1 00:00:00,628 --> 00:00:03,544 Salaam alaikum 2 00:00:03,544 --> 00:00:05,230 Karibuni Doha. 3 00:00:05,230 --> 00:00:08,632 Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii. 4 00:00:08,632 --> 00:00:10,683 Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo, 5 00:00:10,683 --> 00:00:13,099 kutengeneza mpango mkuu, 6 00:00:13,099 --> 00:00:16,632 na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza 7 00:00:16,632 --> 00:00:18,652 na watu wengine wengi, 8 00:00:18,652 --> 00:00:23,299 Lakini kwanza,nahitaji kukuhadithia,hii ni hadithi yangu, 9 00:00:23,299 --> 00:00:27,167 kuhusu nchi hii mliyopo leo 10 00:00:27,167 --> 00:00:30,717 Kwa uhakika,wengi wenu mmekula milo mitatu leo, 11 00:00:30,717 --> 00:00:35,250 nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli. 12 00:00:35,250 --> 00:00:39,683 Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940? 13 00:00:39,683 --> 00:00:43,883 Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa. 14 00:00:43,883 --> 00:00:50,899 Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati,mafuta,magari,vyote hivo havikuwepo. 15 00:00:50,899 --> 00:00:52,294 Watu wengi walioishi hapa 16 00:00:52,294 --> 00:00:54,766 waliishi vijiji vya pwani,kuvua, 17 00:00:54,766 --> 00:01:00,716 au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji. 18 00:01:00,716 --> 00:01:04,118 Uzuri wote huu unauona haukuwepo. 19 00:01:04,118 --> 00:01:09,266 Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh. 20 00:01:09,266 --> 00:01:11,883 Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji. 21 00:01:11,883 --> 00:01:13,982 Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza. 22 00:01:13,982 --> 00:01:16,815 Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi. 23 00:01:16,815 --> 00:01:18,717 Watu wengi walifariki katika miaka 50 24 00:01:18,717 --> 00:01:22,516 Twende sasa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. 25 00:01:22,516 --> 00:01:25,733 1939,hapo ndipo mafuta yaligundulika. 26 00:01:25,733 --> 00:01:30,533 Kwa bahati mbaya,hayakutumika vya kutosha kibiashara 27 00:01:30,533 --> 00:01:32,983 mpaka vita ya pili ya dunia. 28 00:01:32,983 --> 00:01:35,117 Ilifanya nini? 29 00:01:35,117 --> 00:01:38,417 Ilibadilisha muonekano wa nchi,kama unavyoona na kushuhudia. 30 00:01:38,417 --> 00:01:42,149 Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa.. 31 00:01:42,149 --> 00:01:45,433 kutafuta maji,kutafuta chakula, 32 00:01:45,433 --> 00:01:49,536 wakijaribu kuwatunza wanyama wao..wakaepata maendeleo 33 00:01:49,536 --> 00:01:51,500 Unaweza kuona ni ajabu, 34 00:01:51,500 --> 00:01:55,349 lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti. 35 00:01:55,349 --> 00:01:59,349 Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu, 36 00:01:59,349 --> 00:02:04,383 wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja. 37 00:02:04,383 --> 00:02:07,917 Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa. 38 00:02:07,917 --> 00:02:11,733 Kuna mtu husema"Kivipi?Inawezekanaje kutokea? 39 00:02:11,733 --> 00:02:13,516 Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika. 40 00:02:13,516 --> 00:02:18,668 Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi. 41 00:02:18,668 --> 00:02:22,479 Na malighafi zilipokuja,mafuta, 42 00:02:22,479 --> 00:02:25,533 tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu 43 00:02:25,533 --> 00:02:29,183 na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika. 44 00:02:29,183 --> 00:02:31,567 Watu walianza kufahamiana. 