Return to Video

EAHA DM 1.1a Intro to Disaster Management Training - Captioned

  • 0:05 - 0:10
    (Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator)
    Utangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa
  • 0:10 - 0:17
    Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza
  • 0:17 - 0:24
    mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP)
    ambao utaongeza uwezo
  • 0:24 - 0:30
    wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa
  • 0:30 - 0:34
    yanayokumba afya ya umma
  • 0:34 - 0:40
    Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia.
  • 0:40 - 0:41
  • 0:41 - 0:47
    Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa
  • 0:47 - 0:49
    ya haya majanga.
  • 0:51 - 0:58
    Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma
  • 0:58 - 1:05
    kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu
  • 1:05 - 1:08
    yanayohusiana na majanga haya.
  • 1:08 - 1:15
    Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga
  • 1:15 - 1:22
    jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu,
  • 1:22 - 1:29
    magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo
  • 1:29 - 1:34
    Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo
  • 1:34 - 1:41
    wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya.
  • 1:41 - 1:48
    malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma,
  • 1:48 - 1:53
    kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga.
  • 1:53 - 1:59
    katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini
  • 1:59 - 2:04
    katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo
  • 2:04 - 2:06
    Nini ni pato letu muhimu?
  • 2:06 - 2:12
    Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya
  • 2:12 - 2:14
    Tutatekelezaje mpango huu?
  • 2:14 - 2:20
    Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga
  • 2:20 - 2:22
    huathiri wilaya
  • 2:22 - 2:28
    Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya
  • 2:28 - 2:34
    Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga
  • 2:34 - 2:39
    Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya.
  • 2:39 - 2:46
    Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya
  • 2:47 - 2:48
    Ahsanteni!
Title:
EAHA DM 1.1a Intro to Disaster Management Training - Captioned
Description:

This is a remix of the 1.1a: Introduction to the Disaster Management Training by Roy William Mayega from Makerere University. This version includes English captions, transcribed by Trisha Paul from University of Michigan. The original video (without captions) can be found at http://www.youtube.com/watch?v=wT2cPup-VOc. This video is part of a learning module from the East Africa HEALTH Alliance called Public Health Emergency Planning and Management for Districts. The full module and the video transcript can be accessed at http://openmi.ch/disaster-mgmt. Copyright 2009-2019 Roy Mayega (Makerere University). The video, transcript, and module are all shared under a Creative Commons Attribution (CC BY) 3.0 License: http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/

more » « less
Video Language:
English
Duration:
02:51

Swahili subtitles

Revisions