[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.63,0:00:03.54,Default,,0000,0000,0000,,Salaam alaikum Dialogue: 0,0:00:03.54,0:00:05.23,Default,,0000,0000,0000,,Karibuni Doha. Dialogue: 0,0:00:05.23,0:00:08.63,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii. Dialogue: 0,0:00:08.63,0:00:10.68,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo, Dialogue: 0,0:00:10.68,0:00:13.10,Default,,0000,0000,0000,,kutengeneza mpango mkuu, Dialogue: 0,0:00:13.10,0:00:16.63,Default,,0000,0000,0000,,na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza Dialogue: 0,0:00:16.63,0:00:18.65,Default,,0000,0000,0000,,na watu wengine wengi, Dialogue: 0,0:00:18.65,0:00:23.30,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwanza,nahitaji kukuhadithia,hii ni hadithi yangu, Dialogue: 0,0:00:23.30,0:00:27.17,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu nchi hii mliyopo leo Dialogue: 0,0:00:27.17,0:00:30.72,Default,,0000,0000,0000,,Kwa uhakika,wengi wenu mmekula milo mitatu leo, Dialogue: 0,0:00:30.72,0:00:35.25,Default,,0000,0000,0000,,nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli. Dialogue: 0,0:00:35.25,0:00:39.68,Default,,0000,0000,0000,,Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940? Dialogue: 0,0:00:39.68,0:00:43.88,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa. Dialogue: 0,0:00:43.88,0:00:50.90,Default,,0000,0000,0000,,Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati,mafuta,magari,vyote hivo havikuwepo. Dialogue: 0,0:00:50.90,0:00:52.29,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi walioishi hapa Dialogue: 0,0:00:52.29,0:00:54.77,Default,,0000,0000,0000,,waliishi vijiji vya pwani,kuvua, Dialogue: 0,0:00:54.77,0:01:00.72,Default,,0000,0000,0000,,au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji. Dialogue: 0,0:01:00.72,0:01:04.12,Default,,0000,0000,0000,,Uzuri wote huu unauona haukuwepo. Dialogue: 0,0:01:04.12,0:01:09.27,Default,,0000,0000,0000,,Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh. Dialogue: 0,0:01:09.27,0:01:11.88,Default,,0000,0000,0000,,Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji. Dialogue: 0,0:01:11.88,0:01:13.98,Default,,0000,0000,0000,,Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza. Dialogue: 0,0:01:13.98,0:01:16.82,Default,,0000,0000,0000,,Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi. Dialogue: 0,0:01:16.82,0:01:18.72,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi walifariki katika miaka 50 Dialogue: 0,0:01:18.72,0:01:22.52,Default,,0000,0000,0000,,Twende sasa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. Dialogue: 0,0:01:22.52,0:01:25.73,Default,,0000,0000,0000,,1939,hapo ndipo mafuta yaligundulika. Dialogue: 0,0:01:25.73,0:01:30.53,Default,,0000,0000,0000,,Kwa bahati mbaya,hayakutumika vya kutosha kibiashara Dialogue: 0,0:01:30.53,0:01:32.98,Default,,0000,0000,0000,,mpaka vita ya pili ya dunia. Dialogue: 0,0:01:32.98,0:01:35.12,Default,,0000,0000,0000,,Ilifanya nini? Dialogue: 0,0:01:35.12,0:01:38.42,Default,,0000,0000,0000,,Ilibadilisha muonekano wa nchi,kama unavyoona na kushuhudia. Dialogue: 0,0:01:38.42,0:01:42.15,Default,,0000,0000,0000,,Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa.. Dialogue: 0,0:01:42.15,0:01:45.43,Default,,0000,0000,0000,,kutafuta maji,kutafuta chakula, Dialogue: 0,0:01:45.43,0:01:49.54,Default,,0000,0000,0000,,wakijaribu kuwatunza wanyama wao..wakaepata maendeleo Dialogue: 0,0:01:49.54,0:01:51.50,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuona ni ajabu, Dialogue: 0,0:01:51.50,0:01:55.35,Default,,0000,0000,0000,,lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti. Dialogue: 0,0:01:55.35,0:01:59.35,Default,,0000,0000,0000,,Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu, Dialogue: 0,0:01:59.35,0:02:04.38,Default,,0000,0000,0000,,wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja. Dialogue: 0,0:02:04.38,0:02:07.92,Default,,0000,0000,0000,,Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa. Dialogue: 0,0:02:07.92,0:02:11.73,Default,,0000,0000,0000,,Kuna mtu husema"Kivipi?Inawezekanaje kutokea? Dialogue: 0,0:02:11.73,0:02:13.