[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:04.34,Default,,0000,0000,0000,,Simulizi za Afrika inayokua \Nzinapata changamoto Dialogue: 0,0:00:04.36,0:00:08.82,Default,,0000,0000,0000,,Karibia miaka 10 iliyopita\NNiliongea kuhusu Afrika, Dialogue: 0,0:00:08.84,0:00:11.54,Default,,0000,0000,0000,,Afrika yenye matumaini na fursa, Dialogue: 0,0:00:11.56,0:00:13.50,Default,,0000,0000,0000,,Afrika ya wajasiriamali, Dialogue: 0,0:00:13.52,0:00:16.98,Default,,0000,0000,0000,,Afrika tofauti kabisa na Afrika\Nambayo umezoaea kusikia Dialogue: 0,0:00:17.00,0:00:19.78,Default,,0000,0000,0000,,ya vifo, umaskini na magonjwa. Dialogue: 0,0:00:19.80,0:00:21.86,Default,,0000,0000,0000,,Na kile nilichokiongelea, Dialogue: 0,0:00:21.88,0:00:27.34,Default,,0000,0000,0000,,ikawa sehemu ya kile kinachojulikana sasa\Nkama hadithi ya Afrika inayokua. Dialogue: 0,0:00:27.36,0:00:30.70,Default,,0000,0000,0000,,Nataka niwaambie hadithi mbili\Nkuhusu hii Afrika inayokua. Dialogue: 0,0:00:30.72,0:00:32.50,Default,,0000,0000,0000,,Ya kwanza inaihusisha Rwanda, Dialogue: 0,0:00:32.52,0:00:35.94,Default,,0000,0000,0000,,nchi ambayo imepitia majaribu mengi\Nna dhiki. Dialogue: 0,0:00:35.96,0:00:40.46,Default,,0000,0000,0000,,Na Rwanda ikaamua kuwa kitovu \Ncha teknolojia, au kitovu cha teknolojia Dialogue: 0,0:00:40.48,0:00:41.82,Default,,0000,0000,0000,,kwenye bara la Afrika. Dialogue: 0,0:00:41.84,0:00:44.86,Default,,0000,0000,0000,,Ni nchi yenye milima na ardhi ya eneo\Nlenye vilima, Dialogue: 0,0:00:44.88,0:00:46.10,Default,,0000,0000,0000,,kidogo kama hapa, Dialogue: 0,0:00:46.12,0:00:49.30,Default,,0000,0000,0000,,hivyo ni vigumu sana\Nkupeleka huduma kwa watu. Dialogue: 0,0:00:49.32,0:00:51.02,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo Rwanda imesema nini? Dialogue: 0,0:00:51.04,0:00:54.70,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuweza kuokoa maisha,\Nitajaribu kutumia ndege zisizo na rubani Dialogue: 0,0:00:54.72,0:00:57.94,Default,,0000,0000,0000,,kupeleka madawa ya kuokoa maisha,\Nchanjo na damu Dialogue: 0,0:00:57.96,0:00:59.98,Default,,0000,0000,0000,,kwa watu katika sehemu zisizo fikika Dialogue: 0,0:01:00.00,0:01:02.50,Default,,0000,0000,0000,,wakishirikiana na\Nkampuni inayoitwa Zipline, Dialogue: 0,0:01:02.52,0:01:07.06,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na UPS, na pia Gavi\Nshirika la kimataifa la chanjo. Dialogue: 0,0:01:07.08,0:01:09.46,Default,,0000,0000,0000,,Katika kufanya hivi, itaokoa maisha. Dialogue: 0,0:01:09.48,0:01:14.78,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sehemu ya ubunifu\Ntunayotaka kuona katika Afrika inayokua. Dialogue: 0,0:01:14.80,0:01:17.34,Default,,0000,0000,0000,,Hadithi ya pili inahusiana na jambo\N Dialogue: 0,0:01:17.36,0:01:20.38,Default,,0000,0000,0000,,ambalo ninauhakika wengi wenu\Nmmeona au mtakumbuka. Dialogue: 0,0:01:20.40,0:01:24.30,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi, nchi za Afrika\Nzimeteseka na ukame na mafuriko, Dialogue: 0,0:01:24.32,0:01:28.02,Default,,0000,0000,0000,,na inaongezeka zaidi kwasababu\Nya athari za mabadiliko ya tabia nchi. Dialogue: 0,0:01:28.04,0:01:33.74,Default,,0000,0000,0000,,Wakati haya yanapotokea, kawaida\Nhusubiri nchi za kimataifa kuchanga fedha. Dialogue: 0,0:01:33.76,0:01:37.14,Default,,0000,0000,0000,,Unaona picha za watoto\Nwakiwa na nzi kwenye nyuso zao Dialogue: 0,0:01:37.16,0:01:39.66,Default,,0000,0000,0000,,mizoga ya wanyama waliokufa na kadhalika. Dialogue: 0,0:01:39.68,0:01:42.70,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nchi hizi,\Nnchi 32, zilikutana pamoja Dialogue: 0,0:01:42.72,0:01:45.18,Default,,0000,0000,0000,,chini ya mwamvuli wa Umoja wa Afrika Dialogue: 0,0:01:45.20,0:01:50.22,Default,,0000,0000,0000,,na kuamua kuunda shirika\Nlinaloitwa Africa Risk Capacity. Dialogue: 0,0:01:50.24,0:01:51.46,Default,,0000,0000,0000,,Linafanya nini? Dialogue: 0,0:01:51.48,0:01:53.58,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakala wa bima wa hali ya hewa Dialogue: 0,0:01:53.60,0:01:57.98,Default,,0000,0000,0000,,na