:05:08.56,0:05:11.38,Default,,0000,0000,0000,,Waliulizwa tena kuhusu imani zao za kidini. Dialogue: 0,0:05:11.38,0:05:14.24,Default,,0000,0000,0000,,Wale walioambiwa kufikiria kuhusu kifo Dialogue: 0,0:05:14.24,0:05:17.82,Default,,0000,0000,0000,,walikuwa wakielezea mara mbili zaidi hisia zao Dialogue: 0,0:05:17.82,0:05:19.48,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu Mungu na Yesu. Dialogue: 0,0:05:19.48,0:05:21.26,Default,,0000,0000,0000,,Mara mbili zaidi. Dialogue: 0,0:05:21.26,0:05:23.96,Default,,0000,0000,0000,,Pamoja na kwamba wote walikuwa wapagani. Dialogue: 0,0:05:23.96,0:05:25.72,Default,,0000,0000,0000,,Lakini weka uoga wa kifo ndani yao, Dialogue: 0,0:05:25.72,0:05:29.58,Default,,0000,0000,0000,,watakimbila kwa Yesu. Dialogue: 0,0:05:29.58,0:05:33.10,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,hii inaonesha kwamba kuwakumbusha watu kuhusu kifo Dialogue: 0,0:05:33.11,0:05:36.34,Default,,0000,0000,0000,,inawachochea kuamini,bila kujali ukweli, Dialogue: 0,0:05:36.34,0:05:38.37,Default,,0000,0000,0000,,na sio kwa dini tu, Dialogue: 0,0:05:38.37,0:05:40.60,Default,,0000,0000,0000,,katika imani yoyote ile Dialogue: 0,0:05:40.60,0:05:44.06,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inaeleza kifo katika njia tofauti tofauti, Dialogue: 0,0:05:44.06,0:05:45.87,Default,,0000,0000,0000,,haijalishi kama inakuwa maarufu Dialogue: 0,0:05:45.87,0:05:47.28,Default,,0000,0000,0000,,au kuwa na watoto Dialogue: 0,0:05:47.28,0:05:48.63,Default,,0000,0000,0000,,au utaifa, Dialogue: 0,0:05:48.63,0:05:51.90,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inasema utaishi siku zote. Dialogue: 0,0:05:51.90,0:05:53.83,Default,,0000,0000,0000,,Huu ni upendeleo uliotengeneza umbile Dialogue: 0,0:05:53.83,0:05:57.17,Default,,0000,0000,0000,,na historia y binadamu. Dialogue: 0,0:05:57.17,0:05:59.44,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,fikra iliyopo katika upendeleo huu Dialogue: 0,0:05:59.44,0:06:01.18,Default,,0000,0000,0000,,katika tafiti 400 Dialogue: 0,0:06:01.18,0:06:03.30,Default,,0000,0000,0000,,inaitwa fikra ya usimamizi wa uoga, Dialogue: 0,0:06:03.30,0:06:05.66,Default,,0000,0000,0000,,na wazo ni rahisi.Ni hivi. Dialogue: 0,0:06:05.66,0:06:08.20,Default,,0000,0000,0000,,Tunakuza mawazo yetu kuhusu dunia, Dialogue: 0,0:06:08.20,0:06:10.36,Default,,0000,0000,0000,,hivyo,hadithi tunazoambia nafsi zetu Dialogue: 0,0:06:10.36,0:06:13.10,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu dunia na sehemu yetu Dialogue: 0,0:06:13.10,0:06:15.38,Default,,0000,0000,0000,,ili kusaidia kusimamia Dialogue: 0,0:06:15.38,0:06:18.29,Default,,0000,0000,0000,,hofu ya kifo. Dialogue: 0,0:06:18.29,0:06:20.09,Default,,0000,0000,0000,,Na hizi hadithi za kifo Dialogue: 0,0:06:20.09,0:06:23.09,Default,,0000,0000,0000,,zina maelfu ya shuhuda tofauti tofauti, Dialogue: 0,0:06:23.09,0:06:26.67,Default,,0000,0000,0000,,lakini naamini nyuma ya utofauti uliopo Dialogue: 0,0:06:26.67,0:06:29.37,Default,,0000,0000,0000,,kuna aina nne za muhimu