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika. Dialogue: 0,0:02:13.52,0:02:18.67,Default,,0000,0000,0000,,Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi. Dialogue: 0,0:02:18.67,0:02:22.48,Default,,0000,0000,0000,,Na malighafi zilipokuja,mafuta, Dialogue: 0,0:02:22.48,0:02:25.53,Default,,0000,0000,0000,,tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu Dialogue: 0,0:02:25.53,0:02:29.18,Default,,0000,0000,0000,,na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika. Dialogue: 0,0:02:29.18,0:02:31.57,Default,,0000,0000,0000,,Watu walianza kufahamiana. Dialogue: 0,0:02:31.57,0:02:35.52,Default,,0000,0000,0000,,Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili. Dialogue: 0,0:02:35.52,0:02:38.45,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. Dialogue: 0,0:02:38.45,0:02:40.57,Default,,0000,0000,0000,,Tuangalie leo. Dialogue: 0,0:02:40.57,0:02:45.29,Default,,0000,0000,0000,,Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha. Dialogue: 0,0:02:45.29,0:02:46.68,Default,,0000,0000,0000,,Idadi ya watu ikoje leo? Dialogue: 0,0:02:46.68,0:02:48.93,Default,,0000,0000,0000,,ni watu milioni moja na laki saba. Dialogue: 0,0:02:48.93,0:02:51.63,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60. Dialogue: 0,0:02:51.63,0:02:57.53,Default,,0000,0000,0000,,Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita. Dialogue: 0,0:02:57.53,0:03:00.37,Default,,0000,0000,0000,,Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78. Dialogue: 0,0:03:00.37,0:03:05.18,Default,,0000,0000,0000,,Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430. Dialogue: 0,0:03:05.18,0:03:08.58,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ndo takwimu kubwa duniani. Dialogue: 0,0:03:08.58,0:03:10.75,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka kutokuwa na maji Dialogue: 0,0:03:10.75,0:03:16.23,Default,,0000,0000,0000,,mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani,kikubwa kuliko taifa lolote. Dialogue: 0,0:03:16.23,0:03:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji. Dialogue: 0,0:03:20.00,0:03:26.20,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia? Dialogue: 0,0:03:26.20,0:03:29.38,Default,,0000,0000,0000,,Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua Dialogue: 0,0:03:29.38,0:03:35.98,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji. Dialogue: 0,0:03:35.98,0:03:40.93,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia. Dialogue: 0,0:03:40.93,0:03:44.87,Default,,0000,0000,0000,,Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji. Dialogue: 0,0:03:44.87,0:03:47.38,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni historia iliyotengenezwa katika eneo hili. Dialogue: 0,0:03:47.38,0:03:49.30,Default,,0000,0000,0000,,Sio miji tu ndo tunajenga, Dialogue: 0,0:03:49.30,0:03:54.45,Default,,0000,0000,0000,,lakini miji yenye maono na watu ambao wanatamani kuwa wanasayansi,madaktari. Dialogue: 0,0:03:54.45,0:03:57.60,Default,,0000,0000,0000,,Kujenga nyumba nzuri,kuwaleta wasanifu majengo,kutengeneza nyumba yangu. Dialogue: 0,0:03:57.60,0:04:03.80,Default,,0000,0000,0000,,Hawa watu wanaamini kwamba sehemu hii unaweza kuishi wakati ilipokuwa haiwezekani. Dialogue: 0,0:04:03.80,0:04:05.77,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa sababu ya teknolojia. Dialogue: 0,0:04:05.77,0:04:12.28,Default,,0000,0000,0000,,Brazil ina kiasi cha mvua kwa milimita 1782 kwa mwaka. Dialogue: 0,0:04:12.28,0:04:15.13,Default,,0000,0000,0000,,Quatar ina 74,na tuna ukuaji kiasi