nchi hizi zinachofanya\Nni kulipa bima kila mwaka, Dialogue: 0,0:01:58.00,0:02:00.94,Default,,0000,0000,0000,,karibia dola milioni 3 kwa mwaka\Nkutoka kwenye rasilimali zao, Dialogue: 0,0:02:00.96,0:02:05.78,Default,,0000,0000,0000,,ili kwamba endapo wanakumbwa\Nna hali ya ukame mgumu au mafuriko, Dialogue: 0,0:02:05.80,0:02:08.42,Default,,0000,0000,0000,,fedha hizi zitalipwa kuwasaidia Dialogue: 0,0:02:08.44,0:02:11.18,Default,,0000,0000,0000,,ambazo wanaweza kuzitumia\Nkuwatunza wananchi wao Dialogue: 0,0:02:11.20,0:02:13.98,Default,,0000,0000,0000,,badala ya kusubiri msaada kuja. Dialogue: 0,0:02:14.00,0:02:18.22,Default,,0000,0000,0000,,Shirika la African Risk Capacity\Nmwaka jana lilipa dola milioni 26 Dialogue: 0,0:02:18.24,0:02:20.74,Default,,0000,0000,0000,,kwa Mauritania, Senegal na Niger. Dialogue: 0,0:02:20.76,0:02:26.22,Default,,0000,0000,0000,,Hii iliwawezesha kuwatunza\Nwatu milioni 1.3 walioathirika na ukame. Dialogue: 0,0:02:26.24,0:02:28.58,Default,,0000,0000,0000,,Waliweza kurudisha tena maisha yao, Dialogue: 0,0:02:28.60,0:02:31.30,Default,,0000,0000,0000,,kununua majani ya n'gombe\Nkulisha watoto mashuleni Dialogue: 0,0:02:31.32,0:02:37.10,Default,,0000,0000,0000,,kuwafanya wananchi wabaki nyumbani\Nbadala ya kuhama nje ya eneo. Dialogue: 0,0:02:37.12,0:02:38.98,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hizi ni aina za hadithi Dialogue: 0,0:02:39.00,0:02:42.62,Default,,0000,0000,0000,,za Afrika iliyotayari\Nkuchukua majikumu yake yenyewe, Dialogue: 0,0:02:42.64,0:02:45.82,Default,,0000,0000,0000,,na kutafuta suluhisho\Nkwa matatizo yake yenyewe. Dialogue: 0,0:02:45.84,0:02:48.34,Default,,0000,0000,0000,,Ila simulizi hizo zinapata changamoto sasa Dialogue: 0,0:02:48.36,0:02:53.18,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu bara letu halijafanya vema\Nkwa miaka miwili iliyopita. Dialogue: 0,0:02:53.20,0:02:56.14,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa inakua kwa kiwango\Ncha asilimia 5 kwa mwaka Dialogue: 0,0:02:56.16,0:02:58.10,Default,,0000,0000,0000,,kwa muongo mmoja na nusu uliopita Dialogue: 0,0:02:58.12,0:03:00.90,Default,,0000,0000,0000,,lakini utabiri wa mwaka huu\Nulikuwa asilimia tatu. Kwanini? Dialogue: 0,0:03:00.92,0:03:05.10,Default,,0000,0000,0000,,kwa mazingira ya ulimwengu yanavyobadilika\Nbei za bidhaa zimeshuka. Dialogue: 0,0:03:05.12,0:03:08.30,Default,,0000,0000,0000,,Uchumi wa nchi nyingi\Nbado unaendeshwa na bidhaa, Dialogue: 0,0:03:08.32,0:03:10.88,Default,,0000,0000,0000,,na hivyo utendaji wake\Numeteleza Dialogue: 0,0:03:11.48,0:03:15.46,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa suala la kujitoa kwa Uingereza\Nhaifanyi iwe rahisi Dialogue: 0,0:03:15.48,0:03:19.10,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua kama Uingereza ingejitoa Dialogue: 0,0:03:19.12,0:03:23.26,Default,,0000,0000,0000,,na hilo lingekuwa moja ya vitu ambavyo\Nvingeleta kutokuwa na uhakika ulimwenguni Dialogue: 0,0:03:23.28,0:03:24.58,Default,,0000,0000,0000,,kama tulivyo. Dialogue: 0,0:03:24.60,0:03:26.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo sasa tuna hii hali Dialogue: 0,0:03:26.80,0:03:29.66,Default,,0000,0000,0000,,na ninafikiri ni wakati wakuangalia Dialogue: 0,0:03:29.68,0:03:34.54,Default,,0000,0000,0000,,na kusema ni vitu gani ambavyo\Nnchi za Afrika zilifanya sahihi? Dialogue: 0,0:03:34.56,0:03:36.20,Default,,0000,0000,0000,,Kipi walikosea? Dialogue: 0,0:03:36.84,0:03:39.30,Default,,0000,0000,0000,,Tutajengaje kwenye haya yote\Nna kujifunza Dialogue: 0,0:03:39.32,0:03:42.12,Default,,0000,0000,0000,,ili kwamba tuendeleze Afrika inayokua? Dialogue: 0,0:03:42.72,0:03:46.08,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ngoja niongelee kuhusu mambo sita\Nninayofikiri tulifanya sahihi. Dialogue: 0,0:03:46.72,0:03:50.02,Default,,0000,0000,0000,,La kwanza ni kusimamia\Nuchumi wa nchi zetu vizuri Dialogue: 0,0:03:50.04,0:03:54.30,Default,,0000,0000,0000,,Miaka ya 80 na 90 ni miongo iliyopotea,\Nwakati Afrika haikuwa ikifanya vizuri, Dialogue: 