Dialogue: 0,0:06:29.37,0:06:32.88,Default,,0000,0000,0000,,ambazo hizi hadithi za vifo zinahusiana. Dialogue: 0,0:06:32.88,0:06:34.69,Default,,0000,0000,0000,,Na tunaweza kuona zinajirudia Dialogue: 0,0:06:34.69,0:06:37.86,Default,,0000,0000,0000,,katika historia,na utofauti mdogo sana Dialogue: 0,0:06:37.86,0:06:40.62,Default,,0000,0000,0000,,kuakisi msamiati wa siku. Dialogue: 0,0:06:40.62,0:06:43.13,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nitatoa muhtasari wa hizi aina nne Dialogue: 0,0:06:43.13,0:06:45.38,Default,,0000,0000,0000,,kuu za hadithi za kifo, Dialogue: 0,0:06:45.38,0:06:46.95,Default,,0000,0000,0000,,na ninataka kujaribu kukuonesha maana Dialogue: 0,0:06:46.95,0:06:49.27,Default,,0000,0000,0000,,ni jinsi gani vinaelezewa kwa kuirudia katika kila utamaduni Dialogue: 0,0:06:49.27,0:06:51.03,Default,,0000,0000,0000,,au kizazi Dialogue: 0,0:06:51.03,0:06:53.21,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutumia msamiati wa siku. Dialogue: 0,0:06:53.21,0:06:55.84,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,hadithi ya kwanza ni rahisi sana. Dialogue: 0,0:06:55.84,0:06:57.100,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kukwepa kifo, Dialogue: 0,0:06:57.100,0:07:00.42,Default,,0000,0000,0000,,na ndoto ya kufanya hicho katika mwili huu Dialogue: 0,0:07:00.42,0:07:01.78,Default,,0000,0000,0000,,katika hii dunia milele Dialogue: 0,0:07:01.78,0:07:05.07,Default,,0000,0000,0000,,ni hadithi ya kwanza na rahisi ya kifo, Dialogue: 0,0:07:05.07,0:07:07.53,Default,,0000,0000,0000,,na inaweza kuonekana isiyo na maana kwa mara ya kwanza, Dialogue: 0,0:07:07.53,0:07:11.51,Default,,0000,0000,0000,,lakini kiukweli,karibia kila tamaduni katika historia ya binadamu Dialogue: 0,0:07:11.51,0:07:13.58,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa na mzimu au kiongozi mkongwe Dialogue: 0,0:07:13.58,0:07:16.34,Default,,0000,0000,0000,,wa kutupa maisha au kurudisha wazee katika ujana Dialogue: 0,0:07:16.34,0:07:19.32,Default,,0000,0000,0000,,au kitu kinachotuahidi sisi kuendelea mbele Dialogue: 0,0:07:19.32,0:07:22.45,Default,,0000,0000,0000,,milele. Dialogue: 0,0:07:22.45,0:07:24.05,Default,,0000,0000,0000,,Wahenga wa Kimisri walikuwa na huo mzimu, Dialogue: 0,0:07:24.05,0:07:26.41,Default,,0000,0000,0000,,Wahenga wa Babylon,wa India. Dialogue: 0,0:07:26.41,0:07:29.27,Default,,0000,0000,0000,,Katika historia ya ulaya,tunawaona katika kazi ya wanakemia wa kizamani, Dialogue: 0,0:07:29.27,0:07:32.06,Default,,0000,0000,0000,,na mpaka leo tunaamini, Dialogue: 0,0:07:32.06,0:07:34.62,Default,,0000,0000,0000,,tunahdithia hizi hadithi kwa kutumia msamiati Dialogue: 0,0:07:34.62,0:07:36.28,Default,,0000,0000,0000,,wa sayansi. Dialogue: 0,0:07:36.28,0:07:37.88,Default,,0000,0000,0000,,Miaka 100 iliyopita, Dialogue: 0,0:07:37.88,0:07:39.70,Default,,0000,0000,0000,,homoni zilikuwa zimegunduliwa, Dialogue: 0,0:07:39.70,0:07:41.36,Default,,0000,0000,0000,,na watu wakatumaini kwamba matibabu ya homoni Dialogue: 