[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:05.47,0:00:09.72,Default,,0000,0000,0000,,(Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator)\NUtangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa Dialogue: 0,0:00:09.72,0:00:17.24,Default,,0000,0000,0000,,Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza Dialogue: 0,0:00:17.24,0:00:24.24,Default,,0000,0000,0000,,mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP)\Nambao utaongeza uwezo Dialogue: 0,0:00:24.50,0:00:29.95,Default,,0000,0000,0000,,wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa Dialogue: 0,0:00:29.95,0:00:33.83,Default,,0000,0000,0000,,yanayokumba afya ya umma Dialogue: 0,0:00:33.83,0:00:40.06,Default,,0000,0000,0000,,Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia. Dialogue: 0,0:00:40.06,0:00:40.98,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:40.98,0:00:46.83,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa Dialogue: 0,0:00:46.83,0:00:49.08,Default,,0000,0000,0000,,ya haya majanga. Dialogue: 0,0:00:50.68,0:00:58.25,Default,,0000,0000,0000,,Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma Dialogue: 0,0:00:58.25,0:01:04.94,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu Dialogue: 0,0:01:04.94,0:01:07.77,Default,,0000,0000,0000,,yanayohusiana na majanga haya. Dialogue: 0,0:01:07.77,0:01:14.77,Default,,0000,0000,0000,,Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga Dialogue: 0,0:01:14.77,0:01:21.76,Default,,0000,0000,0000,,jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu, Dialogue: 0,0:01:21.76,0:01:28.70,Default,,0000,0000,0000,,magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo Dialogue: 0,0:01:28.70,0:01:33.72,Default,,0000,0000,0000,,Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo Dialogue: 0,0:01:33.72,0:01:40.72,Default,,0000,0000,0000,,wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya. Dialogue: 0,0:01:40.89,0:01:47.74,Default,,0000,0000,0000,,malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma, Dialogue: 0,0:01:47.74,0:01:52.81,Default,,0000,0000,0000,,kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga. Dialogue: 0,0:01:52.81,0:01:58.96,Default,,0000,0000,0000,,katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini Dialogue: 0,0:01:58.96,0:02:03.51,Default,,0000,0000,0000,,katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo Dialogue: 0,0:02:03.51,0:02:05.87,Default,,0000,0000,0000,,Nini ni pato letu muhimu? Dialogue: 0,0:02:05.87,0:02:12.37,Default,,0000,0000,0000,,Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya Dialogue: 0,0:02:12.37,0:02:13.92,Default,,0000,0000,0000,,Tutatekelezaje mpango huu? Dialogue: 0,0:02:13.92,0:02:20.35,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga Dialogue: 0,0:02:20.35,0:02:21.88,Default,,0000,0000,0000,,huathiri wilaya Dialogue: 0,0:02:21.88,0:02:28.25,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya Dialogue: 0,0:02:28.25,0:02:34.48,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga Dialogue: 0,0:02:34.48,0:02:39.32,Default,,0000,0000,0000,,Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya. Dialogue: 0,0:02:39.32,0:02:45.65,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya Dialogue: 0,0:02:46.65,0:02:47.75,Default,,0000,0000,0000,,Ahsanteni!