hicho. Dialogue: 0,0:04:15.13,0:04:17.15,Default,,0000,0000,0000,,Swali ni kivipi? Dialogue: 0,0:04:17.15,0:04:20.42,Default,,0000,0000,0000,,Tunawezaje kuendela hivi? Dialogue: 0,0:04:20.42,0:04:22.50,Default,,0000,0000,0000,,Hatuna maji kabisa. Dialogue: 0,0:04:22.50,0:04:28.80,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya mashine kubwa ya kutoa chumvi kwenye maji. Dialogue: 0,0:04:28.80,0:04:32.97,Default,,0000,0000,0000,,Nishati ni kitu kikubwa hapa.Imebadilisha kila kitu. Dialogue: 0,0:04:32.97,0:04:37.47,Default,,0000,0000,0000,,Ni ambacho kinakitoa toka ardhini,tunaunguza tani na tani, Dialogue: 0,0:04:37.47,0:04:40.47,Default,,0000,0000,0000,,wengi wenu mmekitumia kuja Doha. Dialogue: 0,0:04:40.47,0:04:43.37,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ni ziwa letu,kama unaweza kuona. Dialogue: 0,0:04:43.37,0:04:45.22,Default,,0000,0000,0000,,Huo ni mto wetu. Dialogue: 0,0:04:45.22,0:04:50.56,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo inavotokea mpaka kutumia na kufaidi maji. Dialogue: 0,0:04:50.56,0:04:57.18,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni teknolojia nzuri sana ambayo eneo hili linayo,kuondoa chumvi katika maji Dialogue: 0,0:04:57.18,0:04:59.45,Default,,0000,0000,0000,,Je,hatari ni zipi? Dialogue: 0,0:04:59.45,0:05:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Unaogopa sana? Dialogue: 0,0:05:01.00,0:05:04.92,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kusema,ukiangalia ukweli kiujumla, Dialogue: 0,0:05:04.92,0:05:07.51,Default,,0000,0000,0000,,utagundua,unatakiwa kuwa na mashaka. Dialogue: 0,0:05:07.51,0:05:10.02,Default,,0000,0000,0000,,Kuna hitaji la kukua,ukuaji wa idadi ya watu. Dialogue: 0,0:05:10.02,0:05:13.27,Default,,0000,0000,0000,,Tumekuwa bilioni saba miezi michache iliyopita. Dialogue: 0,0:05:13.27,0:05:16.76,Default,,0000,0000,0000,,Na hiyo idadi pia inahitaji chakula. Dialogue: 0,0:05:16.76,0:05:19.97,Default,,0000,0000,0000,,Na kuna makisio kwamba tutakuwa bilioni tisa kwa mwaka 2050. Dialogue: 0,0:05:19.97,0:05:22.82,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nchi ambayo haina maji Dialogue: 0,0:05:22.82,0:05:26.47,Default,,0000,0000,0000,,inakuwa na wasiwasi kipi kitachotokea nje ya mipaka yake. Dialogue: 0,0:05:26.47,0:05:28.81,Default,,0000,0000,0000,,Kuna kubadilisha ulaji. Dialogue: 0,0:05:28.81,0:05:32.87,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuongezeka katika hali ya juu ya maisha, Dialogue: 0,0:05:32.87,0:05:35.06,Default,,0000,0000,0000,,pia wanabadilisha ulaji wao. Dialogue: 0,0:05:35.06,0:05:38.06,Default,,0000,0000,0000,,Wanaanza kula kula sana nyama na vinginevyo. Dialogue: 0,0:05:38.06,0:05:40.41,Default,,0000,0000,0000,,Kwa upande mwingine,uzalishaji unaporomoka Dialogue: 0,0:05:40.41,0:05:43.11,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na sababu nyinginezo. Dialogue: 0,0:05:43.11,0:05:48.27,Default,,0000,0000,0000,,Na inatakiwa mtu atambue lini hili tatizo litakuja kutokea. Dialogue: 0,0:05:48.27,0:05:52.09,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni hali hapa Quatar,kwa wale wasiojua. Dialogue: 0,0:05:52.09,0:05:55.44,Default,,0000,0000,0000,,Tuna siku mbili tu za utunzaji maji. Dialogue: 0,0:05:55.44,0:05:57.72,Default,,0000,0000,0000,,Tunaagiza asilimia 90 ya chakula chetu, Dialogue: 0,0:05:57.72,0:06:01.42,Default,,0000,0000,0000,,na tunalima chini ya asilimia moja ya ardhi yetu. Dialogue: 0,0:06:01.42,0:06:03.87,Default,,0000,0000,0000,,Idadi ndogo ya wakulima ambayo tunayo Dialogue: 0,0:06:03.87,0:06:07.41,Default,,0000,0000,0000,,wameondolewa katika taratibu zao za ulimaji Dialogue: 0,0:06:07.41,0:06:12.96,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya soko huria na ushindani, n.k. Dialogue: 0,0:06:12.96,0:06:16.21,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunakumbana na hatari Dialogue: 0,0:06:16.21,0:06:23.39,Default,,0000,0000,0000,,Hatari hizi zimeathiri uendeleaji wa taifa hili Dialogue: 0,0:06:23.39,0:06:25.91,Default,,0000,0000,0000,,Swali ni kwamba,je kuna suluhisho? Dialogue: 0,0:06:25.91,0:06:28.09,Default,,0000,0000,0000,,Kuna ufumbuzi wa uhakika? Dialogue: 0,0:06:28.09,0:06:30.07,Default,,0000,0000,0000,,Kiukweli upo. Dialogue: 0,0:06:30.07,0:06:34.11,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaonesha nyaraka zipatazo 1000 za kiufundi Dialogue: 0,0:06:34.11,0:06:36.79,Default,,0000,0000,0000,,ambazo tulikuwa tunafanyia kazi katika miaka miwili iliyopita. Dialogue: 0,0:06:36.79,0:06:38.22,Default,,0000,0000,0000,,Tuanze na maji. Dialogue: 0,0:06:38.22,0:06:41.99,Default,,0000,0000,0000,,Tunajua fika...niliwaonyesha mapema..kwamba tunahitaji hii nishati. Dialogue: 0,0:06:41.99,0:06:45.09,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama tutahitaji nishati,ni aina ipi? Dialogue: 0,0:06:45.09,0:06:47.39,Default,,0000,0000,0000,,nishati inayoisha?mafuta ghafi? Dialogue: 0,0:06:47.39,0:06:49.78,Default,,0000,0000,0000,,Au tutumie kitu kingine? Dialogue: 0,0:06:49.78,0:06:53.12,Default,,0000,0000,0000,,Tunayo faida ya kulinganisha kutumia aina nyingine ya nishati? Dialogue: 0,0:06:53.12,0:06:57.26,Default,,0000,0000,0000,,Nahisi wote mnafahamu kwamba tuna siku 300 za jua. Dialogue: 0,0:06:57.26,0:07:02.59,Default,,0000,0000,0000,,Kwa tunaweza tumia hii nishati kutupa maji tunayohitaji. Dialogue: 0,0:07:02.59,0:07:07.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunaweza kuweka 1800 megawati za umeme jua Dialogue: 0,0:07:07.99,0:07:10.60,Default,,0000,0000,0000,,kuzalisha milioni 3.5 za ujazo za maji. Dialogue: 0,0:07:10.60,0:07:12.62,Default,,0000,0000,0000,,Na hayo ni maji mengi. Dialogue: 0,0:07:12.62,0:07:14.89,Default,,0000,0000,0000,,Hayo maji yataenda kwa wakulima, Dialogue: 0,0:07:14.89,0:07:17.13,Default,,0000,0000,0000,,na wakulima wataweza kumwagilia mazao yao, Dialogue: 0,0:07:17.13,0:07:21.26,Default,,0000,0000,0000,,wataweza kuihudumia jamii kwa chakula Dialogue: 0,0:07:21.26,0:07:23.37,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa ajili ya kuhimili upande huu Dialogue: 0,0:07:23.37,0:07:26.70,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hii ni mipango,hii ni mipango tunayotekeleza Dialogue: 0,0:07:26.70,0:07:29.34,Default,,0000,0000,0000,,pia tunatakiwa tuendeleze upande mwingine Dialogue: 0,0:07:29.34,0:07:34.66,Default,,0000,0000,0000,,kusimamia mifumo,elimu ya hali ya juu,tafiti na maendeleo, Dialogue: 0,0:07:34.66,0:07:39.72,Default,,0000,0000,0000,,vinwanda,teknolojia,kutengeneza teknolojia kwa matumizi,na mwisho masoko. Dialogue: 0,0:07:39.72,0:07:45.85,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kipi kinarahisha na kuwezesha,ni sheria,sera,utaratibu. Dialogue: 0,0:07:45.85,0:07:48.08,Default,,0000,0000,0000,,Bila hivi hatuwezi kufanya chochote. Dialogue: 0,0:07:48.08,0:07:49.64,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hiki ndicho tunachopanga kufanya. Dialogue: 0,0:07:49.64,0:07:53.17,Default,,0000,0000,0000,,Ndani ya miaka miwili tunaweza kuwa tumekamilisha mipango hii Dialogue: 0,0:07:53.17,0:07:55.14,Default,,0000,0000,0000,,na kuongelea kuitekeleza. Dialogue: 0,0:07:55.14,0:08:01.84,Default,,0000,0000,0000,,Lengo letu kuu ni kuwa jiji la kimilenia,kama majiji mengine ya kimilenia Dialogue: 0,0:08:01.84,0:08:08.97,Default,,0000,0000,0000,,Instanbul,Rome,London,Paris,Damascus,Cairo. Dialogue: 0,0:08:08.97,0:08:13.06,Default,,0000,0000,0000,,Tuna miaka 60 tu,lakini tunataka kuishi milele Dialogue: 0,0:08:13.06,0:08:17.63,Default,,0000,0000,0000,,kama jiji,kuishi kwa amani. Dialogue: 0,0:08:17.63,0:08:19.57,Default,,0000,0000,0000,,Asante sana. Dialogue: 0,0:08:19.57,0:08:23.65,Default,,0000,0000,0000,,(makofi)