0,0:07:41.36,0:07:44.06,Default,,0000,0000,0000,,yatatibu uzee na magonjwa, Dialogue: 0,0:07:44.06,0:07:46.91,Default,,0000,0000,0000,,na sasa tunaweka matumaini yetu katika kiini shina Dialogue: 0,0:07:46.91,0:07:49.20,Default,,0000,0000,0000,,uhandisi wa gene,na teknolojia ya nano. Dialogue: 0,0:07:49.20,0:07:53.16,Default,,0000,0000,0000,,Lakini wazo kwamba sayansi inaweza kuponya kifo Dialogue: 0,0:07:53.16,0:07:55.50,Default,,0000,0000,0000,,liko sura moja mbele zaidi katika hadithi Dialogue: 0,0:07:55.50,0:07:57.74,Default,,0000,0000,0000,,ya maajabu ya kuweza kuishi milele, Dialogue: 0,0:07:57.74,0:08:02.17,Default,,0000,0000,0000,,hadithi ambayo ni ya zamani kama ulivyo ustaarabu. Dialogue: 0,0:08:02.17,0:08:04.95,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kuweka mawazo yote katika kufikiria kutafuta kuishi milele Dialogue: 0,0:08:04.95,0:08:06.35,Default,,0000,0000,0000,,na kukaa wazima siku zote Dialogue: 0,0:08:06.35,0:08:08.16,Default,,0000,0000,0000,,ni mkakati wenye hatari sana. Dialogue: 0,0:08:08.16,0:08:10.40,Default,,0000,0000,0000,,Tukiangalia nyuma katika historia Dialogue: 0,0:08:10.40,0:08:13.18,Default,,0000,0000,0000,,wale waliotafuta kuishi milele huko nyuma, Dialogue: 0,0:08:13.18,0:08:15.01,Default,,0000,0000,0000,,kitu kimoja ambacho wote wanacho Dialogue: 0,0:08:15.01,0:08:17.64,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba wote wameshakufa. Dialogue: 0,0:08:17.64,0:08:21.38,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunahitaji mpango wa kutukomboa,na mpango huu mbadala Dialogue: 0,0:08:21.38,0:08:24.95,Default,,0000,0000,0000,,ni ambao aina ya pili ya kifo inaelezea, Dialogue: 0,0:08:24.95,0:08:26.70,Default,,0000,0000,0000,,ni kufufuka. Dialogue: 0,0:08:26.70,0:08:29.08,Default,,0000,0000,0000,,Na hiyo inakuwa ni wazo kwamba mimi ni huu mwili, Dialogue: 0,0:08:29.08,0:08:31.05,Default,,0000,0000,0000,,Ni kiumbe kamili. Dialogue: 0,0:08:31.05,0:08:33.22,Default,,0000,0000,0000,,Kinakubali kwamba kitakufa Dialogue: 0,0:08:33.22,0:08:34.59,Default,,0000,0000,0000,,lakini kinasema,pamoja na hilo, Dialogue: 0,0:08:34.59,0:08:37.10,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza amka na nikaishi tena. Dialogue: 0,0:08:37.10,0:08:39.71,Default,,0000,0000,0000,,Katika maneno mengine,naweza fanya kama alichofanya Yesu. Dialogue: 0,0:08:39.71,0:08:41.76,Default,,0000,0000,0000,,Yesu alikufa,akakaa siku tatu kaburini, Dialogue: 0,0:08:41.76,0:08:44.87,Default,,0000,0000,0000,,na baada ya hapo akafufuka na kuamka tena. Dialogue: 0,0:08:44.87,0:08:47.99,Default,,0000,0000,0000,,Na wazo ambalo tunaishi nalo ni kwamba wote sisi tunaweza fufuka na kuishi tena Dialogue: 0,0:08:47.99,0:08:50.28,Default,,0000,0000,0000,,hata waimani ya Orthodox wanaamini,si kwa wakristo tu Dialogue: 0,0:08:50.28,0:08:52.98,Default,,0000,0000,0000,,hata Wayahudi na Waislamu. Dialogue: 0,0:08:52.98,0:08:55.14,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tamaa yetu katika kuamini hizi hadithi Dialogue: 0,0:08:55.14,0:08:57.15,Default,,0000,0000,0000,,imefungamana