WEBVTT 00:00:00.628 --> 00:00:03.544 Salaam alaikum 00:00:03.544 --> 00:00:05.230 Karibuni Doha. 00:00:05.230 --> 00:00:08.632 Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii. 00:00:08.632 --> 00:00:10.683 Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo, 00:00:10.683 --> 00:00:13.099 kutengeneza mpango mkuu, 00:00:13.099 --> 00:00:16.632 na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza 00:00:16.632 --> 00:00:18.652 na watu wengine wengi, 00:00:18.652 --> 00:00:23.299 Lakini kwanza,nahitaji kukuhadithia,hii ni hadithi yangu, 00:00:23.299 --> 00:00:27.167 kuhusu nchi hii mliyopo leo 00:00:27.167 --> 00:00:30.717 Kwa uhakika,wengi wenu mmekula milo mitatu leo, 00:00:30.717 --> 00:00:35.250 nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli. NOTE Paragraph 00:00:35.250 --> 00:00:39.683 Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940? 00:00:39.683 --> 00:00:43.883 Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa. 00:00:43.883 --> 00:00:50.899 Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati,mafuta,magari,vyote hivo havikuwepo. 00:00:50.899 --> 00:00:52.294 Watu wengi walioishi hapa 00:00:52.294 --> 00:00:54.766 waliishi vijiji vya pwani,kuvua, 00:00:54.766 --> 00:01:00.716 au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji. 00:01:00.716 --> 00:01:04.118 Uzuri wote huu unauona haukuwepo. 00:01:04.118 --> 00:01:09.266 Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh. 00:01:09.266 --> 00:01:11.883 Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji. 00:01:11.883 --> 00:01:13.982 Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza. 00:01:13.982 --> 00:01:16.815 Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi. 00:01:16.815 --> 00:01:18.717 Watu wengi walifariki katika miaka 50 NOTE Paragraph 00:01:18.717 --> 00:01:22.516 Twende sasa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. 00:01:22.516 --> 00:01:25.733 1939,hapo ndipo mafuta yaligundulika. 00:01:25.733 --> 00:01:30.533 Kwa bahati mbaya,hayakutumika vya kutosha kibiashara 00:01:30.533 --> 00:01:32.983 mpaka vita ya pili ya dunia. 00:01:32.983 --> 00:01:35.117 Ilifanya nini? 00:01:35.117 --> 00:01:38.417 Ilibadilisha muonekano wa nchi,kama unavyoona na kushuhudia. 00:01:38.417 --> 00:01:42.149 Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa.. 00:01:42.149 --> 00:01:45.433 kutafuta maji,kutafuta chakula, 00:01:45.433 --> 00:01:49.536 wakijaribu kuwatunza wanyama wao..wakaepata maendeleo NOTE Paragraph 00:01:49.536 --> 00:01:51.500 Unaweza kuona ni ajabu, 00:01:51.500 --> 00:01:55.349 lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti. 00:01:55.349 --> 00:01:59.349 Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu, 00:01:59.349 --> 00:02:04.383 wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja. 00:02:04.383 --> 00:02:07.917 Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa. 00:02:07.917 --> 00:02:11.733 Kuna mtu husema"Kivipi?Inawezekanaje kutokea? 00:02:11.733 --> 00:02:13.516 Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika. 00:02:13.516 --> 00:02:18.668 Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi. 00:02:18.668 --> 00:02:22.479 Na malighafi zilipokuja,mafuta, 00:02:22.479 --> 00:02:25.533 tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu 00:02:25.533 --> 00:02:29.183 na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika. 00:02:29.183 --> 00:02:31.567 Watu walianza kufahamiana. 00:02:31.567 --> 00:02:35.516 Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili. NOTE Paragraph 00:02:35.516 --> 00:02:38.451 Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. 