0,0:03:54.32,0:03:57.94,Default,,0000,0000,0000,,na baadhi yenu mtakumbuka ukurasa\Nwa mbele wa gazeti la "Economist" Dialogue: 0,0:03:57.96,0:03:59.98,Default,,0000,0000,0000,,lililosema, "Bara lililopotea" Dialogue: 0,0:04:00.00,0:04:04.10,Default,,0000,0000,0000,,Ila miaka ya 2000 watunga sera walijifunza Dialogue: 0,0:04:04.12,0:04:08.38,Default,,0000,0000,0000,,kwamba wanahitaji kusimamia\Nmazingira ya uchumi vizuri zaidi, Dialogue: 0,0:04:08.40,0:04:09.94,Default,,0000,0000,0000,,kuhakikisha uthabiti, Dialogue: 0,0:04:09.96,0:04:12.58,Default,,0000,0000,0000,,kushusha mfumuko wa bei kufika \Ntarakimu moja, Dialogue: 0,0:04:12.60,0:04:18.18,Default,,0000,0000,0000,,kushusha nakisi ya bajeti, chini ya \Nasilimia tatu ya Pato la Taifa, Dialogue: 0,0:04:18.20,0:04:22.10,Default,,0000,0000,0000,,wape wawekezaji, wote wa ndani na wageni, Dialogue: 0,0:04:22.12,0:04:25.94,Default,,0000,0000,0000,,aina ya uthabiti ili wawe na imani ya\Nkuwekeza kwenye chumi hizi. Dialogue: 0,0:04:25.96,0:04:27.46,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hiyo ilikuwa namba moja. Dialogue: 0,0:04:27.48,0:04:28.82,Default,,0000,0000,0000,,Mbili, deni. Dialogue: 0,0:04:28.84,0:04:34.54,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 1994, urari wa deni la Pato la taifa\Nwa nchi za Kiafrila ulikuwa asilimia 130, Dialogue: 0,0:04:34.56,0:04:36.82,Default,,0000,0000,0000,,na hawakuwa na nafasi ya fedha nakisi Dialogue: 0,0:04:36.84,0:04:39.86,Default,,0000,0000,0000,,Hawakuweza kutumia rasilimali zao\Nkuwekeza kwenye maendeleo yao Dialogue: 0,0:04:39.88,0:04:41.34,Default,,0000,0000,0000,,kwakuwa walikuwa wanalipa deni Dialogue: 0,0:04:41.36,0:04:46.10,Default,,0000,0000,0000,,kwaweza kuwa na baadhi yenu humu ndani\Nmliofanyakazi kusaidia nchi za Afrika Dialogue: 0,0:04:46.12,0:04:47.42,Default,,0000,0000,0000,,kupata unafuu wa madeni. Dialogue: 0,0:04:47.44,0:04:51.90,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wadai binafsi, wa pande mbalimbali\Nna pande mbili waliunganika Dialogue: 0,0:04:51.92,0:04:55.54,Default,,0000,0000,0000,,na kuamua kuanzisha mpango wa\NNchi Fukara zenye Mzigo wa madeni Dialogue: 0,0:04:55.56,0:04:56.82,Default,,0000,0000,0000,,na kutoa unafuu wa madeni. Dialogue: 0,0:04:56.84,0:04:58.94,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo unafuu huu wa madeni mwaka 2005 Dialogue: 0,0:04:58.96,0:05:02.90,Default,,0000,0000,0000,,ulifanya urari wa deni kwa Pato la taifa\Nkushuka hadi takriban asilimia 30, Dialogue: 0,0:05:02.92,0:05:06.82,Default,,0000,0000,0000,,na kulikuwa na rasilimali za kutosha\Nkujaribu na kuwekeza upya. Dialogue: 0,0:05:06.84,0:05:09.30,Default,,0000,0000,0000,,Kitu cha tatu kilikuwa\Nmakampuni yaliyopata hasara Dialogue: 0,0:05:09.32,0:05:11.38,Default,,0000,0000,0000,,Serikali zilishiriki katika biashara Dialogue: 0,0:05:11.40,0:05:13.66,Default,,0000,0000,0000,,ambazo hawakupaswa kuzifanya. Dialogue: 0,0:05:13.68,0:05:16.78,Default,,0000,0000,0000,,Na walikuwa wanaendesha biashara,\Nwalikuwa wanapata hasara. Dialogue: 0,0:05:16.80,0:05:19.54,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo baadhi ya makampuni haya\Nyaliundwa upya, Dialogue: 0,0:05:19.56,0:05:21.98,Default,,0000,0000,0000,,kuwa kibiashara,kubinafsishwa au kufungwa, Dialogue: 0,0:05:22.00,0:05:25.20,Default,,0000,0000,0000,,na kupunguza mzigo mkubwa\Nkwa serikali. Dialogue: 0,0:05:26.08,0:05:28.48,Default,,0000,0000,0000,,Kitu cha nne kilikuwa\Nkitu cha kuvutia sana Dialogue: 0,0:05:29.20,0:05:31.50,Default,,0000,0000,0000,,Mapinduzi ya makampuni ya simu yakaja, Dialogue: 0,0:05:31.52,0:05:34.10,Default,,0000,0000,0000,,na nchi za Kiafrika zikarukia. Dialogue: 0,0:05:34.12,0:05:36.74,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 2000, laini za simu zilikuwa\Nmilioni 11 Dialogue: 0,0:05:36.76,0:05:42.10,Default,,0000,0000,0000,,Leo, tuna takriban laini milioni 687\Nza simu za mkononi barani. Dialogue: 0,0:05:42.12,0:05:43.94,Default,,0000,0000,0000,,Na hi imetuwezesha Dialogue: 0,0:05:43.96,0:05:46.62,Default,,0000,0000,0000,,kwenda