0:00:05.470,0:00:09.720 (Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator)[br]Utangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa 0:00:09.720,0:00:17.240 Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza 0:00:17.240,0:00:24.240 mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP)[br]ambao utaongeza uwezo 0:00:24.499,0:00:29.949 wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa 0:00:29.949,0:00:33.829 yanayokumba afya ya umma 0:00:33.829,0:00:40.060 Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia. 0:00:40.060,0:00:40.980 0:00:40.980,0:00:46.830 Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa 0:00:46.830,0:00:49.080 ya haya majanga. 0:00:50.680,0:00:58.250 Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma 0:00:58.250,0:01:04.938 kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu 0:01:04.938,0:01:07.770 yanayohusiana na majanga haya. 0:01:07.770,0:01:14.770 Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga 0:01:14.770,0:01:21.760 jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu, 0:01:21.760,0:01:28.700 magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo 0:01:28.700,0:01:33.720 Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo 0:01:33.720,0:01:40.720 wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya. 0:01:40.890,0:01:47.740 malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma, 0:01:47.740,0:01:52.810 kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga. 0:01:52.810,0:01:58.960 katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini 0:01:58.960,0:02:03.510 katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo 0:02:03.510,0:02:05.869 Nini ni pato letu muhimu? 0:02:05.869,0:02:12.370 Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya 0:02:12.370,0:02:13.920 Tutatekelezaje mpango huu? 0:02:13.920,0:02:20.349 Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga 0:02:20.349,0:02:21.880 huathiri wilaya 0:02:21.880,0:02:28.250 Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya 0:02:28.250,0:02:34.480 Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga 0:02:34.480,0:02:39.319 Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya. 0:02:39.319,0:02:45.650 Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya 0:02:46.650,0:02:47.750 Ahsanteni!