kiundani sana Dialogue: 0,0:08:57.15,0:08:59.25,Default,,0000,0000,0000,,kwamba tunaivumbua tena Dialogue: 0,0:08:59.25,0:09:00.74,Default,,0000,0000,0000,,kwa enzi za kisayansi, Dialogue: 0,0:09:00.74,0:09:03.57,Default,,0000,0000,0000,,kwa mfano,kwa kutumia wazo la kutumia mazingira ya joto dogo sana ili kuweza kutunza kiumbe kirudi katika uhai Dialogue: 0,0:09:03.57,0:09:05.16,Default,,0000,0000,0000,,Wazo ni kwamba ukifa, Dialogue: 0,0:09:05.16,0:09:07.16,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kujigandisha mwenyewe, Dialogue: 0,0:09:07.16,0:09:09.54,Default,,0000,0000,0000,,na baadaye,katika namna fulani teknolojia Dialogue: 0,0:09:09.54,0:09:10.76,Default,,0000,0000,0000,,imekua vya kutosha, Dialogue: 0,0:09:10.76,0:09:12.88,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kutengenezwa na tena kurudi katika uhai Dialogue: 0,0:09:12.88,0:09:14.16,Default,,0000,0000,0000,,kwa kufufuka. Dialogue: 0,0:09:14.16,0:09:17.01,Default,,0000,0000,0000,,Na watu wanaamini Mungu wa nguvu zote Dialogue: 0,0:09:17.01,0:09:18.89,Default,,0000,0000,0000,,atawafufua na wataishi tena, Dialogue: 0,0:09:18.89,0:09:23.04,Default,,0000,0000,0000,,na wengine wanaamini wanasayansci wenye nguvu na maarifa watawafufua nao pia. Dialogue: 0,0:09:23.04,0:09:25.75,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa wengine,wazo zima ni kuhusu kufufuka, Dialogue: 0,0:09:25.75,0:09:27.75,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutoka nje ya kaburi, Dialogue: 0,0:09:27.75,0:09:30.47,Default,,0000,0000,0000,,ni kama zile sinema z kutisha za zombies. Dialogue: 0,0:09:30.47,0:09:33.26,Default,,0000,0000,0000,,Mwili unakuwa mchafu sana,usiotamanika Dialogue: 0,0:09:33.26,0:09:35.41,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuwezesha maisha ya milele, Dialogue: 0,0:09:35.41,0:09:38.50,Default,,0000,0000,0000,,Watu wanaweka matumaini yao katika hili swala la tatu, Dialogue: 0,0:09:38.50,0:09:40.62,Default,,0000,0000,0000,,hadithi ya kifo iliyokaa kiroho zaidi, Dialogue: 0,0:09:40.62,0:09:42.95,Default,,0000,0000,0000,,wazo kwamba tutaiacha miili yetu nyuma Dialogue: 0,0:09:42.95,0:09:45.25,Default,,0000,0000,0000,,na kuishi kama roho. Dialogue: 0,0:09:45.25,0:09:47.24,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,watu wengi katika dunia Dialogue: 0,0:09:47.24,0:09:49.01,Default,,0000,0000,0000,,wanaamini wana roho, Dialogue: 0,0:09:49.01,0:09:51.42,Default,,0000,0000,0000,,na wazo hili ni kuu kwa dini nyingi. Dialogue: 0,0:09:51.42,0:09:53.74,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hata hivyo,katika mfumo wa sasa, Dialogue: 0,0:09:53.74,0:09:55.65,Default,,0000,0000,0000,,katika utamaduni wake, Dialogue: 0,0:09:55.65,0:09:57.82,Default,,0000,0000,0000,,wazo la roho ni maarufu sana, Dialogue: 0,0:09:57.82,0:09:59.25,Default,,0000,0000,0000,,achilia yote hayo tunakuja tena Dialogue: 0,0:09:59.25,0:10:01.47,Default,,0000,0000,0000,,kuvumbua wazo hili katika nyakati za kidigitali, Dialogue: 0,0:10:01.47,0:10:02.95,Default,,0000,0000,0000,,kwa