na kusonga mbele\Nna teknolojia ya simu za mkononi Dialogue: 0,0:05:46.64,0:05:49.26,Default,,0000,0000,0000,,ambapo Afrika hakika inaongoza. Dialogue: 0,0:05:49.28,0:05:51.82,Default,,0000,0000,0000,,Nchini Kenya, maendeleo ya kutuma\Nfedha kwa simu Dialogue: 0,0:05:51.84,0:05:54.62,Default,,0000,0000,0000,,M-Pesa, ambayo nyote\Nmmesikia habari zake-- Dialogue: 0,0:05:54.64,0:05:58.10,Default,,0000,0000,0000,,ilichukua muda kwa dunia\Nkuona kwamba Afrika ipo mbele Dialogue: 0,0:05:58.12,0:05:59.66,Default,,0000,0000,0000,,katika hii teknolojia. Dialogue: 0,0:05:59.68,0:06:02.90,Default,,0000,0000,0000,,na hii kutuma pesa kwa simu za mkononi\Npia inatoa jukwaa Dialogue: 0,0:06:02.92,0:06:05.38,Default,,0000,0000,0000,,kwa upatikanaji wa nishati mbadala Dialogue: 0,0:06:05.40,0:06:08.90,Default,,0000,0000,0000,,Unajua, watu wanaoweza sasa kulipia sola Dialogue: 0,0:06:08.92,0:06:13.14,Default,,0000,0000,0000,,kwa njia wanayotumia kulipia\Nkwa kadi kwenye simu zao. Dialogue: 0,0:06:13.16,0:06:17.68,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo haya yalikuwa maendeleo mazuri sana\Nkitu ambacho kilikwenda sahihi. Dialogue: 0,0:06:18.24,0:06:22.74,Default,,0000,0000,0000,,Tuliwekeza zaidi kwenye elimu\Nna afya, isivyo vyakutosha, Dialogue: 0,0:06:22.76,0:06:24.42,Default,,0000,0000,0000,,lakini kulikuwa na maboresho. Dialogue: 0,0:06:24.44,0:06:29.96,Default,,0000,0000,0000,,Watoto milioni 25 walipata chanjo\Nkatika muogo mmoja nanusu uliopita. Dialogue: 0,0:06:30.52,0:06:33.90,Default,,0000,0000,0000,,Kitu kingine ilikuwa\Nkwamba migogoro ilipungua. Dialogue: 0,0:06:33.92,0:06:35.98,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na migogoro mingi\Nbarani. Dialogue: 0,0:06:36.00,0:06:37.46,Default,,0000,0000,0000,,Wengi wenu mnafahamu hilo. Dialogue: 0,0:06:37.48,0:06:42.30,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ilipungua, na viongozi wetu\Nwaliweza hata kufifiza mapinduzi. Dialogue: 0,0:06:42.32,0:06:46.38,Default,,0000,0000,0000,,Aina mpya ya migogoro imeibuka,\Nna nitaielezea hiyo baadaye. Dialogue: 0,0:06:46.40,0:06:50.02,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kutokana na yote haya, pia\Nkuna baadhi ya utofautishaji barani Dialogue: 0,0:06:50.04,0:06:51.50,Default,,0000,0000,0000,,ambao nataka muufahamu, Dialogue: 0,0:06:51.52,0:06:54.02,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu pamoja na kuwa\N Dialogue: 0,0:06:54.04,0:06:58.02,Default,,0000,0000,0000,,kuna baadhi ya nchi--\NCote d'Ivoire, Kenya, Ethiopia\N Dialogue: 0,0:06:58.15,0:07:01.15,Default,,0000,0000,0000,,Tanzania na Senegal\Nzinafanya vizuri kwa sasa Dialogue: 0,0:07:03.12,0:07:05.26,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tulikosea wapi? Dialogue: 0,0:07:05.28,0:07:06.66,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja nitaje mambo nane. Dialogue: 0,0:07:06.68,0:07:08.86,Default,,0000,0000,0000,,Unapaswa kuwa umekosea zaidi\Nkuliko kupatia. Dialogue: 0,0:07:08.88,0:07:10.34,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:07:10.36,0:07:12.74,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kuna mambo nane tulikosea. Dialogue: 0,0:07:12.76,0:07:16.28,Default,,0000,0000,0000,,La kwanza ilikuwa pamoja na kukua\Nhatukutengeneza ajira za kutosha. Dialogue: 0,0:07:16.80,0:07:18.70,Default,,0000,0000,0000,,Hatukutengeneza ajira kwa vijana wetu. Dialogue: 0,0:07:18.72,0:07:21.66,Default,,0000,0000,0000,,Ukosefu wa ajira kwa vijana barani\Nni karibia asilimia 15, Dialogue: 0,0:07:21.68,0:07:24.72,Default,,0000,0000,0000,,na upungufu wa ajira ni tatizo kubwa. Dialogue: 0,0:07:25.40,0:07:30.94,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la pili tulichofanya ni kuwa kiwango\Ncha ukuaji hakikuwa kizuri vyakutosha Dialogue: 0,0:07:30.96,0:07:34.50,Default,,0000,0000,0000,,Hata ajira zilizoundwa\Nzilikuwa ni ajira zenye tija ndogo sana, Dialogue: 0,0:07:34.52,0:07:38.02,Default,,0000,0000,0000,,hivyo tulihamisha watu\Nkutoka kilimo duni kisicho na tija Dialogue: 0,0:07:38.04,0:07:41.98,Default,,0000,0000,0000,,kwenda