WEBVTT 00:00:05.470 --> 00:00:09.720 (Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator) Utangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa 00:00:09.720 --> 00:00:17.240 Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza 00:00:17.240 --> 00:00:24.240 mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP) ambao utaongeza uwezo 00:00:24.499 --> 00:00:29.949 wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa 00:00:29.949 --> 00:00:33.829 yanayokumba afya ya umma 00:00:33.829 --> 00:00:40.060 Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia. 00:00:40.060 --> 00:00:40.980 00:00:40.980 --> 00:00:46.830 Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa 00:00:46.830 --> 00:00:49.080 ya haya majanga. 00:00:50.680 --> 00:00:58.250 Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma 00:00:58.250 --> 00:01:04.938 kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu 00:01:04.938 --> 00:01:07.770 yanayohusiana na majanga haya. 00:01:07.770 --> 00:01:14.770 Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga 00:01:14.770 --> 00:01:21.760 jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu, 00:01:21.760 --> 00:01:28.700 magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo 00:01:28.700 --> 00:01:33.720 Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo 00:01:33.720 --> 00:01:40.720 wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya. 00:01:40.890 --> 00:01:47.740 malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma, 00:01:47.740 --> 00:01:52.810 kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga. 00:01:52.810 --> 00:01:58.960 katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini 00:01:58.960 --> 00:02:03.510 katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo 00:02:03.510 --> 00:02:05.869 Nini ni pato letu muhimu? 00:02:05.869 --> 00:02:12.370 Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya 00:02:12.370 --> 00:02:13.920 Tutatekelezaje mpango huu? 00:02:13.920 --> 00:02:20.349 Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga 00:02:20.349 --> 00:02:21.880 huathiri wilaya 00:02:21.880 --> 00:02:28.250 Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya 00:02:28.250 --> 00:02:34.480 Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga 00:02:34.480 --> 00:02:39.319 Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya. 00:02:39.319 --> 00:02:45.650 Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya 00:02:46.650 --> 00:02:47.750 Ahsanteni!