mfano Dialogue: 0,0:10:02.95,0:10:04.94,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuacha mwili wako nyuma Dialogue: 0,0:10:04.94,0:10:07.18,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuwezesha akili yako,uhalisia wako, Dialogue: 0,0:10:07.18,0:10:09.14,Default,,0000,0000,0000,,wewe halisi,kwenye kompyuta, Dialogue: 0,0:10:09.14,0:10:13.75,Default,,0000,0000,0000,,na kuishi kama avatar. Dialogue: 0,0:10:13.75,0:10:15.78,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kuna wabishi ambao wanasema Dialogue: 0,0:10:15.78,0:10:17.62,Default,,0000,0000,0000,,tukiangalia katika ukweli wa sayansi, Dialogue: 0,0:10:17.62,0:10:19.26,Default,,0000,0000,0000,,hasa sayansi ya mishipa ya fahamu, Dialogue: 0,0:10:19.26,0:10:21.09,Default,,0000,0000,0000,,inadokeza kwamba,akili yako Dialogue: 0,0:10:21.09,0:10:22.67,Default,,0000,0000,0000,,uhalisi wako, Dialogue: 0,0:10:22.67,0:10:25.08,Default,,0000,0000,0000,,vinategemea sana upande fulani Dialogue: 0,0:10:25.08,0:10:27.31,Default,,0000,0000,0000,,wa mwili wako,ambao ni ubongo. Dialogue: 0,0:10:27.31,0:10:29.83,Default,,0000,0000,0000,,Na aho wenye wasiwasi wanaweza pata faraja Dialogue: 0,0:10:29.83,0:10:32.08,Default,,0000,0000,0000,,katika aina ya nne ya hadithi ya kifo, Dialogue: 0,0:10:32.08,0:10:34.44,Default,,0000,0000,0000,,na huo ni urithi, Dialogue: 0,0:10:34.44,0:10:35.92,Default,,0000,0000,0000,,wazo kwamba unaweza ishi Dialogue: 0,0:10:35.92,0:10:38.17,Default,,0000,0000,0000,,mpaka kwenye mwangi unaiacha dunia, Dialogue: 0,0:10:38.17,0:10:40.52,Default,,0000,0000,0000,,kama mwanajeshi hodari wa Kigiriki Achilles, Dialogue: 0,0:10:40.52,0:10:43.15,Default,,0000,0000,0000,,aliyetoa sadaka ya maisha yake kwa Troy Dialogue: 0,0:10:43.15,0:10:46.20,Default,,0000,0000,0000,,ili kupata umaarufu wa kifo. Dialogue: 0,0:10:46.20,0:10:48.47,Default,,0000,0000,0000,,Na umaarufu ulisambaa Dialogue: 0,0:10:48.47,0:10:50.61,Default,,0000,0000,0000,,na ni maarufu kama ilivyokuwa zamani, Dialogue: 0,0:10:50.61,0:10:52.19,Default,,0000,0000,0000,,na katika nyakati hizi za kidigitali, Dialogue: 0,0:10:52.19,0:10:53.72,Default,,0000,0000,0000,,ni rahisi sana kufanikiwa. Dialogue: 0,0:10:53.72,0:10:56.04,Default,,0000,0000,0000,,Huitaji kuwa kama mwanajeshi hodari kama Achilles Dialogue: 0,0:10:56.04,0:10:57.74,Default,,0000,0000,0000,,au kuwa mfalme hodari au shujaa. Dialogue: 0,0:10:57.74,0:11:02.56,Default,,0000,0000,0000,,Unachohitaji ni mtandao wa intaneti na paka anayefurahisha(Vicheko) Dialogue: 0,0:11:02.56,0:11:05.02,Default,,0000,0000,0000,,Lakini watu wengi wanapendelea kuacha vile vionekanavyo, Dialogue: 0,0:11:05.02,0:11:07.86,Default,,0000,0000,0000,,urithi wa kibiolojia--watoto,kwa mfano. Dialogue: 0,0:11:07.86,0:11:10.14,Default,,0000,0000,0000,,Au wapo hivi,wana imani,kuishi Dialogue: 0,0:11:10.14,0:11:11.86,Default,,0000,0000,0000,,katika nafasi ya maisha yote, Dialogue: 0,0:11:11.86,0:11:14.31,Default,,0000,0000,0000,,taifa au familia au kabila, Dialogue: 