biashara zisizo na tija\Nna kufanyia kazi sekta isiyo rasmi Dialogue: 0,0:07:42.00,0:07:43.72,Default,,0000,0000,0000,,katika maeneo ya mijini. Dialogue: 0,0:07:44.24,0:07:48.04,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la tatu ni kwamba\Nkukosekana kwa usawa kuliongezeka. Dialogue: 0,0:07:48.60,0:07:53.58,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tuliunda mabilionea zaidi. Dialogue: 0,0:07:53.60,0:07:56.30,Default,,0000,0000,0000,,mabilionea 50 wenye thamani ya dola\Nbilioni 96 Dialogue: 0,0:07:56.32,0:08:01.16,Default,,0000,0000,0000,,wanamiliki utajiri zaidi kuliko watu\Nmilioni 75 wa chini barani. Dialogue: 0,0:08:01.92,0:08:03.50,Default,,0000,0000,0000,,Umaskini, Dialogue: 0,0:08:03.52,0:08:07.90,Default,,0000,0000,0000,,uwiano wa watu katika umaskini--\Nhilo ni jambo la nne--ulipungua Dialogue: 0,0:08:07.92,0:08:12.02,Default,,0000,0000,0000,,lakini namba halisi hazikupungua\Nkwasababu ya ongezeko la idadi ya watu. Dialogue: 0,0:08:12.04,0:08:14.62,Default,,0000,0000,0000,,Na ongezeko la idadi ya watu ni jambo Dialogue: 0,0:08:14.64,0:08:18.06,Default,,0000,0000,0000,,ambalo hatujafanyia\Nmazungumzo ya kutosha barani. Dialogue: 0,0:08:18.08,0:08:21.22,Default,,0000,0000,0000,,Na ninafikiri tutahitaji\Nkulielewa na kulifanyia kazi Dialogue: 0,0:08:21.24,0:08:24.50,Default,,0000,0000,0000,,haswa jinsi ya kuelimisha wasichana. Dialogue: 0,0:08:24.52,0:08:29.16,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ndio njia haswa kufanyia kazi\Nhasusan kwenye suala hili. Dialogue: 0,0:08:29.88,0:08:36.70,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la tano ni kwamba hatukuwekeza\Nvya kutosha kwenye miundombinu. Dialogue: 0,0:08:36.72,0:08:38.82,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa na uwekezaji kutoka kwa Wachina. Dialogue: 0,0:08:38.84,0:08:42.06,Default,,0000,0000,0000,,Ambao ulisaidia baadhi ya nchi,\Nlakini haitoshi. Dialogue: 0,0:08:42.08,0:08:45.42,Default,,0000,0000,0000,,Utumiaji wa umeme\Nbarani Afrika Dialogue: 0,0:08:45.44,0:08:49.02,Default,,0000,0000,0000,,Kusini mwa jangwa la Sahara Afrika\Nni sawasawa na Hispania. Dialogue: 0,0:08:49.04,0:08:52.50,Default,,0000,0000,0000,,Utumiaji kwa ujumla\Nni sawasawa na ule wa Hispania Dialogue: 0,0:08:52.52,0:08:55.18,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo watu wengi wanaishi gizani, Dialogue: 0,0:08:55.20,0:08:58.78,Default,,0000,0000,0000,,na kama Rais wa Benki ya Maendeleo\NAfrika alivyosema hivi karibuni, Dialogue: 0,0:08:58.80,0:09:01.08,Default,,0000,0000,0000,,Afrika haiwezi kuendelea gizani. Dialogue: 0,0:09:02.12,0:09:04.26,Default,,0000,0000,0000,,Kitu kingine ambacho hatujafanya Dialogue: 0,0:09:04.28,0:09:09.70,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba chumi zetu\Nzimeshikilia muundo uliofanana Dialogue: 0,0:09:09.72,0:09:11.34,Default,,0000,0000,0000,,ambao tumekuwa nao kwa miongo. Dialogue: 0,0:09:11.36,0:09:13.02,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo pamoja na kwamba tumekua Dialogue: 0,0:09:13.04,0:09:15.74,Default,,0000,0000,0000,,muundo wa chumi zetu\Nhaujabadilika kwa kiasi kikubwa. Dialogue: 0,0:09:15.76,0:09:18.34,Default,,0000,0000,0000,,Bado tunauza bidhaa nchi za nje Dialogue: 0,0:09:18.36,0:09:22.22,Default,,0000,0000,0000,,na kuuza bidhaa nchi za nje ni nini?\Nkuuza ajira nchi za nje. Dialogue: 0,0:09:22.24,0:09:25.54,Default,,0000,0000,0000,,Ongezeko la thamani ya uzalishaji wetu\Nni asilimia 11 tu Dialogue: 0,0:09:25.56,0:09:30.10,Default,,0000,0000,0000,,Hatuundi ajira za kutosha kwenye\Nuzalishaji kwa vijana wetu, Dialogue: 0,0:09:30.12,0:09:32.74,Default,,0000,0000,0000,,na biashara kati yetu ni kidogo. Dialogue: 0,0:09:32.76,0:09:36.26,Default,,0000,0000,0000,,Takriban asilimi 12 tu ya biashara\Nkati yetu sisi wenyewe Dialogue: 0,0:09:36.28,0:09:38.98,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hilo ni tatizo lingine zito sana. Dialogue: 0,0:09:39.00,0:09:41.10,Default,,0000,0000,0000,,Kisha utawala bora. Dialogue: 0,0:09:41.12,0:09:43.54,Default,,0000,0000,0000,,Utawala