45 00:02:31,567 --> 00:02:35,516 Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili. 46 00:02:35,516 --> 00:02:38,451 Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta. 47 00:02:38,451 --> 00:02:40,566 Tuangalie leo. 48 00:02:40,566 --> 00:02:45,292 Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha. 49 00:02:45,292 --> 00:02:46,683 Idadi ya watu ikoje leo? 50 00:02:46,683 --> 00:02:48,933 ni watu milioni moja na laki saba. 51 00:02:48,933 --> 00:02:51,632 Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60. 52 00:02:51,632 --> 00:02:57,534 Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita. 53 00:02:57,534 --> 00:03:00,367 Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78. 54 00:03:00,367 --> 00:03:05,176 Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430. 55 00:03:05,176 --> 00:03:08,583 Na hii ndo takwimu kubwa duniani. 56 00:03:08,583 --> 00:03:10,750 Kutoka kutokuwa na maji 57 00:03:10,750 --> 00:03:16,234 mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani,kikubwa kuliko taifa lolote. 58 00:03:16,234 --> 00:03:20,000 Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji. 59 00:03:20,000 --> 00:03:26,200 Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia? 60 00:03:26,200 --> 00:03:29,383 Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua 61 00:03:29,383 --> 00:03:35,983 asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji. 62 00:03:35,983 --> 00:03:40,933 Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia. 63 00:03:40,933 --> 00:03:44,866 Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji. 64 00:03:44,866 --> 00:03:47,382 Hii ni historia iliyotengenezwa katika eneo hili. 65 00:03:47,382 --> 00:03:49,299 Sio miji tu ndo tunajenga, 66 00:03:49,299 --> 00:03:54,452 lakini miji yenye maono na watu ambao wanatamani kuwa wanasayansi,madaktari. 67 00:03:54,452 --> 00:03:57,601 Kujenga nyumba nzuri,kuwaleta wasanifu majengo,kutengeneza nyumba yangu. 68 00:03:57,601 --> 00:04:03,800 Hawa watu wanaamini kwamba sehemu hii unaweza kuishi wakati ilipokuwa haiwezekani. 69 00:04:03,800 --> 00:04:05,769 Lakini kwa sababu ya teknolojia. 70 00:04:05,769 --> 00:04:12,283 Brazil ina kiasi cha mvua kwa milimita 1782 kwa mwaka. 71 00:04:12,283 --> 00:04:15,134 Quatar ina 74,na tuna ukuaji kiasi hicho. 72 00:04:15,134 --> 00:04:17,150 Swali ni kivipi? 73 00:04:17,150 --> 00:04:20,416 Tunawezaje kuendela hivi? 74 00:04:20,416 --> 00:04:22,500 Hatuna maji kabisa. 75 00:04:22,500 --> 00:04:28,799 kwa sababu ya mashine kubwa ya kutoa chumvi kwenye maji. 76 00:04:28,799 --> 00:04:32,967 Nishati ni kitu kikubwa hapa.Imebadilisha kila kitu. 77 00:04:32,967 --> 00:04:37,466 Ni ambacho kinakitoa toka ardhini,tunaunguza tani na tani, 78 00:04:37,466 --> 00:04:40,466 wengi wenu mmekitumia kuja Doha. 79 00:04:40,466 --> 00:04:43,367 Hilo ni ziwa letu,kama unaweza kuona. 80 00:04:43,367 --> 00:04:45,216 Huo ni mto wetu. 81 00:04:45,216 --> 00:04:50,558 Hivyo ndivyo inavotokea mpaka kutumia na kufaidi maji. 82 00:04:50,558 --> 00:04:57,184 Hii ni teknolojia nzuri sana ambayo eneo hili linayo,kuondoa chumvi katika maji 83 00:04:57,184 --> 00:04:59,452 Je,hatari ni zipi? 84 00:04:59,452 --> 00:05:01,002 Unaogopa sana? 85 00:05:01,002 --> 00:05:04,918 Naweza kusema,ukiangalia ukweli kiujumla, 86 00:05:04,918 --> 00:05:07,509 utagundua,unatakiwa kuwa na mashaka. 87 00:05:07,509 --> 00:05:10,018 Kuna hitaji la kukua,ukuaji wa idadi ya watu. 88 00:05:10,018 --> 00:05:13,267 Tumekuwa bilioni saba miezi michache iliyopita. 89 00:05:13,267 --> 00:05:16,759 Na hiyo idadi pia inahitaji chakula. 90 00:05:16,759 --> 00:05:19,967 Na kuna makisio kwamba tutakuwa bilioni tisa kwa mwaka 2050. 91 00:05:19,967 --> 00:05:22,823 Kwa hiyo nchi ambayo haina maji 92 00:05:22,823 --> 00:05:26,474 inakuwa na wasiwasi kipi kitachotokea nje ya mipaka yake. 93 00:05:26,474 --> 00:05:28,806 Kuna kubadilisha ulaji. 