0,0:11:14.31,0:11:16.77,Default,,0000,0000,0000,,gene zao. Dialogue: 0,0:11:16.77,0:11:18.29,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tena,wanakuwa na wasiwasi Dialogue: 0,0:11:18.29,0:11:19.100,Default,,0000,0000,0000,,wana wasiwasi kwamba urithi Dialogue: 0,0:11:19.100,0:11:21.97,Default,,0000,0000,0000,,kiuhalisia ni kuhusu kifo. Dialogue: 0,0:11:21.97,0:11:24.05,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mfano,Woody Allen alisema, Dialogue: 0,0:11:24.05,0:11:26.55,Default,,0000,0000,0000,,"Sitaki kuishi katika mioyo ya watu wa nchi yangu. Dialogue: 0,0:11:26.55,0:11:28.74,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuishi katika nyumba yangu" Dialogue: 0,0:11:28.74,0:11:30.51,Default,,0000,0000,0000,,Hizo ni Dialogue: 0,0:11:30.51,0:11:32.69,Default,,0000,0000,0000,,aina nne kuu za hadithi za kifo, Dialogue: 0,0:11:32.69,0:11:34.34,Default,,0000,0000,0000,,na nimejaribu kuonesha maana Dialogue: 0,0:11:34.34,0:11:36.63,Default,,0000,0000,0000,,ni jinsi zinasemwa na kila jamii Dialogue: 0,0:11:36.63,0:11:38.22,Default,,0000,0000,0000,,na utofauti mdogo sana Dialogue: 0,0:11:38.22,0:11:40.52,Default,,0000,0000,0000,,kutosha fasheni ya siku. Dialogue: 0,0:11:40.52,0:11:44.01,Default,,0000,0000,0000,,Na ukweli kwamba zinajirudia katika hii njia, Dialogue: 0,0:11:44.01,0:11:46.100,Default,,0000,0000,0000,,katika mfumo uleule lakini katika aina tofauti za kuamini, Dialogue: 0,0:11:46.100,0:11:48.58,Default,,0000,0000,0000,,Nadhani, Dialogue: 0,0:11:48.58,0:11:50.98,Default,,0000,0000,0000,,tunatakiwa kuwa na wasiwasi wa ukweli Dialogue: 0,0:11:50.98,0:11:54.74,Default,,0000,0000,0000,,katika aina yoyote ya hadithi hizi. Dialogue: 0,0:11:54.74,0:11:56.85,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli kwamba watu wanaamini Dialogue: 0,0:11:56.85,0:11:59.52,Default,,0000,0000,0000,,mungu mwenye nguvu atawafufua na kuishi tena Dialogue: 0,0:11:59.52,0:12:03.22,Default,,0000,0000,0000,,na wengine wanaamini wanasayansi wenye nguvu watawafufua na kuishi tena. Dialogue: 0,0:12:03.22,0:12:06.25,Default,,0000,0000,0000,,inasema kwamba hamna anayeamini hili Dialogue: 0,0:12:06.25,0:12:08.92,Default,,0000,0000,0000,,au nguvu ya ukweli. Dialogue: 0,0:12:08.92,0:12:11.35,Default,,0000,0000,0000,,ila,tunaamini hadithi hizi Dialogue: 0,0:12:11.35,0:12:13.33,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu tunachochewa kuziamini, Dialogue: 0,0:12:13.33,0:12:15.16,Default,,0000,0000,0000,,na tunachochewa kuziamini Dialogue: 0,0:12:15.16,0:12:19.43,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu tunaogopa kifo. Dialogue: 0,0:12:19.43,0:12:21.49,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo swali ni, Dialogue: 0,0:12:21.49,0:12:24.96,Default,,0000,0000,0000,,je,tunapotoshwa kuongoza maisha tuliyonayo Dialogue: 0,0:12:24.96,0:12:28.65,Default,,0000,0000,0000,,katika njia ya uoga na kupotosha ukweli? Dialogue: 0,0:12:28.65,0:12:31.73,Default,,0000,0000,0000,,au tunaweza kushinda huu uchochezi? Dialogue: 