bora ni suala zito. Dialogue: 0,0:09:43.56,0:09:45.78,Default,,0000,0000,0000,,Tuna taasisi dhaifu, Dialogue: 0,0:09:45.80,0:09:50.82,Default,,0000,0000,0000,,na wakati mwingine taasisi hewa,\Nninafikiri hii inaleta mwanya wa rushwa. Dialogue: 0,0:09:50.84,0:09:56.06,Default,,0000,0000,0000,,Rushwa ni suala ambalo bado \Nhatujalimudu kiasi cha kutosha, Dialogue: 0,0:09:56.08,0:09:58.70,Default,,0000,0000,0000,,na tunatakuwa kupambana kufa na kupona, Dialogue: 0,0:09:58.72,0:10:02.30,Default,,0000,0000,0000,,hiyo na ongezeko la uwazi katika\Njinsi tunavyosimamia chumi zetu Dialogue: 0,0:10:02.32,0:10:04.78,Default,,0000,0000,0000,,na jinsi tunavyosimamia fedha zetu. Dialogue: 0,0:10:04.80,0:10:09.54,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji pia kujihadhari na migogoro \Nmipya, Dialogue: 0,0:10:09.56,0:10:11.50,Default,,0000,0000,0000,,aina mpya ya migogoro, Dialogue: 0,0:10:11.52,0:10:14.74,Default,,0000,0000,0000,,kama tuliyonayo na Boko Haram\Nkatika nchi yangu, Nigeria, Dialogue: 0,0:10:14.76,0:10:16.82,Default,,0000,0000,0000,,Na Al-Shabaab nchini Kenya. Dialogue: 0,0:10:16.84,0:10:20.18,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji kushirikiana na\Nwashiriki wa kimataifa, Dialogue: 0,0:10:20.20,0:10:23.06,Default,,0000,0000,0000,,nchi zilizoendelea,\Nkupambana juu ya hili pamoja. Dialogue: 0,0:10:23.08,0:10:24.98,Default,,0000,0000,0000,,Ama sivyo, tunaunda ukweli mpya Dialogue: 0,0:10:25.00,0:10:28.26,Default,,0000,0000,0000,,ambao sio aina tunayotaka\Nkwa Afrika inayokua. Dialogue: 0,0:10:28.28,0:10:31.82,Default,,0000,0000,0000,,Na mwisho, ni suala la elimu. Dialogue: 0,0:10:31.84,0:10:35.14,Default,,0000,0000,0000,,Mifumo yetu ya elimu\Nkatika nchi nyingi imevunjika. Dialogue: 0,0:10:35.16,0:10:39.70,Default,,0000,0000,0000,,Hatuundi aina ya stadi\Nzinazohitajika kwa siku za usoni Dialogue: 0,0:10:39.72,0:10:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunatakiwa tutafute njia\Nya kutoa elimu kwa ubora. Dialogue: 0,0:10:42.92,0:10:45.64,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hayo ni mambo ambayo\Nhatufanyi kwa usahihi. Dialogue: 0,0:10:46.24,0:10:48.64,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, tunaenda wapi kutokea hapo? Dialogue: 0,0:10:49.24,0:10:53.94,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamini njia ya kusongambele\Nni kujifunza kusimamia mafanikio. Dialogue: 0,0:10:53.96,0:10:57.70,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi, watu wanapofanikiwa\Nau nchi zinapofanikiwa Dialogue: 0,0:10:57.72,0:10:59.92,Default,,0000,0000,0000,,husahau kullichowafanya wafanikiwe. Dialogue: 0,0:11:00.68,0:11:03.22,Default,,0000,0000,0000,,Kujifunza kile unachoweza kufanikiwa, Dialogue: 0,0:11:03.24,0:11:05.66,Default,,0000,0000,0000,,kukisimamia na kukitunza\Nni jambo muhimu kwetu. Dialogue: 0,0:11:05.68,0:11:07.90,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo vitu vyote nilivyosema\Ntulifanya sahihi, Dialogue: 0,0:11:07.92,0:11:11.82,Default,,0000,0000,0000,,tunatakiwa kujifunza kuvifanya kwa usahihi\Ntena, na kuviendeleza. Dialogue: 0,0:11:11.84,0:11:15.42,Default,,0000,0000,0000,,Kusimamia uchumi wakati\Nunaunda ustawi ni muhimu, Dialogue: 0,0:11:15.44,0:11:18.94,Default,,0000,0000,0000,,kupata bei sahihi\Nna sera thabiti. Dialogue: 0,0:11:18.96,0:11:21.34,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi hatuna uthabiti Dialogue: 0,0:11:21.36,0:11:23.62,Default,,0000,0000,0000,,Mfumo wa utawala mmoja ukitoka\Nunaingia mwingine Dialogue: 0,0:11:23.64,0:11:27.10,Default,,0000,0000,0000,,na wanatupa mbali hata sera zilizokuwa\Nzinafanyakazi vizuri awali Dialogue: 0,0:11:27.12,0:11:28.38,Default,,0000,0000,0000,,Hii inafanya nini? Dialogue: 0,0:11:28.40,0:11:30.78,Default,,0000,0000,0000,,Inaleta sintofahamu kwa watu,\Nkaya Dialogue: 0,0:11:30.80,0:11:32.18,Default,,0000,0000,0000,,sintofahamu kwa biashara Dialogue: 0,0:11:32.20,0:11:34.90,Default,,0000,0000,0000,,Hawajui jinsi na wakati wa kuwekeza. Dialogue: 0,0:11:34.92,0:11:39.26,Default,,0000,0000,0000,,Deni: tunatakiwa tusimamie' mafanikio\Ntuliyopata katika kupunguza deni letu, Dialogue: 0,0:11:39.28,0:11:41.82,Default,,0000,0000,0000,,lakini sasa nchi zimerudia\Nkatika kukopa tena, Dialogue: 0,0:11:41.84,0:11:45.26,Default,,0000,0000,0000,,na tumeona urari wa deni kwa Pato la taifa\Nunaanza kupanda tena, Dialogue: 0,0:11:45.28,0:11:46.74,Default,,0000,0000,0000,,na katika baadhi ya nchi, Dialogue: 0,0:11:46.76,0:11:49.26,Default,,0000,0000,0000,,deni linakuwa ni tatizo,\Nhivyo tunatakiwa tuliepuke. Dialogue: 0,0:11:49.28,0:11:50.74,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo usimamizi wa mafanikio Dialogue: 0,0:11:50.76,0:11:53.42,Default,,0000,0000,0000,,Kinachofuata\Nni kuwa makini sana Dialogue: 0,0:11:53.44,0:11:55.30,Default,,0000,0000,0000,,na yale mambo ambayo\Nhatukufanya vizuri. Dialogue: 0,0:11:55.32,0:11:57.18,Default,,0000,0000,0000,,Kitu cha kwanza kabisa ni miundombinu Dialogue: 0,0:11:57.20,0:12:00.78,Default,,0000,0000,0000,,Ndio, nchi nyingi sasa zinatambua \Nzinahitaji kuwekeza kwenye hili, Dialogue: 0,0:12:00.80,0:12:03.42,Default,,0000,0000,0000,,na zinajaribu kufanya\Nkadiri ziwezavyo kufanya hivyo. Dialogue: 0,0:12:03.44,0:12:04.66,Default,,0000,0000,0000,,Lazima. Dialogue: 0,0:12:04.68,0:12:06.34,Default,,0000,0000,0000,,Kitu muhimu sana ni umeme. Dialogue: 0,0:12:06.36,0:12:08.62,Default,,0000,0000,0000,,Huwezi kuendelea katika giza. Dialogue: 0,0:12:08.64,0:12:10.90,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha utawala bora na rushwa: Dialogue: 0,0:12:10.92,0:12:12.14,Default,,0000,0000,0000,,tunatakiwa tupambane. Dialogue: 0,0:12:12.16,0:12:14.94,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuendesha nchi zetu kwa uwazi. Dialogue: 0,0:12:14.96,0:12:18.54,Default,,0000,0000,0000,,Pamoja na yote hayo, lazima\Ntuwashirikishe vijana. Dialogue: 0,0:12:18.56,0:12:20.78,Default,,0000,0000,0000,,Tuna ubunifu katika vijana wetu Dialogue: 0,0:12:20.80,0:12:22.06,Default,,0000,0000,0000,,Ninauona kila siku. Dialogue: 0,0:12:22.08,0:12:25.62,Default,,0000,0000,0000,,Ndio kinachoniamsha asubuhi\Nna kujisikia tayari kwenda. Dialogue: 0,0:12:25.64,0:12:28.02,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa tusibanie ubunifu\Nkatika vijana wetu, Dialogue: 0,0:12:28.04,0:12:31.30,Default,,0000,0000,0000,,tusiwazibie njia,\Ntuwaunge mkono kuunda na ugunduzi Dialogue: 0,0:12:31.32,0:12:32.54,Default,,0000,0000,0000,,na kuongoza njia. Dialogue: 0,0:12:32.56,0:12:35.26,Default,,0000,0000,0000,,Na ninajua kwamba watatuongoza\Nkatika mwelekeo sahihi. Dialogue: 0,0:12:35.28,0:12:37.46,Default,,0000,0000,0000,,Na wanawake wetu, na wasichana wetu: Dialogue: 0,0:12:37.48,0:12:40.54,Default,,0000,0000,0000,,tunatakiwa tutambue kwamba\Nwanawake na wasichana ni zawadi. Dialogue: 0,0:12:40.56,0:12:42.06,Default,,0000,0000,0000,,Wana nguvu, Dialogue: 0,0:12:42.08,0:12:44.22,Default,,0000,0000,0000,,na tunatakiwa tusiwabanie hiyo nguvu Dialogue: 0,0:12:44.24,0:12:47.18,Default,,0000,0000,0000,,ili waweze kutoa mchango\Nwao barani. Dialogue: 0,0:12:47.20,0:12:51.02,Default,,0000,0000,0000,,Nina amini kwa nguvu\Nkwamba tukifanya hayo yote, Dialogue: 0,0:12:51.04,0:12:54.26,Default,,0000,0000,0000,,tutakuta kwamba simulizi za Afrika\Ninayokua Dialogue: 0,0:12:54.28,0:12:55.86,Default,,0000,0000,0000,,sio ubabaishaji. Dialogue: 0,0:12:55.88,0:12:57.12,Default,,0000,0000,0000,,ni harakati. Dialogue: 0,0:12:57.72,0:13:01.54,Default,,0000,0000,0000,,Ni harakati, na tukiendelea,\Ntusipowabania vijana wetu, Dialogue: 0,0:13:01.56,0:13:02.90,Default,,0000,0000,0000,,tusipowabania wanawake wetu, Dialogue: 0,0:13:02.92,0:13:04.94,Default,,0000,0000,0000,,wakati mwingine tunaweza kurudi nyuma, Dialogue: 0,0:13:04.96,0:13:06.86,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza pia kukaa pembezoni, Dialogue: 0,0:13:06.88,0:13:08.50,Default,,0000,0000,0000,,lakini harakati ziko wazi. Dialogue: 0,0:13:08.52,0:13:10.54,Default,,0000,0000,0000,,Afrika itaendelea kukua. Dialogue: 0,0:13:10.56,0:13:14.30,Default,,0000,0000,0000,,Na