00:02:38.451 --> 00:02:40.566 Tuangalie leo. 00:02:40.566 --> 00:02:45.292 Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha. 00:02:45.292 --> 00:02:46.683 Idadi ya watu ikoje leo? 00:02:46.683 --> 00:02:48.933 ni watu milioni moja na laki saba. 00:02:48.933 --> 00:02:51.632 Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60. 00:02:51.632 --> 00:02:57.534 Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita. 00:02:57.534 --> 00:03:00.367 Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78. 00:03:00.367 --> 00:03:05.176 Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430. 00:03:05.176 --> 00:03:08.583 Na hii ndo takwimu kubwa duniani. 00:03:08.583 --> 00:03:10.750 Kutoka kutokuwa na maji 00:03:10.750 --> 00:03:16.234 mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani,kikubwa kuliko taifa lolote. 00:03:16.234 --> 00:03:20.000 Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji. NOTE Paragraph 00:03:20.000 --> 00:03:26.200 Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia? 00:03:26.200 --> 00:03:29.383 Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua 00:03:29.383 --> 00:03:35.983 asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji. 00:03:35.983 --> 00:03:40.933 Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia. 00:03:40.933 --> 00:03:44.866 Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji. 00:03:44.866 --> 00:03:47.382 Hii ni historia iliyotengenezwa katika eneo hili. 00:03:47.382 --> 00:03:49.299 Sio miji tu ndo tunajenga, 00:03:49.299 --> 00:03:54.452 lakini miji yenye maono na watu ambao wanatamani kuwa wanasayansi,madaktari. 00:03:54.452 --> 00:03:57.601 Kujenga nyumba nzuri,kuwaleta wasanifu majengo,kutengeneza nyumba yangu. 00:03:57.601 --> 00:04:03.800 Hawa watu wanaamini kwamba sehemu hii unaweza kuishi wakati ilipokuwa haiwezekani. 00:04:03.800 --> 00:04:05.769 Lakini kwa sababu ya teknolojia. 00:04:05.769 --> 00:04:12.283 Brazil ina kiasi cha mvua kwa milimita 1782 kwa mwaka. 00:04:12.283 --> 00:04:15.134 Quatar ina 74,na tuna ukuaji kiasi hicho. NOTE Paragraph 00:04:15.134 --> 00:04:17.150 Swali ni kivipi? 00:04:17.150 --> 00:04:20.416 Tunawezaje kuendela hivi? 00:04:20.416 --> 00:04:22.500 Hatuna maji kabisa. 00:04:22.500 --> 00:04:28.799 kwa sababu ya mashine kubwa ya kutoa chumvi kwenye maji. 00:04:28.799 --> 00:04:32.967 Nishati ni kitu kikubwa hapa.Imebadilisha kila kitu. 00:04:32.967 --> 00:04:37.466 Ni ambacho kinakitoa toka ardhini,tunaunguza tani na tani, 00:04:37.466 --> 00:04:40.466 wengi wenu mmekitumia kuja Doha. 00:04:40.466 --> 00:04:43.367 Hilo ni ziwa letu,kama unaweza kuona. 00:04:43.367 --> 00:04:45.216 Huo ni mto wetu. 00:04:45.216 --> 00:04:50.558 Hivyo ndivyo inavotokea mpaka kutumia na kufaidi maji. 00:04:50.558 --> 00:04:57.184 Hii ni teknolojia nzuri sana ambayo eneo hili linayo,kuondoa chumvi katika maji NOTE Paragraph 00:04:57.184 --> 00:04:59.452 Je,hatari ni zipi? 00:04:59.452 --> 00:05:01.002 Unaogopa sana? 00:05:01.002 --> 00:05:04.918 Naweza kusema,ukiangalia ukweli kiujumla, 00:05:04.918 --> 00:05:07.509 utagundua,unatakiwa kuwa na mashaka. 00:05:07.509 --> 00:05:10.018 Kuna hitaji la kukua,ukuaji wa idadi ya watu. 00:05:10.018 --> 00:05:13.267 Tumekuwa bilioni saba miezi michache iliyopita. 00:05:13.267 --> 00:05:16.759 Na hiyo idadi pia inahitaji chakula. 00:05:16.759 --> 00:05:19.967 Na kuna makisio kwamba tutakuwa bilioni tisa kwa mwaka 2050. NOTE Paragraph 00:05:19.967 --> 00:05:22.823 Kwa hiyo nchi ambayo haina maji 00:05:22.823 --> 00:05:26.474 inakuwa na wasiwasi kipi kitachotokea nje ya mipaka yake. 00:05:26.474 --> 00:05:28.806 Kuna kubadilisha ulaji. 