0,0:12:31.73,0:12:34.19,Default,,0000,0000,0000,,Mphilosophia wa kigiriki Epicurus Dialogue: 0,0:12:34.19,0:12:35.92,Default,,0000,0000,0000,,alifikiri tunaweza. Dialogue: 0,0:12:35.92,0:12:39.47,Default,,0000,0000,0000,,Alihoji kwamba uoga wa kifo ni kitu cha asili, Dialogue: 0,0:12:39.47,0:12:41.88,Default,,0000,0000,0000,,lakini sio cha mantiki. Dialogue: 0,0:12:41.88,0:12:44.54,Default,,0000,0000,0000,,"kifo",alisema,"si kitu kwetu, Dialogue: 0,0:12:44.54,0:12:47.39,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu tuko hapa,kifo hakipo, Dialogue: 0,0:12:47.39,0:12:51.14,Default,,0000,0000,0000,,na wakati kifo kikiwa hapa,na sisi tunakuwa hatupo" Dialogue: 0,0:12:51.14,0:12:52.94,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi kauli hii huwa inanukuliwa,lakini ni vigumu Dialogue: 0,0:12:52.94,0:12:55.26,Default,,0000,0000,0000,,kuielewa,kiundani zaidi, Dialogue: 0,0:12:55.26,0:12:57.43,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu kiuhakika wazo hili la kuondoka Dialogue: 0,0:12:57.43,0:12:59.57,Default,,0000,0000,0000,,ni gumu sana kulifikiria. Dialogue: 0,0:12:59.57,0:13:01.80,Default,,0000,0000,0000,,Miaka 2000 baadaye,mphilosophia mwingine, Dialogue: 0,0:13:01.80,0:13:05.26,Default,,0000,0000,0000,,Ludwig Wittgenstein,alisema: Dialogue: 0,0:13:05.26,0:13:08.20,Default,,0000,0000,0000,,"Kifo sio tukio la maisha: Dialogue: 0,0:13:08.20,0:13:11.84,Default,,0000,0000,0000,,Hatuishi ili kuzoea kifo. Dialogue: 0,0:13:11.84,0:13:13.04,Default,,0000,0000,0000,,Akaongeza kwa kusema, Dialogue: 0,0:13:13.04,0:13:15.97,Default,,0000,0000,0000,,"katika maana hii,maisha hayana mwisho" Dialogue: 0,0:13:15.97,0:13:19.15,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ilikuwa halisi kwa mimi kama mtoto Dialogue: 0,0:13:19.15,0:13:21.51,Default,,0000,0000,0000,,kuogopa kumezwa na shimo la kifo, Dialogue: 0,0:13:21.51,0:13:23.39,Default,,0000,0000,0000,,lakini haikuwa na mantiki, Dialogue: 0,0:13:23.39,0:13:25.38,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu kumezwa na shimo la kifo Dialogue: 0,0:13:25.38,0:13:27.46,Default,,0000,0000,0000,,sio kitu ambacho mtu yoyote kati yetu Dialogue: 0,0:13:27.46,0:13:30.72,Default,,0000,0000,0000,,ataishi na kukutana nacho. Dialogue: 0,0:13:30.72,0:13:33.25,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,kukwepa uchochezi huu sio kitu rahisi kwa sababu Dialogue: 0,0:13:33.25,0:13:36.21,Default,,0000,0000,0000,,hofu ya kifo imo ndani yetu, Dialogue: 0,0:13:36.21,0:13:40.70,Default,,0000,0000,0000,,wakati huohuo tunaona uoga huna mantiki, Dialogue: 0,0:13:40.70,0:13:42.82,Default,,0000,0000,0000,,na tunapoonyesha uoga Dialogue: 0,0:13:42.82,0:13:45.52,Default,,0000,0000,0000,,katika njia ambazo tunachochewa bila kujitambua, Dialogue: 0,0:13:45.52,0:13:47.37,Default,,0000,0000,0000,,angalau tunaweza kuanza Dialogue: 0,0:13:47.37,0:13:50.01,Default,,0000,0000,0000,,kupunguza ule msukumo ulionao Dialogue: 0,0:13:50.01,0:13:51.89,Default,,0000,0000,0000,,katika maisha yetu. Dialogue: 