ninawaambia wafanyabiashara\Nmliopo kwenye hadhira hii, Dialogue: 0,0:13:14.32,0:13:17.78,Default,,0000,0000,0000,,uwekezaji Afrika sio kwa ajili ya leo,\Nsio kwa ajili ya kesho, Dialogue: 0,0:13:17.80,0:13:21.06,Default,,0000,0000,0000,,sio kitu cha muda mfupi, \Nni kitu cha muda mrefu. Dialogue: 0,0:13:21.08,0:13:23.50,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ikiwa hamtawekeza Afrika, Dialogue: 0,0:13:23.52,0:13:24.94,Default,,0000,0000,0000,,basi mtakuwa mnakosa Dialogue: 0,0:13:24.96,0:13:29.22,Default,,0000,0000,0000,,mojawapo ya fursa zinazoibuka\Nduniani. Dialogue: 0,0:13:29.24,0:13:30.46,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:13:30.48,0:13:33.00,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:13:39.23,0:13:41.90,Default,,0000,0000,0000,,Kelly Stoetzel: Umegusia rushwa\Nkatika mazungumzo yako Dialogue: 0,0:13:41.92,0:13:45.42,Default,,0000,0000,0000,,na unafahamika vizuri\Nkuwa mpambanaji thabiti wa rushwa. Dialogue: 0,0:13:45.44,0:13:47.98,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hiyo ilikuwa na matokeo yake. Dialogue: 0,0:13:48.00,0:13:50.94,Default,,0000,0000,0000,,Watu walijibu mashambulizi,\Nna mama yako alitekwa nyara. Dialogue: 0,0:13:50.96,0:13:52.52,Default,,0000,0000,0000,,Umewezaje kulimudu hili? Dialogue: 0,0:13:53.28,0:13:55.46,Default,,0000,0000,0000,,Ngozi Okonjo-Iweala:\NImekuwa ngumu sana. Dialogue: 0,0:13:55.48,0:13:59.82,Default,,0000,0000,0000,,Asante kwa kugusia\Nsuala la kutekwa nyara mama yangu Dialogue: 0,0:13:59.84,0:14:02.42,Default,,0000,0000,0000,,Ni mada ngumu sana. Dialogue: 0,0:14:02.44,0:14:06.30,Default,,0000,0000,0000,,Lakini inachomaanisha\Nni kwamba unapopambana na rushwa, Dialogue: 0,0:14:06.32,0:14:09.74,Default,,0000,0000,0000,,unapogusa mifuko ya watu\Nwanaoiba pesa, Dialogue: 0,0:14:09.76,0:14:11.62,Default,,0000,0000,0000,,hawanyamazi kimya tu. Dialogue: 0,0:14:11.64,0:14:15.30,Default,,0000,0000,0000,,Watajibu mashambulizi, na suala kubwa\Nni wanapojaribu kutumia vitisho Dialogue: 0,0:14:15.32,0:14:18.78,Default,,0000,0000,0000,,unakata tamaa, au unaendeleza mapambano? Dialogue: 0,0:14:18.80,0:14:21.94,Default,,0000,0000,0000,,Unatafuta njia ya kubakia\Nna kujibu mashambulizi? Dialogue: 0,0:14:21.96,0:14:26.22,Default,,0000,0000,0000,,Na jibu nililokuwa nalo\Nnikiwa na timu zilizofanya nazo kazi Dialogue: 0,0:14:26.24,0:14:28.02,Default,,0000,0000,0000,,ni kuendeleza mapambano Dialogue: 0,0:14:28.04,0:14:29.86,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuunda hizo taasisi. Dialogue: 0,0:14:29.88,0:14:33.10,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kutafuta njia ya kuwazuia\Nhawa watu Dialogue: 0,0:14:33.12,0:14:36.30,Default,,0000,0000,0000,,waache kuchukua urithi\Nwa baadaye. Dialogue: 0,0:14:36.32,0:14:38.22,Default,,0000,0000,0000,,Na hicho ndicho tulichofanya. Dialogue: 0,0:14:38.24,0:14:41.86,Default,,0000,0000,0000,,Na hata nje ya serikali,\Ntuliendelea kuweka msisitizo. Dialogue: 0,0:14:41.88,0:14:45.86,Default,,0000,0000,0000,,Katika nchi zetu, hakuna,\Nhakuna atakaye pambana na rushwa Dialogue: 0,0:14:45.88,0:14:47.42,Default,,0000,0000,0000,,isipokuwa sisi wenyewe. Dialogue: 0,0:14:47.44,0:14:49.66,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo,\Nhilo linakuja na matokeo, Dialogue: 0,0:14:49.68,0:14:51.58,Default,,0000,0000,0000,,na tunatakiwa kufanya kadiri tuwezavyo. Dialogue: 0,0:14:51.60,0:14:55.02,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nakushukuru na kuwashukuru TED\Nkutupa sauti Dialogue: 0,0:14:55.04,0:14:58.34,Default,,0000,0000,0000,,kuwaambia hao watu, hamtashinda, Dialogue: 0,0:14:58.36,0:15:00.70,Default,,0000,0000,0000,,na hatutatishika Dialogue: 0,0:15:00.72,0:15:01.94,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:15:01.96,0:15:03.18,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:15:03.20,0:15:06.67,Default,,0000,0000,0000,,Kelly Stoetzel: Asante sana\Nkwa mazungumzo yako mazuri na kazi muhimu. Dialogue: 0,0:15:06.69,0:15:10.06,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)