94 00:05:28,806 --> 00:05:32,872 Kwa kuongezeka katika hali ya juu ya maisha, 95 00:05:32,872 --> 00:05:35,055 pia wanabadilisha ulaji wao. 96 00:05:35,055 --> 00:05:38,055 Wanaanza kula kula sana nyama na vinginevyo. 97 00:05:38,055 --> 00:05:40,408 Kwa upande mwingine,uzalishaji unaporomoka 98 00:05:40,408 --> 00:05:43,106 kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na sababu nyinginezo. 99 00:05:43,106 --> 00:05:48,274 Na inatakiwa mtu atambue lini hili tatizo litakuja kutokea. 100 00:05:48,274 --> 00:05:52,089 Hii ni hali hapa Quatar,kwa wale wasiojua. 101 00:05:52,089 --> 00:05:55,439 Tuna siku mbili tu za utunzaji maji. 102 00:05:55,439 --> 00:05:57,723 Tunaagiza asilimia 90 ya chakula chetu, 103 00:05:57,723 --> 00:06:01,423 na tunalima chini ya asilimia moja ya ardhi yetu. 104 00:06:01,423 --> 00:06:03,872 Idadi ndogo ya wakulima ambayo tunayo 105 00:06:03,872 --> 00:06:07,406 wameondolewa katika taratibu zao za ulimaji 106 00:06:07,406 --> 00:06:12,955 kwa sababu ya soko huria na ushindani, n.k. 107 00:06:12,955 --> 00:06:16,206 Kwa hiyo tunakumbana na hatari 108 00:06:16,206 --> 00:06:23,389 Hatari hizi zimeathiri uendeleaji wa taifa hili 109 00:06:23,389 --> 00:06:25,907 Swali ni kwamba,je kuna suluhisho? 110 00:06:25,907 --> 00:06:28,089 Kuna ufumbuzi wa uhakika? 111 00:06:28,089 --> 00:06:30,073 Kiukweli upo. 112 00:06:30,073 --> 00:06:34,106 Hii inaonesha nyaraka zipatazo 1000 za kiufundi 113 00:06:34,106 --> 00:06:36,790 ambazo tulikuwa tunafanyia kazi katika miaka miwili iliyopita. 114 00:06:36,790 --> 00:06:38,222 Tuanze na maji. 115 00:06:38,222 --> 00:06:41,991 Tunajua fika...niliwaonyesha mapema..kwamba tunahitaji hii nishati. 116 00:06:41,991 --> 00:06:45,089 Kwa hiyo kama tutahitaji nishati,ni aina ipi? 117 00:06:45,089 --> 00:06:47,388 nishati inayoisha?mafuta ghafi? 118 00:06:47,388 --> 00:06:49,783 Au tutumie kitu kingine? 119 00:06:49,783 --> 00:06:53,122 Tunayo faida ya kulinganisha kutumia aina nyingine ya nishati? 120 00:06:53,122 --> 00:06:57,256 Nahisi wote mnafahamu kwamba tuna siku 300 za jua. 121 00:06:57,256 --> 00:07:02,588 Kwa tunaweza tumia hii nishati kutupa maji tunayohitaji. 122 00:07:02,588 --> 00:07:07,989 Kwa hiyo tunaweza kuweka 1800 megawati za umeme jua 123 00:07:07,989 --> 00:07:10,598 kuzalisha milioni 3.5 za ujazo za maji. 124 00:07:10,598 --> 00:07:12,622 Na hayo ni maji mengi. 125 00:07:12,622 --> 00:07:14,890 Hayo maji yataenda kwa wakulima, 126 00:07:14,890 --> 00:07:17,127 na wakulima wataweza kumwagilia mazao yao, 127 00:07:17,127 --> 00:07:21,257 wataweza kuihudumia jamii kwa chakula 128 00:07:21,257 --> 00:07:23,374 Lakini kwa ajili ya kuhimili upande huu 129 00:07:23,374 --> 00:07:26,705 kwa sababu hii ni mipango,hii ni mipango tunayotekeleza 130 00:07:26,705 --> 00:07:29,339 pia tunatakiwa tuendeleze upande mwingine 131 00:07:29,339 --> 00:07:34,657 kusimamia mifumo,elimu ya hali ya juu,tafiti na maendeleo, 132 00:07:34,657 --> 00:07:39,719 vinwanda,teknolojia,kutengeneza teknolojia kwa matumizi,na mwisho masoko. 133 00:07:39,719 --> 00:07:45,852 Lakini kipi kinarahisha na kuwezesha,ni sheria,sera,utaratibu. 134 00:07:45,852 --> 00:07:48,085 Bila hivi hatuwezi kufanya chochote. 135 00:07:48,085 --> 00:07:49,637 Kwa hiyo hiki ndicho tunachopanga kufanya. 136 00:07:49,637 --> 00:07:53,168 Ndani ya miaka miwili tunaweza kuwa tumekamilisha mipango hii 137 00:07:53,168 --> 00:07:55,135 na kuongelea kuitekeleza. 138 00:07:55,135 --> 00:08:01,835 Lengo letu kuu ni kuwa jiji la kimilenia,kama majiji mengine ya kimilenia 139 00:08:01,835 --> 00:08:08,970 Instanbul,Rome,London,Paris,Damascus,Cairo. 140 00:08:08,970 --> 00:08:13,065 Tuna miaka 60 tu,lakini tunataka kuishi milele 141 00:08:13,065 --> 00:08:17,626 kama jiji,kuishi kwa amani. 142 00:08:17,626 --> 00:08:19,571 Asante sana. 143 00:08:19,571 --> 00:08:23,650 (makofi)