1 00:00:05,470 --> 00:00:09,720 (Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator) Utangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa 2 00:00:09,720 --> 00:00:17,240 Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza 3 00:00:17,240 --> 00:00:24,240 mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP) ambao utaongeza uwezo 4 00:00:24,499 --> 00:00:29,949 wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa 5 00:00:29,949 --> 00:00:33,829 yanayokumba afya ya umma 6 00:00:33,829 --> 00:00:40,060 Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia. 7 00:00:40,060 --> 00:00:40,980 8 00:00:40,980 --> 00:00:46,830 Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa 9 00:00:46,830 --> 00:00:49,080 ya haya majanga. 10 00:00:50,680 --> 00:00:58,250 Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma 11 00:00:58,250 --> 00:01:04,938 kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu 12 00:01:04,938 --> 00:01:07,770 yanayohusiana na majanga haya. 13 00:01:07,770 --> 00:01:14,770 Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga 14 00:01:14,770 --> 00:01:21,760 jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu, 15 00:01:21,760 --> 00:01:28,700 magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo 16 00:01:28,700 --> 00:01:33,720 Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo 17 00:01:33,720 --> 00:01:40,720 wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya. 18 00:01:40,890 --> 00:01:47,740 malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma, 19 00:01:47,740 --> 00:01:52,810 kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga. 20 00:01:52,810 --> 00:01:58,960 katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini 21 00:01:58,960 --> 00:02:03,510 katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo 22 00:02:03,510 --> 00:02:05,869 Nini ni pato letu muhimu? 23 00:02:05,869 --> 00:02:12,370 Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya 24 00:02:12,370 --> 00:02:13,920 Tutatekelezaje mpango huu? 25 00:02:13,920 --> 00:02:20,349 Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga 26 00:02:20,349 --> 00:02:21,880 huathiri wilaya 27 00:02:21,880 --> 00:02:28,250 Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya 28 00:02:28,250 --> 00:02:34,480 Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga 29 00:02:34,480 --> 00:02:39,319 Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya. 30 00:02:39,319 --> 00:02:45,650 Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya 31 00:02:46,650 --> 00:02:47,750 Ahsanteni!