00:05:28.806 --> 00:05:32.872 Kwa kuongezeka katika hali ya juu ya maisha, 00:05:32.872 --> 00:05:35.055 pia wanabadilisha ulaji wao. 00:05:35.055 --> 00:05:38.055 Wanaanza kula kula sana nyama na vinginevyo. 00:05:38.055 --> 00:05:40.408 Kwa upande mwingine,uzalishaji unaporomoka 00:05:40.408 --> 00:05:43.106 kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na sababu nyinginezo. 00:05:43.106 --> 00:05:48.274 Na inatakiwa mtu atambue lini hili tatizo litakuja kutokea. NOTE Paragraph 00:05:48.274 --> 00:05:52.089 Hii ni hali hapa Quatar,kwa wale wasiojua. 00:05:52.089 --> 00:05:55.439 Tuna siku mbili tu za utunzaji maji. 00:05:55.439 --> 00:05:57.723 Tunaagiza asilimia 90 ya chakula chetu, 00:05:57.723 --> 00:06:01.423 na tunalima chini ya asilimia moja ya ardhi yetu. 00:06:01.423 --> 00:06:03.872 Idadi ndogo ya wakulima ambayo tunayo 00:06:03.872 --> 00:06:07.406 wameondolewa katika taratibu zao za ulimaji 00:06:07.406 --> 00:06:12.955 kwa sababu ya soko huria na ushindani, n.k. 00:06:12.955 --> 00:06:16.206 Kwa hiyo tunakumbana na hatari 00:06:16.206 --> 00:06:23.389 Hatari hizi zimeathiri uendeleaji wa taifa hili NOTE Paragraph 00:06:23.389 --> 00:06:25.907 Swali ni kwamba,je kuna suluhisho? 00:06:25.907 --> 00:06:28.089 Kuna ufumbuzi wa uhakika? 00:06:28.089 --> 00:06:30.073 Kiukweli upo. 00:06:30.073 --> 00:06:34.106 Hii inaonesha nyaraka zipatazo 1000 za kiufundi 00:06:34.106 --> 00:06:36.790 ambazo tulikuwa tunafanyia kazi katika miaka miwili iliyopita. 00:06:36.790 --> 00:06:38.222 Tuanze na maji. 00:06:38.222 --> 00:06:41.991 Tunajua fika...niliwaonyesha mapema..kwamba tunahitaji hii nishati. 00:06:41.991 --> 00:06:45.089 Kwa hiyo kama tutahitaji nishati,ni aina ipi? 00:06:45.089 --> 00:06:47.388 nishati inayoisha?mafuta ghafi? 00:06:47.388 --> 00:06:49.783 Au tutumie kitu kingine? 00:06:49.783 --> 00:06:53.122 Tunayo faida ya kulinganisha kutumia aina nyingine ya nishati? 00:06:53.122 --> 00:06:57.256 Nahisi wote mnafahamu kwamba tuna siku 300 za jua. 00:06:57.256 --> 00:07:02.588 Kwa tunaweza tumia hii nishati kutupa maji tunayohitaji. 00:07:02.588 --> 00:07:07.989 Kwa hiyo tunaweza kuweka 1800 megawati za umeme jua 00:07:07.989 --> 00:07:10.598 kuzalisha milioni 3.5 za ujazo za maji. 00:07:10.598 --> 00:07:12.622 Na hayo ni maji mengi. NOTE Paragraph 00:07:12.622 --> 00:07:14.890 Hayo maji yataenda kwa wakulima, 00:07:14.890 --> 00:07:17.127 na wakulima wataweza kumwagilia mazao yao, 00:07:17.127 --> 00:07:21.257 wataweza kuihudumia jamii kwa chakula 00:07:21.257 --> 00:07:23.374 Lakini kwa ajili ya kuhimili upande huu 00:07:23.374 --> 00:07:26.705 kwa sababu hii ni mipango,hii ni mipango tunayotekeleza 00:07:26.705 --> 00:07:29.339 pia tunatakiwa tuendeleze upande mwingine 00:07:29.339 --> 00:07:34.657 kusimamia mifumo,elimu ya hali ya juu,tafiti na maendeleo, 00:07:34.657 --> 00:07:39.719 vinwanda,teknolojia,kutengeneza teknolojia kwa matumizi,na mwisho masoko. 00:07:39.719 --> 00:07:45.852 Lakini kipi kinarahisha na kuwezesha,ni sheria,sera,utaratibu. 00:07:45.852 --> 00:07:48.085 Bila hivi hatuwezi kufanya chochote. NOTE Paragraph 00:07:48.085 --> 00:07:49.637 Kwa hiyo hiki ndicho tunachopanga kufanya. 00:07:49.637 --> 00:07:53.168 Ndani ya miaka miwili tunaweza kuwa tumekamilisha mipango hii 00:07:53.168 --> 00:07:55.135 na kuongelea kuitekeleza. 00:07:55.135 --> 00:08:01.835 Lengo letu kuu ni kuwa jiji la kimilenia,kama majiji mengine ya kimilenia 00:08:01.835 --> 00:08:08.970 Instanbul,Rome,London,Paris,Damascus,Cairo. 00:08:08.970 --> 00:08:13.065 Tuna miaka 60 tu,lakini tunataka kuishi milele 00:08:13.065 --> 00:08:17.626 kama jiji,kuishi kwa amani. NOTE Paragraph 00:08:17.626 --> 00:08:19.571 Asante sana. NOTE Paragraph 00:08:19.571 --> 00:08:23.650 (makofi)