0,0:13:51.89,0:13:54.71,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,naona inasaidia kuona maisha Dialogue: 0,0:13:54.71,0:13:56.55,Default,,0000,0000,0000,,ykifanana na kama kitabu: Dialogue: 0,0:13:56.55,0:13:59.02,Default,,0000,0000,0000,,Kama kilivyozungukwa na kava, Dialogue: 0,0:13:59.02,0:14:00.30,Default,,0000,0000,0000,,mwanzoni na mwishoni, Dialogue: 0,0:14:00.30,0:14:04.04,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo maisha yetu yamezungukwa kwa kuzaliwa na kifo, Dialogue: 0,0:14:04.04,0:14:07.55,Default,,0000,0000,0000,,na hata kama kitabu kina mipaka mwanzoni na mwishoni, Dialogue: 0,0:14:07.55,0:14:09.69,Default,,0000,0000,0000,,inaweza jumuisha mazingira ya mbali, Dialogue: 0,0:14:09.69,0:14:12.92,Default,,0000,0000,0000,,maumbile ya kusisimua,matukio mazuri sana. Dialogue: 0,0:14:12.92,0:14:16.27,Default,,0000,0000,0000,,Na hata kama kitabu kina mipaka mwanzoni na mwishoni, Dialogue: 0,0:14:16.27,0:14:18.09,Default,,0000,0000,0000,,wahusika ndani yake Dialogue: 0,0:14:18.09,0:14:20.93,Default,,0000,0000,0000,,hawajui mwisho wa upeo wa macho. Dialogue: 0,0:14:20.93,0:14:24.09,Default,,0000,0000,0000,,Wanajua nyakati zinazohusu hadithi zao, Dialogue: 0,0:14:24.09,0:14:27.03,Default,,0000,0000,0000,,hata kama kitabu kikifungwa. Dialogue: 0,0:14:27.03,0:14:29.16,Default,,0000,0000,0000,,kwa wahusika katika kitabu Dialogue: 0,0:14:29.16,0:14:32.65,Default,,0000,0000,0000,,hawaogopi kufika ukurasa wa mwisho. Dialogue: 0,0:14:32.65,0:14:34.92,Default,,0000,0000,0000,,Long John Silver hakuogopi Dialogue: 0,0:14:34.92,0:14:37.76,Default,,0000,0000,0000,,kumalizia nakala yako ya "Treasure Island" Dialogue: 0,0:14:37.76,0:14:39.46,Default,,0000,0000,0000,,na itakuwa na sisi. Dialogue: 0,0:14:39.46,0:14:41.60,Default,,0000,0000,0000,,Fikiria kitabu cha maisha yako, Dialogue: 0,0:14:41.60,0:14:44.39,Default,,0000,0000,0000,,inakava,mwanzoni na mwishoni,kuzaliwa kwako na kufa kwako. Dialogue: 0,0:14:44.39,0:14:46.56,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kujua nyakati, Dialogue: 0,0:14:46.56,0:14:48.50,Default,,0000,0000,0000,,zinazofanya maisha yako. Dialogue: 0,0:14:48.50,0:14:50.45,Default,,0000,0000,0000,,Haileti maana kwa wewe kuogopa Dialogue: 0,0:14:50.45,0:14:52.54,Default,,0000,0000,0000,,kilicho nje ya kava, Dialogue: 0,0:14:52.54,0:14:54.01,Default,,0000,0000,0000,,kama ni kabla ya kuzaliwa Dialogue: 0,0:14:54.01,0:14:55.98,Default,,0000,0000,0000,,au baada ya kifo chako. Dialogue: 0,0:14:55.98,0:14:58.51,Default,,0000,0000,0000,,Na hautakiwi kuwa na wasiwasi kitabu ni kirefu kiasi gani, Dialogue: 0,0:14:58.51,0:15:01.98,Default,,0000,0000,0000,,au ni cha kichekesho au kinaelezea ukubwa wa kitu. Dialogue: 0,0:15:01.98,0:15:03.53,Default,,0000,0000,0000,,Kitu kimoja cha msingi Dialogue: 0,0:15:03.53,0:15:07.02,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba unaifanya iwe hadithi nzuri. Dialogue: 0,0:15:07.02,0:15:09.24,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:15:09.24,0:15:13.43,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)